HISTORIA: HIVI Ndivyo Patrice Lumumba Alivyouliwa Kikatili Na Mobutu Sese Seko

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 493

  • @mpendaedward9578
    @mpendaedward9578 5 ปีที่แล้ว +27

    Inauma sana tena wako wap leo walio mtendea ukatili SIR PATRICK LUMUMBA
    R.I.P
    SHUJAA WA AFRICA

  • @godcandidate9065
    @godcandidate9065 4 ปีที่แล้ว +8

    I'm South African and he's my number one African Leader ever!!!!!

  • @gisellechamulunguvuxenutbi9219
    @gisellechamulunguvuxenutbi9219 5 ปีที่แล้ว +8

    RIP Patrice Lumumba mm nakupenda sana ata mimi niko tayari kufa kwaajili ya inchi yangu Congo 😭😭

  • @chozi8231
    @chozi8231 5 ปีที่แล้ว +222

    Mimi ni Mkongo, kwa jinsi mnavyo fatilia history za Nchi za Afrika na kwa jinsi mlivyo wazalendo wa Asasi wa uhuru wa Nchi zetu na kutukumbusha majukumu yetu kwa kizazi chetu Mungu awabariki.

    • @AthumaniFNgoma
      @AthumaniFNgoma 5 ปีที่แล้ว +4

      Mnavitabu vya historia kama hii kwenu

    • @dannygroening3547
      @dannygroening3547 5 ปีที่แล้ว +3

      Safi

    • @antonylwandiko2408
      @antonylwandiko2408 5 ปีที่แล้ว +4

      Huyu ndio mzarendo na ichi yake aliacha mke mzur watoto na kadharika nafamiliya hii istoria inauma sana kila binadam ataonja mauti amina utangulie mbele zaa aki

    • @sahiyaalliy5598
      @sahiyaalliy5598 5 ปีที่แล้ว +2

      Ameen

    • @abuunaufal5901
      @abuunaufal5901 5 ปีที่แล้ว +3

      inshaallah kher Allah amlaze mahala pema pepon amin

  • @aimerencebarnabe7331
    @aimerencebarnabe7331 5 ปีที่แล้ว +106

    Lumumba ukikuja Leo katika ichi yetu hakika utalia. Tuna teseka saaaana🇨🇩

    • @felixodida8020
      @felixodida8020 5 ปีที่แล้ว

      Poleni

    • @John-ie4zm
      @John-ie4zm 4 ปีที่แล้ว +1

      Poleniii

    • @teddymshana8782
      @teddymshana8782 4 ปีที่แล้ว +1

      Poleni Sana Wakongoman , mlimpoteza mzalendo wa kweli

    • @congoboymbeyas2440
      @congoboymbeyas2440 4 ปีที่แล้ว +1

      Umeniliza kabisa na mm ni 🇨🇩🇨🇩 ila naishi nje ipo siku nitakuja congo

    • @ofelimsollah9505
      @ofelimsollah9505 4 ปีที่แล้ว +2

      @@teddymshana8782 njoon Tanzania

  • @rewardmrema1273
    @rewardmrema1273 5 ปีที่แล้ว +38

    Viva Lumumba!!!✊✊✊✊

  • @solomonfaithbless5940
    @solomonfaithbless5940 5 ปีที่แล้ว

    Nimekubali pale sasa nimesikia historia ya lumumba maake mi ni Congolese ninayejuwa hiyo historia na hajapunguza wala kuongeza, congrats sana global tv kwa research za ukweli. Haya mambo yapangiliwe shuleni ili watoto wajuwe vema historia

  • @uvirastronger5051
    @uvirastronger5051 4 ปีที่แล้ว +1

    Lumumba mon Heros.

  • @rashidselemani475
    @rashidselemani475 5 ปีที่แล้ว +1

    Kutoka Texas, nafatilia sana hizi historia kutoka kwenu. Team lenu linakaza sana, Denis na Edgar, Big up👌

  • @nafisamohammed9064
    @nafisamohammed9064 5 ปีที่แล้ว +11

    Am in love with your narratives. Mnafunza mengi ya hawa viongozi..Very interesting,,

  • @Rojo_Rojo
    @Rojo_Rojo 5 ปีที่แล้ว +4

    Ikiwa Mimi ni Congolese na nipo kigoma nyarugusu camp kisa Vita ya Congo hii story ime nihuma sana,🇨🇩

  • @fredrickkafwa3646
    @fredrickkafwa3646 5 ปีที่แล้ว +3

    Sauti nzuri Sana.... yenye mpangilio wa maneno

  • @juliettededieu888
    @juliettededieu888 3 ปีที่แล้ว +1

    Ooooh Lumumba wetu,JPM wetu,asante mungu kwa yote

  • @ramaccr7525
    @ramaccr7525 5 ปีที่แล้ว +1

    Lumumba tutakukumbuka daima wa Belgium waliharibu congo yetu sana aho washenzi

  • @mtungilandegeya6312
    @mtungilandegeya6312 5 ปีที่แล้ว +24

    Patrik Lumumba was the man of the people, atakumbukwa DAIMA!!!!!! RIP.

  • @nsengiyumvarenovat592
    @nsengiyumvarenovat592 5 ปีที่แล้ว +2

    Vraiment tu Mai feux souvien Mon excellent histoir pour Mon pays

  • @isaacsimchimba5086
    @isaacsimchimba5086 2 ปีที่แล้ว +1

    Tunakukumbuka Kamanda

  • @emmanuelamin9206
    @emmanuelamin9206 2 ปีที่แล้ว +1

    I really proud of this black hero

  • @Jeff-ot3zf
    @Jeff-ot3zf 5 ปีที่แล้ว +31

    May GOD grant him eternal peace in heaven RIP

  • @yussufally8668
    @yussufally8668 5 ปีที่แล้ว +28

    Yaani hawa watu wema hawana maisha na watu wenye vitendo vichafu ndo wanoishi miaka mingi

    • @alvinbenito9115
      @alvinbenito9115 5 ปีที่แล้ว

      Ipo siku ubergiji italipa damu za wakongo kama vile wanalipa damu ya wa east Africa iliyomwagwa na mwarabu wahed.

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 5 ปีที่แล้ว +3

    Afrika yetu Mungu ailinde na watu wake. Ameen yaa Rabb! Shukran kwa walioandaa hii program na shukran tele kw msimulizi mwenye sauti nzuri. M'barikiwe 🙏

  • @husaynamri7006
    @husaynamri7006 5 ปีที่แล้ว +1

    from Burundi nakupat 100%, onger sana kaka. simuliz hiz zatufunza mengi mengi na kutukumbusha mengi sana.

  • @kitutilaeustache1168
    @kitutilaeustache1168 5 ปีที่แล้ว

    Wazungu na wageni wote wanapenda Kongo ila awapendi Wakongomani. Sisi Wakongomani wengi tumejipigapiga juu ya Nchi yetu Kongo sababu Lumumba akufariki bure tena Kongo ni makao yetu toka mbingu.
    Aksanti sana kwa history zenu. Mungu awabariki

  • @alimbuto9930
    @alimbuto9930 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu bariki congo yetu na Africa kwa jumla

  • @yahayatemu1858
    @yahayatemu1858 5 ปีที่แล้ว +44

    MUNGU AKUPUMZISHE KWAAMANI. LUMUMBA. HISTORIA YAKO .INAONYESHA NIKWELI ULIKUA NAUCHUNGU NANCHI YAKO. UKUPENDA KUA KIBARAKA..ROHO YAMILELE UMPEE EBWANA NA MWANGA WA MILELE UMWAGAZIE. APUMZIKE KWAAMANI.

  • @dims4839
    @dims4839 4 ปีที่แล้ว +1

    Bravo guys you are the best vive la Rdcongo vive l'afrique

  • @theleo3899
    @theleo3899 5 ปีที่แล้ว +21

    Oooh Patrick be blessed

  • @derraswaderra6474
    @derraswaderra6474 5 ปีที่แล้ว +3

    Vive lumumba, tuko pamoja
    African hero

  • @kolokokoloko1955
    @kolokokoloko1955 5 ปีที่แล้ว +1

    Inauzunisha sana....nimejisikia vibaya sana nilipopata historia hii

  • @RoshanTube
    @RoshanTube 4 ปีที่แล้ว +2

    Hero of Kongo😭😭 From 🇪🇹 Ethiopia

  • @marcokanyama4533
    @marcokanyama4533 5 ปีที่แล้ว +1

    Uliko naamini roho yako iko high naamini Mungu anafurahia na kukuona uliiga misimamo ya Yesu mungu akuraze Pema huko mbinguni.......

  • @mlami1101
    @mlami1101 5 ปีที่แล้ว

    True African heroes they don't exist anymore in Africa LUMUMBA

  • @peoplepeople416
    @peoplepeople416 5 ปีที่แล้ว

    Mungu aibariki Congo na Mungu aibariki Afrika!

  • @karago88
    @karago88 5 ปีที่แล้ว

    Wewe na kukubali kijana kuhusu historia......endelea na utafiti wa inch zote....na kukumbusha wasioijua hostoria ya Africa...
    Na Burundi kuna historia kubwa fanya utafiti utapata historia kubwa sana.

  • @silvanmghamba477
    @silvanmghamba477 5 ปีที่แล้ว +4

    Ooh may the peace of God be with you Hon. Lumumba

  • @irenevm5513
    @irenevm5513 4 ปีที่แล้ว +3

    Aliye teswa juu ya Congo 😭😭😭😭🇨🇩

  • @chrissfadhaa216
    @chrissfadhaa216 5 ปีที่แล้ว +3

    Nazipenda sana hizo historia zenu mnatukumbusha vijana ambao tulisoma historia kwenye Vitabu tu vya historia
    Kongole kwenu Denis Mpagaze & Ananias Edgar

  • @nelsonwillium1544
    @nelsonwillium1544 4 ปีที่แล้ว

    historia ya africa inaumiza san ila ipo siku mungu pekee nd atakae jua juu ya africa ya kesho

  • @zainabukhalifa3967
    @zainabukhalifa3967 5 ปีที่แล้ว +20

    Mungu aialaze roh yako mahali pema walikuuwa nao washapotea

  • @husaynamri7006
    @husaynamri7006 5 ปีที่แล้ว +1

    viva Africa.... kwa pamoja tuna weza

  • @meshackmadeha2791
    @meshackmadeha2791 4 ปีที่แล้ว

    Eee mwenyezi Mungu tusaidie sis waafrika tujitambue mbn tunatawaliwa sana

  • @collinschirchir2134
    @collinschirchir2134 5 ปีที่แล้ว

    Patrice lumumba, Malcolm X, Martin Luther.... Hawa ndio waafrika asili.... Your legacy is untouchable.... Kombamwiko washenzi waliowadhulumu wamekwisha... Waafrika tuamke tuokoe nchi zetu toka wakoloni mamboleo

  • @hancepopessau2527
    @hancepopessau2527 5 ปีที่แล้ว +2

    R i p lumumba the hero of Africa

  • @eliphaziamon8794
    @eliphaziamon8794 5 ปีที่แล้ว +4

    Congratulation Lumumba

  • @edmark1507
    @edmark1507 5 ปีที่แล้ว +7

    Toujours dans mon coeur, repose en paix🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Vive congo vive Africa

    • @nuhuhassani9335
      @nuhuhassani9335 5 ปีที่แล้ว

      Nous sommes ensemble avec nos pays vive le congo 😭lumumba

  • @rajahiv9723
    @rajahiv9723 5 ปีที่แล้ว +7

    Rest in paradise lumumba 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @rewardmrema1273
    @rewardmrema1273 5 ปีที่แล้ว +2

    Je Documentary ya Hayati mwl Nyerere wetu itapatikana lini...??! tunaiihitaji kwa sisi dot com tumpate kumfahamu kiundani shujaa wetu na mwasisi wa taifa letu. Narrator na muaandaaji hongereni sana kwa kazi zenu nzuri kuliko hta za wazungu wanazo ziita 'based on true story'.

  • @vuncungausiu8534
    @vuncungausiu8534 3 ปีที่แล้ว +1

    R.I.P my HIRO lumumba eee mungu moyo unaluma njameni tuna teseka sana sisi lumumba sunja pumuzika kwa amani sinanguvu yaku coment njameniiiii ❤❤❤❤🇨🇩🇨🇳🌹😭😭😭😭❤😭😭😭

  • @drfocus7303
    @drfocus7303 5 ปีที่แล้ว +2

    _kaka nakukubali sana kwa story zako_

  • @tinawilliam4961
    @tinawilliam4961 5 ปีที่แล้ว +3

    Nice story ❤❤❤❤👍👍👍

  • @mtanzaniamzalendo7001
    @mtanzaniamzalendo7001 5 ปีที่แล้ว +39

    Shujaa,waliomwua nao pia walishakata,Dunia bhanaaaa

    • @yosekilindo3000
      @yosekilindo3000 5 ปีที่แล้ว

      mtanzania mzalendo kjjjjjh

    • @josephatmartin3449
      @josephatmartin3449 5 ปีที่แล้ว

      Mbowe kawekwa ndani na Rais Magufuli lakini someni maneno yangu leo tarehe 18/01/2019. Magufuli na yeye ajiandae. Je ataweza kukaa ndani kama Mbowe na Matiko. Malipo ya maovu yote ni hapa Duniani. Someni Mithali 28:16

    • @mohdhajhakim9347
      @mohdhajhakim9347 5 ปีที่แล้ว +1

      Ndivyo ilivyo katika nchi zetu za Africa unaposema ukweli hali hubadilika

    • @funnygirl6762
      @funnygirl6762 5 ปีที่แล้ว

      mohd hajhakim kweli ukisema ukweli wanakuuwa hawa wakubwa hawana chochote wala maendeleo

  • @uvirastronger5051
    @uvirastronger5051 4 ปีที่แล้ว

    Lumumba Lumumba. Emery patrice .la voie de la liberter.

  • @renatusmisigaro6332
    @renatusmisigaro6332 5 ปีที่แล้ว +17

    Ishi milele uko uliko Patrice Lumumba!!

  • @magrethbukuru2190
    @magrethbukuru2190 4 ปีที่แล้ว

    Mimi naona wazungu waelewe kuwa hatawao watakufa hivi wakisoma history wanasoma uchafu wao au wanajisifu kututawala au wanadhani tunawapenda sana Tukifikia maendeleo kama yao tuta watema tuu China marafiki wetu wazamani tutaungana nao so hawa wapuuz

  • @bernardodamian7946
    @bernardodamian7946 5 ปีที่แล้ว +1

    Patric lumumba mungu akulaze mahali pema amen

  • @josej9888
    @josej9888 5 ปีที่แล้ว +29

    Daaha!! Watu kama Lumumba niadimu sana kuzaliwa karne hii.

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 5 ปีที่แล้ว +1

      Fumbua macho tu. Wapo tele na kila siku ndio hao wanaingia magerezani na kutoka, wanapigwa risasi, wanatekwa na kuuwawa.

    • @gidionnnko8423
      @gidionnnko8423 5 ปีที่แล้ว +1

      Ni aibu kubwa kuwa kiongozi ukashindwa kuacha alama ya kutukuka Kwa watu wako,kama tulivyo sasa! viongozi wetu wameishia kuvunja katiba za nchi zao Na kutunisha account zao "aibu"

    • @josephdaniel8327
      @josephdaniel8327 5 ปีที่แล้ว +1

      Mradi siku imeenda

    • @motomoya8463
      @motomoya8463 5 ปีที่แล้ว +2

      Kweli kabisa
      Alafu kuna huyu daktari Dr Denis Mukwege mshindi wa tuzo la amani 2018 ( "Nobel Pease Prize 2018 )
      DRC , kuna vipaji aisee.

    • @georgemeshack3924
      @georgemeshack3924 5 ปีที่แล้ว

      Mh

  • @issayajuma9787
    @issayajuma9787 5 ปีที่แล้ว +4

    Hakuna walinzi wa Amani ila wapo waangalizi..... ukisema unalinda Amani hua unaiharibu hiyo Amani ila ukiwa mwangalizi tafsiri yake ni kwamba unaendelea kuikuza........ R.I.P Hon. Lumumba

  • @lubungaetienealmasi1059
    @lubungaetienealmasi1059 5 ปีที่แล้ว +1

    Mon héros national Patrick lumumba

  • @Myright888
    @Myright888 5 ปีที่แล้ว +105

    Naelewa hizi historia jamani kuliko zile nilizokua nafundishwa shule kule sekondari.
    Jamani, sjui kule walikua wanatufundisha nini lol! Haya si ndo mambo jamani, nahis wangekua wanafundisha hizi ili watu wajifunze uzalendo na nchi zao.
    Stay blessed wote mloandaa na kutangaza

  • @gideonshikuku8399
    @gideonshikuku8399 5 ปีที่แล้ว +7

    I like the idea of what patris had in mind.

  • @nessmwambogolo2545
    @nessmwambogolo2545 5 ปีที่แล้ว +1

    Msimliaji unasikika vizuri Sana love you

  • @Lemlem7682
    @Lemlem7682 4 ปีที่แล้ว +1

    Great Men of Congo❤ Lumumba❤ African why do we always murder our heroes???

  • @bobwanjala1401
    @bobwanjala1401 4 ปีที่แล้ว

    Kwa baba Lumumba bado tunapambana na vita na wazungu na pia wazungu mamboleo hapa Congo na bara la Afrika nzima. Bila shaka tutashinda na kuunda nchi moja ya jumuia ya waafrika wote kutoka Afrika kusini mpaka Misri na Kenya mpaka Nigeria na kurejesha waafrika wetu walioko utumwani kule ughaibuni. Mungu aibariki Afrika. Panafrika na motisha yako juu!

  • @stephenpaul8679
    @stephenpaul8679 4 ปีที่แล้ว

    Ndy tujifundishe kwa watu wakitaka uongozi wanakwenda marekani hata sasa hivi kuna mmoja katoka marekani inamaana chanzo cha migogolo ya Africa ni watu weupe ukipitia historia ya viongozi wete wa Africa kuanzi sabimbi, Lumumba,samweli do, wengine chanzo ni watu weupe hivyo tunapo sikiliza hizi history tujifundishe kulinga na tuliyo yasikia sio tulete siasa kwenye kila jambo Mungu ibariki Tanzania ,Mungu ibariki Africa na watu wake

  • @faridashabani5940
    @faridashabani5940 4 ปีที่แล้ว +4

    RIP fighter of freedom

  • @husnahassan6289
    @husnahassan6289 4 ปีที่แล้ว

    RlP bro kapumzike kwa amani Ameen Ameen Ameen

  • @kevohmarquez9785
    @kevohmarquez9785 5 ปีที่แล้ว +4

    Siwezi choka kuona hizi video za historia .unafa kuwa mwalimu 👍🏽

  • @yassbizoyassin4291
    @yassbizoyassin4291 5 ปีที่แล้ว +9

    Yeah huo ndo uzalendo a true patriotism

  • @mykomondi
    @mykomondi 5 ปีที่แล้ว +2

    There is a sense in which Africa must rise and define for themselves what democracy means in an Africanized context.

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 5 ปีที่แล้ว

    Mhhh mmmm inaskitisha sana mungu awasaidie viongozi wenye kutetea nchi zao

  • @bintlola3127
    @bintlola3127 5 ปีที่แล้ว +12

    Mtuwekee storia ya idd amin sister😁😁😁😁😁

  • @robertkellybergakifuvwesha3335
    @robertkellybergakifuvwesha3335 5 ปีที่แล้ว +3

    Thanks brother

  • @ibrahimkambi9288
    @ibrahimkambi9288 5 ปีที่แล้ว +2

    He was the HERO

  • @farhatfatma12
    @farhatfatma12 5 ปีที่แล้ว

    Nyaso, historia kama hii wengetusomesha maskuli, maraisi wetu wengekua hatarini sana na wao kutuongoza. Si tunajiona maraisi wetu leo na waliopita wanatutendea mabaya maranyengine kuliko hata waluvyotutendea wakoloni. Mfano wa karibuni, ona walivyomtendea Lisu viongozi wetu na bado hata hawajali!!

  • @sambaeric389
    @sambaeric389 3 ปีที่แล้ว

    One day You lineage will save Congo 🇨🇩 that we believe long live Congo

  • @tommboya9768
    @tommboya9768 5 ปีที่แล้ว +19

    Where are his family

  • @mustafakhajj8529
    @mustafakhajj8529 5 ปีที่แล้ว +1

    napenda musimulizi keep it up guys@one one love

  • @mafiacliq7417
    @mafiacliq7417 5 ปีที่แล้ว +6

    Please someone tell me what they’re saying this guy is my hero

  • @infocentre7997
    @infocentre7997 5 ปีที่แล้ว +2

    so educative Edgar the best presenter ......i love it keep it up bro give us more

  • @MaslineOnyango-yr7uz
    @MaslineOnyango-yr7uz ปีที่แล้ว

    This is legendary

  • @simontamba1285
    @simontamba1285 5 ปีที่แล้ว +33

    BADO WALIJIDANGANYA MBONA BADO MAWAZO YAKE YANAISHI MPAKA LEO KUANZIA LEO SIWAPENDI WAZUNGU NI WEZII HAKUNA ALIYEPO KWA AJILI YA MWAFRIKA ZAIDI YA KUMNYONYA

  • @gazebopesambili7328
    @gazebopesambili7328 5 ปีที่แล้ว +4

    Du kweli tutakukumbuka daima

  • @ramafrica9016
    @ramafrica9016 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupumzishe Kwa amani kiongoziii wetuuu

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 5 ปีที่แล้ว +1

    RIP the real PATRIOT....

  • @royalflames4736
    @royalflames4736 5 ปีที่แล้ว +6

    Sad.
    Long live Africa

  • @jafarimsaghaa95
    @jafarimsaghaa95 5 ปีที่แล้ว +2

    Uzuri ukifanya uovu na kuua watu basi hautoishi daima, Rip Lumumba,

  • @bunnasib1961
    @bunnasib1961 4 ปีที่แล้ว +1

    Anaitwa Patrice Lumumba

  • @gkiahu6589
    @gkiahu6589 4 ปีที่แล้ว

    Historia iliyosimuliwa kwa utaratibu na kufahamika. Imenikumbusha Wimbo mtamu sana wa Grand Kalle, Satchmo Lokuka, yampa sifa sana huyu Patrice Lumumba lakini aliye Kuja kumlaki na kushikanisha malumbano kati ya Congo zote mbili ni Muimbaji Louis Armstrong. Muziki huu wa Jazz ulituliza malumbano kwa mda lakini wana America wakapanga kumuua Lumumba wakati kulipotulia.

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 5 ปีที่แล้ว +3

    Ni Patrice !! Sio Patrick !!

  • @gabrieldevid9
    @gabrieldevid9 4 ปีที่แล้ว

    Hongrera msimulizi piah

  • @kalimuuromgo9213
    @kalimuuromgo9213 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ilaze loh ya malehem peponi amiin

  • @guilhermanie
    @guilhermanie 5 ปีที่แล้ว +8

    Rip Lumumba

  • @salumuhamis3167
    @salumuhamis3167 4 ปีที่แล้ว

    Aminia lumumba

  • @mklaw2962
    @mklaw2962 5 ปีที่แล้ว +22

    hakika historia yake itaishi na damu yake italia kila siku juu ya ardhi ya Congo

  • @deborakamsi
    @deborakamsi 5 ปีที่แล้ว +14

    MUNGU amulinde sana Patrick Lumumba na watu waliye muuwa Patrick lumumba Wasifike mbinguni waende kwa shetani ibilisi

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 5 ปีที่แล้ว +5

    Siku zote watetea haki wana uwawa daah so sad

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 4 ปีที่แล้ว +1

    Marecani ndio adui mkubwa wa duniani Allah liangamize taifa l marecani

  • @ashab2537
    @ashab2537 5 ปีที่แล้ว +2

    😢😢😢ooooooh Africa 🌍

  • @najmataaj5181
    @najmataaj5181 5 ปีที่แล้ว

    Ananias Edgar u the best man

  • @nadianzeyimana9949
    @nadianzeyimana9949 4 ปีที่แล้ว

    Siyo Patrick ni Patrice!!