Tangu Iyunga nilivyomsikia Mara ya kwanza wanafanya video MUST I acknowledged this Kidd , A master piece . Nitakuja muuliza Lugombo nikienda Tena MAKANTANI. Safi sana, hii dsm watu wanakusikiliza na wanaujua huu Moto, Hadi watu ambao sikuwategemea, I accidentally played sister afu yule mshua akadakia dizasta vina huyo anaimba mpk unajikuta unamsikiliza.
I appreciate him since 2014 with all his smart composition ryrical arrangements and his strory telling...anaphora. Anajua sanaa kiufupi. Sikiliza ngoma kama Nyumba ndogo, Sister kadata, kanisa, Konda and Freedom.
Mimi nathubutu kusema kuwa bongo hakuna msanii kama dizasta ujue kwa mungu ni zambi kutamani kuwa mtu mwingine lakini mimi natamani ningekuwa dizasta vina afu mwamba halingi wala hajitangazi dar kama angesoma hii text namkubali sana kaka d
Natambua Dizasta vina. “Mbunifu kichwa inazunguka 360 ki-Mbuni. Na anachofanya kwangu tamaduni” big up bro... Love from Kenya. Poetic Mshahiri
mshale umegeuga, inaandikwa historia mpya ya dunia, tulipokuwa tunaita kasikazini kumbe ni kusini,, DIZASTA NEW ERRA, Hip Pop tz iko mikono salama..
I’m so sorry to take long to wish you in this special day in ur life....Happy born Day Edgar a.k.a Dizasta Vina
machozi ya furaha finally we all acknowledge the (Rap God) Dizasta
Daah huyu jamaa ni genius
This man is really, nice work mungu akupiganie sana man
Tangu Iyunga nilivyomsikia Mara ya kwanza wanafanya video MUST I acknowledged this Kidd , A master piece .
Nitakuja muuliza Lugombo nikienda Tena MAKANTANI.
Safi sana, hii dsm watu wanakusikiliza na wanaujua huu Moto, Hadi watu ambao sikuwategemea, I accidentally played sister afu yule mshua akadakia dizasta vina huyo anaimba mpk unajikuta unamsikiliza.
Tumemaliza mzee
HIp Hop iz back and still alive.. Heshima Mzee Dizasta💥👊
He's a legend already
Mpaka najivunia kuwa product ya dizasta, nafurahi nimejisikia kwenye hii line
Unanidai pesa ya album zako mbili Masta 🔥
Kaka dizasta nakukubali sana
Brother Dizasta ana Ego kubwa sana In this world nafurahia uwepo wa Dizasta vina katk maixh yang
G.O.T
Uyu ni Genius jamani🙌🙌
Dizasta vina anatisha sana nyimbo zake zinafundisha sana ✊🏿✊🏿😥😥😥😥😥😥
"Nachora beyond normal niite Dubo libala"
Sawaaaaaaaa lkn wachache ndo tunajua yupi real af yupi real tena...🤣
Kaka uko vizul nakubali na napenda kile unacho fanya
Unaacha legas ambayo wakuindeleza atakusekana
Bars is back dizaster vina salute
Anajua kinomaa snaa 👊👊👊😎
Sio wasanii tu
Mim mwenyew nakir ww ni namba moja yangu siku zoteeee kweny hiphp❤
Under ground ndo tuna mawe
I appreciate him since 2014 with all his smart composition ryrical arrangements and his strory telling...anaphora. Anajua sanaa kiufupi. Sikiliza ngoma kama Nyumba ndogo, Sister kadata, kanisa, Konda and Freedom.
brother brother....umeniinfluence sanaaaa kupitia huyu jamaa
Mimi nathubutu kusema kuwa bongo hakuna msanii kama dizasta ujue kwa mungu ni zambi kutamani kuwa mtu mwingine lakini mimi natamani ningekuwa dizasta vina afu mwamba halingi wala hajitangazi dar kama angesoma hii text namkubali sana kaka d
Same here Bro
MC mbovu utakata tamaa ukimsikiliza Dizasta.
Respect brooo
Kila siku ngoma zina zidi kuwa kali 🔥🔥🔥 i always appreciates
Fundii 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Dizasta sio malaika ni Mungu wa rap
Anajua Sana huyu jamaa, namsikiliza mno
Nakukubali sana d
🐐G.O.A.T in the making
good unanifundisha meng kwenye gem kaka respect
Narejea tena bongo nzima mueke dizasta vina hapa fid nimemaliza
Kiukweli kabisa bila uduanzi hapa fid q anakimbizwa kinoma
Dizasta Ni shule.... Dizasta like Pastor.... Msikilize uokoke...
Jamaa ni nomaa jaman hainaga kubisha
Jamaa noma!
Kama hujui hip hop dizstar kumwelewa ngumu hata mm simwerew ila nimetokea kumkubal kinyama kinyamwez
Level yake n marehem mangwair
Nafurahia Nachosikia #OnlyOneDizastaVina
Ngoma zake hazijawahi kuchuja wala huwuzi kuchoka kusikiliza vina vikali vilivyopikwa kweny ubongo usiofungamana na usasa✊
Disaster ni mtu na Nusu💪💪💪
Namtambua Sanaa..
Msii mbovu utakata tamaa ukimsikiliza dizasta wanotaka kuskiliza mziki mzur waje kwa huyu jamaa anamziki wa kusikiliza sio wa kupare
This guy has travelled to the future am talking about the time traveler
Respect👑
Yeah kwel bro wa 🔥
🤛🤛🤛🤛
Dizasta hatari,ni mwalimu mkuu wa jamii
Namuelewa kichizi huyu jamaaaaaaa
❤
No ma💥
Jmaaa ninoma
Genius
Huyu jamaa anatusimulia maisha halisia tunayoishi,,anabalaaaaaa
MA men VINA
Dizasta bro ni zaidi ya movie la kutisha kumsikiliza
Htar sana
Sio anakuja yupo huyo jamaa
Huyu dizasta ninoma
Bando anaomba picha eti 😂😂😂
Dizasta genius
dizasta
Dizasta nijembe ukilitumia lazima uvune