#-48 - ZAWADI - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 47

  • @NassraSoud-ou3qv
    @NassraSoud-ou3qv 11 หลายเดือนก่อน +6

    Wa kwanzaaa❤❤😂😂😂 mnipe maua yng❤

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 11 หลายเดือนก่อน +3

    Na mm wa kwanza

  • @fatmamohdnadhar4115
    @fatmamohdnadhar4115 11 หลายเดือนก่อน +6

    Wa kwanz like kwang

  • @mariamsefukhamissi8809
    @mariamsefukhamissi8809 11 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂Zawadi iyo jmn

  • @abdulazizitwalib5859
    @abdulazizitwalib5859 11 หลายเดือนก่อน +6

    Kama kawa kazi nzuri kutoka kwa ndugu zangu . Pemba is home land Daimaa 💪💪

  • @hamudseif
    @hamudseif 11 หลายเดือนก่อน +3

    Makame usiogope camera, unatumia nguvu kubwa kuigiza embu relux km dongo na Maulid

  • @abdulmohd6880
    @abdulmohd6880 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mau mm naomba unijibu hili swali langu "hivi, ivo unavyotembea mguu una shida ama n ktk ubunifu wako tu ktk kuigiza?" By the way keep going kazi nzuri sana🎉

    • @BahatiMtilaMSWAHILI
      @BahatiMtilaMSWAHILI 11 หลายเดือนก่อน

      ni usanii tu huo. ni sharo ukikumbana nae njiani wala huamini

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 11 หลายเดือนก่อน +2

    Tujifunze kushukuru jmn dongo kapayuka kumbe anasikiwa😂😂😂

  • @fatmamohdnadhar4115
    @fatmamohdnadhar4115 11 หลายเดือนก่อน +4

    Mau huvai viatu😁😁😁😁😁😁

  • @HalimaSalym-jl2ui
    @HalimaSalym-jl2ui 11 หลายเดือนก่อน +2

    Makame mwekeni sehemu anayofiti
    Ni sehemu ya kuzungumza Kwa upole sana ndio anapendeza

  • @HalimaAme-yu9ft
    @HalimaAme-yu9ft 11 หลายเดือนก่อน +9

    Nawaomb like Zang wa kwaz leo

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 11 หลายเดือนก่อน +4

    shukran wadau kwa burdan

  • @hamzasuleiman9605
    @hamzasuleiman9605 11 หลายเดือนก่อน +2

    Makame sanaa bado kabisa , Naona majuhudi ya hali ya juu , Kama analazimisha kuchekesha watu , hemu act km wezako , papara la nini kijana ? Au kushazoea vile viclip vyako vya sekunde 20 ? Kama sanaa kaa pembeni ushirikiane na cc watizamaji kijana

    • @MussaMussa-gf4hv
      @MussaMussa-gf4hv 2 หลายเดือนก่อน

      Anatumua nguvu sana sijui niseme vipi aelewe il anajua mashaallah ,kweny kuchekesh mashaallah il michezo bado anafaa viclip vya kuchekesha tu na ukiangalia yumo yy unahis km si mchezo ivi

  • @abrahmanamour8223
    @abrahmanamour8223 11 หลายเดือนก่อน +3

    Naomba like jmn mm wa kwanza leo

  • @allyidrissa2912
    @allyidrissa2912 11 หลายเดือนก่อน +2

    Natamani kumuona dongo na kidundo lakinipia natamani kumuona mau na kachara tuboreshe tasnia

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 11 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂😂

  • @mwinyisarbok2261
    @mwinyisarbok2261 11 หลายเดือนก่อน +3

    Hatupoi

  • @Abuu230
    @Abuu230 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mm wa mwanz nipen like zang

  • @mwinyisarbok2261
    @mwinyisarbok2261 11 หลายเดือนก่อน +3

    Kuna mtu atasema yeye wa mwanzo

  • @abdillahali836
    @abdillahali836 11 หลายเดือนก่อน +2

    Muhogo dongo kabadilika kama kinyonga

  • @AhmedKhamis-d1t
    @AhmedKhamis-d1t 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hmmm😂😂😂😂

  • @mbaroukjumaali
    @mbaroukjumaali 11 หลายเดือนก่อน +2

    Sapna upo vizuri.Mashallah

  • @Said-l8m
    @Said-l8m 11 หลายเดือนก่อน

    Kabisa she maulid maneno yako ❤

  • @hajijuma1761
    @hajijuma1761 11 หลายเดือนก่อน +2

    Well done

  • @aliabeidali2214
    @aliabeidali2214 11 หลายเดือนก่อน +2

    Dongo upo poa

  • @ShafiiJuma-t2x
    @ShafiiJuma-t2x 11 หลายเดือนก่อน

    Mau kuna kijana.anashida na wewe anastori yake anahitaji akupe tayari ashaiyandika ila hajuwi akupate vp stori.tayari ashaiyandika na anatamani akupe wewe uweze kuifanyia kazi.vp atakupata jibu hii comment

  • @mohammadhassan-hu9jt
    @mohammadhassan-hu9jt 11 หลายเดือนก่อน +2

    Duhh

  • @MrMona_TZ
    @MrMona_TZ 11 หลายเดือนก่อน +2

    Tupooooooo 🏃🏃

  • @FeisalDoctor
    @FeisalDoctor 11 หลายเดือนก่อน +2

    1🙄

  • @mohdsaad2736
    @mohdsaad2736 11 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤😊😊😊😊

  • @FatmaOmar-r1t
    @FatmaOmar-r1t 11 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani samahanini sana wasanii wetu naomba niulize maana ya Mau kuchechea mguu mi Kwa maoni yangu mbona sioni uhusiano wa kuchechea na usanii

  • @MussaMussa-gf4hv
    @MussaMussa-gf4hv 2 หลายเดือนก่อน

    Ila makame mpk useme kwa sana kama unatumia nguvu sana ,km una gomba vile hem zungumza kwa upole

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 11 หลายเดือนก่อน +1

    Good job😊

  • @hamzasuleiman9605
    @hamzasuleiman9605 7 หลายเดือนก่อน

    Hicho kimolo kitimueni bhana hakijui sanaaa hta kdg

  • @Dil-nawadhFt
    @Dil-nawadhFt 26 วันที่ผ่านมา

    Zawadi kutoka Oman naombeni like zenu jmn😂

  • @salumhamad
    @salumhamad 11 หลายเดือนก่อน +2

    nice❤

  • @SultanJuma-e4e
    @SultanJuma-e4e 10 หลายเดือนก่อน

    Makame unafurahisha mpaka unakera

  • @sisdirector3326
    @sisdirector3326 11 หลายเดือนก่อน

    Dongo badilisha kanzu iyo

  • @MasoudMidewe
    @MasoudMidewe 11 หลายเดือนก่อน

    Dong huja owa tu ww mpak ss au una Kong

  • @Channel9Tv
    @Channel9Tv 6 หลายเดือนก่อน

    I like

  • @AhmedKhamis-d1t
    @AhmedKhamis-d1t 11 หลายเดือนก่อน

    Maashallah 😊😊😊