INATISHA: KIJANA ATOBOLEWA MACHO ATUPWA DAMPO "SHINGO IMEKATWA" MWILI WAONEKANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 58

  • @nickmkude7571
    @nickmkude7571 18 วันที่ผ่านมา +25

    Kama umeamka salama mwambie Mungu asante na ulike hapa🙏

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 18 วันที่ผ่านมา

      ,😂😂😂mpuuzi nin kwani wew ndo mungu

    • @nickmkude7571
      @nickmkude7571 18 วันที่ผ่านมา

      @@kamarhelo 🙏mwambie asante

    • @nickmkude7571
      @nickmkude7571 18 วันที่ผ่านมา

      @@kamarhelo 😂🙏mwambie Mungu asante sio mimi

  • @timotheomakenz6795
    @timotheomakenz6795 18 วันที่ผ่านมา +9

    Mwisho mwema ni maombi yangu kwako mungu😢

  • @celestinermantenga2463
    @celestinermantenga2463 18 วันที่ผ่านมา +9

    Wanadamu tuwe na hofu ya Mungu.

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 18 วันที่ผ่านมา +4

    Pesa za xurma huwa haxidumu umuue mtu utoeviungo iliupate pesa. Utaishia.kuuwa.kilakukicha dam zawatu zinakutafuna machozi yanawadondoka kuwatoa roho. Utakufa.masikini nautakufa.vibaya naulifatu motoni. Shida.duniani na.Aellah. mungu tulizishe na.lixiki ulotukadilia🤲

  • @TOUNDISELASSIE-xj8oy
    @TOUNDISELASSIE-xj8oy 18 วันที่ผ่านมา +7

    Taifa lina ugeni mzito. Matukio haya yamekuwa ni mengi sasa. Naomba tuanze kuchukua hatua. Nchi nzima mauji, halafu yanafanywa kimya kimya. Hapana, hapa kuna jambo. Yawezekana kuna watu tumewakaribisha ndio wahusika wakuu. Wanatuua kidogo kidogo. Tusipochukua hatua tutakwisha. Tuanze kutambuana kuanzia nyumba kumi kumi.

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 18 วันที่ผ่านมา

      LAITI MAMBO HAYA YANGEKUWA YANATOKEA KWA WANASIASA TUNGESEMA LABDA MAMBO MENGINE LAKINI RAIA WA KAWAIDA TENA MASIKINI WATOTO, VIJANA, WATU RIKA MBALIMBALI NA HATA WATU WAZIMA WANAUWAWA KIKATILI NAMNA HII, HAPA SI BURE IPO NAMNA. HATA MIMI NAKUBALIANA NA WEWE. JAMII LAZIMA IWE MACHO ULE UTAMADUNI WA KUWAKUMBATIA WATU TUSIYOWAJUA TUKIJIFANYA KUWA ETI NI MARAFIKI ZETU HAUFAI TENA. NA PIA HILI WIMBI LA WAFUGAJI WANAOHAMA MIKOA KWA MIKOA NI MUHIMU SANA KUHAKIKIWA KUANZIA NGAZI YA VITONGOJI KWA SABABU KATI YAO HAKUNA ANAYEJUA NANI NI NANI KATI YAO?! VYOMBO VYA USALAMA NAVYO VIZIDI KUWA MACHO MAANA HII HALI SIYO YA KAWAIDA.

    • @AshaHaruna-ie2iq
      @AshaHaruna-ie2iq 18 วันที่ผ่านมา

      Awa ni wakimbizi tuu wanaingia kinyemela

    • @TOUNDISELASSIE-xj8oy
      @TOUNDISELASSIE-xj8oy 17 วันที่ผ่านมา

      @@AshaHaruna-ie2iq
      Tukitambuana tutawajua na kuchukua hatua. Mfano mzuri ni wale watu wa singida, walimchunguza mganga aliekaribishwa na mkazi mwenzao. Wakagundua mgeni mganga ndie anaewamaliza, wakamripoti, haikutosha, wakachukua hatua ya kukagua eneo la mganga na kugundua eneo tifutifu, wakafukua na kuona mwili wa mkazi mwenzao. Polisi wakafika na kuliweka chini ya ulinzi eneo la mshukiwa. Hadi jana waligundua makaburi matatu na kukuta miili. Uchunguzi unaendelea. Nasisitiza watanzania tutambuane kinyumba kumikumi.

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 18 วันที่ผ่านมา +3

    Oooh wwlimtoboa macho kuficha ushahidii duuh kifo cha naumivii kapata hakii😢😢😢

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq 18 วันที่ผ่านมา +1

    Nchi yangu imekuaje yaarabi ewe mungu tuliocha watoto wetu kwenda kutafuta riziki tulidie yaarabi okoa family zetu yaarabi na haya majanga kila siku iitwayo siku yaarabi

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 18 วันที่ผ่านมา +2

    Nimeshachagua kutembea Na bisibisi Sasa Kwa hali hii mtu asiniulize ntaifanyia Nini 😭😭

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 18 วันที่ผ่านมา +2

    Kijana mdogo huyo amefanya nini mpaka auwawe kwa uchungu namna hiyo. Haya mambo ni makubwa mbele za M'mungu.

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 18 วันที่ผ่านมา +3

    Duuuh Mungu atusamehe kwa makosa na dhambi tunazozitenda kwa makusudi binadamu tunaogopana sasa

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 18 วันที่ผ่านมา +1

    Tz 😢😢😢tz mungu tulinde jamani mana rais yupo bize pia yey ni mwanadamj tusaidie mola wetu😢

  • @BabuallyAbdul
    @BabuallyAbdul 18 วันที่ผ่านมา +2

    Dunia inawatambua Simba! Chui! Nyoka! Kama viumbe hatari Ila hakijawahi kutokea kiumbe chenye roho ya kikatili kama Binaadamu.Mungu atuepushe na hizi imani za kikatili.

  • @chikujuma18
    @chikujuma18 18 วันที่ผ่านมา +3

    😢😢😢😢yani Kila mkoa Tanzania hatuna aman ewe mola wetu tusaidie tupe mwisho mwema inshallah

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz 18 วันที่ผ่านมา

      MTOTO ANAEGEUKA NYOKA, ANAKUNYA PANZI, ANA MIAKA 10 LAKINI ANA UZITO KILO 200, WANANCHI WAINGIA HOFU
      th-cam.com/video/r3gsfk3zbDQ/w-d-xo.html
      MPWAPWA-DODOMA:
      Katika hali isiyokuwa ya kawaida na ya kushangaza wananchi wa Kijiji cha Mbori Kata ya Matomondo Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma wamekuwa kwenye mshangao na kuingiwa na hofu kubwa Baada ya kuibuka mtoto mwenye maajabu makubwa.
      Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 10 amekuwa akigeuka nyoka mkubwa, Lakini amekuwa akifariki mara kadhaa wakati wanajiandaa kwenda kuzika huzinduka.
      Lakini pia amekuwa akijisaidia haja kubwa wadudu aina Panzi aina ya NZIGE, Licha ya umri wake kuwa mdogo miaka 10 Lakini ana uzito mkubwa unakadiriwa kilo 200 hali inayomfanya mama yake kila siku kuwaomba majirani kumsaidia kumbeaba tena lazima wanaombeba wazipungue wati sita.
      Serikali ya kijiji yaomba msaada wa watumish wa Mungu kumsaidia kwa maombi mtoto huyu.
      Mkoi Tv online Ilifunga safari toka kati kati ya Jiji la Dar es Salaam hadi Mkoani Dodoma kijiji cha Mbori kwa ajili ya kushuhudia maajabu ya mtoto huyu na hapa tunakuletea makala yote full.
      Usisahau kusubscribe, Kucomment na kulike pamoja na kushare🙏🏻
      Lakini pia unaweza kuwasiliana na chumba chetu cha habari kwa simu no +255713575718 🙏🏻

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 18 วันที่ผ่านมา +3

    Allahu Akibarr.

  • @EliudiJastini
    @EliudiJastini 18 วันที่ผ่านมา +1

    Hichi kipindi nikile wanachosemaga unanijua mimi ninani😢

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 18 วันที่ผ่านมา +2

    Haki nimechoka na hizi taarifa jamani.kila kukicha ni habari hizi tu.kwani siku hizi marehemu hawarudi kupiga wauwaji wao jaman?mbona watu wanauwa kiurahisi saana jamani?

  • @IsiahMosl
    @IsiahMosl 18 วันที่ผ่านมา +1

    Binadam wameshakuwa na roho mbaya kushinda hata wanyama Allah tunaomba wabadilishe roho zawo waja wako tutaisha.

  • @JofreyNagabona
    @JofreyNagabona 18 วันที่ผ่านมา +2

    Matukio kila siku jamani

  • @ABALHASSANJUMAA-h8o
    @ABALHASSANJUMAA-h8o 18 วันที่ผ่านมา +2

    Daaa jmn kwann kila siku mauwaji jmn 😢😢😢😢

  • @billgatejuniour8797
    @billgatejuniour8797 18 วันที่ผ่านมา +1

    Shida ni namna polisi inavyodili na watuhumiwa
    Imagine mtu amebaka na kulawiti na video zipo wazi na dunia imeona lakini ana ujasiri wa kumtishia mwandishi wa habari mbele ya polisi😢
    io inawapa wakosaji ujasiri wa kufanya yote haya
    Fatilia mtu akiuwa mtu urusi anafikishwa mahakamani akiwa na hali gan😢

  • @ameirdarueshi2593
    @ameirdarueshi2593 18 วันที่ผ่านมา +1

    Yani tz Kila kukichaa saivi ni mauaji tu tena watoto wadogo hii nchi saivi tunapoelekea huko siyo salama kwa kweli

  • @GilbertKhitambala
    @GilbertKhitambala 18 วันที่ผ่านมา +1

    Haya mauji mbona yamekithiri hapa nchini, vyombo vya ulinzi na usalama ongezeni maarifa.

  • @esterpaul5856
    @esterpaul5856 18 วันที่ผ่านมา +2

    Mimi mdogo wangu kachomwa uso na watu wasiojulikana.alipotea siku mbili hajulikan alipo .kupatikana ndo hivyo.amekaa ICU siku sita..Tanzania ndo basi tena..yakikuku🎉ta ndo utaamin hey tuyaonayo kila siku humu

    • @maryamtanzania9743
      @maryamtanzania9743 18 วันที่ผ่านมา +2

      poleni sana anaendeleyaje kwa sasa

  • @RajabuAbdi-rs7sp
    @RajabuAbdi-rs7sp 15 วันที่ผ่านมา

    Yaraab yaarab tutangulie uku tuendako

  • @husseinabdalah8375
    @husseinabdalah8375 17 วันที่ผ่านมา

    Kwann saiv matukio ya kutekwa watu kuwawa na watu wasiojulikana kwann selikali yetu iko wapi na mkuu wa police yupo why jeshi la police linatakiwa kujiuliza ni wapi wanakwama😢

  • @EddySempay-qf1on
    @EddySempay-qf1on 17 วันที่ผ่านมา

    Duh mbona haya majanga babati yanazidi watu wanauwawa hovyo hovyo

  • @emmanuelsikamkono
    @emmanuelsikamkono 18 วันที่ผ่านมา +1

    hii dunia jaman vip bola uchaguz uwishe mapema jaman

  • @JumaBakari-ld5rr
    @JumaBakari-ld5rr 18 วันที่ผ่านมา +1

    Tanzania Hali nimbaya lakina singida babati imezid

  • @TalentMapenzi-ie1dr
    @TalentMapenzi-ie1dr 18 วันที่ผ่านมา +2

    Jaman haya matukio yamezidi iv

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 18 วันที่ผ่านมา

    Jeshi la police ondoeni waganga wa kienyeji wachungaji wa mchongo toeni wanawaibia na kuwapoteza wananchi jmn mama Samia achana na matamasha achana na Simba na yanga chungulia huku washauri wa rais kazi yenu ni gani msiwe kama kina doto na mwinjaku jmn duu nilifukiri askari ndio wanateka watu kumbe Sio askari jmn😢😢😢

  • @rebeccamagita9174
    @rebeccamagita9174 18 วันที่ผ่านมา

    Eeee MUNGU wa mbinguni tuhurumie na utusamehe baba hakika sisi ni wakosaji sijui tunaelekea wapi😭😭😭

  • @nyakwesichanzi3832
    @nyakwesichanzi3832 18 วันที่ผ่านมา +1

    😭😭😭😭

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 18 วันที่ผ่านมา

    Duuh. Mauaji kila siku 😭

  • @adambatrulimi5841
    @adambatrulimi5841 18 วันที่ผ่านมา

    Serikal weken Sheria Kari kwa vitu kama iv las ivo tutakwisha

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk 17 วันที่ผ่านมา

    DUH POLEN XNA

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 18 วันที่ผ่านมา

    Kwann Sasa hivi watu wanauwa sana wezao

  • @RomanMwinyi
    @RomanMwinyi 18 วันที่ผ่านมา +1

    sasa apo mapolisi amna chmana laisii yup bize na mziki na kuliba magoliii ya mipilaa dar tuna teseka sana wa tz

    • @halimamasai2234
      @halimamasai2234 18 วันที่ผ่านมา

      We shika adabu yako ulitaka raisi awachunge mpaka kwenye mitaa yenu huna lakusema We mbwa kachambe Msenge we kila kitu Raisi polisi kama nye wenyewe mekosa imani za kibinadamu Raisi afanye nini fala wewe

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 18 วันที่ผ่านมา

      @@halimamasai2234 we shoga Sasa bila kutoa tamko kwa akilii yako ww uwoni kama uwovuu unazidi we shoga nn wewe

    • @edwinalexander1170
      @edwinalexander1170 18 วันที่ผ่านมา

      Kwa hiyo ukiwa raisi unatakiwa uwe kila mkoa, wilaya, vijiji, kata, tarafa, vitongoji, vichochoro vyote uwepo na kuhakikisha hakuna uhalifu unatokea? Huwezi toa lawama kama hizo. Poleni sana wandugu.

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 18 วันที่ผ่านมา

    Mungu mkubwa duu

  • @MonadiNadi-j6s
    @MonadiNadi-j6s 18 วันที่ผ่านมา

    Manyara nn lkn 😢

  • @KIRAKAMASATU
    @KIRAKAMASATU 18 วันที่ผ่านมา

    Du htr

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 18 วันที่ผ่านมา

    Hii Manyala Ni Tanzania au Kenya?

    • @mussamsuya8595
      @mussamsuya8595 18 วันที่ผ่านมา

      KENYA

    • @ashaomani5865
      @ashaomani5865 18 วันที่ผ่านมา

      😅😅jmn​@@mussamsuya8595

    • @ashaomani5865
      @ashaomani5865 18 วันที่ผ่านมา

      Innalillah wainnaillah rajiun allah akupe makazi mema mdogo we2 dah😢😢😢😢

    • @davidsamwel11
      @davidsamwel11 17 วันที่ผ่านมา

      Ni Tanzania.

    • @davidsamwel11
      @davidsamwel11 17 วันที่ผ่านมา

      Ni Tanzania.