EXCLUSIVE: HISTORIA YA PROFESA KABUDI KUANZIA SHULE, ALIPOZALIWA NA UTUMISHI WAKE SERIKALINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 41

  • @HajiAbjeid
    @HajiAbjeid หลายเดือนก่อน +1

    Prof .Asad❤

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 5 หลายเดือนก่อน +3

    Hujamtaja Prof. Shivuji

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 หลายเดือนก่อน +1

      Kutokana na urefu wa simulizi yetu ndiomana tumeladhimika kupunguza washirika " ndiomana tumewaachia ninyi Uwanja wa comment kutujuza zaidi😊

  • @mwasagamwambuli3513
    @mwasagamwambuli3513 วันที่ผ่านมา +1

    Mwandishi wa makala hii umekosea kidogo kuelezea wasifu wa ndugu yangu Kabudi katika eneo la usomi wake. Mimi mwenyewe nimekuwa naye darasani kidato cha tano pale Milambo mwaka 1975 akitokea Tosamaganga nami nikitokea Kigoma sekondari na kumaliza naye form six 1976.Pale Milambo alikuwa kiranja wa starehe na mimi nikiwa kiranja wa michezo

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  วันที่ผ่านมา +1

      Shukrani sana 🤝

  • @marcokaroje8980
    @marcokaroje8980 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi huwa naelewa kuwa Prof Kabudi ni Mhehe na siyo Mnyaturu mwandishi haya mengine umeyatoa wapi

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kabudi anajua vitu vingi ni msomi sanaaa hatuna shaka na hilo lakn shida ya wasomi wetu wanaharibiwa na wanasiasa yan kwa kifup taalum zao hazilisadii taifa mana wanageuka kuwa chawa wa serekali

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂

    • @SuleimanKhamis-k1v
      @SuleimanKhamis-k1v 3 หลายเดือนก่อน

      Kabudi ni jembe namkubali sana

  • @NursamiaKiligaliga
    @NursamiaKiligaliga 5 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu jamaa namkubali sanaa

  • @zengomikomangwa9264
    @zengomikomangwa9264 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kabudi anajua vitu vingi sana

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 หลายเดือนก่อน +1

      Genius 😎

  • @zengomikomangwa9264
    @zengomikomangwa9264 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mtu anayemdhihaki Kabudi nadhani hamfahamu vizuri.

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 หลายเดือนก่อน +1

      Sure 😁

  • @filbertcarlos2946
    @filbertcarlos2946 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sema berega na sio barega??

  • @BofuMlanzi
    @BofuMlanzi 13 วันที่ผ่านมา +1

    Tunapenda kujua faida iliyoletwa katika nchi yetu na wingi wa maprofesa katika vitu vya kuonekana sio vitu vya maelezo au vya kuelezwa. Hatupendi kusikia maelezo tunataka mprofesa wagunduzi na wabunifu sio uandishi au utungaji wa vitabu tu. Kama maprofesa wote wataandika vitabu nani atakuwa mtendaji? Tumechoka simulizi za hadithi hadithi tunataka tuoneshwe hiki kimefanywa na profesa fulani sio stori.

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  13 วันที่ผ่านมา +2

      Safi Sana mtu wetu wa nguvu haya ni Mawazo chanya katika kujenga nchi yetu , SASA Tupo tunarekebisha KAZI ZETU ila soon tutaanza kuonesha vitu walivyovifanya maprofesa wetu wa Tanzania Hapo tunaamini utakuwa umepata kile unachokiitaji na watanzania wengine

  • @humphreymwihambi4330
    @humphreymwihambi4330 5 หลายเดือนก่อน +2

    Kabudi ni mgogo wa Dodoma aliyezaliwa wilaya ya Manyoni Singida kwakuwa baba yake Mchungaji Kabudi alikuwa huko. Kwao ni Mvumi Makulu alikozikwa baba yake mzee Kabudi. Mama yake mwl Kabudi yuko Mvumi hadi leo hii.

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 หลายเดือนก่อน +1

      Ahsante Sana🤝👊

  • @robertsongola6034
    @robertsongola6034 5 หลายเดือนก่อน +1

    Maprofessor wanaosaidi Inchi ni wangapi?

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 หลายเดือนก่อน +1

      Wako wengi Sana mkuu 😢

  • @FelixMiyamini
    @FelixMiyamini 5 หลายเดือนก่อน

    Ngoma zito

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam 5 หลายเดือนก่อน +1

    Prof ISSA Shivji ndo gwiji Wala siyo Kabudi, huyo ni Prof. msaka tonge tu.

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 หลายเดือนก่อน +1

      😢😂

  • @FelixMwedipando
    @FelixMwedipando 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ni wachache watu wa aina yake.Hajikwezi.

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 หลายเดือนก่อน +1

      Nikweli😊

  • @robertsongola6034
    @robertsongola6034 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amesaidiwa na kodi za wananchi yeye katusaidia nini kama taifa

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 หลายเดือนก่อน +1

      Bado huoni mema yake Tu?

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 วันที่ผ่านมา

      Ukiwa mwanachama na chawa wa CCM hata kama ni mhuni wewe ni bora huoni akina ...............?

  • @lawimwaipopo2147
    @lawimwaipopo2147 5 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa msifie lkn wakawaida tu

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 หลายเดือนก่อน +1

      😁😂😂

    • @sskondopoleani9616
      @sskondopoleani9616 5 หลายเดือนก่อน

      Wa Kawaida???? Kweli ???

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 5 หลายเดือนก่อน

      Hunisumbui sisi Binadamu baazi Yao akimchukia mtu wa kweli anamgeuza kua wakawaida na kufanfa kibaraka fisadi kua wa samani kwasababu ule ufisadi unawatoeni kimasi maso wengine mlio zoea vya haramu

    • @saliminyusuph6122
      @saliminyusuph6122 2 หลายเดือนก่อน

      Ulitaka afagiliwe lisu boya wewe.

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 5 หลายเดือนก่อน

    Professor Kabudi justice minister but has lost no capacity of lion tundundulisu wich even high education in Tanzania they don't reach capacity of tundundulisu if you are educate such level of phd then pasonol like exelence president Samia sluu dimand you to do what dasnt allowed education you have to do so das education you have been value what saprs me in Africa you might find low education standards 7 control professor like Kabudi with phd like where professor Kabudi he is on ccm they are low education into ccm leadership but control professor Kabudi that why tundundulisu is anpridictuble pasonol dasnt feae wether president or odinary pasonol tundundulisu will tell you blank and wait is your choice to asepty or reject but tundundulisu spoken already

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 หลายเดือนก่อน +1

      Thanks 🙏

  • @humphreymwihambi4330
    @humphreymwihambi4330 5 หลายเดือนก่อน +3

    Kabudi ni mgogo wa Dodoma aliyezaliwa wilaya ya Manyoni Singida kwakuwa baba yake Mchungaji Kabudi alikuwa huko. Kwao ni Mvumi Makulu alikozikwa baba yake mzee Kabudi. Mama yake mwl Kabudi yuko Mvumi hadi leo hii.

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 หลายเดือนก่อน +1

      Ahsante sana

    • @elizabethmassi7327
      @elizabethmassi7327 5 หลายเดือนก่อน

      kwao ni Kilimatinde manyoni ila wakahamia mvumi mission na wakaishi huko hadi leo ila baba kazikwa kilimatinde.baba ni mgogo na mama wa gairo kilosa enzi hizo.