Je unaweza kufuga njiwa kama mapambo nyumbani kwako?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • 'Njiwa mmoja naweza kuuza hata shilingi 200,000 '
    Kwa wengi njiwa ni kitoweo na hufugwa kwa mapenzi si biashara. Lakini Deogratius Temba, kijana kutoka Dodoma,Tanzania amebadilisha dhana hiyo.
    Anafuga njiwa wa kipekee. Njiwa wa mapambo ambao hutumika kupendezesha makazi ambapo Kati zaidi ya aina 10 ya njiwa wa mapambo alionao, mmoja anauzwa kati ya dola $85 mpaka $180 au shilingi laki 4 za Tanzania.
    Mwandishi wetu Yusuph Mazimu alimtembelea huko Dodoma na kuandaa taarifa hii.
    #bbcswahili #tanzania #dodoma

ความคิดเห็น • 6

  • @peternkumulwa8069
    @peternkumulwa8069 7 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba kaka

  • @MatBoy-mj5um
    @MatBoy-mj5um ปีที่แล้ว +1

    kaka nikitaka njiwa simba ni bei au wote ni beii moja mkuu

  • @ImamuMkwawa
    @ImamuMkwawa ปีที่แล้ว

    Nawezaje kuipata iyo mbegu nipo songea

  • @JacobRushatsi-gi6wj
    @JacobRushatsi-gi6wj ปีที่แล้ว

    me nahitaji kupata namba yako

  • @alfredbeny
    @alfredbeny ปีที่แล้ว

    Aise nipataie Namba Yako namimi niweze kuwa pata hao njiwa Niko morogoro Tanzania

  • @MatBoy-mj5um
    @MatBoy-mj5um ปีที่แล้ว

    kaka namba yako ya simu napata vipii