ความคิดเห็น •

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 3 ปีที่แล้ว +5

    Huu wimbo unanikumbusha nilipo kuwa mdogo enzi hizo radio Tanzania dar es Salam baba yangu alikuwa habadili station ni tbc tu

  • @nissamwapoladi7345
    @nissamwapoladi7345 3 ปีที่แล้ว +2

    Kaka yupo vizuri sanaaaaaa

  • @BatazalNdifwa-nk2hl
    @BatazalNdifwa-nk2hl 6 หลายเดือนก่อน

    Gooooooooood. Mpaka Raha. Ok

  • @DrMgwena_C_Revival
    @DrMgwena_C_Revival 3 ปีที่แล้ว +3

    Huu wimbo unanikumbusha mbali sana ila umetisha sana umenishawiahi kufuga sungura

    • @ali_ford
      @ali_ford 10 หลายเดือนก่อน

      kiongozi una soko la ngozi ?

  • @j.l.m9621
    @j.l.m9621 3 ปีที่แล้ว +1

    RADIO TANZANIA enzi izooo niko mtoto (1989) nilikuwa napenda saana, Daah, NAWAOMBENI MWENYE HUU WIMBO anisaidie kwa watsup

  • @torokauje1764
    @torokauje1764 3 ปีที่แล้ว +3

    We jamaa nimekuelewa maelezo yako yananishawishi kufanya huu mradi

  • @directoradamagic8815
    @directoradamagic8815 3 หลายเดือนก่อน

    Br0 nina sungula 59 madum 23 ya mkojo sina soko ...

  • @emmanuelmkinga4804
    @emmanuelmkinga4804 ปีที่แล้ว

    Bwana Malembo, naomba kujua namna ya kuchanganya mkojo wa sungura kama kiatilifu na mbolea pia

  • @BrownwaIsakaShabani
    @BrownwaIsakaShabani ปีที่แล้ว

    Napenda sana mafasirio yako.

  • @gervasbeno5589
    @gervasbeno5589 3 ปีที่แล้ว +1

    Tupatieni huu wimbo nyie tbc ..eboooo

  • @agnesnzali3175
    @agnesnzali3175 10 หลายเดือนก่อน

    Umeeleweka kaka.

  • @samwelgaspar7361
    @samwelgaspar7361 2 ปีที่แล้ว

    naomba kujua Jins Ya kuandaa chakula cha sungura

  • @bigirimanaaboubakar337
    @bigirimanaaboubakar337 7 หลายเดือนก่อน

    Pia una tumia ngozi ya sungura kwenye kidonda kinatokana na kuungua

  • @buchumijoas6178
    @buchumijoas6178 ปีที่แล้ว

    Pamoja

  • @sabrinaandrew4245
    @sabrinaandrew4245 ปีที่แล้ว

    Naomba namba zenu

  • @sulcanfame2589
    @sulcanfame2589 2 ปีที่แล้ว

    Naomba mawasiliano yenu nami nafuga

  • @josephinekaiza1905
    @josephinekaiza1905 2 ปีที่แล้ว +3

    Hizo plastiki za dumu naomba mziondoe make sungura wana tabia ya kuzitafuna na mwishowe wanakufa

    • @josiacharles2778
      @josiacharles2778 ปีที่แล้ว

      Hee kweli, kumbe wanakufa ? Sikujua nilikuta sungura wangu amezitafuna

  • @consoojoseph3918
    @consoojoseph3918 ปีที่แล้ว

    Hongera weka number yako

  • @clauskihwele5811
    @clauskihwele5811 3 ปีที่แล้ว +1

    Je tunawezaje kupata soko la sungura kama tukianza kufuga

  • @allybreezy6748
    @allybreezy6748 ปีที่แล้ว

    Kwa anawauza naomba namba nipo dar nataka wa kufuga

  • @rehemamasoud3687
    @rehemamasoud3687 3 ปีที่แล้ว

    Dah mie wimbo tu

  • @christiankamlenga23
    @christiankamlenga23 2 ปีที่แล้ว

    Nawezaji kupata namba zako,maana kuna vitu ningependa kukuuliza maana na mimi nimefuga sungura

  • @engshayo9232
    @engshayo9232 3 ปีที่แล้ว

    Kaka kama kakaa

  • @bundukitv1322
    @bundukitv1322 3 ปีที่แล้ว

    MAFANIKIO:-
    Fanya mambo haya matano (5) kabla hujaingia mwaka 2021👇👇..
    www.mrbunduki.com/2020/12/fanya-mambo-matano-5-kabla-hujaingia.html?m=1#more

  • @oracleemanuely7946
    @oracleemanuely7946 2 ปีที่แล้ว +1

    Kabej wanakufa ww

  • @josephineflecke4410
    @josephineflecke4410 3 ปีที่แล้ว

    hallo, swali yangu ni mtu anaeza pandisha kutoka kwa califonia white male to schinchira female?

  • @frankmalilo7916
    @frankmalilo7916 3 ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo wa shambani unaitwaje?..naweza upata wapi

    • @andresalvatore9337
      @andresalvatore9337 2 ปีที่แล้ว

      i realize I am kinda off topic but do anyone know a good place to watch newly released movies online ?

    • @julianarmani3104
      @julianarmani3104 2 ปีที่แล้ว

      @Andre Salvatore flixportal :D

    • @andresalvatore9337
      @andresalvatore9337 2 ปีที่แล้ว

      @Julian Armani Thank you, signed up and it seems like they got a lot of movies there :) I appreciate it !

    • @julianarmani3104
      @julianarmani3104 2 ปีที่แล้ว

      @Andre Salvatore You are welcome xD

  • @oracleemanuely7946
    @oracleemanuely7946 2 ปีที่แล้ว

    Soko tunalipataje tunao weng mno

  • @leahhassan5033
    @leahhassan5033 2 ปีที่แล้ว +1

    Duh huu wimbo umenikumbusha mbali

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 3 ปีที่แล้ว +5

    Huu wimbo unanikumbusha nilipo kuwa mdogo enzi hizo radio Tanzania dar es Salam baba yangu alikuwa habadili station ni tbc tu

    • @akeem1221
      @akeem1221 3 ปีที่แล้ว +1

      Ina mana wimbo huu una ukumbusho mkubwa sana kwako. Mie nae nimeupenda kwa kweli.

    • @samweljumamkumbo7555
      @samweljumamkumbo7555 3 ปีที่แล้ว +1

      Kipindi iyo ilikuwa inaitwa RTD ni hatari

    • @elizabethkalinga0822
      @elizabethkalinga0822 ปีที่แล้ว +1

      Asante Sana Kwa Maelezo yako Mazuri na yakueleweka.
      Nahitaji Sana kujifunza kwako zaidi, Kwa Sababu nami nimeanza kufuga.
      Naomba Mawasiliano yako.

    • @elizabethkalinga0822
      @elizabethkalinga0822 ปีที่แล้ว

      Unapatikana Wapi?
      Natamani kuendelea kujifunza Kwako.