WASHARIKA K.K.K.T DAYOSISI YA KASKAZINI MASHARIKI WAOMBWA KUCHANGIA PESA KULIPA DENI.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ค. 2023
- waumini wa Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania Dayosisi ya Kaskazini mashariki wameombwa Kuchangia pesa kwa moyo wao wote Ili kulipa deni wanalodaiwa la shilingi BILIONI Saba na milioni mia sita.
Mnatia aibuu sana
Jmn kwan taasisi zenu hazijiendesh au inakuaje
Kila siku mnadaiwa??
Deni limetoka wap