Mi hua napenda tu Unju anavyojibu maswali calm and easy unaweza kuhisi amejibu kwa dharau lakini ukichunguza Vizuri unakuta amejibu sahihi kabisa." Genius"
Wanajua kuwa sikuwahi kuogopa nilismama imala na skuwahi kuongopa Kwanza pande zao stimbagi Dr unju Nikki mbishi Nikki wapili sweet mangi unnnnnnnjuu🎙️🎙️🎙️🎙️
Salute kwa UNJU BIN UNUKI...Karne ninayoishi mimi ya mziki Nikki ni mmoja kati ya manabii ninaosikiza na kueleza habari za vitavu vyao..Mzee wa makavu.
Huyu jamaa Bana kujiita mbishi kweli ni mbishi yani Kwanza unavotarajia akujibu ni tofauti na swali,, oyaa uyu jamaa ni nguzo really ya hip hop ilobaki kuanzia mwonekano, saut pia uandishi halafu ndio raper ambaye mauzo ya ukubwa wa muziki wake sio Sawa na ukubwa wa muziki wake lkn hajajikuta kwene maanguku ya Kula unga
Hahahahahhahahaa unju una akili mingi sana, eti nilitaka Belle arekodiwe kufunga agenda ya kikao. Hahahaha unenichekesha shana...unaenda kimtindo wako. respect Kigu.
Kuwa hip hop Mc haina maana ya kuwa mgumu wakina 2pac kitambo waliingia kutengeneza hela..join those platform ziwainue kipato ndio mana mkikutana na watu mnaonekana wachovu financial mnapata inferiority complex
Nikki mbishi bado hajaelimika kuhusu digital platforms vzur,Ana fikra za kizaman ,ubinafsi ,CHUKI na choyo,ndomana UMASKIN haumuishi,NI mtu flan so negative
Wewe ndio una chuki na negativity!! Negative attractive negative natural of attraction!! Kwani lazima umfualitulie kama humpendi achana nae sio fan wake! Yeye sio Hela apendwe na Kila mtu!! Wewe sio ulimfanya afanye mziki!!! Wewe kama ni tajiri huku unatafuta nini , it is a time of trading your business
Mi hua napenda tu Unju anavyojibu maswali calm and easy unaweza kuhisi amejibu kwa dharau lakini ukichunguza Vizuri unakuta amejibu sahihi kabisa." Genius"
My Icon unju bin unuki
Unju Bin Unuq 🔥🔥🔥The Greatest of all time!!! (G.O.A.T)
Wanajua kuwa sikuwahi kuogopa nilismama imala na skuwahi kuongopa Kwanza pande zao stimbagi Dr unju Nikki mbishi Nikki wapili sweet mangi unnnnnnnjuu🎙️🎙️🎙️🎙️
Salute kwa UNJU BIN UNUKI...Karne ninayoishi mimi ya mziki Nikki ni mmoja kati ya manabii ninaosikiza na kueleza habari za vitavu vyao..Mzee wa makavu.
I was waiting for this interview unju interview zake ni za kijanja sana kuliko yoyote bongo
Nawaomba wote tunaoitazama hii twenden tumsapoti mwamba tununue K.I.G.U the mixtape
Nliiskiza lakin ilipotea..imerud tena 💯💯💯💥💥💥💯💯💯
You can be a Godfather, but u can't be "GOD" father!! Nikki always on point!!
Handsome boy wetu kutoka kanda maalumu, mara tuajivunia wewe mkurya wetu Genius, mwanaume na nusu kichwani ni GB 360
nimependa hii show, from Kenya,,Nikki ako poa sana,,big up,,ni kama show flani ya Kimamtoni hivi,,HIPHOP kwa mbele
Sijutii Kuchoma Bando Langu Nimeenjoy Sana Kusema Ukweli 🙌🙌🙌🙌🙌
Baba Malcolm 🔥
Huyu jamaa Bana kujiita mbishi kweli ni mbishi yani Kwanza unavotarajia akujibu ni tofauti na swali,, oyaa uyu jamaa ni nguzo really ya hip hop ilobaki kuanzia mwonekano, saut pia uandishi halafu ndio raper ambaye mauzo ya ukubwa wa muziki wake sio Sawa na ukubwa wa muziki wake lkn hajajikuta kwene maanguku ya Kula unga
Umeona eeh
Unju bhana we genius
Unju nmependa sana soggy doggy anavyo uliza maswali yak mtu fran anafatlia sana game letu The industry bonge Moja la kipind top in town
"Safisha kwanza kinywa mwanangu ndio uwaze BreakFast"
Oya ilo swali sasa la "WASANII WA SASA WANAO-RAP" majibu yake nimecheka sana 😁😁😂😂😂
😆😆
Genius man.....
Kweli bro...bora ufunguke,bora ukate pipe tu🔥🙏❤️
Huyu ndiyo mwana hiphop sasa
Nakubal sana kaka mkuu... mungu akuweke baba nathan a.k.a baba malcom
Interview kali sana 🔥🔥🔥
This guy is a legend!! Big up NIKKI Mbishi
Nakuwelewa ninja mbishi
"You can be a godfather but not a god,father"
Hahahahahhahahaa unju una akili mingi sana, eti nilitaka Belle arekodiwe kufunga agenda ya kikao. Hahahaha unenichekesha shana...unaenda kimtindo wako. respect Kigu.
Majani kweli mzungu ajui kiswahili 🤣🤣
Duuh studio ni kali kinoma, kuna mjomba kaweka hela hapa
Unjuuuu uko frsh sana kuJIBU maswali
Hii interview nimeiludia kam ni wimbo
Respect
Unju........👊👊👊👊
Too much noise on the background 😅
Zohaan Uuunju.
Unjuuu
Con boi pekee yake wengine hamna😆😆😆😆
Unjuu humskiliz ranga bosho ninjaa😏
We unju umesababisha namm nimuite mtoto Wang MALCOM
Ila Nikki yaan apande tu akapate experience barabarani means hana la kufanya ahahahha daaah
UNJU BN UNUQ mtu hatry sn 👊🏿
Huyo ndo mkurya kweli
Soggy mnachelewa kuweka interview mapema online
👏👏👏
Do this dude still under management? Or Not .
Nash anapewa maua yake Kila mara haswa Nikki akiwa anahohijiwa this is big man @nash mbinafsi muongoza njia
Unju
Conboi ujakosea kabisa DR. Unjuuuuu
Con boi to the top father kabless✌🏿✌🏿✌🏿
Baba Malcolm
Mkuu mkuuu tuh ndio mkurugenz
Niki
Akili mingi kwa kichwa cha unju usipime
Hii redio mbona kama ni mpya kwangu ,maana huku haishiki mwenye anajua anieleweshe
Hyo 📻 ni salama sk meneja wa diamond
Ndugu interviewer umetisha, and nikk mbisha unajitambuaa kaka nataman nikikua niwe kama wewe
Hili ni wazo la nikki mbishi🤔
You can be a godfather but not ..God ...father
And you can be dog mother by the way
Ila niwe mkweli tu, rap ya wakaz sijawahi ielewa, sio harap vzr, ila ile test ya rap yake bado sijaielewa
Kweli kabisa
Hiphop artist akili kubwa sana
IQ
SAUTI YA JOGOO 💯✍🏽
Kuwa hip hop Mc haina maana ya kuwa mgumu wakina 2pac kitambo waliingia kutengeneza hela..join those platform ziwainue kipato ndio mana mkikutana na watu mnaonekana wachovu financial mnapata inferiority complex
Nikki mbishi bado hajaelimika kuhusu digital platforms vzur,Ana fikra za kizaman ,ubinafsi ,CHUKI na choyo,ndomana UMASKIN haumuishi,NI mtu flan so negative
Amini hivo yani but is life Kila mtu na anacho amini
Wewe ndio una chuki na negativity!! Negative attractive negative natural of attraction!! Kwani lazima umfualitulie kama humpendi achana nae sio fan wake! Yeye sio Hela apendwe na Kila mtu!! Wewe sio ulimfanya afanye mziki!!! Wewe kama ni tajiri huku unatafuta nini , it is a time of trading your business
No!! C ivyo mkuu kanunue bidhaa yake uone kama atakunyima.unatakA kitonga.
Hahahaha angekua na choyo angekua hauz angebak nazo kaz zake toa hera nunua kaz tena ndioo vzur utaku unapata taarifa za kaz mpya
Nunua kazi wewe acha ujanja ujanja wewe hizo platforms hazimlipi zaidi ya kumnyonya na ana familia hilo ukumbuke yeye anauza Man to Man
Unju
Unju