Kuku ndani ya mwezi wanakula stata mifuko 2 mwezi wa 2 wanakula grower mifuko 2 jumla mi 4 mwezi wa 3 ndio wanakula mchanganyiko wa chakula na mboga mboga
Dkt nikua naomba kujua ni muda gani mzuri unafaa kuwalisha kuku, mfano asubuhi niwape saa ngapi na mchana niwape saa ngapi. Maana mimi hua sina muda maalum ila asubuhi kuna siku nawapa saa 12 au saa 1 hua haizid saa 2 na mchana nawapa saa 8 au saa 9 haizid saa 10. Je ni sahihi au nakosea? Naomba kufahamu hili
Kama ni wakubwa Ata mara moja tu inawezekana. Wape chakula Cha kiasi sahihi Kisha jioni, unawapa majani AU mboga. Kwa UFUPI HAKUna muda, sahihi ila ni mazoea tu kuku wako umewazoesha vp
OK ASANTE NILIJUA KWANBA NI TOFAUTI NA LAYERS MAANA CHOTARA WANAKULA SANA. NIMEPATA KL 13 KWA MAAMA HIYO NITAIGAWA MARA MBILI ASUBUHI 7 NA JIONI 6 ASANTE SANA UBARIKIWE MNO.
OK KUKU 20O WATAKULA KILO 26 ASUBUHI 13 NA JIONI 13 HAPO MCHANA INAKUWAJE? SIWEZI KUGAWA HICHO CHAKULA MARA 3 YAANI ASUBUHI, MCHANA, NA JIONI? PIA NAOMBA KUJUA JE KWENYE MCHANGANYO WAO NAWEZA WEKA PUMBA LAINI ZA MCHELE? NA JE PUMBA HIYO YA MCHELE INA MADHARA? TATU NAOMBA KUJUA SEHEMU YENYE CHANGAMOTO YA SOYA NA DAGAA M ALA WAKE NI NINI? TAFADHALI
Kuku wangu wako na miezi mbili naweza wanyima chakula ya usiku
Ndio unaweza ila hakikisha unawapa kiasi sahihi mida ya mchana
Habar mm kuku wangu Hawapendikula je nifanyeje naomba msaada wenu
Uliwapa.dawa.za minyoo lini kwa mara ya mwisho
Wonderful intro and finishing style. The cntent is amizing♥️♥️
Thanks
Mawezaje kuthibiti magonjwa baada ya week mbili, maana vifaranga wanakufa sana apo
Anza Kujifunza Kuhusu kulea vifaranga. Kupitia video hizi
th-cam.com/play/PL8xez8Eh4s0HoNxv6Z8q2rDM1i8sCH2GT.html
Je unaweza kuwalisha majani vifaranga wa wiki tatu?
Sawa tu waweza fanya hivyo
Kuanzia wiki ya 9naweza kuwapa finisher?
Sawa tu
Je hawa wa miezi miwili wana kuwa wana uzwa kwa shilling ngapi
Utegemea na ubora na eneo pia
Vifaranga mia moja wanakula mifuko mingapi stater kwa hizo wiki mbili na goroa wanakula mifuko mingapi mpaka miezi mitatu
Mifuko 5/6
Kuku ndani ya mwezi wanakula stata mifuko 2 mwezi wa 2 wanakula grower mifuko 2 jumla mi 4 mwezi wa 3 ndio wanakula mchanganyiko wa chakula na mboga mboga
@neemamabena-xx5er Asante sana ndugu tupo pamoja sana
Mie nimewapa stata mfuko 1 ndani ya wiki na nusu nikanunua grower mfuko mu1 nao umekaa wiki na nusu Sasa wanawiki 3 wanakula mchanganyiko. Kuna shida
@neemamabena-xx5er sawa tu
Baada ya wik ya 3 hadi miez miwili naweza kuanza kumchanganyia vyakula vingine tofsuti na ivyo vya kiwandani
Ndyo waweza ila uwe na uhakika na mchanganyiko wako
Kuku WA sasso wako aina ngapi
Ngoja tufuatilie kujua zaidi
Habari naomba kujua kuku Aina ya Sasso mkubwa naweza msadirisha akiwa Hai kutoka Moshi kwenda morogoro
Ndio apo ni box tu zuri la mbao
chakula unatengenezaje
Video za kuchanganya ji w chakula zipo ktk channel hii
Sasa mie nilikuwa nataka baada ya starte nichanganye kawaida tu,naomba maelekezo ni vifaranga wa nyama@@AGALUSTV
Naomba msaada wako
Ok
Mm naomba kulewa zaidi nimefunga sana lakini sijapata faidda Niko mtwara nipeni ushauri napeda kufunga sana Banda nilokubwa sana
Ok ndugu endelea kufuatilia channel yetu
Dkt nikua naomba kujua ni muda gani mzuri unafaa kuwalisha kuku, mfano asubuhi niwape saa ngapi na mchana niwape saa ngapi. Maana mimi hua sina muda maalum ila asubuhi kuna siku nawapa saa 12 au saa 1 hua haizid saa 2 na mchana nawapa saa 8 au saa 9 haizid saa 10. Je ni sahihi au nakosea? Naomba kufahamu hili
Kama ni wakubwa Ata mara moja tu inawezekana. Wape chakula Cha kiasi sahihi Kisha jioni, unawapa majani AU mboga. Kwa UFUPI HAKUna muda, sahihi ila ni mazoea tu kuku wako umewazoesha vp
@@AGALUSTV Asante sana nimekuelewa
@@AGALUSTV Asante sana nimekuelewa
Barikiwa Sana ndugu
Tupo pamoja ndugu
KUKU CHOTARA KWA AJILI YA MAYAI ULISHAJI WAKE UKOJE?
NA KIPIMO CHAO CHA CHAKULA WANAKULA KIASI GANI KUKU 200 KWA CK AMBAO WAMEANZA KUTAGA
Kuku 1 atakula gram 130 kwa iyo zidisha kwa idad ya kuku wako. Kisha gawa kwa 1000 kua kg. Iko ni kwa siku moja
OK ASANTE NILIJUA KWANBA NI TOFAUTI NA LAYERS MAANA CHOTARA WANAKULA SANA.
NIMEPATA KL 13 KWA MAAMA HIYO NITAIGAWA MARA MBILI ASUBUHI 7 NA JIONI 6
ASANTE SANA UBARIKIWE MNO.
OK KUKU 20O WATAKULA KILO 26
ASUBUHI 13 NA JIONI 13
HAPO MCHANA INAKUWAJE? SIWEZI KUGAWA HICHO CHAKULA MARA 3 YAANI ASUBUHI, MCHANA, NA JIONI?
PIA NAOMBA KUJUA JE KWENYE MCHANGANYO WAO NAWEZA WEKA PUMBA LAINI ZA MCHELE?
NA JE PUMBA HIYO YA MCHELE INA MADHARA?
TATU NAOMBA KUJUA SEHEMU YENYE CHANGAMOTO YA SOYA NA DAGAA M ALA WAKE NI NINI? TAFADHALI
Okay
Mchana waweza wapa majani au mboga mboga