#5 FITINA - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 พ.ค. 2023
  • #MauMpemba #KomboKichwa #VitukoZanzibar
    FITINA - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
    Furahi na jifunze na vichekesho vya Mau Mpemba. Mau Mpemba ni msanii wa Zanzibar anaejulikana sana kwa aina yake ya sanaa ya maigizo kwa kutumia asili yake ya Pemba. Kwa kushirikiana na wasanii mbali mbali Tanzania, Mau Mpemba anasisimua na kuvunja mbavu za watu wengi wanaopenda aina yake ya maigizo.
    Aina ya sanaa anayofanya Mau Mpemba ni mfano wa kuingwa kwani, anatumia kile kidogo alichonacho ili kufurahisha na kuelimisha pia.
    Ukihitaji kuunga mkoni harakati za wasanii hawa ili waweze kuleta furaha kila siku katika jamii zetu, hakikisha unatangaza biashara yako au kutoa ushauri wako kupitia.
    +255 777 001500

ความคิดเห็น • 62

  • @hamadmaliki0029
    @hamadmaliki0029 ปีที่แล้ว +3

    Ertugrul bey

  • @mudiplatnumz98
    @mudiplatnumz98 ปีที่แล้ว +3

    Naomba hiii move dahhh umeuwa haf uko sirias kunako ku Ekt hongera wewe super woumon

  • @user-gk3wz8wb3t

    Mambo yamepamba moto maashaallah

  • @uchoziman3809
    @uchoziman3809 ปีที่แล้ว +3

    Ongerani sna

  • @wardahaly4194
    @wardahaly4194 ปีที่แล้ว +2

    Dah kaz nzr

  • @uchoziman3809
    @uchoziman3809 ปีที่แล้ว +3

    Ongereni sana

  • @kisiwaPanza
    @kisiwaPanza ปีที่แล้ว +2

    Hongereni Sana Team Mau Kwa Kufikisha Ujumbe Mzuri Na Kwa Husika Mzuri Allah Awazishie Kila Penye Kheir Awagungulie Zaidi.. HIZi Fitina Zimejaa Kila kona Yaani katika jamii Yetu YA Sasaivi..

  • @hapapetu7018
    @hapapetu7018 ปีที่แล้ว +2

    Hongereni. Tupo. Pamoja

  • @saidrashid2345
    @saidrashid2345 ปีที่แล้ว +7

    Naomba like zngu Leo ndio wa kwanza

  • @abdlhaleem8380
    @abdlhaleem8380 ปีที่แล้ว +2

    Contents 🥂

  • @masturamohd4920
    @masturamohd4920 ปีที่แล้ว +2

    maish yetu kabisa haya tunayo ishi

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 ปีที่แล้ว +2

    Dongo hasira hasara ndugu yako ni wako mke ni rafiki tu iko siku utakuja juta maana wanawake tuwanafiki mungu awabariki washiriki wote muzidi kuendeleya

  • @mwanawetumwatumwa3000

    ❤❤❤❤

  • @musaomar9084
    @musaomar9084 ปีที่แล้ว +4

    Ma Shaa Allah Thabbarakah Allah 👌 Allah awafanyie wepesi sahali tahfifu awasimamie katika kila jambo lenu Awafungulie awaneemeshe Amiin ya Allah kazi nzuri

  • @ssdd647
    @ssdd647 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥🔥🔥

  • @yassirmunir7512

    Ni faraja kuona jitihada zenu. Tuko pamoja from Arusha

  • @samiramohamed5925

    Safi sanaaaa.lkn dahhh.hua natamani sana km iendelee wallah ili Naomba akione kilichomtoa kanga manyoya.

  • @abdihaji22
    @abdihaji22 ปีที่แล้ว +3

    Fitina

  • @musaomar9084
    @musaomar9084 ปีที่แล้ว +3

    😊

  • @kingmediatz5243
    @kingmediatz5243 ปีที่แล้ว

    Kazi kali sana dah nafatilia sana kazi zako broo