Kweli malipo ni hapa apa duniani, tambua ukimtendea mtu kitu na usipo lipia siku hiyo iyo ila tambua iko siku lazima litakurudi tu thank you very much kidundo nakupenda kwa ajili ya allah Endelea kutujuza mengi tusiyo yajua na mungu akufanyie wepesi kwa kazi yako LOVE YOU so much from Bahrain 🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭
Hongera kidundo mungu akufanyie wepesi ktk kazi zako! Na endelezeni utamaduni wetu na lugha zetu Wapemba ,Niko Oman na nawafagilia Sana🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Shukran kwa kutufagilia endelea Ku share channel yetu
#hamzaAlsharif
Asanteni wapemba nawapata vizuri kutokea Madagascar 🇲🇬
Muko vizuri Sana katika kazi 🌹🌹🌹
Kweli malipo ni hapa apa duniani, tambua ukimtendea mtu kitu na usipo lipia siku hiyo iyo ila tambua iko siku lazima litakurudi tu thank you very much kidundo nakupenda kwa ajili ya allah
Endelea kutujuza mengi tusiyo yajua na mungu akufanyie wepesi kwa kazi yako LOVE YOU so much from Bahrain 🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭
Mupo juu sana
Kazi nzur braza keep it up
nice one
Nakubali kazi
Kazi nzr ongezen juhud
Kidundo Bwana Huitk Kaavyo, Wapemb Bwan
Nice filam
Hhhhhhh uwiiiiiii kama huitaki kaaavyoo
Heee kidundo weee mjinga wa maisha sio sir wanifurahisha unatafuta hela had kwenye mashine hahaha nikija pemba lazima nikutafute💘💘💘
Koo la pweza
Nataka Namba ya kidundo
Kaavyo....!
Hili Pweko....!
Pweko ni moja ktk majina ya kejeli sana kumwita mtu
Ukiickia kidundo ndicho hich
Kichwa cha kanga hehehehhee
Kidundo muhuni sana wewe
Shukraniiii
Hili pweko!
Hahaha malipo n apapa
Wavyaaa jeuri hhhhhh
hongera kidundo from turkey
Watokea turki ww
@@salmamohd5712 ndio salma
Mbona unaongea kiswahili
Mbona unaongea kiswahili
Mbona unaongea kiswaili
Kidundo kwa wasanii wa visiwani zanzibar yupo juu
Mwezi tu wapata Timu nzima
😃😃😃
Kidundo unatishaaa
Wapata timu mzima bandani
Una goya
Akhsante jamaa zangu kutoka oman nawapa vizur
Nitafute we naair
na alieokota 80 jua hili kali kafaid 😂😃
siavyi 40 wala siavyi hitima
Cha kuokota c chakuiba hhhhh
usililie arubaini kidundo lilia hitima
😀😀😀
HaaahaaaaahaAa
Wekidundo wanichekesha hiyo siriziki yako haaaaaaaaaaaa
Hahahaha
JAAMANI HILI NENO PWEKE MAANA YAKE NN
Pweko sawa na kusema pumbavu
🤣🤣🤣🤣
kidund0 nakubal maan hutak masihar hy kusikia wa km mtu akiiba mpaa angie ndan hhhhhhh
🤣🤣🤣🤣