Sio kila kicheko kinamaanisha furaha ,mi namwelewa,ambacho sijapenda no kumnyima MTU Uhuru Wa kuamua apiposema apelekwe nyumbani mngempeleka japo nayo haiko sawa sana labda wangeita familia Kwa siku hiyo awaage maana watu wengi wakikaribia kufa wanajuaga
Siyo kila mtu anaijua saa yake ya kufa au siku ya kufa .lla ni kwa wale walio karibu na mwenyezi mungu huwafunulia vya rohoni.magufuli mwenyezi mungu anakujua vyema.
Ishi unachekeshwa na nini masikini mwwnzio alikuwa kwwnye sakalimauti ,unajuwa ni wakati mgumu mno mtu roho inapotaka kutoka??? Daaaa namachungu kama nimemzaaa
Kuna watu wako hivyo,jambo gumu wanacheka hata furaha wanacheka,wala musihukumu.ninae mdogo wangu akichukia kabisaa kabisaa anaongea huku anacheka lkn hapo ujuwe kama una husika kaanae mbali
Na mbona hamukushirikisha mkewe wakati wa siku zake za mwisho? Watu waliotakiwa kuwa karibu naye ni familia yake, mkewe na watoto wake. Mabeyo hukumufanyia haki haki, kwa kukataa kumurudisha nyumbani kuwa karibu na familia yake. Hamukumutendea haki kwa kutoita familia yake na kukata roho bila kuiaga familia yake. Wakumualifu wa kwanza alikuwa ni mkewe na watoto wake, pengine alikuwa na maagizo ya mwisho kwa mkewe. Mulimufanyia vibaya sana Hayati Magufuli. Habari hizi zinasikitisha sana. Mabeyo kucheka cheka watanzania wengi umewauthi.
Kama ni kweli alikwambia umludishe nyumbani ukakataa ulimkosea na taifa letu likawa limehujumiwa, lakini wazee wetu wanatwambia mlimsaliti raisi wetu, ndo maana akafa, ila mungu si kipofu pia mungu sio kiziwi na mungu hachelewi kujibu, kabla kizazi hiki hakijaisha tutajua, kuwaliza wananchi wote watanzania ni dhambi kubwa sana
Innah lillah wainnah Rajiun mwenyezi mungu amlaze mahali Pema Peponiiii aminiiiiiii! Pia mwenyezi mungu ampe Makazi mema aminiiiiiii! JPMAGUFULI TUPO PAMOJA INSHALLAH!
Kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, Na Kila nafsi itaonja umauti . Hakuna kitakachobaki . Mwenyezi mungu akuhifazi mahali pema kiongozi wangu kipenzi, nakosa maneno ya kuongea . Mwenyezi mungu ndiye anajua .
Laiti mngelijua yapasayo kufanya mngelipenda amani, hakika mmeongea vizur kwetu kujisafisha serikali, ila kila goti litapigwa mbele za muumba hapo yupo hakimu wa haki, mambo ya wazi na siri yote yatakuwa wazi. Siku zinakuja kwenu hakuna asubuhi.
Mungu ndo anajuwa wote safari ni moja na kila mmoja atapitia njia yake lakini sehem tunayo enda ni moja ata upitia njia ndefu vipi hiyo sehem utafika tu
Yetu masikio,cheo n dhamana,tulio chini,hasa Latra,na ma police watishia,faini 250000,wakat latra n 100000 je hii n kuangamiza raia wa Tanganyika, serkali,haina huruma,dua,zetu Mungu atawazibu,cheo n dhamana,,mungu awazibu,,kama alivyo muazibu, FARAO wa na kiburi sana kama FARAO, FIRAUN,,
Magufuli is hero in Africa who stood on right.
Bora zaidi aliwakumbuka baba zake wa kiroho akaombewa na kupakwa mafuta matakatifu
Sio kila kicheko kinamaanisha furaha ,mi namwelewa,ambacho sijapenda no kumnyima MTU Uhuru Wa kuamua apiposema apelekwe nyumbani mngempeleka japo nayo haiko sawa sana labda wangeita familia Kwa siku hiyo awaage maana watu wengi wakikaribia kufa wanajuaga
Siyo kila mtu anaijua saa yake ya kufa au siku ya kufa .lla ni kwa wale walio karibu na mwenyezi mungu huwafunulia vya rohoni.magufuli mwenyezi mungu anakujua vyema.
Nyinyi mlimuua M,mungu atawalipa hapa hapa
Una uhakika na unalolisema?
Huyu ni mkuu wa majeshi
Safi sana mkuu wa majeshi mstafu
@@MartinGao-pq3edsababugani mkewake alifichiwa sehem alikuwepo?
Wasojulikana, ndoo wanajua uc laumu wt,
Ishi unachekeshwa na nini masikini mwwnzio alikuwa kwwnye sakalimauti ,unajuwa ni wakati mgumu mno mtu roho inapotaka kutoka??? Daaaa namachungu kama nimemzaaa
Kwa nini wananchi hawakuhusishwa kubwa anaumwa tungemuombea
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭haya mambo c ya kucheka baba mabeyo
Ana sababu kubuwa ya kucheka awo kufurahi
Kikubwa Unachosema Ujue Mbele Yake Nyuma Yako Unafata Ulie Hai Kama Unaongea Kama Burudani Kwake Tutaludi Pesa Nami Zitabaki
Lala salama Rais wetu ,upo mioyoni mwetu!
Kipi kinachekesha hapo sasa 😢
Damu nzito kuliko maji ipo ck
Kuna watu wako hivyo,jambo gumu wanacheka hata furaha wanacheka,wala musihukumu.ninae mdogo wangu akichukia kabisaa kabisaa anaongea huku anacheka lkn hapo ujuwe kama una husika kaanae mbali
@@TickoAlex wewe buwege sana
Walimchoka kila kitu,yy kafanya ndiomaana,wanacheka,
😭😭😭😭 baba unatuchoma sana moyo 😭😭😭😭moyo wangu unaniuma sana hakuna siku nitakayokuja msahau magufuli 😢😢😢
Baba mabeyo una utulivu wa kutosha god bless you
Hakuna ukwel hapo sis sio watoto
Wew mwenye ukweli tupe ukweli sasa!!
Na mbona hamukushirikisha mkewe wakati wa siku zake za mwisho? Watu waliotakiwa kuwa karibu naye ni familia yake, mkewe na watoto wake. Mabeyo hukumufanyia haki haki, kwa kukataa kumurudisha nyumbani kuwa karibu na familia yake. Hamukumutendea haki kwa kutoita familia yake na kukata roho bila kuiaga familia yake. Wakumualifu wa kwanza alikuwa ni mkewe na watoto wake, pengine alikuwa na maagizo ya mwisho kwa mkewe. Mulimufanyia vibaya sana Hayati Magufuli. Habari hizi zinasikitisha sana. Mabeyo kucheka cheka watanzania wengi umewauthi.
Watayalipia tu kwa wakati mtimilifu na kwa utimilifu
Daaah...yaaaan
Mungu anawaona iko cku
Kama ni kweli alikwambia umludishe nyumbani ukakataa ulimkosea na taifa letu likawa limehujumiwa, lakini wazee wetu wanatwambia mlimsaliti raisi wetu, ndo maana akafa, ila mungu si kipofu pia mungu sio kiziwi na mungu hachelewi kujibu, kabla kizazi hiki hakijaisha tutajua, kuwaliza wananchi wote watanzania ni dhambi kubwa sana
Nimewaza Sana mkewe
Innah lillah wainnah Rajiun mwenyezi mungu amlaze mahali Pema Peponiiii aminiiiiiii! Pia mwenyezi mungu ampe Makazi mema aminiiiiiii! JPMAGUFULI TUPO PAMOJA INSHALLAH!
Mh😭
Aisee
mkuu wetu wama jesh mstaafu uko vizur tuna kuombe uishi maisha marefu kwa faida ya nchi yetu
Sina uhakika na hizi stor munazotupa
Pole Mkuu, ulisimama vema , good CDF EVER BEEN
Kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, Na Kila nafsi itaonja umauti . Hakuna kitakachobaki . Mwenyezi mungu akuhifazi mahali pema kiongozi wangu kipenzi, nakosa maneno ya kuongea . Mwenyezi mungu ndiye anajua .
Mmmmmh hayani kazi mmeifanya tumeona tumeskia hongeren
Hakika Mungu alitubariki kuweza kuiheshimu katiba na tukaenda vizuri ktk tukio kama hilo ambalo halikuwahi kututukea. Mungu mbele daima.
mbele ya magufuli nyuma yake tuta fata ubaya utalipwa na mungu na wema utalipwa namungu
Mtu anakuambia mniludishe nyumbani amtaki kumuelewa 😢😢 Dah hapa kuna ulakini mkubwa sana
Ulikataa maelekezo kweliii
Wanajeshi mliua magufuli???period
Yaan uyu anausika
Mungu amsamehe makosa yake ampokee awe nae mahali pa uzima wa milelele
Tutakukumbuka sana JPM Raisi uliyefanya makubwa Kwa Muda mfupi sana Mungu akupunguzie adhabu ya kaburi
Mabeo nakukubar sana
Mzee wa maana sana huyo Mugufuli Pombe Mungu aiweke roho yake mahali pema penye wema!
Hapa Kazi tu, au Kazi Iendelee. namkumbuka Mguguli Shujaa wa Afrika 18:14
Ahaaa
Mungu huyu awarpe wote wario huska na kifo cha magufur
Sawa sawa katiba inasema
Kwann hamkutoa Taarifa Kwa Wananchi wake Ili wamuombee . Hilo ni kosa kubwa
Sawa kabisa generally uko sawa
KWELI huwa inaishi ndani ya MOYO wa kila mmoja na ni ya kudumu pia!
Mwili, nafsi na roho ni uwanja wa uovu, uchafu na kuugua!
Tutakukumbuka daima mungu akupe kibar na mbinguni
Inauma sana,
Ukweli wote Mungu anao ila kila chenye mwanzo kina mwisho
Huu ni upuuzi na ujinga na ushenzi ila hakuna atakayebakia hai wote njia yetu ni moja
Mabeyo me nakuelwa sana
Mungu yupo
Tutakukumbuka daima!
Taarifa huyo, inastua,inaaikitisha, inatukumbusha machungu,Mungu anajua yote.
Mungu weeee
Tutamkumbuka sana Mzee wetu
Baba wa Hekima venance mabeyo
😢😢😢😢 rest in peace 🙏
Tulikupenda zaidi baba mungu alivyuna chake
Tunakushukuru kwa kutulindia inchi yetu ukuwa na tamaa na urais
mctuelezee tena haya mambo mnatuzidishia tu maumivu...
Maisha ni safari 🎉
Pole
Pole pole wa tanzania wote
Hhacheki hapo elewa nyie kuna kicheko cha huzuni msogelee uone kama anacheka
Atuji kupata Rais kama uyo
Síoni ukweli wowote hapo, nikama munatuchora bas
Daddy, My super hero, continue resting in peace Darling...
Wapo waliojuwa kuwa amefariki. Kwani hata Rais mwenyewe alijuwa. Akisema natakiwa nife. Je Mabeyo wajua yote. Wajuwa yote.
Bora ungemrudisha akatunzwe na watoto wake na mkewe❤
Laiti mngelijua yapasayo kufanya mngelipenda amani, hakika mmeongea vizur kwetu kujisafisha serikali, ila kila goti litapigwa mbele za muumba hapo yupo hakimu wa haki, mambo ya wazi na siri yote yatakuwa wazi. Siku zinakuja kwenu hakuna asubuhi.
Mungu ndo anajuwa wote safari ni moja na kila mmoja atapitia njia yake lakini sehem tunayo enda ni moja ata upitia njia ndefu vipi hiyo sehem utafika tu
Mungu yupo😭😭
yan unanipa machungu inamana mlishindwa fatilia kifo chake kabisa kabisa hi nchi imekaa kizembee sana
Mbuzi na papai pia zina COVID........
Mwenyez mungu ailaze roho ya jpm Mahal pemaa
😢
Yetu masikio,cheo n dhamana,tulio chini,hasa Latra,na ma police watishia,faini 250000,wakat latra n 100000 je hii n kuangamiza raia wa Tanganyika, serkali,haina huruma,dua,zetu Mungu atawazibu,cheo n dhamana,,mungu awazibu,,kama alivyo muazibu, FARAO wa na kiburi sana kama FARAO, FIRAUN,,
Mzee mabeyo nakukumbuka kipindi uko Kongwa; tunafurahi kuona ulipata nafasi hii tunajivunia
Jaman sakichek
Chanin aponixhe leee ama😮
Mungu akubarik kamanda ni ujasir mkubwa Sana bila wewe ulikuwa patashika
Huwenda ungekuwa nae mwanzo mwisho huwenda angekuwa hai Hadi leo
Mungu afariji jamaa na wanzania wte kwa jumla
Maisha mazuri Mzee wetu naona miguu inacheza 😂😂😂
😂😂😂kwa sababu hakuna experience
Inavutia kumsikiliza former cdf ukweli alisimamia vema tukio zima
Bas hamkutangaza siku hiyo hiyo maan hayo yote mfanye ndani masaa manne huo ni uongo si 2najua alikufa week mbili kabla yakumtangaza😢
What are exactly laughing for...!? Anyway MUNGU atalipa kama kuna kitu nyuma ya kifo cha our beloved president😢
Anacheka kabisaa km starehe
😢😢😢amahakika ameacha pengo
sasa mbona unatuelezea alafu unacheka..yan kipi chakuchekesha hapo mkuu
Sasa kinacho kuchekesha ni nin mbona sion pakucheka
Jamaa anamsimamo sana, namkubali Mabeyo.
Siwez kumsahau mim kila mara huwa ananijia kwenye macho yangu na nafis sijuw lin nitamsahau
Msinamowako umesaidia sana mungu akusimamie
Mhm Pumzi nilioshusha hatali maumivu makali sana moyoni 😢😢
RIP Magufuli
Mapigo ametuzidia sana kụlingana na matendo tunayoyafanya bila kụfikiria kabla ya kutenda
ila wananchi waliambiwa yupo ofisini yu bukheri wa afya kwa hiyo wakaacha kumuombea uponyaji. Mngesema ni mgonjwa wangemuombea na angepona.
Huyo ndio Rais aliokuwa kioo cha Bara la Afrika Mashariki.Mungu ampee pumziko la amani
Du!Mungu ajuaye yote ANAJUA uchungu nilioupata mpaka nikaombea kumbe naomba mtu aliyekwisha lala mauti😂😂
Malip nihapaha
Mabeya for president
Mungu anawaona😂 ndomaana yanawakuta leo damu nzito kuliko maji waloweka waloshiliki mtakufa woteee bulianii anko wangu kipenzii
Huyuuu jamaaas mmmmh uwezo wake wa kuwaza ni mdogo
Vita alivipiga Apumzike salama Baba
Hii laaana itawakumba tu na ndioo hii inatokea sasa
Nauliza ivi rais anapoumwa anaruhusiwa kukaa na mkewe kwa maana ata kupikiwa uji na mkewe au imeekajee? Nauliza nijifunze