FAHAMU KUHUSU UFUGAJI WA NJIWA | FAHAMU KUHUSU NJIWA | NJIWA NI BIASHARA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ต.ค. 2021
  • FAHAMU KUHUSU UFUGAJI WA NJIWA | FAHAMU KUHUSU NJIWA | NJIWA NI BIASHARA
    Call/Text/WhatsApp: 0712 25 31 02
    @joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
    Njiwa ni jamii ya ndege wenye umbo la kiasi, ambao hupatikana duniani kote isipokuwa sehemu zenye baridi kali na kuna zaidi ya aina 250 za njiwa.
    Njiwa ni ndege wapole sana, na huwa na mpenzi mmoja tu katika maisha yao, na hawakubali mahusiano mengine mpaka mmoja atapo kufa au kutokuwepo.
    Njiwa hutaga mayai mawili tu na kulalia kwa siku 14 hadi 19, Dume hulalia mchana na jike usiku (hulalia kwa kupokezana). Watoto (Makinda) hukaa kwenye kiota kwa siku 12 hadi 18.
    Njiwa ndio ndege pekee ambae anazalisha maziwa kwajili ya mtoto wake, maziwa ambaoyo yanaitwa "Pigeon's Milk"
    Maziwa ya njiwa (Pigeon's Milk) yanazalishwa na njiwa jike (Stimulated by prolactin hormones) kwenye mfuko wa chakula (Crop), na kuwapa watoto wake walisha totolewa kwa njia ya mdomo.
    Kwanini tunafuga njiwa:-
    1. Kama pambo
    2. Kutumika kwenye michezo
    3. Ufugaji wa njiwa ni biashara
    4. Ndege wenye upeo mkubwa.
    Pamoja na yote, ufugaji wa njiwa huwa na changamoto ya magonjwa japo ni mara chache.
    Kuhusu ufugaji wa njiwa, ushauri, matibabu ya njiwa, dawa za kutibu njiwa au kupata njiwa mbalimbali wa urembo, usisite kuwasiliana nasi kwa 0712253102
    #njiwa #pigeon #ufugajiwanjiwa #njiwawamapambo #njiwawaurembo #pigeonfarmingi #mayaiyanjiwa#chakulachanjiwa #tunauzanjiwa
    Office zetu zipo @Tegetategetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha @twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
    Simu:
    +255 712 253 102(WhatsApp)
    +255 692 430 263
    Email:
    mifugotz@gmail.com
    TH-cam: • Tunauza Vifaranga wa b...
    Website link: joackcompany.b...
    Google location: maps.app.goo.g...
    #joackcompany #mifugo #mifugotz #kilimo #kilimotz #sasso #dodoma #tanzania🇹🇿 #morogoro #tanzania #kilimoufugaji #mwanza #dodoma #arusha #mabandayakuku
    #tanzaniaweddings
    Welcome Mifugo Tz Visit to Like follow our social networks

ความคิดเห็น •