#4 FEDHEHA - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 พ.ค. 2023
- #MauMpemba #KomboKichwa #VitukoZanzibar
#4 FEDHEHA - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo.
Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia.
Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia.
+255 777 001500
Wakwanzaaa leo naomba likes zangu
🎉🎉🎉🎉 Nawapokea nikiwa saudi arabia
Filamu zenye mafunzo mazuri mashallah
Fumbua macho inazidi kubamba mashallah iko vizuri sana
safi sana hiii fedheha
kazi nzur
masha allah ipo tamu ndani yake
Kazi nzur mau
Nakukubal sn
Mmetisha sna
Dah...mau sas umerud na kas ya 4G endelea hivyhivy bab hakika unafunza kwa kwel
Haaaaaa naomba kujua mshushua mumeo kuiba nimtihani bora kuomba
❤❤❤
Vituguu duh vimepotea mabonde yamefyekwa yote
Jamani vituguu siku hizi unguja sivioni
❤❤❤❤
usimdhania
Mashallah kazi zenu mzury kwamazingira yetu
P1 mau mpemba 🎉
Nacheki nikiwa moroco