P-Funk Majani: Ni kweli nilimtesa Kajala, siwezi kumtungia tena mwanamke wimbo (Chill na Sky Part 3)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 พ.ค. 2017
  • P-Funk Majani anasimulia jinsi ambavyo aliwahi kumtesa mpenzi wa zamani Kajala, anaelezea jinsi alivyomsaliti na rafiki yake na kumtungia wimbo I'm Sorry. Anasimulia kuhusu familia yake na jinsi ambavyo alishindwa kutumia muda mwingi na watoto wake wakubwa. Anaelezea pia jinsi ambavyo amebadilika sana ukilinganisha na jinsi alivyokuwa zamani.
    Chill na Sky ni kipindi cha redio cha saa nzima ambacho huruka kila siku za Jumamosi kupitia www.dizzimonline.com. Kinaendeshwa na Fredrick Bundala aka Skywalker. Download app yetu Playstore na Appstore ili usipitwe na vipindi vyetu.
    _________________________________________________
    Tufollow kwenye mitandao ya kijamii:
    Instagram: / dizzimonline
    Twitter: / dizzimonline
    Facebook: / dizzimonline
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 46

  • @mouraj1376
    @mouraj1376 4 ปีที่แล้ว +9

    Pfunk tunaomba uturudishie mziki wetu wa zaman sasa pruducer fake, mc fake yan hakuna feeling kabisa km umeliona hili gonga like hapa..

  • @salminhustler962
    @salminhustler962 ปีที่แล้ว

    Nimemuelewa majani anafanya kazi kubwa kuna watu wanaamchukulia poa kumbukeni kila mtu ana maono yake kwenye huu ulimwengu big up to majani long forever legend

  • @barakamgina6630
    @barakamgina6630 3 ปีที่แล้ว +5

    ONE AND ONLY PRODUCER IN TZ EVER

  • @ambililasambo5783
    @ambililasambo5783 6 ปีที่แล้ว +11

    Ukiwa na akili utamuelewa xn huyu jamaa namuelewaa xn huyu bro

  • @babenealoyce889
    @babenealoyce889 5 ปีที่แล้ว +7

    P. Funky, umekomaa kwa kweli. Unaweza saidia wengi kwa ushauri.

  • @jackiemapenzyambwamedson3919
    @jackiemapenzyambwamedson3919 6 ปีที่แล้ว +14

    I like the way he talks

    • @joesimba
      @joesimba 5 ปีที่แล้ว

      Ushamzimikia ww

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 7 ปีที่แล้ว +4

    p. funk nakukubali sanaaa aisee

  • @daviekleva1856
    @daviekleva1856 7 ปีที่แล้ว +14

    Ningependa kama majani angetoa kitabu cha maisha yake huku akihusisha na historian au chanzo cha bongo fleva kwani yeye ndiye GODFATHER wa huu muziki wetu

  • @ostazclassic3370
    @ostazclassic3370 6 ปีที่แล้ว +6

    Ndo produced number one tz

  • @bensonkaile9606
    @bensonkaile9606 3 ปีที่แล้ว +1

    It's good to be close to God brother.. #ProudlyStaunchCatholic

  • @ibrahimzuberi1029
    @ibrahimzuberi1029 5 ปีที่แล้ว +3

    big brain

  • @michaeladd3445
    @michaeladd3445 5 ปีที่แล้ว +2

    Baba la baba

  • @garoedod6272
    @garoedod6272 4 ปีที่แล้ว +2

    mtoto wako mkubwa mashallaha

  • @neemanicholaus5468
    @neemanicholaus5468 3 ปีที่แล้ว +6

    Kheee eti ndo naangalia leo.🤣

  • @abedkirway8668
    @abedkirway8668 3 ปีที่แล้ว +3

    Huwa namkubal san majn wa bong rekod kuliko produza yeyote bongo kaza broo ww ndio king of bong flave wasanii bora wote wametok kwako

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 3 ปีที่แล้ว +2

    Bongolo🤣🤣🤣🤣

  • @Shozesholive
    @Shozesholive ปีที่แล้ว

    Good nice

  • @anithaphilip3526
    @anithaphilip3526 4 ปีที่แล้ว +3

    Mi nshawahi kusikiaga izo stories, alikua anapiga wasanii makwenzi, anatukana , anawafukuza studios, ila alivyojibu ilo swali nimemuelewa

  • @Shozesholive
    @Shozesholive ปีที่แล้ว

    Kweri sana

  • @sakinaathuman7125
    @sakinaathuman7125 3 ปีที่แล้ว

    Anaonekana msitaarabu sana huyu kaka

  • @Hotensia
    @Hotensia 11 หลายเดือนก่อน

    Weee paula anafanana na babake jamani

  • @kiatu
    @kiatu ปีที่แล้ว

    Watching in 2023.

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 3 ปีที่แล้ว +1

    kweli tumeshakua watu wazima

  • @saidrajabu9589
    @saidrajabu9589 3 ปีที่แล้ว +1

    Hizi ndo interview za kuangalia

  • @husseinc
    @husseinc 7 ปีที่แล้ว +1

    p1

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 7 ปีที่แล้ว +5

    masikini ana try kutokutukana ila unasikia Wata f 😢 I knw ni ramadan pia 😂😂😂😂 mie naona ramadan isogezwe iwe miez 2 angalau tusaidie wenye zambi nyingi kama sisi

  • @hellenmvungi8294
    @hellenmvungi8294 2 ปีที่แล้ว

    Wapare

  • @rodampazi8616
    @rodampazi8616 6 ปีที่แล้ว +4

    Majani kama mzungu jamani kaa!

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 3 ปีที่แล้ว +1

    mzee unachana povu

  • @nassorsaid2331
    @nassorsaid2331 7 ปีที่แล้ว +5

    maswali ya maana huulizi....sasa kwa nini ujamuuliza watoto hao mapacha wako wapi na kwa nini hawajulikani

    • @mkungamedia6090
      @mkungamedia6090 7 ปีที่แล้ว

      Nassor Said unataka swali gani mfano

    • @ashaomary347
      @ashaomary347 3 ปีที่แล้ว

      Sema tu p nilikuwa nashughulika tupo kuwa tu aishi mikocheni B du jamaa alikuwa mtata sana kweli alikuwa anamtesa kasema uwazi ila Sasa Kawa mtu Zima