Mrembo mwenye UKIMWI akielezea stori yake

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024
  • DADAZ

ความคิดเห็น • 153

  • @angelherman5464
    @angelherman5464 5 ปีที่แล้ว +25

    mrembo kama huyu ukikutana nae barabaran lazma umpende tyuu bila kujua looooh mungu akupe nguvu jaman

  • @adolfnkumbi9353
    @adolfnkumbi9353 5 ปีที่แล้ว +11

    Mungu akubariki kwa kuwa umeamua kuwa muwazi..... be blessed Mom for being transparent

  • @safiyasafiya5014
    @safiyasafiya5014 5 ปีที่แล้ว +17

    Mzuri maskini pole mdogo wangu wala usikhofu kufa kumeubwa hata asie na ukimwi pia atakufa kwa maradhi mengine muhim tumia dawa zako tu mungu akusmamie mpenzi

  • @estherngowi8102
    @estherngowi8102 5 ปีที่แล้ว +2

    wallah ningelikuwa mwanaume ningekuoa nisingejali chchte. ur the super, love you to the maximum my young

  • @marysamwel1039
    @marysamwel1039 5 ปีที่แล้ว +2

    Dada umeonyesha ushujaa mkubwa sana nakupongeza pia nikutie moyo kuwa mungu atakutunza zaidi na utaishi maisha marefuuu

  • @nestoryvunja2885
    @nestoryvunja2885 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki mdogo wangu...nakuombea uwe na moyo wa huruma hivyo hivyo

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 5 ปีที่แล้ว +3

    Yaani doreen wewe ni shujaa kama mashujaa wengine.naomba utumie muda wako kuwaibua mashujaa wengine wenye afya kama yako.Mungu atakuinua kwa style hiyohiyo ya kujitangaza na kuwatia moyo.

  • @suzanakuyi1518
    @suzanakuyi1518 5 ปีที่แล้ว +18

    sio mrembo mwenye ukimwi. ni muathirika wa virus vya ukimwi.

    • @antoinekatembo8124
      @antoinekatembo8124 5 ปีที่แล้ว +3

      Naam kabisa! Yuko na virusi vya ukimwi na siyo ugonjwa wa ukimwi! Just to clarification!

    • @nnzogimaltin6409
      @nnzogimaltin6409 5 ปีที่แล้ว

      Hahahha

  • @allywaziri9838
    @allywaziri9838 5 ปีที่แล้ว +4

    duuuh 25 Age daah Mungu hatuepushe inshaAllah

  • @hadijamkilila2048
    @hadijamkilila2048 5 ปีที่แล้ว +11

    Nimekupenda sana Doreen,kuathirika sio kufa wakati wengi wakijikinga na HIV hufa kwa ajali ya boda ,kila LA Kheri kwako mungu akutie nguvu

    • @helenjonsob5718
      @helenjonsob5718 5 ปีที่แล้ว

      Hadija Mkilila kwa hiyo unatka watu wasijikinge?

    • @ibrahimmdigwa2480
      @ibrahimmdigwa2480 5 ปีที่แล้ว

      Dada nakukubali sana Kwa kujitowa

  • @annabalenga4420
    @annabalenga4420 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutie nguvu mdogo wetu
    Mungu nimwema utaishi tu bila shida kwa nguvu ya Mungu.

  • @jenifaleonard3910
    @jenifaleonard3910 ปีที่แล้ว

    Hongera xna nimekupenda dada yang

  • @mtuifrida3144
    @mtuifrida3144 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ni mwema, ni muaminifu, ukimtumaini hatokuacha. Big up Doreen, utaishi mpaka ushangae. Hongera kujikubali. Love youuuu

  • @asiamwarabu7510
    @asiamwarabu7510 5 ปีที่แล้ว +3

    Allah akutie nguvu kuugua sio kufa dadaang

  • @Alihamdulil
    @Alihamdulil 5 ปีที่แล้ว +1

    Big up dada doren ondemba

  • @evelynmac4359
    @evelynmac4359 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimekupenda mungu akutunze

  • @upendomlelwa565
    @upendomlelwa565 5 ปีที่แล้ว +7

    Lov u

  • @jeskambise3482
    @jeskambise3482 2 ปีที่แล้ว

    Pole dada ila MUNGU yupo na anweza

  • @frpme2611
    @frpme2611 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akutunze iko cku dawa itapatikana usikate tamaa nimekupenda cna

  • @bulayaconfidential7212
    @bulayaconfidential7212 5 ปีที่แล้ว +15

    Ww bhoke una nn lkn, yaan unasema ni cku ya kusherehekea ukimwi badala ya kusema cku ya kuazimisha ukimwi.. umezingua sana.

  • @mrishogange4276
    @mrishogange4276 5 ปีที่แล้ว +3

    Nimempenda uyu mtoto,nipo tayar kushare nae swala hilo ila awe mke wang aise

    • @edwinalexander1170
      @edwinalexander1170 5 ปีที่แล้ว

      Mrisho Gange nawe pia umeathirika kwani mkuu?

    • @fardhanamahmoud7313
      @fardhanamahmoud7313 5 ปีที่แล้ว

      @@edwinalexander1170 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @angelrimoy2365
      @angelrimoy2365 4 ปีที่แล้ว

      Mrisho Gange itakuw na wew unao polen jmn

    • @user-xc8ec5uc5e
      @user-xc8ec5uc5e 2 หลายเดือนก่อน

      Usiogope ndio maisha

  • @scolasticaanyango160
    @scolasticaanyango160 5 ปีที่แล้ว +1

    It's life thank you for sharing.

  • @dominalukas3739
    @dominalukas3739 5 ปีที่แล้ว +4

    Dada naomba niwe lafiki yako mm mwenyewe naishi namaambukizi

  • @chistinawallasch2827
    @chistinawallasch2827 5 ปีที่แล้ว +2

    Umepona Mungu amekuitikia maombi yako.

  • @ngasikajoel9576
    @ngasikajoel9576 5 ปีที่แล้ว

    Asee noma sana sista uko vzr una confindence ya kutosha

  • @christinasalehe2025
    @christinasalehe2025 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe maisha marefu jmn

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 5 ปีที่แล้ว +4

    STRONG WOMAN

  • @manyanyapeter4640
    @manyanyapeter4640 5 ปีที่แล้ว

    Binti mungu akusimamie unamoyo wabusara utaishi miaka mingi

  • @lilianimichael9868
    @lilianimichael9868 ปีที่แล้ว

    Naomba mamba yako

  • @danybony6829
    @danybony6829 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimempendah huyu Mdada...

    • @rukiamanyambe3428
      @rukiamanyambe3428 5 ปีที่แล้ว

      Dada nimekupenda sanasana mungu andoe marazi yote madogomadogo dorini naitaji namba zako tuongee zaidi

  • @Alihamdulil
    @Alihamdulil 5 ปีที่แล้ว +1

    May Allah blessing you and give you a good health

  • @christinakilua7387
    @christinakilua7387 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu aendelee kukupa nguvu odemba

  • @delabossreizer9471
    @delabossreizer9471 5 ปีที่แล้ว +6

    Naombaaa nambaaa za uyu manzi maana kama kifo kipo kwa kila mtu siku ikifika kila mtu atakufa nimempenda sana natk kumchumbia ase mzuli ivi

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 5 ปีที่แล้ว +1

      De la boss reizer 😁😁😁😁😁 walahi umenishinda tabia,,,, mana mm uyu ningekutana nae wakati cmjuwi ata cmtilii shaka napita pekupeku ila kw saizi csubutu ww umenishindaaaa...

    • @crershawmafia1009
      @crershawmafia1009 5 ปีที่แล้ว +2

      😂😂😂 utakufa mbwa ww

    • @delabossreizer9471
      @delabossreizer9471 5 ปีที่แล้ว

      @@abdulmohd6880 😂😂😂😂kaka uyu demu mzuli bn kifua kimejaa tele sijamuona chińi asee

    • @delabossreizer9471
      @delabossreizer9471 5 ปีที่แล้ว

      @@crershawmafia1009 hahaha lkn sio vizuli kumtenga kwani aiwezekan kupiga pwichi kwa kondom akabeba mimba namm nikawa salama 😂😂

    • @aishaathuman6461
      @aishaathuman6461 5 ปีที่แล้ว

      De la boss reizer nimekupenda sana mungu akutiye nguvu Pia usiachekutumia dawa zako

  • @jacksonkatindasa2607
    @jacksonkatindasa2607 5 ปีที่แล้ว

    mungu azidi kukujali uzima dada angu usije kata tamaa kwajili ya wanadam

  • @zawadianagabriel9768
    @zawadianagabriel9768 5 ปีที่แล้ว +4

    Dada mzuri jaman ukimwi cyo kufa mumy

  • @mdomani2404
    @mdomani2404 5 ปีที่แล้ว +3

    My classmate jmn Doreen pole mumy

  • @josiahmarwa8395
    @josiahmarwa8395 2 ปีที่แล้ว

    You are wise

  • @josephshayo6641
    @josephshayo6641 5 ปีที่แล้ว +2

    Nmekupenda Doreen ningekuwa mwanaume ningekuoa coz unajitambua sana

    • @edwinalexander1170
      @edwinalexander1170 5 ปีที่แล้ว

      joseph shayo lakini Joseph wewe si mwanaume au? Au ni wale wanaume wa Jina?

    • @angelalfred8128
      @angelalfred8128 5 ปีที่แล้ว

      Anajiongelesha ushuziii huyu usimthiaki mwenzio ujui kesho yako

  • @jacksonkundaelly4700
    @jacksonkundaelly4700 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimekupenda bure dada yangu

  • @ethelkatambala1659
    @ethelkatambala1659 5 ปีที่แล้ว +15

    Naomba namba ya huyo mdada...

    • @edwinalexander1170
      @edwinalexander1170 5 ปีที่แล้ว +1

      Ethel Katambala alafu utamponya?

    • @magehkihwele8274
      @magehkihwele8274 5 ปีที่แล้ว

      Edwin Alexander 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @diamondplatnum8375
    @diamondplatnum8375 4 ปีที่แล้ว

    Mi Nampenda ata kama ana ukimwi

  • @ezekielnjau8830
    @ezekielnjau8830 5 ปีที่แล้ว +1

    Hatari sana

  • @OmanOman-fk7ke
    @OmanOman-fk7ke 4 ปีที่แล้ว

    Upo vuri munguakusaidie

  • @azzaalmaamry76
    @azzaalmaamry76 5 ปีที่แล้ว

    Poole dada mungu akutie nguvu

  • @lydiebaleke8815
    @lydiebaleke8815 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akutiye ngufu Dada

  • @ismailmajala2802
    @ismailmajala2802 5 ปีที่แล้ว

    Bhoke umetoa macho balaaa 😆😆😆😆

  • @jaklinesamwel7025
    @jaklinesamwel7025 5 ปีที่แล้ว +7

    Siogopi ukimwi naogopa kansa

    • @edwinalexander1170
      @edwinalexander1170 5 ปีที่แล้ว

      Jakline Samwel weeeeeeeeee weeeee ngoja wakuletee ndo utajua ulikuwa una tafuta kiki

    • @jaklinesamwel7025
      @jaklinesamwel7025 5 ปีที่แล้ว

      @@edwinalexander1170 hahahaaaa

    • @angelalfred8128
      @angelalfred8128 5 ปีที่แล้ว

      Mimi pia na ogopa Sanaa Cancer akuna dawa ata yakusogeza siku unaenda unajiona mweeh

    • @angelalfred8128
      @angelalfred8128 5 ปีที่แล้ว

      @@edwinalexander1170 hahahaha nimecheka

  • @josiahmarwa8395
    @josiahmarwa8395 2 ปีที่แล้ว

    Want to meet you

  • @roidatadey8656
    @roidatadey8656 5 ปีที่แล้ว +1

    Duuuuh mzur iyo

  • @godsproperty2956
    @godsproperty2956 5 ปีที่แล้ว

    Haki shes very beautiful....huyu vijana watalamba tu haki!! Very pretty

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 5 ปีที่แล้ว +2

    daaa msupu huyu dadaangu jamani why ugonjwa huu ukimwi😂😂😂😂😂

  • @hundamaniamania872
    @hundamaniamania872 5 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kupona ni bahati sio ujanja lo,Toto bomba ngozi soooft ,kishavu shavu nini,njicho nyanya lkn mgonjwa.God bless us

  • @wilsonrando926
    @wilsonrando926 5 ปีที่แล้ว +3

    Naomba number zake please, kuna kazi tungependa kumpa kazi

  • @albertmalangalila4763
    @albertmalangalila4763 5 ปีที่แล้ว +2

    kwa kifupi ninayo combination ambayo inawasaidia wenye virusi vya ukimwi. wamepima kabla ya kuanza kutumia kuona viral load na cd4 na baada ya mwezi wanapima tena. wote afya zao zimeimarika cd4 kupanda sana. tunategemea baada ya miezi 7 watakuwa status ya virusi ya undetectable and untransmittable. ukiona hili lina mashiko kuweza kusaidia usisite kunipigia simu .yenye whatsup ili nikutumie vipimo vyao ili ujionee .

  • @zuwenadavid856
    @zuwenadavid856 5 ปีที่แล้ว

    Pole mpenz mungu akutie nguvu

  • @signalboy4260
    @signalboy4260 5 ปีที่แล้ว +1

    duuh hiyo ttle mbona ya kifala

  • @albertmalangalila4763
    @albertmalangalila4763 5 ปีที่แล้ว +1

    Doreen wewe ni shujaa natambua hilo . naomba contact yako ya simu yenye whatsup niweze kuzungumza na wewe namna ya kuweza saidia watu wanaoishi na virusi vya ukimwi.

  • @neemalkiswaga6126
    @neemalkiswaga6126 5 ปีที่แล้ว +4

    Kumbe tumemaliza pamoja la saba

  • @maria_mutondioriginal5
    @maria_mutondioriginal5 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutunze Doreen I love you sana

  • @ibnahmad607
    @ibnahmad607 5 ปีที่แล้ว

    Duh! Kweli don't judge a book by looking its cover.
    Mana ukimuona huwezi amini kama kaathirika, yani anavutia tu.

  • @jaffaryhassany9832
    @jaffaryhassany9832 5 ปีที่แล้ว

    Ila kazur jaman dah mi ata siogop ukimw nimekupenda bure ukimwi

  • @teddymeela2791
    @teddymeela2791 5 ปีที่แล้ว +1

    Role model

  • @sylviemutwale9527
    @sylviemutwale9527 5 ปีที่แล้ว +4

    Mh ana roho ngumu kweli kwanini aweke azarani mbona wengi wanao wako kimya

    • @antoinekatembo8124
      @antoinekatembo8124 5 ปีที่แล้ว

      Watu wanatofautiana aisee!

    • @edwinalexander1170
      @edwinalexander1170 5 ปีที่แล้ว

      Sylvie Mutwale ili wanaume kama sisi tupone !!! Mnataka muendelee kutuua??

    • @angelalfred8128
      @angelalfred8128 5 ปีที่แล้ว

      @@edwinalexander1170 hahahaha

  • @evankya1955
    @evankya1955 5 ปีที่แล้ว +2

    Mbona haijamalizika? Can't u post the whole interview in one video?

  • @Mazwazwa
    @Mazwazwa 3 ปีที่แล้ว

    Doreen amefanya uamuz mzur sn

  • @josephpaul3145
    @josephpaul3145 5 ปีที่แล้ว +3

    Dah huyu amenipa nguvu asee mana Jana nimejamiana na mutu wa hali hyo BT naomba anitumie no ake kwa 0629958969 ili anipe ushauri wa fon live

  • @josej9888
    @josej9888 5 ปีที่แล้ว +4

    Kuna nyimbo iliimbwa usipime kwa macho! Halafu mbona hamuweki mahojiano yote mnaweka nusu?

    • @aksasmon7998
      @aksasmon7998 5 ปีที่แล้ว +1

      Yaan nusunusu

    • @edwinalexander1170
      @edwinalexander1170 5 ปีที่แล้ว +1

      J JOSE kweli uaipime kwa macho, ila wengi utawajua ukiwa makini kwani huwa mdomo lazima uwe na alama katikati ya mdomo na kwenye fizi.

    • @josej9888
      @josej9888 5 ปีที่แล้ว

      @@edwinalexander1170 siku hizi wanaweka lipustick utajuaje?

  • @firdausnassor1105
    @firdausnassor1105 5 ปีที่แล้ว +2

    mbona mnaweka vitu nusu nusu ninyi

  • @khadijaissaissa5824
    @khadijaissaissa5824 5 ปีที่แล้ว

    Pole San Dada

    • @monicagahini2459
      @monicagahini2459 5 ปีที่แล้ว

      Jamani kumbe tume Soma wote mungu atakurinda

  • @mbodzebemasika7477
    @mbodzebemasika7477 5 ปีที่แล้ว +6

    Kuuliza tu mbona wale walio athirika kwa ngono mbona hawajitokezi..wanao jitokeza hawa wa ukimwi wa utotoni

    • @zenaycechanzinho6702
      @zenaycechanzinho6702 5 ปีที่แล้ว +1

      Ww ukiathirika kwa ngono utajiweka hadharan??ni swal tu..

    • @mbodzebemasika7477
      @mbodzebemasika7477 5 ปีที่แล้ว

      @@zenaycechanzinho6702 hata mimi nauliza...ni swali tu

    • @zenaycechanzinho6702
      @zenaycechanzinho6702 5 ปีที่แล้ว +4

      @@mbodzebemasika7477 kwa fikra zako wakijitokeza utawapa mchango gn ww binafs na unadhan waja wengine watawapa mchango gn kma sio matus na kashfa na kejeli???!!! Nijib ni swal tuu

    • @mbodzebemasika7477
      @mbodzebemasika7477 5 ปีที่แล้ว

      @@zenaycechanzinho6702 hata mimi najiuliza kama wewe ni swali tu

    • @agnessjohn8404
      @agnessjohn8404 5 ปีที่แล้ว

      mbodze Bemasika jitokeze mwenyewe😁

  • @angelmunis4214
    @angelmunis4214 4 ปีที่แล้ว

    Doreen ist unatumia jina gani?

  • @dastunluswaga5182
    @dastunluswaga5182 5 ปีที่แล้ว +2

    We huna aise ...mbona unavutia hivooo

    • @robertmagary3697
      @robertmagary3697 5 ปีที่แล้ว

      Uwezi kumtambua kwa macho ndomana tunashauliwa kupima

    • @husnauthman7609
      @husnauthman7609 5 ปีที่แล้ว

      Nenda uwe nae ili ujue

  • @jamilagg8858
    @jamilagg8858 5 ปีที่แล้ว +2

    Ilav mamy

  • @paschalphidelisjr809
    @paschalphidelisjr809 5 ปีที่แล้ว

    Number muhimu

  • @stevoovlogs8645
    @stevoovlogs8645 5 ปีที่แล้ว

    So sad

  • @priscasiame9179
    @priscasiame9179 5 ปีที่แล้ว

    Kansa na kisukari ndo nouma lkn ukimwi safi tu

    • @ibnahmad607
      @ibnahmad607 5 ปีที่แล้ว

      Omba Mungu akupe ndo utajua ni kawaida au hapana.

    • @jennykabisa3589
      @jennykabisa3589 4 ปีที่แล้ว

      Omba uzima yote inabidii kumeza cocktails kila siku,usisahau hiyo sio homa ile uisha yenyewe bora kujichunga

  • @aminamwangile1047
    @aminamwangile1047 5 ปีที่แล้ว +1

    Pole mwaya

    • @abdalahmheta3840
      @abdalahmheta3840 5 ปีที่แล้ว +2

      Hongera kwaujasiri nakujiamini were nimfano wakuigwa

    • @shaddiaibrahim4714
      @shaddiaibrahim4714 5 ปีที่แล้ว +1

      mbona muzuli vivo jamani

    • @crershawmafia1009
      @crershawmafia1009 5 ปีที่แล้ว

      @@shaddiaibrahim4714 😂 mzuri ila kaumia

    • @jennifermsafiri845
      @jennifermsafiri845 5 ปีที่แล้ว

      Ubarikiwe kwa kuonyesha Jins gan unajikubar mungu akupe maisha marefu,,

    • @hildamalebo9586
      @hildamalebo9586 5 ปีที่แล้ว

      Pole mwaya but kama hutojali nitafute.

  • @albertmalangalila4763
    @albertmalangalila4763 5 ปีที่แล้ว +1

    simu yangu ni 0754294785

  • @angelherman5464
    @angelherman5464 5 ปีที่แล้ว +3

    mrembo kama huyu ukikutana nae barabaran lazma umpende tyuu bila kujua looooh mungu akupe nguvu jaman

  • @jenimwakasoko6410
    @jenimwakasoko6410 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akutie nguvu, akutunze

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki wa upendo, usafi wa moyo ndio unatakiwa