BABA ADAIWA KUMBAKA MTOTO WA MKEWE MADALE, MAMA MZAZI NA HOUSE GIRL WALIA WAKISIMULIA “HAKI ITENDEKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 310

  • @ChikuHamisi-o8p
    @ChikuHamisi-o8p 17 วันที่ผ่านมา +22

    Dunia inaenda wap Eeh mungu tusamehe kwa yote adhabu hii unayotupa ni kali mno😢 binadamu tumekua wanyama Eeh mungu eeeh tunusuru tunusuru tunusuru💔😭🙌

    • @user-ce9gj6op8j
      @user-ce9gj6op8j 17 วันที่ผ่านมา

      😢😢😢 Mungu asikie kilio chetu uwiiiii inaumiza

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 17 วันที่ผ่านมา +13

    Hao walio mchapa mtoto wapuuzi kweli, mtoto anajuaje kuwa hili ni zuri hili ni baya, mnachapa mtoto ambaye hana hatia kwanini hakumpiga picha hiyo mara ya pili, mpate ushahidi wa vielezo. pole sana mama

  • @NahimanaAisatah
    @NahimanaAisatah 17 วันที่ผ่านมา +9

    Nikiskiaga ivi naskiaga mwili unakufa gazi mumgu wang 😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @rosehillary8742
    @rosehillary8742 17 วันที่ผ่านมา +11

    Nilichogundua Jamii yetu inaamini sisi wanawake tuko after mali
    Nasikitika sana
    Ukweli watoto wetu hawako salama maana kama tuna mashoga na chanzo ni wanaume ambao ni baba ,kaka wajomba na majirani zetu
    Mjue hayataisha haya matukio
    Kuna wanaume washenzi washenzi washenzi sana

    • @hejmabohejhej9
      @hejmabohejhej9 15 วันที่ผ่านมา

      Bado anamwita mumewangu he

    • @LizyElly
      @LizyElly 11 วันที่ผ่านมา

      Hata wanawake washenzi tena

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 17 วันที่ผ่านมา +12

    duh, mama anaficha sura huku nyumba inaoneshwa mpk geti sasa wanaoifaham iyo nyumba si watamjua huyo mama

    • @ggfffhii4706
      @ggfffhii4706 17 วันที่ผ่านมา +6

      Watu wa kalibu lazima wajue ila mm na ww hatuju

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 17 วันที่ผ่านมา

      @@ggfffhii4706 najua lakini waandishi hawapo makini

  • @MimahMimah-b7k
    @MimahMimah-b7k 16 วันที่ผ่านมา +7

    Yan atleast dada wa kaz kanyoosha maelezo nimemuelewa mama mtu ni kama analinda ndoa yake .mana anaeleza kama haamini au ni kama anaona mumewe anaonewa

  • @aggreynsemwa1380
    @aggreynsemwa1380 17 วันที่ผ่านมา +19

    Pia huyu mama ni mzembe sana, mtoto wa miaka 11 atalalaje chumba na babake. Hafai kuwa mama

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 16 วันที่ผ่านมา +1

      @@aggreynsemwa1380 ni stori ya kutia shaka sana mno

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 17 วันที่ผ่านมา +10

    Ningekua ni mm huyo baba tungegawana majengo ningemalizana nae usiku huo huo asubuh angeamkia hospital mboo hana na mm nikaamkia jela

    • @rosehillary8742
      @rosehillary8742 17 วันที่ผ่านมา

      Kabisaaaaaa
      Ningeing'oa kwa meno yangu

    • @Pendo-r6k
      @Pendo-r6k 17 วันที่ผ่านมา

      Mimi mwenyewe sidhan nsingeweza kuvumilia ningemnyonga

    • @Norisi-c6u
      @Norisi-c6u 17 วันที่ผ่านมา

      Unapiga na panga ucku

    • @ZainabuMsengec
      @ZainabuMsengec 15 วันที่ผ่านมา

      Yaan uyu dada bado anatamka ety namuuliza mume wangu ni kweli umefanya😮bado anaita mume wangu uwiiìiii

    • @pendomushi6351
      @pendomushi6351 9 วันที่ผ่านมา

      😂😂sio Kwa ubaya nimecheka jaman pole sana mama

  • @DorisShangwe
    @DorisShangwe 17 วันที่ผ่านมา +21

    mama ana maelezo mengi tofauti mara mtoto hamjui baba yake mara bibi yake. huyu mama atulie aeleze vizuri. naona ameumia ndoa kufa na sio mtoto kupata madhara

    • @khalsasalim7930
      @khalsasalim7930 17 วันที่ผ่านมา +2

      Kwakweli

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 17 วันที่ผ่านมา +1

      Inabidi iangaliwe usikute huyo Baba anamali kwa hiyo anataka amfilisi .Uchunguzi wa kina unatakiwa sana, maana mtoto mwenyewe kuna mizengwe iweje wengine watambue hayo.Sina uhakika wa hayo ila uchaguzi wa kina unatakiwa haswa

    • @spreadlove5300
      @spreadlove5300 17 วันที่ผ่านมา +6

      Acheni mentality za kimaskini kuna kitu gani hapo ambacho hakieleweki?

    • @TausiTawakali
      @TausiTawakali 16 วันที่ผ่านมา

      Mama Bado anampenda mume mbakaji mmningemuua uyo mwanaume

    • @givenessdavid3743
      @givenessdavid3743 16 วันที่ผ่านมา

      Funga kinywa Dunia Ina mengi ​@@spreadlove5300

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 17 วันที่ผ่านมา +6

    We mwqnamke zimo kweli eti mume wangu..picha linaanza huyu mumeo yupo nje kwa dhamana je mnaishi wote?na bado anakuvua chupi?mana mimi mpaka nakika hii naogopa tukio ambalo ningelifanya Dunia ingesha

  • @evamlay8997
    @evamlay8997 17 วันที่ผ่านมา +12

    mali zitatuuwa jamani wanawake

    • @user-ye3fy9kk6r
      @user-ye3fy9kk6r 17 วันที่ผ่านมา +1

      Kama upo makini maelezo ya mama mzazi na huyu wa pili tofauti,wallah sina imani kabisa na hili

    • @niwabisai7365
      @niwabisai7365 14 วันที่ผ่านมา

      Ata mm naona iyo kesi niyakutengeneza kwa uroho wa mali

    • @YosephaSwai
      @YosephaSwai 11 วันที่ผ่านมา

      Kama hujakutana nayo huwezi elewa nenda dawati au ustawi wa jamii utaelewa watoto wanafanyiwa ukatili kwa kiasi,mimi nishakutana na kesi ya watoto wawili kubakwa na baba yao mzazi kabisaa mtoto wa miaka sita na wa miaka kumi na baba ni Tajikistan mkubwa tu .Na hapo utasema ni Mali??Hebu wanawake tushirikiane kwa pamoja kupinga ukatili kwa watoto na sio wetu hata wa majirani zetu.Hali ni mbaya pia pateni muda wa kwenda kutembelea vituo vinavyotunza watoto waliofanyiwa ukatili ndio mtajua hali halisi na mtajua hali ilivyo mbaya.

    • @gladnessmduma5823
      @gladnessmduma5823 6 วันที่ผ่านมา

      Kwa taarifa tu ndugu huyu mke ndio animali kuliko mume hata nyumba waliokua wakiishi ni ya mwanamke ya ni hili liumbwa nalijua

  • @user-xq6rg2pb1x
    @user-xq6rg2pb1x 16 วันที่ผ่านมา +3

    Mimi ni mama nanina kemea vikali vitendo vya ukatili. Lakini stoli haijanyooka 1.mama alikuwa na utaratibu wa kumpima mtoto bikra mara akaacha kwann aliacha kwani kama alikuwa na wazo mtt angebakwa na watu wa ndani kwann akuwaza na watu wa nje.. tulosoma Gaza tusaelewa

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p 17 วันที่ผ่านมา +10

    Huyo mwanamke hajitambui. Yaani mtoto kabakwa miezi minane wewe mama mtu hujui? How come?

    • @aminaadam9914
      @aminaadam9914 17 วันที่ผ่านมา +4

      Huyu mama muongo. Anasitasita hadi haaminiki.

    • @ChikuHamisi-o8p
      @ChikuHamisi-o8p 17 วันที่ผ่านมา +4

      Maumivu anayopitia huyu mama ww hujui tumiachie tu mungu

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 17 วันที่ผ่านมา +3

      inawezekana vizuri tu. Huyo ni binti wa miaka 11 labda angekua anamuogesha au kumkagua angejua mapema

    • @paulojohn-bh2vz
      @paulojohn-bh2vz 17 วันที่ผ่านมา +5

      Jmn msimpe lawama huyo mama kwani huwezi mfikiria vibaya mtu wako wa karibu bila kupata udhibitisho mwenyewe 😢

    • @ole_larusai587
      @ole_larusai587 17 วันที่ผ่านมา +2

      Mama kashirikiana na ndugu zake kufunga riwaya

  • @DaudiDaudi-th2lj
    @DaudiDaudi-th2lj 17 วันที่ผ่านมา +10

    Haya maelezo ni kama hayajanyooka

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 17 วันที่ผ่านมา +1

      Hizo dua anayesoma ni nani?.Uchaguzi ufanyike wa kina

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 17 วันที่ผ่านมา

      Yanyooshe wewe basi!!! Wabongo mmeanza kudhani!!! Dah hata mtoto hamumjali mnajali mali!! Kawaambia nani kama huyu hamaa ana mali😣😣

    • @fatmamsiliwa8485
      @fatmamsiliwa8485 17 วันที่ผ่านมา +2

      Mbona mama.kama.anatunga story mbona hana uchungu

    • @fatmamsiliwa8485
      @fatmamsiliwa8485 17 วันที่ผ่านมา +2

      Maelezo hayana ukweli anajua kila kitu mtoto ajawa mwari akiingiliwa utajua ty maana hawez kukaa wala kutembea liongo ndiomana anajifunika uso

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 16 วันที่ผ่านมา +1

      Ni stori ya uongo 😅😅😅😅 kama una brain 🧠 ya maana kama yangu unaona ni uongo kabisa 😂😂😂😂

  • @QeenBleas-hc5lj
    @QeenBleas-hc5lj 7 วันที่ผ่านมา +1

    Nimuongo huyu mama namjua vizuri tuu anamsingizia kesi

  • @yustarmgaya
    @yustarmgaya 17 วันที่ผ่านมา +9

    sijui kwanini napata mashaka na maelezo ya huyu mke.

    • @muzneali4747
      @muzneali4747 17 วันที่ผ่านมา

      @Yustamgaya HEBU tueleze MASHAKA YAKO INGEKUWA MWANAO pia ungekuwa na MASHAKA??

    • @khalsasalim7930
      @khalsasalim7930 17 วันที่ผ่านมา +1

      Ningekua mm hata kuongea nisingeweza huyo mama anamaumivu kama ni uchungu wa kuzaa hapo ndio unarud upya

    • @Montana12-v2c
      @Montana12-v2c 17 วันที่ผ่านมา +2

      Uko sahihi dada niliwahi kutokewa na tukio kama hili nusu niozee jela ila binti baada ya kupimwa akakutwa bikra wanawake wa hivi sio watu wakuwaamini hata kidogo ukute mtoto katumwa na babaake mzazi kuharibu mahusiano ya mamaake

    • @Montana12-v2c
      @Montana12-v2c 17 วันที่ผ่านมา

      ​@@muzneali4747kuna kuaga na kesi za hivi zakusingiziwa ndomana huyo dada kasema hivyoo mi niliwahi kukutana na kisanga kama hichi sababu ilikua kwenye kumshauri mwenzangu mwenendo wa mtoto wake nikamwambia huyu mtoto kua unamkagua kwasabu tayari naona anadalili mpaka za kunitega anavua nguo mbele yangu na sio kawaida Kwa umri wake mama akariakti nakudai itakua Mimi natembea na mwanae kwanini niseme hivyoo kesi ikaanzia hapo hapo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nilishukuru mungu baada ya binti kupimwa akakutwa bikra ndo ikawa nafuu ya na tukaachana hapohapo 😂😂😂😂😂

    • @Montana12-v2c
      @Montana12-v2c 17 วันที่ผ่านมา

      ​​@@khalsasalim7930stori inamashaka mengi Sana hii ukimsikiliza huyu mama bila kutumia mihemko unawaza ukazani kuna mtu ameonewa hapa ila huyu mama anasiri yake moyoni hapo kuna mtu anatapeliwa hapo

  • @lizzygadiel1027
    @lizzygadiel1027 17 วันที่ผ่านมา +5

    Duuuu jmn dunia hiii jmn ad uyu dada anamwita tu mume wangu ety ni kweli wakata anaona mtt kwbakwa jmni ,yan wanaume wanamna hiyo wanyongwe tu wafee

    • @zepinashatibu5149
      @zepinashatibu5149 17 วันที่ผ่านมา

      Hapo ndiyo itakuwa dawa

    • @mohamedkisenga6654
      @mohamedkisenga6654 16 วันที่ผ่านมา

      Muongozo huyo dada sikiliza Kwa makini uongo mtupu

    • @edithaeugeni9695
      @edithaeugeni9695 16 วันที่ผ่านมา

      ​@@mohamedkisenga6654yaani nimuongo nimuongo mtupu Jamanii Mali hizi zitawatowa roho na hujuwii zilivyo patikana 😮😮

  • @pendomushi6351
    @pendomushi6351 9 วันที่ผ่านมา +1

    Nimeishiwa mpaka nguvu za ku comment 😢😢😢😢

  • @edithaeugeni9695
    @edithaeugeni9695 16 วันที่ผ่านมา +2

    Jamanii jamanii huu ni uwongo mtoto wa miaka11 aweze kuhimili Dogi staili jamanii so kwelii😂😂 hyo mtoto kaaribikia kwingine wallahi tena sema hyo baba Mali ndozinazo mponza 😢

    • @JohnMbughi-p8k
      @JohnMbughi-p8k 5 วันที่ผ่านมา

      Vitoto vya sikuizi chipusi nyingi iraukifuatilia wenye makosa niwalez kama wariona dalili kwanini wasichukuwe angalizo mapema

  • @selinakatega6691
    @selinakatega6691 17 วันที่ผ่านมา +2

    Hapo kesho anawekewa zamana..baada ya hapo anaweka mawakili mawakili wanamtetea kesi kwishaaaa..mbakaji anazamana 😅kesho anaenda kula mihogo

  • @EmanuelMbandi
    @EmanuelMbandi 17 วันที่ผ่านมา +6

    Km anataka mali huyo dada ipo sk atakufa

  • @amushemustafa
    @amushemustafa 12 วันที่ผ่านมา +1

    Kwanza wamama tunatakiwa tutenge mda wafaragha nawatt wetu siwake wala wakiume sahivi hawa wanaume sio watu kabisaa

  • @generosennko8343
    @generosennko8343 15 วันที่ผ่านมา +1

    . Ongeeni wazi na watoto wenu hata wakiwa katika umri mdogo. Msione aibu kuwatajia kwa lugha nyepesi ya wao kuelewa. Kwamba mtu yeyote haruhusiwi kwagusa mbele au nyuma awe baba awe kaka au mtu yeyote. Shirikianeni wanawake ktk hilo. Shetani wako majumbani na sio mtaani. Bora aibu kumtamkia mtoto mdogo hayo mafundisho kuliko aibu ya kumburuza mumeo mahakamani kwa aibu ya kulala na mwanawe. Ningelikuwa Tz. Ningeliomba ajira ya kufundisha elimu hiyo kuanzia 3 yrs old nk. Ili kuwalinda watoto wetu. Mahakama na polisi zetu ndio hivyo. Pole sana mama mzazi. Hukumu halisi itatoka kwa mungu

  • @ShemsaKiobya-x8h
    @ShemsaKiobya-x8h 17 วันที่ผ่านมา +3

    Kuna kaka kaacha kill kitu arusha nyumba 2 mke alimtengeneza mtoto ili aseme amebakwa na baba yake , kaka yule alitoroka baada ya polis kumsaidia atoroke waliona ni uongo mwisho wa siku yule mama. Anamtafuta yule baba ili walee watoto mnaona mambo hayo

    • @cheiknamouna2058
      @cheiknamouna2058 16 วันที่ผ่านมา

      Umeonae hata kakangu alifanyiwa hivyo tukatishia kuvunja chungu wakaja kutuma wazee waombe msamaha Na ndoa Yao ikaishia pale wakaachana mpaka Leo 😂😂

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 16 วันที่ผ่านมา

      ​@@cheiknamouna2058Tamaaa ya mali

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 16 วันที่ผ่านมา +4

    Sijui ni kisimu changu kimechoka mimi nliona kwa nje hayo mauwa kama madoti ya damu kumbe ni urembo wa kamtandio🙈

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 15 วันที่ผ่านมา +2

    Na ukute hapo anaswali swala tano😢😢😢

  • @ZainbAbubakary
    @ZainbAbubakary 16 วันที่ผ่านมา +2

    Ukweli anaujua MUNGU hapa mana kama sielewi au sijui niwarlezaji hawajui kujieleza

  • @gamgangweesechota3589
    @gamgangweesechota3589 17 วันที่ผ่านมา +1

    Kisasi cha Mungu ni kikali sana tubadilike wanadamu,tusali tuache kumtenda Mungu makosa yanayomuudhi vikali tujaalie mioyo ya sala ee Mwenyezi Mungu 🤲🙏

  • @neemalaurence
    @neemalaurence 13 วันที่ผ่านมา +1

    Hi mama anakua bize kiasi gani mpaka kushindwa kumkagua mtoto wa miaka 11 au kujua kama hayupo sawa hawa ndo wale wamama dont care anatakiwa naye akamatwe akae jela kidogo mana malezi yamemshinda kila kitu dada wa kazi anatumiwa mtoto kwakua haupo karbu yake kujua maendleo yake mm binafsi naona tuna kitu cha kujifunza kwa hii familia huyu mama yupo bize na maisha kuliko watoto wake anathamn ndoa hana muda na mwanae ndio mana hana taarifa za mtoto

  • @StellahLivogah
    @StellahLivogah 17 วันที่ผ่านมา +3

    Yan uuongo had shangazi mwenyewe anakosea maneno yan anatetemeka kwa kitu wanachoongea jaman🤐

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 15 วันที่ผ่านมา +1

    Ila wanaume hawa ni viumbe hatar sanaa😢😢😢😢me wang alitembea na mdada wa kaz ndan ya mwaka mzima anampa mimba bint na anamtoa mimba hapa kwangu wala nilikuwa sifahamu,,,niikiwa na mimba miez tisa ndo nilipomfumania sitokuja kusahau ile cku nililia sanaa😢😢😢😢,hawa viumbe msioolewa ndo mtawatetea lkn co mm jmn😢😢😢

  • @SirajiAbdalah
    @SirajiAbdalah 17 วันที่ผ่านมา +8

    Mna tamaa na mali za mwanaume waongo

    • @ETMEMBERTRADINGCOMPANY
      @ETMEMBERTRADINGCOMPANY 15 วันที่ผ่านมา +1

      ngoja yakukute ndio utajua ni mali au

    • @ericksimon3899
      @ericksimon3899 14 วันที่ผ่านมา +1

      Sio tamaa ya mali hapa kuna ukweli 80% ila mama mzazi anaongea kama mtu anayejaribu kutetea ndoa bila kujali haki ya mtoto.

    • @allykimbulaga8885
      @allykimbulaga8885 12 วันที่ผ่านมา +1

      Tumia akili sio kuongea ujinga omba mungu lisikukute kwa mtoto wako

    • @allykimbulaga8885
      @allykimbulaga8885 12 วันที่ผ่านมา

      Mamlaka za serikali waingilie hili kwa mwenendo INAONYESHA polis wameshatulizwa kimazingira ya RUSHWA huyo mtoto atakosa haki na kuna watu watakaoathirika zaidi waliotoa ushahidi mtuhumiwa akiwa huru anaweza kuwafanyia Mambo mabaya mama yupo kwenye mtihani MKUBWA ameshazaa na wanaume wawili tofaut itakuwaje kama kutakuwa na roho ya kisasi? Familia inakwenda kugawanyika lamsingi mtuhumiwa ahukumiwe kwa aliyoyatenda haki itendeke POLISI WAACHE RUSHWA

  • @niwabisai7365
    @niwabisai7365 14 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi naona apo wabanwe wotee iyo kesi maelezo yao nikesi yakumtengenezea uyo baba kwa uroo wa mali

  • @HappinessKhamis
    @HappinessKhamis 17 วันที่ผ่านมา

    Dah! Inauma sanaa,na inasikitisha mungu tunusuru sote.

  • @rachelndaki5642
    @rachelndaki5642 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mh maelez yahuyu. Mama sio jmn vi mmemskililiza vizuri kweli kwann unamtengenezea kesi huyo mmeo kama humtak siumwambie tu ukweli yani umenivurndia maelez yan umesha faha ukweli juu ya huyo mmeo ulipata wap nguvu ya kulala tena nahuyo mbakaj isngkua baba halis sipangkucha upo nae

  • @evamlay8997
    @evamlay8997 17 วันที่ผ่านมา +5

    Mbona kama mchogo jamani

    • @Dipeson700
      @Dipeson700 13 วันที่ผ่านมา +1

      Mim mwenyewe simuelewi mpka hamu ya kuskiliza inaisha

    • @khalidyjuma913
      @khalidyjuma913 5 วันที่ผ่านมา

      Wanachanganya maneno mpk noma

  • @lisahhans295
    @lisahhans295 15 วันที่ผ่านมา +2

    mmmmmmm anapuliza na fenu.mtoto mzoefu kulikov mama.

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 17 วันที่ผ่านมา +2

    Mue na akili hii huenda ni njama Usha ambiwa tuishinnao. Kwa akili harafu kwanini kuhoji upande mmoja mbona Hamna akili watangazaji

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 17 วันที่ผ่านมา +3

    Wanaume wa kitanzania sijui ni ibilisi gani ime wapata 😢

  • @dotnatajoseph2620
    @dotnatajoseph2620 17 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa maelezo ya anty wa mtoto inaonekana huyu mama kunamchezo anaucheza bado anaipenda ndoa yake haangali maumivu ya mtoto wake anaitetea ndoa yake huyu mama mzazi achunguzwe ili mtoto apate haki yake

  • @TeophilBuilding
    @TeophilBuilding 17 วันที่ผ่านมา +2

    Wandishi wa habari pesa inawaingizaga matatzon san dunia hadaha

  • @NeemaHussein-z6h
    @NeemaHussein-z6h 13 วันที่ผ่านมา +1

    MIMI SIO MWANASHERIA ILA HUU NI MCHONGO

    • @lugendoumaya3483
      @lugendoumaya3483 10 วันที่ผ่านมา

      Usiwe na roho mbaya uwongo wewe ulikuwepo

  • @user-sj6qh3yr5t
    @user-sj6qh3yr5t 17 วันที่ผ่านมา +1

    Hao watu wazima nao wanaficha sura?

  • @zawadimasamki246
    @zawadimasamki246 17 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani hizi kesi za ubakaji hasa za watoto chini ya umri wa miaka 18 zimezidi kuwa nyingi ipitishwe sheria ya kunyongwa hadi kufa na faini tunaoumia ni sisi wazazi hasa akina mama maana sisi ndio tunajua uchungu wa kuzaa

  • @SophiaAthumani-ri4lu
    @SophiaAthumani-ri4lu 11 วันที่ผ่านมา

    Mmmmm Pole sana inauma saana huu sio wakati wa kuamini yeyote,Mambo ni mengi Mungu amsaidie mtoto maana asipopata muongo mzuri ndo kuharibikiwa huko.

  • @elizabethandrea3122
    @elizabethandrea3122 14 วันที่ผ่านมา +1

    Hii hatari sijauelewa mtu uko nyumbani unapika ama unafua mtoto anabakwa uyo baba Hana hata hofu kweli duh!

  • @claudia1500
    @claudia1500 16 วันที่ผ่านมา +4

    Inawezekana tukio ni la kweli ila mama hajui kujieleza

  • @spreadlove5300
    @spreadlove5300 17 วันที่ผ่านมา +2

    Mtangazaji na wewee eti humuogeshi 😮😮 sasa unaweza kuogesha mtoto wa 11 years

  • @user-sj6qh3yr5t
    @user-sj6qh3yr5t 17 วันที่ผ่านมา +1

    Jamani huyo baba mungu amlaani na afungwe kifungo cha maisha ana niniyeye asiadhibiwe? Ila mumhoji huyo mtoto taratibu na baba yake pia

  • @MarckyCholla
    @MarckyCholla 15 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mama kama 90 vile

    • @happygomboya
      @happygomboya 14 วันที่ผ่านมา

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kweli aseee

  • @charlesmtaita9664
    @charlesmtaita9664 17 วันที่ผ่านมา +1

    Anamwingilia mtoto mama akiwepo pia? Kuna kitu hakipo sawa

  • @bakariomari24omar21
    @bakariomari24omar21 16 วันที่ผ่านมา +1

    Haya mambo hsyatoisha bila raia kuamua.mukingojea serikali hampati kitu .dhamana ipo

  • @IbraSimba-lz9mu
    @IbraSimba-lz9mu 13 วันที่ผ่านมา

    Allah atatenda haki katika hili
    Msingizieni kaka wa watu kisa tamaa ya mali na ujue dunia inawaona sawa na mungu yupo pamoja na mwenye haki yake

  • @EmanuelMbandi
    @EmanuelMbandi 17 วันที่ผ่านมา +2

    Hii ndo tatizo la kuoa mwanamke alie achika huyo dada muongo

    • @zepinashatibu5149
      @zepinashatibu5149 17 วันที่ผ่านมา +1

      Utakuwa ndugu yake mwanaume kumbuka mtoto wa mwezio ni wako umia maana hujui mtoto wako atafanyaje

  • @magdalenasirikwa517
    @magdalenasirikwa517 8 วันที่ผ่านมา

    Hii c ya zamani sana

  • @mohdkhalifa8828
    @mohdkhalifa8828 15 วันที่ผ่านมา +1

    Ao wanawake wakishagombana nao wanakutia kesi tu

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 8 วันที่ผ่านมา

    Uwiiii jmn tulelee wapi watt wetu? Wakikaa kwa bibi zao wanabakwa na babu zao wakikaa na mama zao wanabakwa na baba zao! Bado jamii iliyozunguka. Mungu wangu tusaidie kupigana hii vita

  • @Nestoemanuel
    @Nestoemanuel 16 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona kama mchongo huo😂😂

    • @BrunoNamanga
      @BrunoNamanga 16 วันที่ผ่านมา

      Sio lako ndio maana wsema hivyo

  • @ElsantosElMashallah
    @ElsantosElMashallah 17 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo mama anataka mali mwanaume aishie jela yeye amiliki nyumba na mali zake😢😢 Isha kuwa mchezo wanaume kutengenezewa kesi ili mama amiliki amli wanaume kuweni makini

    • @nicechande4687
      @nicechande4687 16 วันที่ผ่านมา

      Mwanaume Mia hana mama ndio mwenye hela alafu uzae na mtu watoto Wawili then umtengenezee kesi for what hayajawakuta ndio maana

  • @faridahussein8632
    @faridahussein8632 16 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mama pia afungwe

  • @saummohamedm435
    @saummohamedm435 17 วันที่ผ่านมา +2

    Sasa mnaonyesha nyumbn watu siwatajuA NI WAPI NA HUYU MTANGAZAJI MASWALI YA KUPUUZI. HAYA HUSIANI HATA NA HILO TATIZO KAMA MWEHU

  • @IsaacWKileo
    @IsaacWKileo 17 วันที่ผ่านมา +2

    Huo ni uongo uliopikwa

    • @EvarineMdaki
      @EvarineMdaki 17 วันที่ผ่านมา

      Subiri yakukute. Ndio utaelewa hii dunia.

  • @ShemsaKiobya-x8h
    @ShemsaKiobya-x8h 17 วันที่ผ่านมา +1

    Au wanataka kumdhurumu huyo baba jamani

  • @FatmaYusuph-lr4pd
    @FatmaYusuph-lr4pd 17 วันที่ผ่านมา +1

    Inauma😢jaman nyie nimelia

  • @pendomushi6351
    @pendomushi6351 9 วันที่ผ่านมา

    Kwanza mama hata hisia za kuhisi mtoto yupo tofauti hata kutembea jamani pia nilicho kigundua mama hana ukaribu na mtoto au watu wa hapo njumbani ndo maana 😢😢wamama tuwe marafiki na watoto uwiiiiii wababa wa skuz hawaeleweki

  • @gladnessmduma5823
    @gladnessmduma5823 6 วันที่ผ่านมา

    Huyu Mmbwa huyu anyongwe haiwezekani kumfanyia ndugu yangu unyama huu dah Kaka ufananiii

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 17 วันที่ผ่านมา +2

    Wewe Mwanaume Mungu amekuheshimu amekupa utajiri halafu unamkosea kiasi hicho??? Kenge wewe!!

  • @user-ys5iu3qu3u
    @user-ys5iu3qu3u 16 วันที่ผ่านมา +1

    Hili mama zembe mbakaji still you call husband

  • @amangearge9594
    @amangearge9594 17 วันที่ผ่านมา +1

    Kwanza nakemea ubakaji ila nawaza tu, mke anataka kesi iendeshwe haraka mume afungwe haraka, lengo siyo haki ipatikane lengo ni mume afungwe haraka, halafu iweje sasa? Mbona kama anaingilia utendaji wa vyombo vya dola ?
    1 Mtangazaji mbona hujamuuliza chanzo cha kuachana na mume wa kwanza?
    2. Hujamuuliza mali walizochuma?
    3. Hujamuuliza ikiwa alienda polisi kwann polisi wamjumuishe tena kumkamata usiku?
    4. Inawezekenaje mama yupo nyumbani et anafua nje, mtoto anabakwa hapohapo na kuna watoto wengine pia, halafu mama anasema hata mlango hawafungi na hajawahi kuwakuta wala kujua lolote.

  • @mwajabuhamisi7095
    @mwajabuhamisi7095 10 วันที่ผ่านมา

    Awa ni wazembe sana kwa kweli dalili zote izo zilikua zina onekana wazi wazi

  • @bonita329
    @bonita329 17 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu mwanamke na yeye nahisi sio mzima kiakili 😮

    • @StellahLivogah
      @StellahLivogah 17 วันที่ผ่านมา

      Yan mm naona kama ni mchongo ujue🙄🙄

  • @ziadasalimu1730
    @ziadasalimu1730 16 วันที่ผ่านมา

    Mtoto ameshazoe da! Uwiii mungu simama na nasi

  • @EmanuelMbandi
    @EmanuelMbandi 17 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu dada maelezo yake hayako sawa.huyo anataka mali

    • @priscatarimo4282
      @priscatarimo4282 17 วันที่ผ่านมา

      Kivipi sijaelewa

    • @SalhaRamadan
      @SalhaRamadan 17 วันที่ผ่านมา +1

      Swadaktaaaaaa huyo maelezo yake hayaeleweki

    • @nicechande4687
      @nicechande4687 16 วันที่ผ่านมา +1

      Mwanaume Mia hana mke ndio mwenye hela

    • @SalhaRamadan
      @SalhaRamadan 16 วันที่ผ่านมา

      @@nicechande4687 kwahiyo nyumba ni ya mke??

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk 16 วันที่ผ่านมา +1

    Maelezo yako Yana yumba ss unashindwa kumchunguza mtt ww mama ww mmh ss mtu yupo nnje na amesha toa hongoo

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 12 วันที่ผ่านมา

    Jamani haya matendo ya ubakaji kwa watoto wetu yanatuumiza sana sisi wamama,wanaume ni wakatiri sana sana😭😭,inauma sana jamani mimi kama mama nakosa hata neno,naogopa mnooo nawaza watoto wetu,hata sijui tuwafiche wapi 😭😭😭,ila mama uzazi nawe inaonekana kuna vitu unaficha,kweli matukio yote hayo ulindwa kushtuka na kuwa na wasiwasi na binti yako😢😢😢

  • @FranciscaMutua-m2k
    @FranciscaMutua-m2k 16 วันที่ผ่านมา

    Pole mama hayo n mapito magumu

  • @BenardSadani
    @BenardSadani 7 วันที่ผ่านมา

    Mi nakelek San awoooh wangekuwa wanapigwa sindano za kuwaasiwa ndo ingekuwa azabuyaoh bilaivy matukio ayatoish kasa Napoli's utasikia uchunguzi aujakamilik

  • @aliciamwalimu582
    @aliciamwalimu582 17 วันที่ผ่านมา +1

    Huu uongo umetengenezwa hamna ukweli kbs

  • @ggfffhii4706
    @ggfffhii4706 17 วันที่ผ่านมา

    Me natetemeka 😢😢😢😢 nyieee Mungu tulindie watoto wetu

  • @lugendoumaya3483
    @lugendoumaya3483 10 วันที่ผ่านมา

    Jamani dunia imebadilika mwanawake mkiwa mmeachika msikubali kuolewa 😂

  • @mamasalhat
    @mamasalhat 15 วันที่ผ่านมา

    Nimeumia sana mtoto kapitis maumivu sana kwa muda mlefu bila wao kujua na hapa tujifunze jambo tusiwe wakali kwa watoto wataogopa kituambia mambo wanayo fanyiwa

  • @ole_larusai587
    @ole_larusai587 17 วันที่ผ่านมา +2

    Kesi ya mchongo

  • @khamoshmikidadi618
    @khamoshmikidadi618 16 วันที่ผ่านมา

    Yaa rabbi😢sie tuliozaa na tunatak kuolew tena itakuaje😢mng wng nilindie wanang n huu mtihan

  • @LevinaKavishe-o8y
    @LevinaKavishe-o8y 10 วันที่ผ่านมา

    Mm binafsi siamini sheria kwani tulishapambana na kesi kama hiyo kwa mwaka mazima hukumu ikatoka mtuhumiwa jela miaka 30 lakini😢mwaka moja tu mtuhumiwa kaachiwa bila upanda wa mlalamikaji kupewa taarifa kufuatilia wanasema mtuhumiwa alikata rufaa kesi ikaendeshawa kimyakimya wakasema kuwa mtuhumiwa alikutwa hana hatia bila upande wa mlalamikaji kuambiwa ,wakati kulikuwa na ushahidi wa doctor, askari kuna mtoto mwingine aliye shuhuda na ushahidi wa sehemu ya tukio lakini bado aliachiwa...hapo nimejifunza hakuna kuamini polisi wala mahakama bora nichukue sheria mkononi kama ni mbwayi na iwe mbwayi

  • @lilianmartin5075
    @lilianmartin5075 17 วันที่ผ่านมา +4

    Mbona mtangazaji Kama ana mashaka na mama wa mtoto😮

    • @zepinashatibu5149
      @zepinashatibu5149 17 วันที่ผ่านมา +1

      Aibu anajionea kuwa mama mjinga

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 16 วันที่ผ่านมา +1

      Sababu ni muongo

  • @lilyshayo761
    @lilyshayo761 11 วันที่ผ่านมา

    Jamani hivi wanaume mna nini jamani kwanini hivi jamani serikali itafute dawa ya hiki kitu jamani tumbonla uzazi linauma jamani mungu hawa watu wananini jamani

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 17 วันที่ผ่านมา +1

    Huy bab ni muuaj san

  • @Kuruthumumakalawa
    @Kuruthumumakalawa 11 วันที่ผ่านมา

    Pore Sana mwanamke mwezangu ila jitaid kujiereza maana kwa maerezo Ayo unaisi utapata Haki kweri jotaidi kutoka maerezo ya kuereweka Ila pore sana

  • @FatmaYusuph-lr4pd
    @FatmaYusuph-lr4pd 17 วันที่ผ่านมา

    Hivi nyieee siku ya Kwanzaa tuu mmeonq alaf mnaendelea kukaa kimya kweli jaman mnashindwa kuchunguza zaid jaman tuachen uzembee huu inaniuma mnavusimulia kweli 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @JoyceShayo-r4y
    @JoyceShayo-r4y 12 วันที่ผ่านมา

    Yan huyo mma ni mwongo pia maelezo hayajitoshelezi huyo dda waliopo nje amekuja sangap kumpima na amejuaje hilo yan,, hiyo stor niyakutengeneza angalien kwanza na kufanya uchunguz ndipo mposti huo nimchongo tu

  • @tiffanymo9453
    @tiffanymo9453 16 วันที่ผ่านมา

    Aah Dahh its so sad!WOMEN,WOMEN i call u louder again WOMEN please this is the time to realy be careful with your children . They suffer a lot out there and the rest of the family’s they even solve these matters jst quitly,they dont know how they keep destroying this generation psychologically.MOTHER’S your daughters needs continuesly check up on them down there til their turning 18 yrs old,do not be ashamed for the sake of their safety.May God stand with our familly’s 🙏🙏🙏. #weneedtostandforthesegirls
    #Chilrenrightsmustapplyhere #weneedrightsforthislittlegirl.
    #actionspeakshere.

    • @YosephaSwai
      @YosephaSwai 11 วันที่ผ่านมา

      Well spoken madam we need God on this.

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 17 วันที่ผ่านมา

    Ndiyo maana nilikataa mahusiano nikijua hukumu za mwanangu namshukuru Mungu mwanangu amekuwa sasa nipo huru kuolewa mtoto anauma jaman 😢pole sana

  • @ViolinaDaniel
    @ViolinaDaniel 3 วันที่ผ่านมา

    Wewe dada simama upande wa mwanao ,mtoto wako ndiyo ndugu yako simama imara paza sauti mpaka haki itendeke

  • @nyakatongongo4292
    @nyakatongongo4292 12 วันที่ผ่านมา

    Lakini hawa wanaompa dhamana je angefanyiwa unyama huu mwanae angempa dhamana mtuhumiwa?,

  • @Niabebewamor413
    @Niabebewamor413 16 วันที่ผ่านมา

    Huyu mama kwanza bado anampenda baba mbakaji pili ni mzembe sana huyu mama loooo😢😢😢😢

  • @SarahEzekiah
    @SarahEzekiah 17 วันที่ผ่านมา

    Duh!!sijui huyu mshenzi alifikiria nini mpaka kutekeleza kitendo hiko jamani naomba serikali iingilie kati na ikiwezekana huyu baba anyongwe kabisa ajue uchungu wa kumbaka mwanae

    • @niwabisai7365
      @niwabisai7365 14 วันที่ผ่านมา

      Kesi ya mchongo iyo tamaa za mali

  • @abubakariali9848
    @abubakariali9848 17 วันที่ผ่านมา +1

    Mtangazaji umekosa maswali ya kuuliza mpk uulize DOG STYLE 😢 halafu anacheka 😮

  • @HassanNdauka-x1z
    @HassanNdauka-x1z 9 วันที่ผ่านมา

    Kwann muchelewe kutoka taarifa na wakati mlishamkuta anamfanya,? Na alikuambia kwann mliendelea kuuchuna? Ninyi ni wazembe

  • @emilianachaula1739
    @emilianachaula1739 17 วันที่ผ่านมา

    Dah! Dunia hii ipo mwishoni tumrejee Muumba wetu, lakini kunaumhim wa Sheria ya kifo kwa mafilaun kama haya.

  • @athumannchimbi1576
    @athumannchimbi1576 12 วันที่ผ่านมา

    Huyo baba afanyiwe ukaguzi wa akili na afungwe.