INAUMA: MREMBO ASIMULIA ALIVYOBAKWA AKAPATA VIRUSI VYA UKIMWI "BABA KAFA MAMA AKATOWEKA, NINA MPENZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • Hii ni PART ONE ya simulizi ya maisha ya Cherry, usikose kuitazama PART TWO kesho Jumanne November 14,2023 ambapo Cherry ataendelea alipoishia na pia Mpenzi wake aliyedumu nae kwa miaka mitatu atahojiwa pia na watapima kwa pamoja ili kututhibitishia kuwa Cherry ana VVU na Mpenzi wake hajaathirika na virusi hivyo.

ความคิดเห็น • 668

  • @esterpeter8295
    @esterpeter8295 10 หลายเดือนก่อน +49

    Hapa kunachakujifunza wamama kuacha watoto wadogo kwa sababu ya changamoto za family jamani kuwa KARIBU na watoto wetu😭😭😭😭 ila uyu dada nimependa sana kwa kuwa muwazi na kuifundisha jamiii MUNGU AKUBARIKI SANA 🙏

    • @rehemakanyere4188
      @rehemakanyere4188 10 หลายเดือนก่อน +2

      Ni kweli uvumilivu ni muhimu

  • @farajalongo4528
    @farajalongo4528 10 หลายเดือนก่อน +39

    "Cheating ni Mwanzo mzuri wa mtu kupata maambukizi ya HIV" 📌📌📌

    • @mayaally2512
      @mayaally2512 10 หลายเดือนก่อน +1

      NA UKIISUGUA HASWA KAMA UNATAFUTA GOLI 5 ZA YANGA VS SIMBA

  • @daudhabona8897
    @daudhabona8897 10 หลายเดือนก่อน +30

    Mume wake achongewe sanamu. 🎉. Ila nimegundua watanzania hatuna elimu nzuri ya HIV/AIDS

    • @faidhacute
      @faidhacute 10 หลายเดือนก่อน +1

      Hata kama ila ni wachache weny moyo kama WA huyu dada, walio wengi wanaambukza Kwa makusudi ty

  • @athanasmasmami5389
    @athanasmasmami5389 3 หลายเดือนก่อน +1

    Story nzur na yenye funzo ndani yake .)))Ayo team mnafanya vizur sana story yenu iko well organised hongera mtangazaj bakari jichua

  • @eliamtani2840
    @eliamtani2840 10 หลายเดือนก่อน +1

    yani bora hata vido vidox, anajua kuuliza maswali na anaongea kwa sauti, sio huyu sijui hata anaitwa nan, 😏😏😏

  • @lizzjojoh7280
    @lizzjojoh7280 10 หลายเดือนก่อน +7

    Cherry wewe ni msichana mdogo na jasiri.Iam proud of you gal.👏👏👏👏

  • @jamesmiyoyi8902
    @jamesmiyoyi8902 10 หลายเดือนก่อน +16

    Dada nenda tu kasome masuala ya HIV TEST AND COUNCIL ili uwasaidie wegine uko vizur sana nmekupenda bure

    • @snazzytee9178
      @snazzytee9178 10 หลายเดือนก่อน +2

      Tayari ni councilor wa hayo mambo

    • @joycegeorge-mf5kn
      @joycegeorge-mf5kn 10 หลายเดือนก่อน

      @@snazzytee9178 naomba maelekezo zaidi na Mimi napenda kujifunza ili nielimishe watu

  • @SalmaDachi-fq8tr
    @SalmaDachi-fq8tr 10 หลายเดือนก่อน +16

    Hao ndo wnaume rijali ambao wanaeza kubeba mapungu ya wenziwao mungu azidi kuwaumba amina

  • @eliamtani2840
    @eliamtani2840 10 หลายเดือนก่อน +2

    ila mtangazaji alikuwa anaongea kwa maringo, sauti iko chini, maswali hayasikiki. Mtangazaji alizingua sana.

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 10 หลายเดือนก่อน +25

    Mpaka nimelia 😢 wewe ni mwanamke wa💪God bless you 💞💞

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 10 หลายเดือนก่อน +1

    Rais anatununulia dawa duuuu kwa hyo alianza samia kuhusu hizi dawa? Madam duuuuuu

  • @anethjackson
    @anethjackson 10 หลายเดือนก่อน +26

    Mungu akutie nguvu dada angu..Unagusa maisha ya wengi sana❤️

  • @lampadshigonko3006
    @lampadshigonko3006 10 หลายเดือนก่อน +6

    skuiz ukimwi ni km mafua tuu..
    hakina tena ngonjwa linalotisha..
    kinachotisha ni hali ngumu ya maisha baasi

  • @siankini4265
    @siankini4265 10 หลายเดือนก่อน +2

    huyu mtangazaji hafai anaongea kama hataki. Millard hebu angalia.Anatafuna maneno

    • @nuubaby
      @nuubaby 10 หลายเดือนก่อน +2

      Kabisa jamn anakera,Yaan ananong’ona maneno anatafuna Millard atoe huyo

  • @EustacheKasongo-j5g
    @EustacheKasongo-j5g 10 หลายเดือนก่อน +33

    Mungu ata kusahidiya 😢Dada yangu much love from the 🇺🇸 USA we pray for you

  • @stellamsokwa6785
    @stellamsokwa6785 10 หลายเดือนก่อน +7

    Kuishi na virusi usikie tu kwa mwenzio,au story kama hivi,kama hujaambukizwa jitunze,kama umeambukizwa tumia dawa na zingatia lishe🚶

    • @amanimanase8798
      @amanimanase8798 10 หลายเดือนก่อน

      Mungu atusaidie kwakweli na atuepushie balaa hili

  • @farajalongo4528
    @farajalongo4528 10 หลายเดือนก่อน +10

    Hapa kwenye DINI Tumuachie MUNGU. 🤲

  • @SekelaJakson-ls7dd
    @SekelaJakson-ls7dd 10 หลายเดือนก่อน +5

    Mmh Ila hii story jaman pole sijui ni ya kwel hii story Ila pole kwa kupata maambukiz aijalish umepataje ila tu pole kwa maambukiz

  • @farajalongo4528
    @farajalongo4528 10 หลายเดือนก่อน +26

    Serikali tumieni mtu huyu kutoa elimu. Ifike sehemu watu wacheze ngoma wanazozijua. Vyeti vya nini sasa 😀😀😀😀

    • @salhawaziri1668
      @salhawaziri1668 10 หลายเดือนก่อน

      Kabisa sana huyu ni wakutumiwa sio limtu halijui hata maumiv ya kifua kikuu unamkuta ndo mshaur kwanin wasiwanyanyase

    • @neemamushi598
      @neemamushi598 10 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

  • @themanofgod7562
    @themanofgod7562 9 หลายเดือนก่อน

    Mgonjwa Wa Ukimwi Hapa South Africa Analipwa Na serikali. Pia Ukimwi Kwa South Africa ni swala la Kawaida.

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 10 หลายเดือนก่อน +13

    Nakupongeza sana kwa kuzidi kutia moyo kwa waliokata tamaa hongera sanakwa elimu unayotoa nimejifunza vitu vingi

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ukijipenda na ukajithamini maisha yatakuwa mazuri sana,it all begins with you,

  • @lucymallya4348
    @lucymallya4348 10 หลายเดือนก่อน +44

    Dada pole kwa yote yaliyokukuta kwenye maisha yako pia hongera kwa kile unachokifanya kwenye jamanii kutuelemisha juu ya ugonjwa wa HIV Mungu akubariki sana na akupe maisha marefu🙏

    • @sophiakassim6784
      @sophiakassim6784 10 หลายเดือนก่อน +1

      Aaamiin🤲🏿

    • @MatridaIsaya
      @MatridaIsaya 10 หลายเดือนก่อน

      Pole sana dada angu mungu hawezi kukuacha usikate tamaaa

    • @FloraNyanda
      @FloraNyanda 10 หลายเดือนก่อน

      Hongera Dada mrembo kwa ujasili, ombi langu okoka Kabisa. Mungu anakupenda sana na anakusudi na wewe.

  • @LucyKulaya-bj5ow
    @LucyKulaya-bj5ow 10 หลายเดือนก่อน +13

    Mungu anakupa jaribu ambalo anajua utaliweza ,cher Mungu wetu ni mwaminifu na anakusudi zuri na wew 😍😍

  • @diedonne1978
    @diedonne1978 10 หลายเดือนก่อน +2

    Naomba hii interview imfikie ummy huyu dada na yule dr wake wanatakiwa support kubwa sana kwenye utoaji wa elimu juu ya HIV ni watu muhimu sana kwa hili taifa , Tafadhali mwandishi uliyemhoji tengeneza hii documentary peleka wizarani

  • @ebenlatin-cc7gp
    @ebenlatin-cc7gp 10 หลายเดือนก่อน

    Wasanwanasematumeibiwa theywatputonrecod

  • @AdamJoshuambiseMbise
    @AdamJoshuambiseMbise 10 หลายเดือนก่อน +3

    Dada nakuakikishia ukimwamini mungu utapona

  • @johnmilly2737
    @johnmilly2737 10 หลายเดือนก่อน

    Nishagundua huu mchezo, lakin fresh

  • @collethamahenge5631
    @collethamahenge5631 10 หลายเดือนก่อน +9

    Mungu aendelee kukutunza siku zote dada cherry uko really sana sisi kama waTanzania Tunakupenda🥹🫂❤️

  • @jacksonabbas3933
    @jacksonabbas3933 10 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu mbnaa kaa n balozi wakutangaza matumizi mazuri ya ''ARv''.

  • @catherinenenula7450
    @catherinenenula7450 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa unatuadisia wewe mtangazaji bx msingemuita mtuhadisie khe milladi nawe vido vidox umemuweka wap

  • @magdalenajoel4409
    @magdalenajoel4409 10 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji kama fala sauti Gani hiyo unaongea kama hujala🚮🚮🚮🚮🚮

  • @pendokissatu937
    @pendokissatu937 10 หลายเดือนก่อน +6

    Chery Your so Beautiful na Ulivoamua Kusamehe TU Ndo Mungu aliamua Kukubariki

  • @HadithiHub
    @HadithiHub 7 หลายเดือนก่อน

    Pisi kali iv ina ukimwi?😢😢😢
    Guy Am single -harmonize

  • @kapatazaina5444
    @kapatazaina5444 10 หลายเดือนก่อน +1

    Pole kwa changamoto iliyokukuta.Mwenyezi Mungu aendelee kukupa ujasiri.

  • @OmariJuma-su6fz
    @OmariJuma-su6fz 8 หลายเดือนก่อน

    Nikweli use malo lakini usiwe sikuhizi watu awahamini serekalizetu ndomana wanasemahivyo kama serekali wanatunyima Michele unahotoka ulaya sasa wata kosa je kutafuta watu wakulipwa ndohiloujuwe dada

  • @andrewshirima6414
    @andrewshirima6414 10 หลายเดือนก่อน +1

    Cherry wewe ni baraka Sana, miaka mingi kwako, nikumbushe tu kuchit NI mwanzo mzuri wa maambukiz MUNGU atusaidie,

    • @JoyceKalago
      @JoyceKalago 10 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa maambukiz meng chanzo chake mara nying huanzia kwenhe kuchit😢😢😢😢

  • @farajalongo4528
    @farajalongo4528 10 หลายเดือนก่อน +21

    Wote wangekuwa kama huyu. VVU angeteketea. Shida ni kwamba watu hawataki kuwa wao tu 😢😢😢😢😢

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 10 หลายเดือนก่อน +2

      Shida c kuwa wao bali kunyanyapaliwa ndio kitu kikubwa ambacho wengi wao wanahamua kuwa kimyaa askari vidole

    • @fatihiyadossa375
      @fatihiyadossa375 10 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@shubebunyesi542nikweli kabisa shida nikunyanyapaliw ndomana watu wanaogop a kujiweka Waz

    • @mayaally2512
      @mayaally2512 10 หลายเดือนก่อน

      YAAN ILA KINA MWAJUMA NDALA MDEFU HAWATUMII DOZI VIZURI NA WANATOMBESHA NA KUFIRISHA HATARI😢😢😢

  • @mshua337
    @mshua337 10 หลายเดือนก่อน +23

    Cherry is such a strong woman I ever seen before.Go on Educating our community my Young sister 👏👏

    • @jicholafursa7058
      @jicholafursa7058 10 หลายเดือนก่อน +3

      Serikali mnasubiri nini kumtumia huyu binti aokoe mamia ya vijana, mfano halisi huu hapa msiendelee na nadharia hazisaidii sana.

  • @nathalieswedy3653
    @nathalieswedy3653 9 หลายเดือนก่อน

    Nalikumbuka lile pori dah

  • @LyonWalker_
    @LyonWalker_ 10 หลายเดือนก่อน +9

    kuna baadhi ya maeneo dada anatupanga
    dawa hanunui SAMIA wala sio GOVERMENT ya tanzania
    ARVs zinatolewa kwa msaada wa PEPFAR.
    Pia mtu aliyebakwa hapewi PrEP napewa PEP. point of correction nasio kama napingana na yeye NOTE:

    • @LyonWalker_
      @LyonWalker_ 10 หลายเดือนก่อน

      @@irenesangenoi965 ifahamike ivyo

    • @treasure12415
      @treasure12415 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@irenesangenoi965😂😂😂😂kn watu wana makasiriko

    • @mwana4599
      @mwana4599 10 หลายเดือนก่อน

      Na Global Fund

    • @LyonWalker_
      @LyonWalker_ 10 หลายเดือนก่อน

      @@mwana4599 Goverment ya tanxania inahusika kwa asilimia 3 kam sio 5 Tena kwenye kusambaza na sio ununuzi

    • @stevenmwenda3005
      @stevenmwenda3005 10 หลายเดือนก่อน

      Kweli ndugu hata mm nimeona kama hii ni ujanja flani hivi anatumika tu kuwapa moyo wanaotumia dawa pia swala la prep amedanganya after kubakwa anapewa pep baada ya kuwa exposed prep anapewa kabla ya tendo la ndoa

  • @philomenasilomba5174
    @philomenasilomba5174 10 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu akupe maisha marefu na pole na yote uliyo pitia,barikiwa sana , unaupendo wa kweli.

  • @zahrababygarl1568
    @zahrababygarl1568 10 หลายเดือนก่อน +8

    Mama pole sana your so beautiful unaongea vizuri sana Mwenyezi Mungu akujalie kila lenye kheri uzidi kuwa mrembo hivi hivi na kutoa Elimu kwenye jamii yetu ❤❤❤❤uko jarisi sana kati ya wanawake majarisi niliowahi kukutana nao nakupa number mbili wewe ni wa thamani sana sending a lot of love ❤❤❤❤❤

  • @erickkimwaga5431
    @erickkimwaga5431 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mtangazaji hasikiki anauliza kama anatongoza, anashindwA na huyo dada mike kaweka vizur😡😡

    • @paulinabengel
      @paulinabengel 10 หลายเดือนก่อน

      😂 kumbe na ww umeona

  • @sara-os9dn
    @sara-os9dn 10 หลายเดือนก่อน +7

    MUNGU AKUPONYE DADA UR SO SPECIALLY..TUNAKUPENDA

  • @devotajulius7572
    @devotajulius7572 10 หลายเดือนก่อน +4

    Kunyapaa kwa kweli bdo ipo kwa sababu muda mwingine mtu anakaa na HIV anakuwa mkali sana pia anataka akuambukize tu kwa lazima .

  • @carolinanyagani
    @carolinanyagani หลายเดือนก่อน

    Mara kafa mara mchungaji me Sijaelewa kwakwel

  • @RechaelEasily
    @RechaelEasily 9 หลายเดือนก่อน

    Wale wanawake na wanaume wanaoamin kwamacho kwamba mwanamke huyu nimzuri nimsafi ametakata mwili mzma jaman jaman jaman ugonjwa huo ni tishio lako katika maisha yako sio ugonjwa wa kuchukulia poa ukiwa nao hutaishi ukiwa freee
    Imagen ukutane na huyu dada njian alivo mzur hutaacha kumtogoza jaman

  • @AbdulKato
    @AbdulKato 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana sister!
    Umesema huna dini then ukasema unaamini uwepo wa Mungu na kumuomba...!! Bila shaka wewe una dini hata kama sio Uislam au Ukristo, maana dini ni utaratibu/mfumo wa maisha anao utumia mtu kumtambua na kumuabudu Mungu/Muumba wake.
    Point ya pili ni Kama unaamini uwepo wa Mungu basi ni muhimu kwako kutafuta na kujua ni utaratibu gani huyo Mungu amekuekea ili uweze kumuabudu kama anavyotaka yeye sio unavyotaka wewe. Kama Mungu ametuumba na kutuleta hapa duniani bila shaka ametuwekekea utaratibu wa kuishi na kumuabudu, japo ametupa free will to do whatever we want to do lakini na mwongozo katupa kwamba this is good and this is bad so choice is yours.
    Ushauri ni kwamba tufuate Muongozo alietuwekea Muumba wetu na sio kufuata tutakavyo sisi, na ni jukumu letu kutafuta ni upi mwongozo aliotuwekea Muumba wetu.

  • @mohamedhamad2374
    @mohamedhamad2374 10 หลายเดือนก่อน +1

    JAMAA ANAULIZA MASWALI KAMA TAJIRI SAUTI INATOKA HAISIKIKI VZURI UTAFIKIRI AMELAZIMISHWA.

  • @MuhammadHassan-xp6dc
    @MuhammadHassan-xp6dc 10 หลายเดือนก่อน +7

    jamani kwani mukihojiwa hamuwezi kuongea kiswahili mwanzo mwisho mpaka muweke kingreza!

    • @Fatima1234-wl1nu
      @Fatima1234-wl1nu 10 หลายเดือนก่อน +3

      Acha wivu mm naongea kiswahili lkn nikiongea lazima niingize na kiarabu yaani kimeshani sana kwa hiyo acha makasiriko 😏😏

    • @shangwefisima3993
      @shangwefisima3993 10 หลายเดือนก่อน

      Ndo ujue kingereza Tanzania kinazidi kukua! Acha wivu

    • @MuhammadHassan-xp6dc
      @MuhammadHassan-xp6dc 10 หลายเดือนก่อน

      @@Fatima1234-wl1nu تمام شكرا

    • @maryonyango
      @maryonyango 10 หลายเดือนก่อน

      Jifunze😂😂😂😂

  • @amosdastan1006
    @amosdastan1006 10 หลายเดือนก่อน +10

    Nimekubali sana sister she is real ❤

  • @Kindishi
    @Kindishi 10 หลายเดือนก่อน +6

    Mwanadada mwelewa kabisa na ameelimika katika swala hili. Hongera sana. Tatizo jamani sis watanzania kila kitu tunapenda kukiwekea dosari eti analipwa kupigia debe watu wanywe dawa!! Wanasayansi wanakesha kutafuta mbinu mpya zakutatua magonjwa wengine wanakuwa wakaidi. Waombaji walokole na waganga wakiwaambia mfanye vitu fulani fulani mnawaani...sayansi hapana.🎉

  • @happymrema7487
    @happymrema7487 6 หลายเดือนก่อน

    Njoo nikupe dawa upon kabisa

  • @basiliamalangu6168
    @basiliamalangu6168 10 หลายเดือนก่อน +7

    Asante kwa msaada wako, unatusaidia sana sisi watoa huduma ya afya kuelimisha jamii yetu

  • @marialipunge6368
    @marialipunge6368 10 หลายเดือนก่อน +3

    Nakupenda cherry mpaka natamani ningekujua muda mrefu nadhan dada yangu angeiona hii interview angeishi maisha marefuu but no way out alikata tamaa Wala hakutaka kutumia dawa 😢😢😢😢

  • @SemeniJuma-x8i
    @SemeniJuma-x8i 7 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli anaushawishi ni vyema achukue huo ushauri kuhusu kufungua ngos kwa ajili ya wanaoishi na hizo hali

  • @HimidiNgao-kq2zh
    @HimidiNgao-kq2zh 10 หลายเดือนก่อน +1

    Pole na hongera kwa ujasiri ambao mungu amekupatia.Nakupenda kipenzi

  • @gb-one6435
    @gb-one6435 10 หลายเดือนก่อน +4

    Hii ndio tafsiri halisi ya Wakati mwingine Matatzo yako yanaweza kuheuka kua fulsa nakuona ulifanikiwa zaidi kwakupitia ujasiri huu ulio nao naona Wizara ya afya Iki kupa kazi ya ushauri Kwa Watu wanao ugua VVU
    Pole sana madame

  • @DevotaMasatu-bv5cu
    @DevotaMasatu-bv5cu 10 หลายเดือนก่อน

    mi nawaambia ila ukubaliane na kuachwa ila nasema sitaki dhambi kumbe ndio maana siolewi nimejifunza kukaa kimya leo

  • @Zabibumedia
    @Zabibumedia 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera cherry kwa ushuja wako. Ukipata mda piga boss wako wa zamani dodoma

  • @AliceLugenge
    @AliceLugenge 10 หลายเดือนก่อน +7

    Nimekupenda sanaaa cherry mungu wa mbinguni akushindie uendelee kutufunza zaidi

  • @mohamedhamad2374
    @mohamedhamad2374 10 หลายเดือนก่อน +2

    NASHINDWA KUMALIZIA STORY HII KWASABABU YA MWANDISHI ANAULIZA MASWALI KWA SAUTI YA CHINI HIVYO INAONDOA MVUTO WA STORY HII.

  • @fatumakimaro3186
    @fatumakimaro3186 7 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mwanangu mungu yupamoja nawe

  • @FrankMsela
    @FrankMsela 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akujalie dada akpatie maixha marefu uendelee kuelimixha jamii kwan unafaa

  • @mimiyeye8597
    @mimiyeye8597 10 หลายเดือนก่อน +12

    Mungu muhimu.

  • @thefamilystar6283
    @thefamilystar6283 10 หลายเดือนก่อน

    Mirad kk huku kwetu kunashida tuna omba uje gongoramboto

  • @zainabramadhani9838
    @zainabramadhani9838 10 หลายเดือนก่อน +7

    Jamaniiii ukimwi unatisha uwezi kujuwa Kwa kuangalia sura au umbo Mwenyezi Mungu atuepushie jamanii

    • @fefeonlyme5394
      @fefeonlyme5394 10 หลายเดือนก่อน +4

      Kuna magonjwa mabaya na hatari zaidi ya ukimwi Mungu atuepushie

    • @sawackoswald9322
      @sawackoswald9322 10 หลายเดือนก่อน

      Nini kimekutisha Africa mnaishi kwa hofu sana ila kihalisia hutakiwi kuogopa ama kupanick

  • @Am-vo5cu
    @Am-vo5cu 10 หลายเดือนก่อน +1

    Pole dadangu mkenya hapa 🇰🇪 sema tuu bwana mungu wa israel dhambi ambayo hukusudia - Pia utubu kwa kuchukua boyfriend ukijua wewe mgonjwa na kumzingizia tubu hiyo dhambi...omba tuu utapona kwa jina la yesu. Just say to the God of Israel that you want healing and that sin you never purposed. God will heal you

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 10 หลายเดือนก่อน +1

    Unajua kumbukumbu mbaya zinadumu Sana yani,,,Sasa dada kama haupo tayar kuhojiwa kwanin ulikubali kufanya interview??

  • @fridamapunda5079
    @fridamapunda5079 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu akubariki sana dada akupe mahitaji yako ❤❤❤

  • @ElizabethNdalahwa
    @ElizabethNdalahwa 4 หลายเดือนก่อน

    Nenda Kaponda kwa tr msigwa dada

  • @Janet178
    @Janet178 10 หลายเดือนก่อน +2

    Sio kwel dar ukimwita hata mtu mwiz wanamuuwa,Kama ulidangany mtu anakufa,so dar ni among ya sehem ambayo ukipiga kelele watu wanajaa

  • @faridakassim2996
    @faridakassim2996 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mic 🎤 za bakari chijumba inatakiwa zifanyiwe marejekebisho au bakari mwenyew haongei akamaliza maneno mbona cherry tunamsikia vizur jitahid rekebishen hayo nampenda sana cherry so beautiful, confidence,

  • @BoniphacePatrick-dj2rb
    @BoniphacePatrick-dj2rb 10 หลายเดือนก่อน

    Huyu hakubakwa cheki masikio katoboa skia kaaa dada poa iv

  • @anuaritemlashy6319
    @anuaritemlashy6319 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nimejifunza mengi. Bless you sis❤

  • @Emiliana97
    @Emiliana97 10 หลายเดือนก่อน +7

    Wow
    Nampenda sana
    Naupenda ujasiri wake na upole wake Mungu ampe maisha marefu ♥️

    • @laylatifahoumar-qb4uk
      @laylatifahoumar-qb4uk 10 หลายเดือนก่อน

      Yani mi nawashangaa watu wanamshangaa mtu kujitangaza kuwa ana maambukizi ya virusi vya ukimwi wakati wanasex na watu wasowajua bira condoms na wanamaambukizi ya virusi vya ukimwi😅😅😅

  • @OlyUpowerfuljesus
    @OlyUpowerfuljesus 10 หลายเดือนก่อน +15

    Dada umeiva Sana juu ya elimu ya HIV Mungu akibariki unawasaidia wengi wasio na elimu hii. Nimekupenda ♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @bensonmshiu1894
    @bensonmshiu1894 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mabaharia tuache kupimia kwa macho

  • @thescop1003
    @thescop1003 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nakuona ndugu mtangazaji unavyojifikilia umekutana na wangapi mtaani😂😂

    • @dianarosederick7154
      @dianarosederick7154 10 หลายเดือนก่อน

      😀😀😀😀😀ata mm nimemuona anavyomuangalia huyo dada like ooh my God

  • @malichanda3146
    @malichanda3146 10 หลายเดือนก่อน +4

    Dada wewe malikia wa nguvu aise unafaa Sana kwenye nnji yetu 🙏

  • @TausiMokiwa
    @TausiMokiwa 10 หลายเดือนก่อน +7

    Dada mungu akusaidie sana umetoa alimu nzur sana dada 🙏🙏🙏

  • @robertigohe7477
    @robertigohe7477 10 หลายเดือนก่อน

    Yesu Kristo ni wa rehema mno,anaponya na kubeba mizigo iliyokulemea watu

  • @gracefihavango2162
    @gracefihavango2162 10 หลายเดือนก่อน +3

    Cherry Mungu azidi kukutia nguvu,pole kwa yaliyokukuta ila endelea kusonga mbele

  • @zamdaabdallah3961
    @zamdaabdallah3961 2 หลายเดือนก่อน

    Martha, I am so proud of you my love Keep inspiring good people you are very special

  • @edwardmakonge6951
    @edwardmakonge6951 10 หลายเดือนก่อน +2

    kutokuwa na dini ni mtihani,cherry tafuta dini itakufaa sana pale utakapo maliza maisha yakohapa duniani.

    • @hasanichengula68
      @hasanichengula68 10 หลายเดือนก่อน +1

      Dini haikupeleki popote kakwambia anamwamini mungu nayupo kwanguvu za mungu cyo dini

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 10 หลายเดือนก่อน

    Brava dada uko vizuri kwa mafunzo mbona mtangazaji kigugumizi 😅

  • @williamloserian5999
    @williamloserian5999 10 หลายเดือนก่อน +5

    ❤❤Pole sana dada angu na pia tunashukuru sana kwa SoMo zuri umetufumbua akili daaah.... mungu aendelee kukueka hapa duniani ili uendelee kutoa elimu❤❤

    • @adelalanta3362
      @adelalanta3362 10 หลายเดือนก่อน

      Pole dada angu mungu we2 nimuanifu

  • @Evergreenmovement_Tz
    @Evergreenmovement_Tz 10 หลายเดือนก่อน +7

    Amini kuwa kwa Nguvu za Mwenyezi Mungu Unaweza Kupona Kabisaaaa....Amini tu🙏

  • @diedonne1978
    @diedonne1978 10 หลายเดือนก่อน +1

    ❤ Unaelimu nzuri na kueleweka kuhusu huu ugonjwa, keep it up dada mungu akupe uwezo uwafikie watu zaidi na zaidi, GOD bless you madam and Elton

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera cherry kwa kujikubali nakuonyesha ukomavu wa Hali ya juu napia wewe ni smart ila nataka nikusahihishe kitu Rais hanunui dawa za ARV hizo dawa nchi inapewa Bure na Marekani kupitia shirika lao la misaada USAID hatuna uwezo wa Kununua gharama zake kwa mwezi si chini ya billion 400 sisi tusingeweza kwahiyo Marekani apewe sifa zake sio Rais wetu.

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 10 หลายเดือนก่อน +55

    She speaks very lovingly,i just love her she's real and beautiful ❤

    • @marthawairimu4614
      @marthawairimu4614 10 หลายเดือนก่อน

      Very inspiring

    • @nahimanamayassa8305
      @nahimanamayassa8305 10 หลายเดือนก่อน

      Wallah,and she's very confidence i really love her an proud of her🎉

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mbn ha2jaona vipimo sasa
    au mambo yamegeuka ndvyo sivyo?

  • @SuleimanAlawi-s8j
    @SuleimanAlawi-s8j 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo mpenzi wako nmemvulia kofia 🙌

  • @rahmajaffar794
    @rahmajaffar794 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera upon shujaa sana nimefurahi Mungu alidumishe pendi lako na akijaalie umri.mrefu mulee watoto wenu vizuri , God bless you all

  • @felistamashinga123
    @felistamashinga123 4 หลายเดือนก่อน

    Jamaniii

  • @irenekitomary7271
    @irenekitomary7271 10 หลายเดือนก่อน +6

    I love u cherry wangu 🥰🥰🥰🥰

  • @pastorteddywaziri5754
    @pastorteddywaziri5754 10 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mpendwa kwa jaribu ulilonalo lakini nakuomba hii confidency uliyonayo igeuze uiweke kwa Yesu japo umesema huamini ktk dini naamini utapona.Zaburi 103:3 inasema( akusamehe dhambi zako zote akuponya magonjwa yako yote)pia hakuna lisilowezekana kwa Mungu( luka 1:27).Mimi ninachoamini ukiamini ukakubali kuombewa utapona.

  • @DianaJacob-v8t
    @DianaJacob-v8t 10 หลายเดือนก่อน +5

    Chery God lives.in your heart Mungu akutunze

  • @AlbertThadeo
    @AlbertThadeo 10 หลายเดือนก่อน +5

    Cherle huwezi kumuona mungu bira kuokoka na kumwamini yesu na yesu kiristo

    • @YUSUPHHUGUGU-vh9rx
      @YUSUPHHUGUGU-vh9rx 10 หลายเดือนก่อน

      Yesu pia kaokolewa na MUNGU sijuw kwann unamfanya awe MUNGU wako. Ukwel Ni kwamba Yesu hawez kumuokoa mtu Wala kumponya mtu anaeokoa na kuponya Ni mmoja t ambaye Ni MWENYEZI MUNGU MTUKUFU (ALLAH(SW))

    • @edwinalexander1170
      @edwinalexander1170 10 หลายเดือนก่อน +2

      @@YUSUPHHUGUGU-vh9rx kwani kulikuwa na ulazima wa kukashifu dini yetu?? Si ungemshawishi kumwamini Alah wako kwa maandiko yako. Mapepo tu yanakusumbua.

    • @fatumachinguluma9109
      @fatumachinguluma9109 10 หลายเดือนก่อน

      ​@@edwinalexander1170😂😂😂mbona mapepo 🙌