KAULI TATA YA RC CHALAMILA INAYOSAMBAA KWENYE MITANDAO, MWENYEWE AITOLEA UFAFANUZI "KUNA UPOTOSHAJI"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 507

  • @gweremuhidini4204
    @gweremuhidini4204 3 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu hana point ya maan nimwehu tu

  • @godfreymollel857
    @godfreymollel857 6 วันที่ผ่านมา +5

    Ukweli maneno uliosema kuhusu huyu mama mjamzito na mumuwe ni kwamba wewe hujalelewa kwenye maadili! Pole!

  • @aidankakulu398
    @aidankakulu398 7 วันที่ผ่านมา +3

    ZAMANI NILIKUA NAJUA WATU WENYE UPARAA A.K.A UWALAZA WANA AKILI KUMBE NILIKOSEA

  • @madelynillu3818
    @madelynillu3818 9 วันที่ผ่านมา +16

    Mimi naona bado hajajibu chochote Mh alitoa kauli ambayo si nzuri na alisema akijimjibu yule mama kua chukua usafiri rudi nyumban mwambie mumeo achukua mikasi na akusaidie kujifungua hiyo ndo kitu anachotakiwa kujibu, kwann asingeanza kumpa elimu na kumsaidia je alijua hali ya maisha ya huyo mama

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 8 วันที่ผ่านมา +3

      Ile kauli ilikuwa mbaya sana na kama hospitali zetu zikifuata ile kauli wananchi wengi watakosa huduma. Kwa mama mjamzito hakustahili majibu yale

    • @sylivesterm.mazigo2440
      @sylivesterm.mazigo2440 8 วันที่ผ่านมา +2

      Hujajibu hoja we bwege

    • @emmedia8735
      @emmedia8735 8 วันที่ผ่านมา +1

      hakuna cha hali ya maisha hela kachezea vigodoro, aende nyumbani na viboko juu

    • @alvinkulasare148
      @alvinkulasare148 7 วันที่ผ่านมา

      Acha uvivu wakufikiria.

    • @alvinkulasare148
      @alvinkulasare148 7 วันที่ผ่านมา

      Elimu ya ma mjazito inatolewa kila siku.pindi tu unapofika hospital.

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 8 วันที่ผ่านมา +19

    SASA UTAJUAJE KUWA HUYU NDIO YULE ALIYETUMIA HELA KWENYE KIGODORO
    NA HUYU NDIO AMBAYE HANA KWELI HIYO PESA YA KUJIGHARAMIA!!?

    • @animalx8346
      @animalx8346 8 วันที่ผ่านมา

      Sababu kashasema ungekuwa hujaenda kwenye kigodoro ungekuwa na laki Moja na matibabu ya elfu ishirini yasingekiwa tatizo, are you that stupid or pretend to be stupid, my guess is you are from dar es salaam

    • @TheGreatone-r1q
      @TheGreatone-r1q 6 วันที่ผ่านมา

      Yan mlev tu ndo anaweza toa hoja za kipuuzi puuzi, kimbuz mbuz km hizo, anaongea Kwny saikolojia yake ana mtetemekea samia, na anaona Ana elimu kichwan ndiyo inaongea kumb ni upumbav na watu wanausikia kuwa ni upumbav ilioboreshwa! Marekan ilikua inaishi kw janja kw muda mrefu na kupotosh watu ikidhani ni wajinga sasa hivi watu wamesema enough is enough kila wanacho jaribu wanajikut wanahitaji pampas kuzuia aibu

  • @SungwaMasunga
    @SungwaMasunga 7 วันที่ผ่านมา +8

    Viongozi kama awa mchango wao ni mdogo kwenye Taifa

  • @fadhilmwasile6600
    @fadhilmwasile6600 9 วันที่ผ่านมา +13

    Kumuelewa RC Chalamila inahitaji akili kubwa mno Kwa watanzania wengi ni ngumu kumuelewa kabisa.. ila kiongozi Bora husema ukweli daima na msimamo ndo kitu mhimu Kwa kiongozi Bora.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 9 วันที่ผ่านมา +1

      Dawa za mama Samia? Anazitoa wapi? Mfukoni mwak? Achague maneno ya kuongea

    • @silverman6930
      @silverman6930 9 วันที่ผ่านมา +2

      He spoke facts and you need a bigger brain to understand him .

    • @hassanimngetege2904
      @hassanimngetege2904 9 วันที่ผ่านมา +2

      Hakuna akili huwezi ukamjibu mgonjwa vile harafu uonekane uko sahihi ukiwa kiongozi inatakiwa ujue Kila hatua ya kauli zako na Hali zao hakuna anaejua lini ataumwa na ataumwaje maana hakuna bajeti ya ugonjwa ambayo unaweza kutosha
      Kucheza ngoma ni Moja ya furaha ya watu katika jamii zao sio uwafanye watu ni wajinga kwa tamaduni zao hilo halikubaliki

    • @silverman6930
      @silverman6930 8 วันที่ผ่านมา

      @@hassanimngetege2904 wewe Una akili nyingi sana .

    • @ErastoAntony
      @ErastoAntony 7 วันที่ผ่านมา

      Mama mjamzito anaekwenda kujifungua anaitaji maneno ya hekma hiyo kauli iliyotumika ni kinyume cha haki za binadam hususani kwa kinamama wajawazito

  • @sabinaluyego4408
    @sabinaluyego4408 9 วันที่ผ่านมา +11

    Mkuu upo sawa kabisa. Waafrika tunapenda sana kuwekeza kwenye vitu visivyo na umuhimu

    • @hassanrashid-l3u
      @hassanrashid-l3u 9 วันที่ผ่านมา

      Watu pia ni waelewa,usidani kuwa ni wajinga,laiti kama ingekuwa ni nesi kaongea hiyo kauli angekuwa wap mda huu?

    • @Moviesinkiswahili
      @Moviesinkiswahili 9 วันที่ผ่านมา

      punguza uchawa

    • @jimmyhabarugira4232
      @jimmyhabarugira4232 9 วันที่ผ่านมา

      Hizo siyo kauli za kiongozi sahihi

    • @sabinaluyego4408
      @sabinaluyego4408 9 วันที่ผ่านมา +2

      @@hassanrashid-l3u hii nchi tumeleana vya kutosha, Tena Marekani utajua kwa Nini wanaendelea, huku kwetu hasa watu wa Hali ya chini, wanauwezo wa kushindana kutoa pesa kwenye masherehe, lakini Hana hata bima ya 54,000 ya mtoto wake. Ifike nahali tuache siasa tuzungumze uhalisia

    • @sabinaluyego4408
      @sabinaluyego4408 9 วันที่ผ่านมา

      @@jimmyhabarugira4232 asipo zungumza kiongozi atazungumza nani

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 9 วันที่ผ่านมา +9

    Chalamila kapiga kwenye mshono punguzeni mambo yasiokuwa nalazima msema kweli mtoto wa mungu🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @nelsonnanyaro3882
      @nelsonnanyaro3882 8 วันที่ผ่านมา

      @@mbikamtanganaki uchawa peleka Kuleeee

  • @mhojapetro
    @mhojapetro 9 วันที่ผ่านมา +16

    sikuona kama Kuna sehemu ulikosea , hongera kwa kazi.

    • @Lemar355
      @Lemar355 7 วันที่ผ่านมา +4

      @@mhojapetro ona Tahira lingine hili

    • @Lemar355
      @Lemar355 7 วันที่ผ่านมา +1

      @@mhojapetro ndo nyie 5tena mtaani mnalia njaa

  • @PeterKopweh
    @PeterKopweh 7 วันที่ผ่านมา +3

    Omba msamaha Chalamila. Una maneno mengi sana. Kiongozi anatakiwa kuwa na masikio makubwa na mdomo mdogo. Wewe ni tofauti mkuu

    • @amostv1864
      @amostv1864 3 วันที่ผ่านมา

      Huyu jamaa alivyokuja kutatua mgogoro wa kariakoo kipindi kile alikuwa na kauli sio nzur kabsa na wala haoni kama anakosea kauli zake sio nzur hata asijitetee

  • @jemimajerome3971
    @jemimajerome3971 วันที่ผ่านมา

    Umekosea sanaaaaaaaa

  • @mohameddikaluka3162
    @mohameddikaluka3162 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa kichwani mwake wakat anaongea sijui km Anafikiriaga hila mungu wa manyani Ajue ndiyo mungu wa wanadamu

  • @AthumanOmari-w5c
    @AthumanOmari-w5c 8 วันที่ผ่านมา +2

    Unajtahidi kujtetea lkn hamna ktu

  • @OmaryRamadan-m8v
    @OmaryRamadan-m8v 3 วันที่ผ่านมา

    Mkuu wa mkoa ni makonda peke yake asingemjibu hivi huyu mama bila kumuelimisha akaelewa au angemsaidia kabisa😢😢😢

  • @marrylinmshana7273
    @marrylinmshana7273 8 วันที่ผ่านมา +7

    Mkuu acha mambo mengi omba msamaha umetumia kauli mbaya kwenye issue ya msingi.Pia hakuna za rais samia hizo ni kodi za watanzania

  • @Joseph-l9r2l
    @Joseph-l9r2l 7 วันที่ผ่านมา

    Chalamila ni kiongoz msema kweli na ni wachache kwenye nchi hii piga kazi mzee

  • @happygombe1969
    @happygombe1969 9 วันที่ผ่านมา +6

    Yani kwaleo sijapenda ulivyo ongea kwa kuwakejeli wajawatizo , wewe kama mkuu unaongea shombo je? Hawa manesi , wakunga ndio maana nawao wanajibu wagonjwa vibaya . Kwakweli leo ndugu umeongea hovyo

  • @yahyamohammed2555
    @yahyamohammed2555 6 วันที่ผ่านมา +2

    Hatukutaki... subiri mama amalize vikao...tutakurudia.

  • @deohaule98
    @deohaule98 9 วันที่ผ่านมา +2

    6:57 Raisi samia hana dawa, dawa ni za wananchi na ndio walipa kodi. Uraisi ni dhamana kama ilivyo dhamana nyingine. raisi ni mfanyakazi kama mfanyakazi mwingine wa serikal, amekalia kiti cha uraisi kwa kura za watanzania ambao wamemkabizi majukumu ya uongozo na wanaweza ku mtoa madarakani. Naomba tuache kutengenza ufalme usio na mashiko.

  • @SaidAlly-uh4qw
    @SaidAlly-uh4qw 7 วันที่ผ่านมา +1

    Yupo sahihi mheshimiwa

  • @SalumMwashambwa
    @SalumMwashambwa 8 วันที่ผ่านมา +1

    Kumbe Kuna dawa za samia

  • @shadrackkassale2968
    @shadrackkassale2968 8 วันที่ผ่านมา +1

    Somo la akiba linatakiwa kufundishwa sana kwa wa Afrika

  • @prefectalex9397
    @prefectalex9397 8 วันที่ผ่านมา +3

    Aksante sana!! Ukija hivi na yeye anakuja hivyo ulivyokuja. Huwa watu wanamchukulia kama mtu wa masihara, lakini anajua kuishi na watu sana huyu ngugu kwa kweli. Anafaa sehemu anayokaa sanaa🙏🙏

  • @gothardmwango6119
    @gothardmwango6119 9 วันที่ผ่านมา +4

    Together Sir. Chalamila. Waliosoma Cuba tu ndio watakuelewa

  • @abelimwakijungu1226
    @abelimwakijungu1226 9 วันที่ผ่านมา +6

    Tumepewa ukweli wetu. Sasa inatuuma. Tuendelee kutafakari, kuombea matumbuzi hakutatusaidia.

  • @SimonMwamkinga
    @SimonMwamkinga 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Chalaaaa ndiyo Nini sasa...

  • @alexsimon5576
    @alexsimon5576 9 วันที่ผ่านมา +3

    Duh,achana na vigodoro zungumzia wagonjwa ambao ni wengi

  • @ReganUiso
    @ReganUiso 9 วันที่ผ่านมา +9

    Bado cjakufahamu vizur mkuu..embu jarbu kufahamu kuwa unaongoza watu wa aina tofautitofauti..xx usiongelee group fulan kukandamiza wengne wasiokuwa na uwezo..umekosea sana yan

    • @salehwaziri5062
      @salehwaziri5062 9 วันที่ผ่านมา +1

      Hujamuelewa yukosahihi nahayandiotunayokutananayo

  • @WillyMichael-x8t
    @WillyMichael-x8t 4 วันที่ผ่านมา

    Mkuu Upo sahihi kabisa

  • @KulwaJames-lz2de
    @KulwaJames-lz2de 8 วันที่ผ่านมา +1

    Mshukuru saana mungu kwa neema alokupatia, nidhamana tu uliopewa , kuna wakati unajisahau saaana kwa kauli zako kwa kudhani unaishi peponi, huyu Mungu ni wetu sote, alien ruhusu wewe uwe hapo ndie aliruhusu sisi tubakie huku tukicheza vigodoro.

  • @emmedia8735
    @emmedia8735 8 วันที่ผ่านมา

    Mimi huwa nakuelewa sanaa Mkuu, sema ni kwa vile hawakutakibgu hawa watu wa Dar kisa umenyooka sana❤❤😂😂😂

  • @TausiJamali
    @TausiJamali 4 วันที่ผ่านมา

    Wewe ni kiongozi usiojua maana ya uwongozi sasa basi unawaaribia waliokuteuwa wewe huwezi kutoa jibu kama mlevi na nikwambia mshukuru sana mungu wako kwa kukupa hiyo kazi ambayo unanyanyasia wengine ila kumbuka kilio cha wengi ni msiba unaokuja kwako

  • @aproniajohn8703
    @aproniajohn8703 6 วันที่ผ่านมา +1

    Hatukutaki kabisa haufai yinalipa kodi ndomaana unakibli kod yetu inakjpa kibuli

  • @SelemanMhana-ol7tk
    @SelemanMhana-ol7tk 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ishu sio vifaa kwisha issue ni kauli mbaya

  • @barakanyigu8672
    @barakanyigu8672 8 วันที่ผ่านมา +10

    Uko sawa mheshimiwa kinachosumbua WA Tanzania wengi tunapenda mteremko keep it up mh.keep moving.

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 8 วันที่ผ่านมา +5

      Acha upumbavu, kama unapenda mteremko ni wewe sie wengine tunalipa Kodi halafu tunaona zinachezewa kwenye misafara. Huyu RC ana kiburi cha kutumia Kodi zetu. Ajue mtu mwingine anacheza vigodoro huku alishalipa kodi tayari serikalini ili huduma hizo ziwepo. Lakini huyo mama aliyempigia simu RC ana uhakika huwa anacheza vigodoro?

    • @Lemar355
      @Lemar355 8 วันที่ผ่านมา +2

      Teremka na mama ako bila labor ungezaliwa...? Au baba ako alimchana mama ako

    • @aidankakulu398
      @aidankakulu398 7 วันที่ผ่านมา

      Jibwa wewe

    • @AmiryJally-i3k
      @AmiryJally-i3k 7 วันที่ผ่านมา +1

      Nani anaejua kesho yake !!!!!

    • @erastomapunda1444
      @erastomapunda1444 6 วันที่ผ่านมา

      Hatuku shangai hujitambui bado zuzu kama uyo unae msifia

  • @mohamedmagongo9348
    @mohamedmagongo9348 7 วันที่ผ่านมา +1

    Chungu sana kauli zako. Kumbuka mdomo unaumba. Pia usisahau mambo ya kuogopa ni Mungu na Teknolojia. Si unaona kauli zako mbovu za zamani lakini zina kuathiri leo?

    • @RAMADHANIRAJABU-ec2ms
      @RAMADHANIRAJABU-ec2ms 7 วันที่ผ่านมา

      hali hiiii then mnatka ibrahim traole aje Tanzania mtasubir sana

  • @HassaniOmary-m7j
    @HassaniOmary-m7j 8 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu mkuu wa mkoa amelewa na madalaka

    • @benjaminf361
      @benjaminf361 8 วันที่ผ่านมา +1

      Ni wengi wa hivi…

  • @SubiragaKabango
    @SubiragaKabango 9 วันที่ผ่านมา

    Hakuna MTANZANIA aliyemaskini wa kutupwa huko! Tatizo ni Siasa ndo zinatuponza hasa kipindi cha kampeni kikianza Lugha inayotumika ni Hospital KILA kitu BURE! Jamani mwe Bure aghari!( Biblia,Kitabu cha Hosea 4:6);na AYUBU 5:12 KWA jina la yesu Kristo!

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 9 วันที่ผ่านมา +3

    Sasa hap Mh. Rais anaingizwaje tena hapa 😅😅😅

    • @NicodemasTikilo
      @NicodemasTikilo 5 วันที่ผ่านมา

      Aliyemteua n yeye Mh,Rais

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 6 วันที่ผ่านมา

    Kwa upeo wangu bado hujajibu swali la kauli uliyoongea kwa mana mjamzito .
    2. Dawa sio za mana Samia dawa dawa ni kofi ya wananchi uongozi ni dhamana kubwa sana sisi wananchi tumeewaajili nyinyi muwe viongozi kwa masirahi mapana pamoj na wafanyakazi wa umma sisi ndio maboss zenu

  • @MariamuShabani-z3g
    @MariamuShabani-z3g 6 วันที่ผ่านมา +1

    Tunakuja na vifaa vyetu vyakujifungulia nabado wanatuibia manes na madaktar wao.

  • @brunobalama6046
    @brunobalama6046 8 วันที่ผ่านมา +2

    Unaropoka sana mheshiniwa ndio shida uliyonayo sikuzote hiyo inapelekea watu wahisikie vibaya

  • @ramseyngwejela499
    @ramseyngwejela499 6 วันที่ผ่านมา

    Mhe. yuko vizuri tu ikiwa utazingatia anachokikazia. Acheni kukata kata maneno na kuungaunga ili kupotosha na kujifanya hatuelewi anasema nini. Watanzania uwezo wa kifikiri ni kama tunaukataa.

  • @StephanoGavile
    @StephanoGavile 5 วันที่ผ่านมา

    ila kama ni jukumu la wizara kuhakikisha vifaa vinapatikana hospitali, kwanini vikosekane? Nchi hii ni tajiri sana lazima tuhakikishe vifaa vya tiba kama dawa vinapatikana mda wote

  • @DenissJulius
    @DenissJulius 8 วันที่ผ่านมา +2

    Kauri chunga ulimi,mkiwa viongozi jitahidini kuwa na nidham,hizo pesa mnazo tumia ni za wananchi,

  • @richardhezron2588
    @richardhezron2588 7 วันที่ผ่านมา

    Afya ni muhimu kujua ila kwamba wajawazito mheshimiwa ilikosea
    Mama anazalisha taifa we mwenyewe bila juhudi za mama usinge ongea leo we uwe mstari wambele kuhakikisha mama anapewa huduma hili bule kwasababu maslahi sio ya mama ila niyataifa kili tuu muheshimiwa

  • @FrankJason-q2h
    @FrankJason-q2h 7 วันที่ผ่านมา +3

    Kama kiongozi was mkoa ulitakiwa kupunguza maneno ya ukali

  • @berthajonh4237
    @berthajonh4237 7 วันที่ผ่านมา

    Hakuna ulichokosea hapo Ni maneno tu ya binadamu,tukipata kiongozi mzuri shida ,akiwa mbaya tunalalamika yaaani,,,,mungu tusaidie,fanta kazi kiongozi ,kazi zako Ni mzuri mmmmmnoooo"

  • @josephat66
    @josephat66 5 วันที่ผ่านมา

    Mm kiukweli nakuchukia sana na hili ni kumuzalisha Rais sijui kwa nn mama huon haya.. Mbn watu ni wngi na wanaweza kwan lazm CHALAMILA

  • @RahaLaurentynkolekwa
    @RahaLaurentynkolekwa 4 วันที่ผ่านมา

    Yaani ukweli ni huu kwako kiongozi, huna sifa ya uongozi, lakini pia lazima mjue kazi ya serikari, lakini pia usisahau hawa wananchi wanatoa kodi,

  • @RwegoshoraPatt-os2ik
    @RwegoshoraPatt-os2ik 9 วันที่ผ่านมา +2

    Mkuu hauna nia mbaya umetoa elimu katika jamii kuhusu matumizi bora ya fedha

  • @AshuraMhando-m9w
    @AshuraMhando-m9w 5 วันที่ผ่านมา

    Kwani hapo unasingiziwa au ni wewe umeongea acha Kuropokwa kuna Mtu anazalishwa na Mumewe hii ni Shida hii😢😢

  • @HamzaMkombozi-pr4kn
    @HamzaMkombozi-pr4kn 5 วันที่ผ่านมา

    Hakuna anaejua keshoyake Mkuu hayo maneno nimakali sana maisha hayafanani kiongozi

  • @MashakaMagesa
    @MashakaMagesa 5 วันที่ผ่านมา

    Kama wakati Goriati Alilitukana jina la Bwana wa Majeshi Lakini kuna wakati Daudi Alikata kichwa cha Goriati

  • @AbduliRamadhani-op8je
    @AbduliRamadhani-op8je 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa anafaa kua hata rais hataki ujinga kabisa uko sawa mueshimiwa

  • @yustiniKilumile
    @yustiniKilumile 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa yupo kutengua maneno inamana sisi hatuna masikio tatizo umebweteka na cheo hicho hizo dawa za mama kweli au ukisema mama atakuona wamana sana et😅😊

  • @erickngatunga2359
    @erickngatunga2359 9 วันที่ผ่านมา +2

    Ngoma za vigodoro😂😂

  • @JosephLucas-j5p
    @JosephLucas-j5p 8 วันที่ผ่านมา +1

    Hawa ccm wamejisahau sana mala wanatwambia kama hatutaki tozo twende Burundi au mmesahau watanzania

  • @yasintapantaleo295
    @yasintapantaleo295 9 วันที่ผ่านมา +3

    Siyo wote wa vigodolo wengine awajiwezi kabisa kwa kipato maisha magum sn, kwa hilo umekosea kiongozi wetu

    • @hassanimngetege2904
      @hassanimngetege2904 9 วันที่ผ่านมา

      Sawa ni kiongozi wenu ila mropokaji sana na anadharau sana

    • @HeavyMwakalobo
      @HeavyMwakalobo 8 วันที่ผ่านมา

      Wasio jiweza wanakuja na barua ya mtendaji kuonyesha hajiwezi na huduma anapewa

    • @leopoldmujaki6120
      @leopoldmujaki6120 8 วันที่ผ่านมา

      Huyu hajawahi kuwa na point ,wananchi wana maisha magumu yeye anatukana tu ,ni mshenzi tu ,hizo hospital zinajengwa kwa kodi zetu wananchi ila kwenda kutibiwa unaambulia matusi kama hivo ,mm niseme ukweli Mungu anisamehe sijawahi kumwelewa Chalamila mkurupukaji tu.

  • @ShesheKaoneka
    @ShesheKaoneka 9 วันที่ผ่านมา +2

    Uko sahihi kiongozi, fanyakaziiiiiiiiii, achana na wapuuzwa wanaochokonoa hiyo kauli yako wamelaaniwa.

  • @TheresiaAndrea-hv9dg
    @TheresiaAndrea-hv9dg 7 วันที่ผ่านมา

    Sijaona kosa lake ila tu mnaosema hamjui hali ya huduma na ugumu wa kazi ilivyo. Chalamila yuko sahihi.

  • @JohnGswai
    @JohnGswai 5 วันที่ผ่านมา

    Mkuuu rekebisha kauli baba

  • @doellatv6807
    @doellatv6807 8 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu fara sana.

  • @MayengaMageme-n8h
    @MayengaMageme-n8h 3 วันที่ผ่านมา

    Kwahiyo unahitaji kuuwa mila na tamaduni za dar es salaam

  • @SamweliChacha-l4y
    @SamweliChacha-l4y 9 วันที่ผ่านมา +2

    Upo sawa mkuu

    • @salwasalum6758
      @salwasalum6758 9 วันที่ผ่านมา

      Sio kila mmoja anauwezo kama wewee kuna nchi nyingi tu duniani ikiwa pamoja na oman huduma za afya ni bure ...serikali ndio yenye wajibu wa kutunza wananchi wake....ww unaye kubaliana na hiki kama si ww basi mtoto wako au mjukuu wako atakuja kufanyia kma hvyi...tuduni kama tudani...

    • @SamweliChacha-l4y
      @SamweliChacha-l4y 8 วันที่ผ่านมา

      @salwasalum6758 tufanyeje sasa

  • @andrewmwabenga-qn8ew
    @andrewmwabenga-qn8ew 6 วันที่ผ่านมา

    Unaongea sana mzee kulitibu tatizo ni kua na bima ya afya kwa kila mtanzania. Amin nakwambia hamtatumia hela yote ya bima kutibu watu kwakua hatuwezi kuumwa taifa zima. Mmeshafeli

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu 6 วันที่ผ่านมา

    Chalamila hovyo sana Kauli zake sio za uongozi yuko ho vyo sana ana vicha mbo kama mhuni tu

  • @GraciousMbwambo
    @GraciousMbwambo 8 วันที่ผ่านมา +1

    WATANZANIA MNAMSIKIAAA MWESHIMIWAAA...........😂😂

  • @RichardMwalusamba
    @RichardMwalusamba 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa hafai kuwa kiongozi habadan

  • @mack_vita_onyango8409
    @mack_vita_onyango8409 9 วันที่ผ่านมา

    Je huyo mama alionekana kwenye kigodoro ? Mpaka ifikie mahala kakosa pesa. Ni vyema kiongozi ukajishusha kwa wananchi wako ukawa na upweke na unyekevu kwa sababu rafiki wa kweli wa mwananchi ni selikali yake,

  • @gwamakamwakyambiki4061
    @gwamakamwakyambiki4061 5 วันที่ผ่านมา

    sio kila jambo linatkiwa kujibiwa na viongozi wa kiserikali otherwise ni opportunity ya mashambulizi kutoka upinzani kama kila kitu kitatakiwa kitolewe ufafanuzi.

  • @evancykashaga6576
    @evancykashaga6576 9 วันที่ผ่านมา +1

    mimi kwa mawazo yangu sio dawa za mama samia nidawa za walipa kodi

  • @SimonMabigi
    @SimonMabigi 9 วันที่ผ่านมา +1

    Unakauli mbaya sana kwakuwa mnajua ela mnachukua tu hamzitafuti nyie😢

  • @abdullatwifu1khamisi
    @abdullatwifu1khamisi 7 วันที่ผ่านมา

    Namna ya kuyafikisha hayo maneno ndo haikuwa sawa,mwenye pesa zake Wala hawezi lalamika Bali hao ni maskini wa chini kbs ndio maana unahitaji hikma kuongea nasi

  • @petermhina6535
    @petermhina6535 4 วันที่ผ่านมา

    Mkuu wa mkoa huyu namfatiliaga sana ila kunasiku alisema hata yeye anakunywa pombe tangu hapo nikamweka (X)

  • @AdriOnes-m1v
    @AdriOnes-m1v 4 วันที่ผ่านมา

    Unakuwa kam sio binadam we mswahili san atuzai tena kam we kiogoz unasema hiv😢

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 4 วันที่ผ่านมา

    Kama nimesikiliza kwa makini, nimegundua tatizo siyo kauli ya chalamila, tatizo ni tafsiri zinazotumika kutafsiri aya maneno.

  • @DamasjoachimPetro
    @DamasjoachimPetro 7 วันที่ผ่านมา

    Muheshimiwa unachemkaga sana, ulimfungia Kiboko ya wachawi na huyo mama kujifungua kama kiongozi wa wasionanacho na wenye nacho ni kiongozi wa wenye hekima na wasio na hekima, wazuri na wasiowazuri, hilo haliepukiki kwa kiongozi, ulichemka sana baba

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 7 วันที่ผ่านมา

    Hiyo kauli siyo nzuri Kwa akina mama umetudhalilisha sana wanaume wetu wametuzalisha Toka Lini maneno uliyoyatumia ni makali Kwa mama mwenye uchungu ila huyu chalamila amezoe kuongea chochote kilichokuja mdomoni chunga mdomo wako chalamila sikupenda japo una vituko vya matani

  • @TheGreatone-r1q
    @TheGreatone-r1q 6 วันที่ผ่านมา

    Dawa za Samiah, Samiah ana dawa gani? Hiz lugha anaweza tamka nyumbu tu ambaye ni nyumbu aliyeboreshw kw kuvalishwa suti hadharan , "dawa za Samiah " Siku hiz Samiah ana dawa😢

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 8 วันที่ผ่านมา

    Ushauri kwa malaka ya uteuzi, uwepo utaratibu kwa wateuliwa wawe wanapimwa afya ya akili kama nchi zingine, maana wateuliwa waliowengi hutoa kauli za hovyo kama hii kauli ya chalamila

  • @doellatv6807
    @doellatv6807 8 วันที่ผ่านมา

    Hii kauli ni kauli ya kishenzi kabisa. Kwasababu sio Kila aliekosa pesa ya matibabu anacheza vigodoro.mzee umechemka haifai hata kuwa Mtendaji wa mtaa.

  • @RugakiMsingo
    @RugakiMsingo 9 วันที่ผ่านมา

    Hizi ospitali nizakwetu izo dawa zinanunuliwa kwa kodi zetu jifikilie ww ifike mwisho wa mwezi ujalipwa utajisikiaje kwaiyo nawananchii ndoivo wanvyo jisikia vibayo wanapokosa madawa hospitalini.

  • @AlhajiIssa-jb9hr
    @AlhajiIssa-jb9hr 8 วันที่ผ่านมา +1

    Nahizo kodi niza kwake au ni za wananchi acha maneno mengi buana.

  • @aloycemwambwiga2318
    @aloycemwambwiga2318 9 วันที่ผ่านมา +3

    We ngoja wageni waondoke, utajua hujui.

    • @colletatesha5265
      @colletatesha5265 9 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @SimonAmon-dr8xw
      @SimonAmon-dr8xw 9 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂

  • @KalicKaguz
    @KalicKaguz 9 วันที่ผ่านมา +3

    Nimekuwelewa vzur kaka piga mwendo

  • @saidkanji9882
    @saidkanji9882 7 วันที่ผ่านมา

    Uko sawa sana

  • @erickwanjarajr5707
    @erickwanjarajr5707 9 วันที่ผ่านมา

    Mbona kabla, walikuwa wanajifungulia kwa mkunga wa jadi, si walikwepa dhalau zenu, na majibu yasikuwa na kichwa wa kiuno. Ata awe dancer vipi atashuka tu staging m; cheo dhamana!

  • @jamesemmanuel6730
    @jamesemmanuel6730 8 วันที่ผ่านมา +1

    Binafsi nadhani hakuna shida ni misunderstanding tu... 📌 Speech Iko sawa

  • @bernardshabanshija924
    @bernardshabanshija924 7 วันที่ผ่านมา

    Huyu nae akili zake anazijuwa mwenyewe tu siyo kiongozi kabisa

  • @dunstankihaa2383
    @dunstankihaa2383 8 วันที่ผ่านมา

    Acha ujinga Mzee acha watu wafurahie maisha unataka watu waweke hela ndan wasubir kuumwa

  • @ShinjeKusekwa
    @ShinjeKusekwa 7 วันที่ผ่านมา

    Kweli madalaka , wanatumia vibaya xna , ila xwa naomba usije ukanijibu mm ujinga huo siku hiyo , itaeleweka nani alipaswa awe na madalaka

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 8 วันที่ผ่านมา +1

    Upo sawa kiongozi hata sisi tunajua kwamba inatakiwa kufanya mandalizi

  • @LucasEliasObwolo
    @LucasEliasObwolo 7 วันที่ผ่านมา

    Wewe acha mbwe mbwe mbona hile kauli ilio zungumziwa ujaiongea wewe unazarau sana kupata nafasi kama kiongozi unaona ushamaliza maisha kama ningekua mimi ndoo Rais wa Tanzania wewe ningekufuta kazi😢😢😢😢

  • @AlexEdward-c1r
    @AlexEdward-c1r 4 วันที่ผ่านมา

    Ni Bora tuwachangue nyani au sokwe wawe viongozi waliokwepo sasa ni mapepo ya kuzimu

  • @vituskayokas8685
    @vituskayokas8685 4 วันที่ผ่านมา

    Hawa viongozi wanapaswa kuwa wanaeleza jambo la serikali kwa weledi, maana unaposema kitu cha Samia wakati kimetokana na makusanyo ya wananchi unawakosea wananchi na unamkosea mpaka Mungu aliekuumba. Huo kwa lugha nyingine tunaita ni uchawa wa kidunia.
    Muogope kusema uongo pindi mnapopewa madaraka, mtakapo staafu mtakuja kulalamika mazito huku uraiani.

  • @MsevenSaudisaidi
    @MsevenSaudisaidi 7 วันที่ผ่านมา

    Unalewa madalaka sana unakauri chafu nashangaa sana mbaka leo bado upo mkui wa mkoa ingekuwa magu kazi huna hufai kuwa rac

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 4 วันที่ผ่านมา

    Huyu mwamba nimempata vyema ni xw na mhubiri kanixan ukiwaambia waumini ukweli halisi watakuona huyu vp lkn mwamba kasema kweli ww ukiona gloves hkn nunua maana anayekufa ci hosptl ni mwanao.

  • @ErastoMkonda-w3e
    @ErastoMkonda-w3e 8 วันที่ผ่านมา

    Kumbukeni selikali inasema mama wajawazito wanatakiwa watibiwe bule leo unawajibu hivo

    • @NyorokaNyenge
      @NyorokaNyenge 8 วันที่ผ่านมา

      Unategemea bure.fanya kazi upate hela. Ili ukiweka mimba jua kabisa kwamba hakuna kitu cha bure.acha akili fupi ya kutaka kila kitu ni bure.tafuta hela Acha kulalamikia serikali.