#17 - MKATAA PEMA - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 มิ.ย. 2023
  • ตลก

ความคิดเห็น • 144

  • @elikanateonest3126
    @elikanateonest3126 ปีที่แล้ว +13

    Huyu dada nampenda sana anaigiza vizuri sana❤❤

    • @MahmudOmar-gx2ok
      @MahmudOmar-gx2ok 8 หลายเดือนก่อน

      hata mimi nampenda yuko makini sana na kila mahali ukimueka yuko sawa

  • @babdaubabdaubabdau8992
    @babdaubabdaubabdau8992 ปีที่แล้ว +14

    Watu zangu mnatuelimisha sana kila hatua dua 🙏🙏

  • @ABUUBAKARSAIDI
    @ABUUBAKARSAIDI 13 วันที่ผ่านมา

    Dongo ww ni kile brahd muuwajii kabisaaa unajuwa mpk una booowaaa nakupa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 yako

  • @hemedsuleiman7873
    @hemedsuleiman7873 ปีที่แล้ว +16

    Wa kwannza naomba like

  • @irfanabdi8877
    @irfanabdi8877 ปีที่แล้ว +6

    Naomba chozi lako halikawii kutoka wewe acter mzuri sana congratulation

    • @NAOMBAOG
      @NAOMBAOG ปีที่แล้ว

      Asante nashkur

    • @user-fw6wt4mf3b
      @user-fw6wt4mf3b 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@NAOMBAOGhujambo naomba namba Yako habibty

  • @khamiswapemba9019
    @khamiswapemba9019 ปีที่แล้ว +8

    Kazi kali sana team mau hakika ipo siku nasisi titafika mbali sana inshalla

    • @suleimanali5418
      @suleimanali5418 ปีที่แล้ว +1

      Kamanda dogo ww noma una maneno kama kasuku hushindwi

  • @adnanhullay
    @adnanhullay ปีที่แล้ว +7

    may ALLAH grant you a good way to reach your goals INSHAALLAH kaz nzur

  • @EL-LOFFY
    @EL-LOFFY ปีที่แล้ว +6

    Kazi iendelee tu guys endeleeni kutuwakilisha vyema

  • @tamemahmad9902
    @tamemahmad9902 ปีที่แล้ว +5

    Dongo umenifanya nicheke kwa sauti mbele ya mabosi wangu. 😂😂😂😂😂😂😂😂. Kushamuacha Naomba lkn bado akuita mume wangu 😂😂😂😂😂. Hatari kweli

  • @SafiaSeif-gw4ut
    @SafiaSeif-gw4ut ปีที่แล้ว +5

    Heeee dongo weeee.unamsimanga mkeo?😂hahahaa dongo nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 ปีที่แล้ว +7

    Namuona hasanat wa uungwana kapendeza sana mashallah

  • @SafiaSeif-gw4ut
    @SafiaSeif-gw4ut ปีที่แล้ว +5

    Hee funzwa ni wavelewe na jamuweza miyeee.hahahaa

  • @jumawem1262
    @jumawem1262 2 หลายเดือนก่อน

    naomba mola akuzdshie unajua kuigiza nakupa hongera sana

  • @idrisaseiph3499
    @idrisaseiph3499 ปีที่แล้ว +15

    The first one nipeni like zangu❤

  • @SubiraSalum-pq9vo
    @SubiraSalum-pq9vo ปีที่แล้ว +9

    Nmewah leo 😄😄

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 ปีที่แล้ว +2

    Haaaaaaaaaaa dongo umeniokote ulipo sema umepikiwa vitobwesha vilivyo changanywa na chiki chi na miye nilipika hivo vitobwesha ukila kimoja hurudiyii mara mbili mungu awabariki nyote muzidi kufika mbali

    • @MbaroukKhalifa
      @MbaroukKhalifa 3 หลายเดือนก่อน

      Duh sabiha umenicheka 😅😅😅😅 uliposema ulipika vitobwesha ukila kimoja hurudiii na sukar yote inayowekwa mule hurudii😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 ปีที่แล้ว +4

    Nawapenda sana mungu awabariki muweze kufika mbali ameen❤❤

  • @elikanateonest3126
    @elikanateonest3126 ปีที่แล้ว +4

    Kweli mkataa pema pabaya panamgoja dongo umekwiva leo😂😂😂😂

  • @user-ck6ip8or5p
    @user-ck6ip8or5p ปีที่แล้ว +4

    Napenda ziwe na dk nyingi km ivi

  • @alikassimali6753
    @alikassimali6753 ปีที่แล้ว +4

    Na leo nimewah

  • @hamidabdallah5841
    @hamidabdallah5841 ปีที่แล้ว +4

    Wa kwanza mm leo

  • @MuriduAli-cf3xh
    @MuriduAli-cf3xh 4 หลายเดือนก่อน

    Hongereni.mnajuwa.kaka zangu

  • @shwhiteblack2735
    @shwhiteblack2735 ปีที่แล้ว +2

    Mwanaume akipata mwengne wanyuma Hana lake tena

  • @omarjoombi8802
    @omarjoombi8802 27 วันที่ผ่านมา

    Muongozaji wa mchezo kipande hichi kiangalie vizur Edda ya mwezi mmoja kivipi

  • @RayaJuma-uj5qp
    @RayaJuma-uj5qp 9 หลายเดือนก่อน

    Mwanamme akipata mwanamke mwengine ajion kamili ardhi hahahaha uwii

  • @shaibhasan9233
    @shaibhasan9233 ปีที่แล้ว +4

    Daaah inasikitisha sanaaaa ni nzuur sanaaa

  • @elikanateonest3126
    @elikanateonest3126 ปีที่แล้ว +5

    Mnatisha sana dongo ❤❤❤

  • @user-ku2pc2oy1t
    @user-ku2pc2oy1t ปีที่แล้ว +2

    Hii kazi bila dongo hammna kitu Yani huyu dongo namkubali sana mungu atawajalia mutafika mbali

    • @binssoud1995
      @binssoud1995 ปีที่แล้ว

      Kunywa Pepsi baridi nalipia😆. Kazi bila Dongo nisawa na zero.

    • @RashidAli-rn3ro
      @RashidAli-rn3ro 8 หลายเดือนก่อน

      Huyu Dongo ata ktk uhalisia ana vituko kuliko ktk michezo

  • @hemedabdalla4171
    @hemedabdalla4171 ปีที่แล้ว +2

    Dongo tatizo yule kuku hwentengeza ati.

  • @salwasuleiman3525
    @salwasuleiman3525 ปีที่แล้ว +6

    Mambo mazur maa shaa Allah

  • @hashimsalim6554
    @hashimsalim6554 10 หลายเดือนก่อน +1

    Semaaa nonana husemi mapochi bwana mna balaaa

  • @engineerkhamis9275
    @engineerkhamis9275 ปีที่แล้ว +3

    Kilio cha wengi ni mda mdogo wa clip ila leo umerefuka kidogo.

  • @SafiaSeif-gw4ut
    @SafiaSeif-gw4ut ปีที่แล้ว +4

    Kumbe dongo unamdharau mkeo una michipukoo?😅

  • @elikanateonest3126
    @elikanateonest3126 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Eti naona yu hapa😂😂😂😂

  • @user-rg6ll1om5z
    @user-rg6ll1om5z 9 หลายเดือนก่อน

    Hahahaha may bwana ah una vituko Kweli Kweli eti au hajui pika

  • @binssoud1995
    @binssoud1995 ปีที่แล้ว +2

    Vitobwesha Kama njugu mawe zilizochanganyishwa na chikichi 😂😂😂 Dongo hujawahi niangushaaa.......

    • @dashuu5295
      @dashuu5295 ปีที่แล้ว

      Na iyo michanga mingi😂😂😂

  • @dashuu5295
    @dashuu5295 ปีที่แล้ว +3

    Baada ya mwezi mmoja Naomba keshaolewa...Kwa iyo hajalea eddah😂😂😂 mau hapa umetupiga za uso....eddah ya kuachika ni thalaathat quruui.( Mizunguko mi3 ya period)

  • @triplea_pilot003
    @triplea_pilot003 ปีที่แล้ว +2

    Dongo nisha rowa namung’unyuka hahahahaha

  • @SafiaSeif-gw4ut
    @SafiaSeif-gw4ut ปีที่แล้ว +3

    Ntu kwake achaguliwa langu wakupita?hahahaa dongo unani chekesha sn

  • @abeidramadhan2413
    @abeidramadhan2413 11 หลายเดือนก่อน +1

    Pemba oyeeeeeeeeee❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo ปีที่แล้ว +2

    Dongo utajuwa hujui kusharoa

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 ปีที่แล้ว +1

    Duh so poa, ujumbe mwanana sana. Kweli mkataa pema... papaya panamwita.

  • @user-pf8ug6kr9z
    @user-pf8ug6kr9z ปีที่แล้ว

    Binafs nimzpend kaz zen especially fundi dongo na mau as well as na hyo mdad naomb duuuuh nishida San anajuwa

  • @Nahdiya-nr3de
    @Nahdiya-nr3de 11 หลายเดือนก่อน

    Santhaaaa akupe gass bila ivo usipike utakua mweusi malipo nihapohapo akhera isabu

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 ปีที่แล้ว +5

    Shukran shukran much love 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @elikanateonest3126
    @elikanateonest3126 ปีที่แล้ว +6

    Mau nakupenda sana! ❤❤❤

  • @SubiraSalum-pq9vo
    @SubiraSalum-pq9vo ปีที่แล้ว +4

    Dongo lisharoa 😂😂😂

  • @khamiswapemba9019
    @khamiswapemba9019 ปีที่แล้ว +3

    Kazi Bomba sana pigeni kazi hakika nasisi ipo siku tutafika mbali sana

  • @mwinyisarbok2261
    @mwinyisarbok2261 ปีที่แล้ว +2

    Hatupoi

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 ปีที่แล้ว +2

    Dongo katiwa adabu na jeuri zake

  • @zulfahussein6784
    @zulfahussein6784 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂dongo leo kaumbuka

  • @ashaissa3746
    @ashaissa3746 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wapemba hatuna mbambambaa

  • @adamali545
    @adamali545 ปีที่แล้ว +2

    Mmeuwa

  • @irfanabdi8877
    @irfanabdi8877 ปีที่แล้ว +3

    Saf sana

  • @elikanateonest3126
    @elikanateonest3126 ปีที่แล้ว +1

    Mau anavyotazama ni vichekesho tupu😂😂😂😂😂

  • @hamadially313
    @hamadially313 ปีที่แล้ว +2

    Naomba!!!! Mpeni Maua yake

  • @kombokichwa815
    @kombokichwa815 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀😀Mwana kulitafuta mwana kulipata sipikii kuni wala mkaa maji yasipite tu 😂😂

  • @gyeong5972
    @gyeong5972 9 หลายเดือนก่อน

    Asnten sana hongereni sana ❤👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼

  • @jumamohamed4808
    @jumamohamed4808 ปีที่แล้ว

    Endleeni munaelimisha jamii vzr san

  • @ambarnelly6071
    @ambarnelly6071 ปีที่แล้ว +2

    Lamungunyuka vo dongo😂😂😂😂

  • @youngjamaica5099
    @youngjamaica5099 ปีที่แล้ว +1

    Naomba Bint kibendera🤗😁

    • @NAOMBAOG
      @NAOMBAOG ปีที่แล้ว

      Naam youngjamaica

  • @hamadmaliki0029
    @hamadmaliki0029 ปีที่แล้ว

    Tatizo Naomba Kibendera ulimkera Dongo, mke wa ngomani 😅😅

  • @swafuanomar6979
    @swafuanomar6979 ปีที่แล้ว +1

    Maashallh Maashallh nimeipebdaa❤

  • @AmirrShamte-tp3nu
    @AmirrShamte-tp3nu ปีที่แล้ว

    Mashallah kaz mzur sana big up

  • @shaibhasan9233
    @shaibhasan9233 ปีที่แล้ว +2

    Tena ukiniita mume wang

  • @MkasyswallehsaidSwalleh
    @MkasyswallehsaidSwalleh 8 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda kwa vtuko vyenu😂😂😂❤

  • @nurdinmatula8020
    @nurdinmatula8020 ปีที่แล้ว

    Mmetisha sna

  • @SafiaSeif-gw4ut
    @SafiaSeif-gw4ut ปีที่แล้ว +3

    Km nyuba ni ya babayo

  • @hajjirock853
    @hajjirock853 ปีที่แล้ว

    Masha Allah kazi nzuri

  • @user-gk3wz8wb3t
    @user-gk3wz8wb3t ปีที่แล้ว +1

    Mkataaa Pema pabaya humwita

  • @mudricksniper9495
    @mudricksniper9495 ปีที่แล้ว +2

    Na mm sijachelewa

  • @mussasuleimanamour5569
    @mussasuleimanamour5569 ปีที่แล้ว

    Safi sna ndugu znguni

  • @irfanabdi8877
    @irfanabdi8877 ปีที่แล้ว +2

    Mwaharam hhhhhhh dongo umemungunyuka

  • @azizasaif5670
    @azizasaif5670 ปีที่แล้ว +2

    😂😂ndongo love you

  • @NahlaTaxi-rr7cm
    @NahlaTaxi-rr7cm ปีที่แล้ว +2

    Big up

  • @abdullaabdullahmpakanjia2336
    @abdullaabdullahmpakanjia2336 ปีที่แล้ว

    Fundi wazidi chafukwa lete vituu(mpaka dongo kanzu lake kalifua leo)

  • @RashidAli-rn3ro
    @RashidAli-rn3ro 8 หลายเดือนก่อน

    Gari ya ngombe ya massoud omar

  • @hamzasuleiman9605
    @hamzasuleiman9605 ปีที่แล้ว +1

    Mwishoni mumefeli MAU , NAOMBA hakukaa eda , maana hapo tumeambiwa baada ya mwezi kisha tunaoneshwa maisha ya DONGO na mkewe , lakini siku hiyo hiyo DONGO amekwenda kumshtakia MAU , kisha tunaoneshwa MAU ni mume wa NAOMBA ,
    Tafsiri yke ni kwamba NAOMBA hakukaa eda ya mtu aliyeachika ❌

  • @profesamakame5179
    @profesamakame5179 ปีที่แล้ว

    Jaman mbona makame hatumuoni

  • @mohdsaad2736
    @mohdsaad2736 ปีที่แล้ว +2

    ❤❤❤😊😊😊😊😊😊

  • @historicalzanzibartv
    @historicalzanzibartv ปีที่แล้ว

    Jina la hii series ni fumbua macho au mkataa pema jamani

    • @NAOMBAOG
      @NAOMBAOG ปีที่แล้ว

      Mkataa pema nj jina la hii episode na fumbua macho ni jina la kipindi mpendwa

  • @hassnakhamis3489
    @hassnakhamis3489 ปีที่แล้ว

    Mwenye kuli tafuta 😅

  • @janerouhassanjanerou7933
    @janerouhassanjanerou7933 ปีที่แล้ว

    hatibu gonja haijui gesi 😅😅

  • @mwanawetumwatumwa3000
    @mwanawetumwatumwa3000 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @user-wz8vs4fs9b
    @user-wz8vs4fs9b 7 หลายเดือนก่อน

    Ni kz nzuri sn lkn Kuna sehem ndogo mumekoseya mulipoanda BAADA YA MWEZI MMOJA Dongo kumuacha mke wke na tyr kashamuowa Hasanati na vituko vimeshaanza lkn mwezi huohuo mmoja anaeda kwa Mau aliyekuwa mke wke kashaolewa na Mau kosa likon hapa aliyekuwa mke wa Dongo kamaliza eda mda gani?

  • @masturamohd4920
    @masturamohd4920 ปีที่แล้ว +1

    tunapata mafunzo na furaha pia

  • @WardatWardat-oh6ih
    @WardatWardat-oh6ih ปีที่แล้ว

    Munanifurahisha vizuri

  • @hamidyakoub6865
    @hamidyakoub6865 ปีที่แล้ว +2

    Saf xna

  • @SafiaSeif-gw4ut
    @SafiaSeif-gw4ut ปีที่แล้ว +3

    Weee nakuokota hap hapa kijijini😅

  • @noffalsalim
    @noffalsalim ปีที่แล้ว

    Naona vyangu mbwto mbwito tu.hhhhhhhhh

  • @user-fv7mi7qx9j
    @user-fv7mi7qx9j 8 หลายเดือนก่อน

    Hongeren❤

  • @saidahmada9118
    @saidahmada9118 ปีที่แล้ว

    Inamaana mau unakula kibudu baada ya mwezi 1 umekwenda kuowa hukusubiri ata EDA umekwenda kuowa haki yake dongo kukwambia ivo

  • @FatmLady-jy9lc
    @FatmLady-jy9lc ปีที่แล้ว

    👍👍👍👍👍👍👍

  • @alidingongo443
    @alidingongo443 ปีที่แล้ว

    Shukran Kwa ukumbusho

  • @kassimmtwana8539
    @kassimmtwana8539 ปีที่แล้ว

    Kazi safiiii

  • @mohammedkhamis75
    @mohammedkhamis75 ปีที่แล้ว +1

    Hhhhh

  • @mwinyisarbok2261
    @mwinyisarbok2261 ปีที่แล้ว +2

    Apo director mmetuacha baada ya mwezi mmoja Naomba ameshaolewa iyo Eda kamaliza lini?

    • @engineerkhamis9275
      @engineerkhamis9275 ปีที่แล้ว +1

      Kwani si alimuacha Talaka 3 kwa mpigo😂😂😂?

    • @dashuu5295
      @dashuu5295 ปีที่แล้ว +1

      ​@@engineerkhamis9275sawa lkn eddah muhimu ikamilike mda wake dear asjekuchanganya dam bure😊😊😊 haijalish talaka3 au moja

    • @wardahaly4194
      @wardahaly4194 ปีที่แล้ว +2

      Ni tatizo la kiufundi apo limepita kidg tuvumilian

  • @user-ui9se2xy5f
    @user-ui9se2xy5f ปีที่แล้ว

    Kwakwel chema hakidumu

  • @antoniamushi8532
    @antoniamushi8532 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mchanguwa nazi upata koroma

  • @JamalMeneja-xd8tq
    @JamalMeneja-xd8tq 8 หลายเดือนก่อน

    Pezi tatizo