MAMA ALIFARIKI /NINA VVU / NILIKUWA NA MAHUSIANO NA WENGI / HATUKUDUMU - DOREEN ODEMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2021
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 65

  • @dianamsangawale9925
    @dianamsangawale9925 2 ปีที่แล้ว +8

    Daaaah,Mungu akutie nguvu Dada angu na uishi miaka mingi zaidi na uwe mwenye furaha

  • @jumanurdini9814
    @jumanurdini9814 2 ปีที่แล้ว +10

    Pole xna binti Doreen jamn 🙏 🙏 ww n binti mzuri

  • @azizaabeid2055
    @azizaabeid2055 2 ปีที่แล้ว +3

    Yani mie nampenda huyu dada muda wote anatabasamu MashaAllah mzuri mwenyewe mungu azidi kukupa afya kwani kuwa na ukimwi sio mwisho wa maisha

  • @janethjohn7053
    @janethjohn7053 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akutie nguvu na unaweza kupona kwa sababu tafiti zinaendelea

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 2 ปีที่แล้ว +6

    She's so beautiful

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 2 ปีที่แล้ว +5

    Ugonjwa wa KANSA ndio tishio kubwa sana Duniani bila kujali nchi masikini na tajiri. Kuwa na VVU unaweza kuishi navyo hata miaka 50 to 60,mradi utumie dawa. Kansa hata utumie dawa maisha yake mafupi sana, kutegemea ni stage ya ngapi.Ishi kwa imani yako na Mungu wako na usisikiluze ya watu wanasemaje au wanakuonaje.

  • @antoinekatembo8520
    @antoinekatembo8520 2 ปีที่แล้ว +9

    Pole sana binti M/Mungu aendelee kukupa faraja na ujasiri mkubwa wa kuendelea kuistamili hiyo hali!

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 2 ปีที่แล้ว

    Allah tunaomba Rehma zako!! yasafishe majanga haya mazito!!

  • @maishakisunzu1029
    @maishakisunzu1029 2 ปีที่แล้ว +3

    Hongera Sana Doreen kujiamini ni Jambo la kheri

  • @aboubaqarally9834
    @aboubaqarally9834 2 ปีที่แล้ว +2

    Vijana tunakufa kizembee sanaa!!🤔 Hembu tazama pisi kali kama huyu wapo wangpi kitaani. Baharia ukipewa namba unaomba game unatumia mkongo ukifikir unasthili kusifiwa na baby wako kumbe ooh. Dah. but Mungu akupe maisha mareefu sna we dada. upo Really

  • @geofreyjackson9292
    @geofreyjackson9292 2 ปีที่แล้ว +6

    I really Love you dear, stay blessed ❤️❤️.

  • @devothaignatus5911
    @devothaignatus5911 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana Mungu aktetee uckte tamaa mungu atakpigania kwanza ww nimzr sana

  • @aloyceiluminata3650
    @aloyceiluminata3650 2 ปีที่แล้ว +9

    HIV is not a big deal these days....na hao virus wa HIV wanaenda ku disappear baada ya miaka 30-40 ijayo.. that's why wameleta the new virus (corona) which is very very stubborn.....wanajua HIV inaelekea mwisho so lazima waendelee kufanya biashara zao that's NWO.. that's world

  • @aishaimam1442
    @aishaimam1442 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana ila haina mmoja my d hii mitihan n ya kila mtu inamkuta

  • @zubedamagambo9600
    @zubedamagambo9600 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole ndugu, Mungu azidi kukutia nguvu.

  • @evanjelcamelkizedeck1356
    @evanjelcamelkizedeck1356 2 ปีที่แล้ว

    MUNGU BABA akupe afya njema dear

  • @faridaaloyce7672
    @faridaaloyce7672 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Doreen

  • @christinajmnkenyi724
    @christinajmnkenyi724 2 ปีที่แล้ว

    We nijasiri na usikate tamaa big up

  • @jumamohamed1233
    @jumamohamed1233 2 ปีที่แล้ว +3

    WANAUMEEEEEEEEE!!!! HANGEEEEEEE HATARI HIYOOOOOOOOO INAKUJAAAAAAAA, KAENI MKAO WA KUSUBIRI PILAU MAANA MHHHHHH!!

    • @agnessherman57
      @agnessherman57 2 ปีที่แล้ว +2

      Huna ubinadamu wewe

    • @talinangwira6245
      @talinangwira6245 2 ปีที่แล้ว +1

      Pumbu kweli wewe

    • @patrickpeter1800
      @patrickpeter1800 2 ปีที่แล้ว +1

      Mdomo wako hauna breki hyu hajapenda kuwa hivyo alizaliwa na maambukz badaya ya kumuombea wewe wa mtenga au din yako yakufundisha ivyo

    • @azizaabeid2055
      @azizaabeid2055 2 ปีที่แล้ว +1

      Kaka tena mate chini hujafa hujaumbika hakuomba huyu ila mungu alikuwa kashamuandikia na kuwa na HIV sio mwisho wa maisha wanakufa wazima huumwi popote kwani tujuwe kufa ni lazima muda wowote si lazima uwe na ukimwi hatakiwa tuwatenge walakuwanyanyapa kesho yetu kaka hatuijui tuwe na busara na kauli zetu

    • @abdulazizmwipi9295
      @abdulazizmwipi9295 2 ปีที่แล้ว

      @@patrickpeter1800 ww dini yetu haifndshi hvy usihusishe dini hpo ni ujinga wke kaongea dini hpo haihusiki

  • @user-gp9qr7lc5r
    @user-gp9qr7lc5r 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤

  • @fatumaabdallah6720
    @fatumaabdallah6720 2 ปีที่แล้ว +3

    Umenenepa sana

  • @allahakujazekheriwowww5694
    @allahakujazekheriwowww5694 2 ปีที่แล้ว +4

    Uko mkweli

  • @patrickpeter1800
    @patrickpeter1800 2 ปีที่แล้ว +1

    Polesana ndugu mungu yu pamkja na wewe

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 ปีที่แล้ว

    Pole san dada

  • @fatymamy9902
    @fatymamy9902 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana doreen

  • @maigathomas2353
    @maigathomas2353 2 ปีที่แล้ว

    Polee

  • @trifainanjalika5100
    @trifainanjalika5100 2 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa kutusemea mumy itz very painfull lakin tunatakiwa tuish ili tupambane Mungu tutie nguvu

  • @mariamibrahim6738
    @mariamibrahim6738 2 ปีที่แล้ว +1

    Wallah

  • @linahcharles3981
    @linahcharles3981 2 ปีที่แล้ว +1

    So sorry Dear

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 ปีที่แล้ว

      mashallah dada dorini amezidi kunenepa sn Allah atakupa kizazi vhema lnshallah

  • @ivonvena9409
    @ivonvena9409 2 ปีที่แล้ว

    Ukimw ni kawaida kuliko Corona sahv watu wanaishi miaka mingi kuliko wazima

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 2 ปีที่แล้ว +8

    Namjuwa huyu dada ni anajisikia hatari.. tumeaoma wote

    • @khadijabakari2932
      @khadijabakari2932 2 ปีที่แล้ว +2

      Hatakiwi kuwa mnyonge wandug

    • @mayaproducts5294
      @mayaproducts5294 2 ปีที่แล้ว +2

      Ndivyo wanavyo kuwaga watu aina hii sio kujisikia yaani ni wakuwavumilia.

    • @najuf8021
      @najuf8021 2 ปีที่แล้ว +3

      Sio kujiskiani hal yakuhofia watu

    • @msafirisalum8436
      @msafirisalum8436 2 ปีที่แล้ว +1

      Msamehe bure tu sio yeye ndio kama anavyokueleza matatizo aliyonayo

    • @dafemadafema1365
      @dafemadafema1365 2 ปีที่แล้ว +2

      Kujisikia ni kawaida ulitaka asijisikie kwan yeye n mait si mzima huyo nyooo

  • @gichainedaudimokami6784
    @gichainedaudimokami6784 2 ปีที่แล้ว

    Can I get her contact?

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 2 ปีที่แล้ว

    Huyu si tulishamuonaga kwenye chanel nyingi tu akisimulia kuhusu afya yake ameibuka tena

  • @moricemorice75
    @moricemorice75 2 ปีที่แล้ว

    Naomb namb yake dor

  • @rajah9328
    @rajah9328 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole san Dda yngu ata mim girlfriend alkua n virus kw upendo akanielezea kusikitisha alibakwa na bbke wa kambo

    • @chichimloli5926
      @chichimloli5926 2 ปีที่แล้ว

      Ikawaje baada ya apo najua ulmuacha,je muna urafki

    • @rajah9328
      @rajah9328 2 ปีที่แล้ว

      @@chichimloli5926 aliponishow ada dawa zake still tulkua twa meet mwnywe akaamua tuwe marafiki hkutka tena niwe mpenzi wke nilimsii haja geto mara kw mara nadhni mwisho akaamua kubdlisha line coz yey akua hjua ameathriki n twa meet ady alipofika 4m akaelezwa ukwel ckufichi ady sai ntfuta namba yke kw best zke coz nilisafar warabuni iwpo ingekua anipendi angeniachia n bdo ningekua Kenya cjui uko wapi coz ata marafiki

    • @zuenaaliy1925
      @zuenaaliy1925 2 ปีที่แล้ว

      @@rajah9328 yuwaitwa nani cz de sm story like my fruend

    • @rajah9328
      @rajah9328 2 ปีที่แล้ว

      @@zuenaaliy1925 sas iwpo alinipenda haknitel afya yake den ni mtaje jina lake uoni apo usaliti nani pia ni makosa makubwa ata daktari mwnywe awezi sema mtu flani ameathriki

    • @zuenaaliy1925
      @zuenaaliy1925 2 ปีที่แล้ว

      @@rajah9328 sawa mzee baba ww ukirudi 001 mtafte hata kma sio kimahusioni bt umuone tu

  • @user-gp9qr7lc5r
    @user-gp9qr7lc5r 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤