Emcee na Rapper ni watu wawili tofauti,siyo kila Rapper ana talent but kuwa Emcee ni talent...Emcee lazima awe big thinker,ukisikiliza rhymes zao unapata somo kuna muda utacheka sana....Rapper ni kama modern music so utaenjoy beat zaidi but siyo madini,so Rapcha huwezi mfananisha na Dizasta....battle nzuri ni ya Maemcee kwa Emcee hawa rapper wanaonewa tu,isitoshe Rapcha bado mdogo kwenye industry hata angesimamishwa na Younger Killer bado ingekuwa ngumu kwake,sema acha battle liendelee
Dizasta ni 'bad news' aaisee huwez mfananisha na uyo chalii ,, yan kitu amefanya dizasta kwenye TRIBULATION ni kama ametupa mawe juu ya mayai , hahahaa ! Amemuonea uyo chalii
Mwambieni huyo Rapcha aache mapichapicha; Hip hop haiwezi aiche aanze kupaka rangi kucha; Kumzidi Vina hawezi hata aroge usiku kucha; Kutafuta ushindi kwa Dizasta ni ndoto za alinacha; Wenzie hawataki featuring asije akawaficha; Ye anabattle kisa like hivi ana kichaa; Amwombe tu awe kocha wake aenjoy malecture; Atanishukuru asipouacha ushauri wangu Rapcha...
Kwa hizi komenti sijamaliza kuzisoma lakini kwa hapo nilipoishia ni kwamba dizasta kapita bila kupingwa... Alafu kumpambanisha dizasta na huyo mtoto ni sawa kulinganisha kifo na usingizi DIZASTA ni chuo eti.
Niupumbavu kumufananish rapcha na D kwanza mbak naingua kabrin citaach kumutaj dizast hata mbinguni nitaomba niwe naish na dizasta vina black mara dona
Disasta vina Ako na mistari mikali sana but Ki mziki Rapcha Ako juu sana! Rapcha Ako na more followers na more views, Ako na Ngoma Iko na 2 millions plus but Disasta Hana video yoyote ambayo Iko na 1 million views. Hio ndio tofauti but Rapers wote ni wakali.
wote wanaomkubali dizasta like zenu hapa tujuane
Mbona ipo wazi kama disaster ni mwalim mkuu mbele ya huyu chalii
Dz and Rp or is good
44u true
Jaman huyo Dizasta uku mtaani tunamuita T'tcha.. mwalimu wa fasihi andishi na simulizi pia mistali yake utumika kufundishia vyuo vikuu Germany 🙌🙌🙌🔥
Sanaaaaaaaa atengenezew sanamu huyu mwamba
😄😄😄
Acheni matusi kumfananisha Dizasta na rapcha najua mmeelewa kwann majina yao mmoja nimenza na herufi kubwa mwingne nimeandika kuanza kwa herufi ndogo
jamaa anafaa kutengwa tu, fundi asiye na kelele nyingi
Nakubal
vina sio rapper tu, a philosopher, musician and thinker all rolled in to one
Vina ,ame relax ❤️❤️ana pupa nampenda mpaka basi
Shukuru sana leo kakaako nipo so school is free ✋ Panorama
Dizasta vina💪💪💪natokea kenya
Vinna ni extended level
Rapcha ni mtoto dogo sana kwenye Rap ya DIZVSTV
Wanafunzi wa Dizasta vina like hapa hapa basi
Emcee na Rapper ni watu wawili tofauti,siyo kila Rapper ana talent but kuwa Emcee ni talent...Emcee lazima awe big thinker,ukisikiliza rhymes zao unapata somo kuna muda utacheka sana....Rapper ni kama modern music so utaenjoy beat zaidi but siyo madini,so Rapcha huwezi mfananisha na Dizasta....battle nzuri ni ya Maemcee kwa Emcee hawa rapper wanaonewa tu,isitoshe Rapcha bado mdogo kwenye industry hata angesimamishwa na Younger Killer bado ingekuwa ngumu kwake,sema acha battle liendelee
Umefafanua vyema sana.
@@paulmbonika2459 yeah hapo battle siyo kali, maana kila mtu anajua mshindi,so acha dogo aendelee kujaza kichwa
Kitu....
Unajiona star unalia road...
Kama mwari upo ndani unalipiwa kodi.....
Uko sawa sana kaka, nashangaa et wanafananisha vitu vyenye utofauti mkubwa sana.
@@shenamtukufu1224 ni tofauti sana,kisa mtu maarufu huko TikTok bas ndio star wao
Dizasta is on fire 🔥🔥🔥💯
Dizasta ni 'bad news' aaisee huwez mfananisha na uyo chalii ,, yan kitu amefanya dizasta kwenye TRIBULATION ni kama ametupa mawe juu ya mayai , hahahaa ! Amemuonea uyo chalii
Disaster is really dude man in hip hop cyfer he got much credit nigger
Dizasta wamoto sana
Mwanafalsafa nisie taka kuandikwa vitabun #Dizasta Vina
Dizasta philosopher mwamba anajua mpka anakera afu hapend show off
Napigana vita nikifa nitazikwa na wahuni
Wanaokubali mistari ya dizasta vina twende wote
#karromia. th-cam.com/video/QnKua-qaek8/w-d-xo.html
Nikiwaka naweza kumgeuza Fid kua Sajna😂😂😂 DIZASTA bhana
Hivi kubanda alishawahi kuiskia hii line kweli 🤣🤣🤣🤣
@@revocatusmgusi4479 najua alishawahi kuickia sema ndo hvo DIZASTA anatukumbusha Londuno kudadeki😀😀😀 Nash Mc namsilikiza mpka naingia kaburini😎
dizasta vina jini😤💯, sema nampenda rapcha
Dizasta ndio ameua bhana 🔥🔥🔥
aloanza anajua, huyu mwingine anajitahidi
😂😂😂😂😂
😂😂😂daah nimecheka sanaaa
dizasta vina [BLACK MARADONA]
Dizasta ni dingi kwenye kaya
Mkubwa ni mkubwa tu like za kutosha kwa dizasta
Dizasta ni zaidi ya sugunyo🔥🔥👑
Akili ya Dizasta ni kubwa mnoo aisee. Kamuacha mbali sana huyu mtoto 🔥🔥🔥
*Rapcha ni rapa mzuri lakin kwa dizasta duhh maji malefu hayo.. yaan Dizasta ni motoo sana sana yaani*
Hakuna hata battle mtoe dizasta kabisa hapa he is far better
DIZASTA VINA IS THE UNIVERSITY SKILLS..KNOWLEDGE..ADVANCED TECHNICIAN...DIZASTA VINA is The GOAT 🐐...huyo dogo Rupture bado Sanaaa
D Vina , Rap God
Hip hop nd mziki pekee wenye vibe🎙️
Jaribu Reggae
Mwambieni huyo Rapcha aache mapichapicha;
Hip hop haiwezi aiche aanze kupaka rangi kucha;
Kumzidi Vina hawezi hata aroge usiku kucha;
Kutafuta ushindi kwa Dizasta ni ndoto za alinacha;
Wenzie hawataki featuring asije akawaficha;
Ye anabattle kisa like hivi ana kichaa;
Amwombe tu awe kocha wake aenjoy malecture;
Atanishukuru asipouacha ushauri wangu Rapcha...
Rapchaaa level za wakubwaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dizasta
Team prof...Tungo like yako hapa
Salute dizasta
Rapcha ana mistari ya utoto sana 😁
Mwacheni dizasta cz ni darasa anaelimishaaa jamii (jembeeeeeeeeee)
👉👉Rapcha anamistar ya kawaida sana japo namkubal
👉👉👉ila kubattle na DIZASTA VINA ni uongo kabisa maana unahitaj uwe na IQ kama yake au umzidi
Yeah uko sahihi haiwez kuwa battle kati ya Emcee na Rapper
Kwa hizi komenti sijamaliza kuzisoma lakini kwa hapo nilipoishia ni kwamba dizasta kapita bila kupingwa... Alafu kumpambanisha dizasta na huyo mtoto ni sawa kulinganisha kifo na usingizi DIZASTA ni chuo eti.
Dizasta is incomparable bro..Rapcha aende shule
vina
Wanaomkubali rapcha mwageni likes hapa😊🔥
🔥🔥
Dizasta bab kubwa 🔥🔥🔥
Mmeaminishwa na bongo rec..ila co mkali....
Dizasta ni dunia nyingine.... kwa Rapcha
Sana
i do like the flow of real vina an alien mamaeee he is a vampire🥱🥱🥱🥱
Nilijuq vinnq n mzee
Ni kijana tu mchawi fulani hivi,sema kwenye game Legend 😁
Nice
Dizasta 🔥🔥🔥🔥🔥
Zanzibar mnapatikanaje mia ngapi ⚓
Professor tungo 🔥🔥🔥🔥
disasta nihip hop tamaduni kbsa ila rapcha bwana aimbe singeli tu
Dizasta vinaaa mwalimu wa fasihi 💥💥💥💥💥
Rapcha yuko juu sana. Dizasta anaongea sio kuimba / kuchana. Akichana Rapcha unapata mianguko ya muziki , yaana anafuata midundo ya mziki au ridhimu.
Unyama sana
Dizastaaaaaaaa ni fire 🔥 legendary
Vijana wote wakali...big up
Vina
*DIZASTA VINA* 🙌🙌
Next level dizasta🎉
oy king Mara mjuba hapa pamoja sana dizasta funding bana
Namkubar xn Disaster respect kwake
Rapcha jeeaah aah twende nyingi sanaa😂😂
254 dizasta vina
D'VINA weka mbali na watoto
@Wanangu 99,💪💪💪
Unyamaaaa
Rapcha nomaa sana
dizasta hatari Sana ,rapcha siokitu
Dizasta Vina 🔥🔥🔥
Rapcha noma sana mamae
Dizasta is another level ..
D zaster 🔥🔥
kama tumefuga ng'ombe mpaka katimia.. afuu boya mmoja anakuja kuchangamkia..Rapcha🔥🔥🔥
Vina 🏴☠️🏴☠️💥
Rapcha 💯
Dizasta ni next garax
Niupumbavu kumufananish rapcha na D kwanza mbak naingua kabrin citaach kumutaj dizast hata mbinguni nitaomba niwe naish na dizasta vina black mara dona
@@potimgodi5735 kabisa mwamba
@@potimgodi5735 dzsta ni mwandishi mzuri ila hatajwi kitu kinacho niukiza
Rapcha noma sanaaa
Oi Ebhana Eee Hii So Poa
D legendary wew acha kumlinganisha nawatoto
Dizasta vina ww next level rapture bado sana&
Rapture ni shidaa asee , eti Tv zina chenga nyingi kuliko Ronaldo 🤣🔥
Wote ni marapa wazuri ila Dizasta ni mtunzi na muelimisha daaaaah!!!!punch line zake si za kawaida
Ili pumbu linaitwa Tribulation mh sina cha kuongeza
Disasta vina Ako na mistari mikali sana but Ki mziki Rapcha Ako juu sana! Rapcha Ako na more followers na more views, Ako na Ngoma Iko na 2 millions plus but Disasta Hana video yoyote ambayo Iko na 1 million views. Hio ndio tofauti but Rapers wote ni wakali.
Dizasta vina ni mtu hatari mnoo
Vinaaa
Anae upiga mwingi ni #dizasta.
Lakini #rapcha NDA kanifanya nimjuwe huyu dizasta
Na imagine hizo beat alizopewa rapcha angepewa D Vina, beat zingeomba poa #kituoChaMistari...
Rapcha noma
🦂 🔥🐝 !! 😅😅😅sio mchezo hawa jamaa
Msiludie kumfananisha dizasta na huyo mtoto hivi wew huoni ngoma ya kanisa kuna msanii aliyeweza kufikilia hicho
Dizasta ✔️
Anashindana na Mungu wa Rap (BLACK MARADONA)
th-cam.com/video/tQF7LyB_i8o/w-d-xo.html
Vina ni level nyingne
Dizasta 🔥
Haaaahaaa nec
Dizasta💯💪
Rapchaaaaaaaaa shytown
DIZASTA. FIRE 🔥 🔥 🔥 🔥. EWE. TUPO AMERICA 🇺🇸. TUNAMSIKILIZA. huyo mtoto mnamtafutia promo code mbovo rapcha