PEMBA TV.. Fidel Castro Vitongoji Pemba

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Pemba TV is uploading videos for entertainment and educational purposes.

ความคิดเห็น • 116

  • @ludacrissrangiyabank3737
    @ludacrissrangiyabank3737 6 ปีที่แล้ว +18

    Si mpemba ila nimeipenda pemba kuanzia leo ntaiita (green island)tafadhalini ndugu zangu wapemba msiharibu mazingira kijani kinapendeza sana maendeleo yatakuja kidogo kidogo inshaallah

  • @mitundafmoni7699
    @mitundafmoni7699 6 ปีที่แล้ว +1

    nipo dubai naipenda shule yangu big up

  • @ludacrissrangiyabank3737
    @ludacrissrangiyabank3737 6 ปีที่แล้ว +8

    Ikiwezekana siku andaa tamasha la michezo litaloshirikisha michezo tofauti kama football ,riadha ,kuvuta kamba, nk ikiwezekana riadha washiriki na wanawake lkn wavae nguo nzuri za kujistiri ili tulinde maadili yetu na katikati ya michezo ingiza matangazo andaa timu tofauti kutoka mitaa tofauti rika tofauti kazi nzuri hongera sana bro

  • @omariswafuru9399
    @omariswafuru9399 4 ปีที่แล้ว

    Très joli,l'île de Pemba,je souhaite y visiter inch'Allah.Malheusement sina rafiki huko....

  • @husseinsuleiman7103
    @husseinsuleiman7103 3 ปีที่แล้ว

    Habari kaka mm shidayagu unioneshe kichugwani pemb plz

  • @suleimanhamad2242
    @suleimanhamad2242 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah umenikumbusha mbaaali nilisoma shule hio nilipac michepuo 1999 na nikamaliza f4 2003 nikapelekwa CCK Pemba kuendelea f5. hongera kwa kutukumbusha, enzi hizo tulikuwa mh Salim Kitwana Sururu

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 5 ปีที่แล้ว

    Pamoja sana mjomba ,waambiyee hapo ulikuwepo uwanja wa ndege wa jeshi zamani sana,

  • @aliiddi6668
    @aliiddi6668 6 ปีที่แล้ว +2

    Mbona mwankosha mie. Nekuwapo mie hapo 2000/2002. Mwankumbusha mbali mie yakhee. Allah awabariki

  • @nassirsalim5114
    @nassirsalim5114 6 ปีที่แล้ว +2

    Shukraan Pemba Tv kwa kweli inatuliwaza hasa kwa sisi tuliombali na kwetu..

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 6 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana Pemba tv mm nimezaliwa huko lakini umri wangu fidel castro siijui wala sijaiona unanifurahisha sana endelea kutuonesha vijiji vyetu

  • @alibilal910
    @alibilal910 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana bro kipindi kizuri sana jitahidi kufanya matayarisho ya mapema kuwapata wenyeji wa mtaa wanaojua asili ya mtaa wanajamii na maendeleo ya kijiji husika. Mbali ya yote hayo hongera sana

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 4 ปีที่แล้ว

    Hongera

  • @fakihamad1314
    @fakihamad1314 4 ปีที่แล้ว +1

    lumumba for unguja and fidel castro for pemba are best schools in zanzibar

  • @fatmahussein7502
    @fatmahussein7502 6 ปีที่แล้ว +5

    I love Pemba

  • @khaleednassor6538
    @khaleednassor6538 5 ปีที่แล้ว

    Umenikumbusha Mbali Sana hio sehemu

  • @abdullashamis7168
    @abdullashamis7168 6 ปีที่แล้ว +1

    Love u moi pemba mis a lot ❤️

  • @sudafaki9699
    @sudafaki9699 6 ปีที่แล้ว +2

    pemba yetu nzur Allah aibariki

  • @faridaabdallah7620
    @faridaabdallah7620 5 ปีที่แล้ว +2

    MASHA ALLAH

  • @leiylaomar9318
    @leiylaomar9318 6 ปีที่แล้ว

    Asante sana pemba TV

  • @daprince7545
    @daprince7545 6 ปีที่แล้ว

    Pemba mumejaribu mashaallah big up

  • @salumjecha3661
    @salumjecha3661 5 ปีที่แล้ว

    Good broudher

  • @allyrock3886
    @allyrock3886 6 ปีที่แล้ว

    Homevswert home naiyona mitaa yanguu zamani sana niliicha imebadilka sana

  • @batulimohamed7597
    @batulimohamed7597 6 ปีที่แล้ว

    Kwakweli unaitangaza Pemba yetu vizur sana

  • @mranzuann7950
    @mranzuann7950 6 ปีที่แล้ว +2

    Mzee baba fika na Mkamandume, Historia yake inapotea

  • @allyshaame1147
    @allyshaame1147 5 ปีที่แล้ว

    love pemba
    Pemba Nkwe2

  • @njmanjma8626
    @njmanjma8626 6 ปีที่แล้ว

    In shaa Allah... Allah atakujalia Mahmudh kila la kheir... Amin

  • @jakubakardiwan7402
    @jakubakardiwan7402 6 ปีที่แล้ว +1

    Upo vizuri sana

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 5 ปีที่แล้ว

    Othman,kwa kweli unajitahidi kuitangaza Pemba.Pia ingefaa kutuonesha
    Baadhi ya ngoma za asili

  • @muddytrueman3357
    @muddytrueman3357 6 ปีที่แล้ว

    Vizur sana nimeipenda sana video hii coz kuna shule ambay nimeiona na inanivutia sana nilitaman sana kusoma fidel castro ila haikuwezekana mungu akanipangia kiuyu michewen

  • @othmannassir4023
    @othmannassir4023 6 ปีที่แล้ว

    Hongera sana kak dont give up one day

  • @bintsalimalbimany9373
    @bintsalimalbimany9373 6 ปีที่แล้ว

    Nenden kengeja jaman nimekutaman kwetu kama mutaweza na akul pia tuchukulien school yetu ya kengeja pls

  • @cosmilison899
    @cosmilison899 6 ปีที่แล้ว +1

    dah!! nimepapenda na Mimi nawakalibisha kwetu tz bars,mkoa wa Mara wilay ya butiama

  • @samirarsan2024
    @samirarsan2024 6 ปีที่แล้ว

    daaaa! from way back nawakmbk san mateacher wang wote jamaan eenhee nsalmieni BURMAS nimemiss zile harakat zake

  • @kassimayoub5586
    @kassimayoub5586 5 ปีที่แล้ว +1

    I love Fidel Castro sasa ni mwaka wa tatu tokea niondoke hapo lkn naipenda sana Castro ya boss K

  • @tauhidakhamis717
    @tauhidakhamis717 3 ปีที่แล้ว

    Mm nmesoma asaa fidel castro naipnd coz imeniptia cheti kizr cha form 4

  • @mohamedjuma423
    @mohamedjuma423 6 ปีที่แล้ว +1

    Naipenda pemba

  • @aliudiy4921
    @aliudiy4921 6 ปีที่แล้ว +1

    jaman pemba naipenda

  • @elenestyjackson4111
    @elenestyjackson4111 6 ปีที่แล้ว

    Mimi naipenda sana hii TiVo bigap sana

  • @saidameir5679
    @saidameir5679 6 ปีที่แล้ว

    Shukran kwa Pemba TV kufika katika moja ya skuli kongwe nchini mwetu.Big up Fidel Catro,tulikuwa hapo 1977 na maisha tulikuwa poa.

  • @fatmakhamis1018
    @fatmakhamis1018 6 ปีที่แล้ว +1

    hapo upo nyumbani na hicho nikisiwa cha aman huwezi kupsta kikwazo tunaipenda sana nyumbani mzarau kwao huyo nimtumwaa

  • @gshdhshhshs3362
    @gshdhshhshs3362 6 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji hendsome nimekupenda

  • @zuwenaaly312
    @zuwenaaly312 4 ปีที่แล้ว

    Jamani na kiuyu minungwini tuonyesheni

  • @ludacrissrangiyabank3737
    @ludacrissrangiyabank3737 6 ปีที่แล้ว +4

    Wafate unaotaka kuwahoji usiwaite kisha mtangazaji tieni na matangazo ya biashara tangazeni japo kwa bei nafuu wafanya biashara wataleta matangazo

    • @dazuuhmd819
      @dazuuhmd819 5 ปีที่แล้ว

      Mashaallah asanta sana kwa ushauri karibu pemba

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 ปีที่แล้ว

    Bass haya

  • @mohammedsaid4686
    @mohammedsaid4686 5 ปีที่แล้ว

    Nakumbuka enzi zangu wakati nipo hapo kwenye mchipuo wa kilimo nikitokea skuli ya jang'ombe unguja. Simsahau mkuu wa chuo maalim Juma Hamad Omar"kijuma"ambae sasa ni mbunge wa jimbo la wawi.

  • @mohamedjuma423
    @mohamedjuma423 6 ปีที่แล้ว

    Mzee baba aongeza confidence kidogo mambo yatakaa sawa zaidi

  • @raysalalmandhary1713
    @raysalalmandhary1713 6 ปีที่แล้ว +2

    Hivi wanaume tu ndio wanakunywa kahawa wanawake hawanywi?.Shukran sana Pemba Tv endeleeni kutufahamisha mambo mbali mbali kuhusu Pemba yetu.

    • @naylakhalid2900
      @naylakhalid2900 6 ปีที่แล้ว +3

      Raysal almandhary wanakunywa wanawake kahawa sana ss hapo ni sehemu ya wanaume vp watakaa na wanawake wanywe kahawa 😀

  • @beieieih9179
    @beieieih9179 6 ปีที่แล้ว

    Pole sana Mr .Othman kwa changa moto zinazokupata hhhhh

  • @faudhiakhamis782
    @faudhiakhamis782 6 ปีที่แล้ว

    Hapo kumbe mbarambara imemaliza

  • @abdulkhanyraashid7887
    @abdulkhanyraashid7887 3 ปีที่แล้ว

    Mitondooni hapo nishabwaga mabungosanaaaa nakufuwa nyuki za mzee mkombozi 😂😂😂😂😂 dah nakusalimiya Rashida bin Kahtan na mwenzako Omar Abdallah Ally nimekumisinii watuwangu nakumbuka siku tulopanda mbungo wakati hatukujuwa kama ulikuwa nanyuki dah maana kilichofata nikikumbuka 😂😂😂😂😂😂😂 maana yakale ni dhabu huu nimwaka 10 hatujaonana mungu akuwekeni 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @yahyasuleimanmohammedkiluv8190
    @yahyasuleimanmohammedkiluv8190 5 ปีที่แล้ว

    Mko vzry

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 6 ปีที่แล้ว +1

    ww gshd umestarabika sio pumbaav ikiwa hauna cha kuchangia bass plz kaa kmy . Pemba nikwetu Na tuko vzr2 Alhamdulillah.

  • @yunussuleiman8641
    @yunussuleiman8641 6 ปีที่แล้ว

    pemba tv hii imeshtua kidogo maana huwa skip baadhi ya video ila kwa moja moja nimeamua kuingalia MUMETISHA

  • @salymomar9793
    @salymomar9793 6 ปีที่แล้ว +2

    Duh!! Kumɓ home kuzur eti

  • @stonefacestoneface2976
    @stonefacestoneface2976 ปีที่แล้ว

    POA BAB KUBWA UMEENIKUMBUSHA MBALI KWAKELI NIMESOMA HAPO 1987 FIDEL CASTRO
    KWAWALE WATAKAO NIKUMBUKA WA FORMFOUR C. MY NAME MOHAMED HAMZA USSI KUTOKEA SKULI YA UWELENI MKOANI ASANTENI SANA PAMOJA 2

  • @sakinamorbiwalla1379
    @sakinamorbiwalla1379 3 ปีที่แล้ว

    Mimi nimesoma hapa miaka 66 mpaka 69

  • @fatmaali8095
    @fatmaali8095 5 ปีที่แล้ว

    kwanza pole kwa changa moto jikaze usikate tamaa utafika tuu

  • @suleimankhalfan8856
    @suleimankhalfan8856 6 ปีที่แล้ว

    Allah atukuze

  • @khaleednassor6538
    @khaleednassor6538 5 ปีที่แล้ว

    Geneva bweni langu daah

  • @ludacrissrangiyabank3737
    @ludacrissrangiyabank3737 6 ปีที่แล้ว +3

    Mtangazaji usiwaite wafate wao kisha kama utapata muda kaengeze course ya utangazaji utafika mbali nawapenda sana wapemba ni wataftaji na ni watu wa kujaribu

    • @ludacrissrangiyabank3737
      @ludacrissrangiyabank3737 6 ปีที่แล้ว

      Ok ntakutafuta inshaallah niko bize sana ila ntajitahidi mi napenda watu wanojitahidi ktk kutafuta maendeleo

  • @aishiaatanzniaa3230
    @aishiaatanzniaa3230 6 ปีที่แล้ว

    nice

  • @hassanmaalim9193
    @hassanmaalim9193 6 ปีที่แล้ว +2

    Jengine nimsaidie mtangazaji unapofanyia watu interview na has a vijijini unawatayarisha kwanza kwani NI waoga na Camera.

  • @highburywapemba5165
    @highburywapemba5165 6 ปีที่แล้ว

    mupo vizur xn ila bado kidogo mitambo yenu haijakaaga vizur

  • @mohdslim8278
    @mohdslim8278 6 ปีที่แล้ว +1

    Good 👍 bro uko poa sana

  • @akh3038
    @akh3038 6 ปีที่แล้ว

    Da muda umeenda nilisoma hapo Fideli miaka 4, Form I-IV (1981-84).

  • @abdallahhamad298
    @abdallahhamad298 6 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja sana

  • @ashrakrashid212
    @ashrakrashid212 6 ปีที่แล้ว

    ILIKE IT

  • @ghaythamasoud9472
    @ghaythamasoud9472 6 ปีที่แล้ว +1

    kwa heshima na tadhima naomba urekebishe kauli ni VTA vocational training authrority na sio VETA. Tuko pamoja broo.

  • @hassanmason2147
    @hassanmason2147 6 ปีที่แล้ว

    Hahahahah kaka umenifurahisha "samahanini kwa kuwaingilia" "kushanifahamu" "waweza kuja" lahaja za nyumbani nazipenda xana na najivunia kuwa mpemba, allah akufanyie wepesi

  • @anwarelghazi5936
    @anwarelghazi5936 6 ปีที่แล้ว

    ipo vizuri

  • @beieieih9179
    @beieieih9179 6 ปีที่แล้ว

    Love u

  • @ramerkiangoh3090
    @ramerkiangoh3090 6 ปีที่แล้ว +2

    Ufike mfikiwa kwa mkamandume

  • @issajohn6174
    @issajohn6174 6 ปีที่แล้ว

    Babkubwa mzee kondo ebwana mwanangu plz tunaomba , uweke documentary kuhusu wachezaji wa basketball ball ya chake/tennis/, wete na mkowani yaaani itakuwa babkubwa. Huna mbaya ni mimi mzeee West dah

  • @jakubakardiwan7402
    @jakubakardiwan7402 6 ปีที่แล้ว

    Ila tukihitaji japo namba yako

  • @habibothman5380
    @habibothman5380 6 ปีที่แล้ว

    Unaposema smz inajitahidi kwenye upande Wa elimu mm sikuelewi

  • @مريمسالم-ب2ج
    @مريمسالم-ب2ج 6 ปีที่แล้ว

    Shukuran kwa jitihada yako

  • @clovetv_pba
    @clovetv_pba 6 ปีที่แล้ว +1

    Kuna skuli ya msingi na primary zinapatikana zote 😁😁😁😁 muuzaji kahawa hapo umechemsha.

    • @assoumnassor2930
      @assoumnassor2930 6 ปีที่แล้ว +1

      Brother Kassim 😂😂😂😂😂😂

    • @clovetv_pba
      @clovetv_pba 6 ปีที่แล้ว

      Asma Nassor Umeona eee

  • @yussrakhalfani9278
    @yussrakhalfani9278 6 ปีที่แล้ว +1

    tunaomba ole pia muendee

    • @dazuuhmd819
      @dazuuhmd819 5 ปีที่แล้ว

      Ndio kwenu nini Yussra Khalfani

  • @aliudiy4921
    @aliudiy4921 6 ปีที่แล้ว +1

    nimerud Tena Kwa ajili ya kuwakumbusha kitu kimoja tu nibora muandae kipind maalum maana munapoenda kuwahoji watu mitaani maana Sis wapemba tupo nyuma Sana kimaendeleo Kama hayo ya TV.

  • @sulleyalriyamiy
    @sulleyalriyamiy 6 ปีที่แล้ว

    Vitongoji

  • @salimmohd8279
    @salimmohd8279 6 ปีที่แล้ว

    tumepita hapo

  • @playdjin1556
    @playdjin1556 6 ปีที่แล้ว

    Ss barabara zinapokutana nne kwa pmja nilazima pawepo round about ss hapo hawakuweka wanataka kuuwa watu kusudi

  • @hbtv1247
    @hbtv1247 4 ปีที่แล้ว

    Hello broo 0773736261 nitafute

  • @hassanmaalim9193
    @hassanmaalim9193 6 ปีที่แล้ว

    Du! Ajabu Na aibu watu graduate wanaogopa kuongea inaonesha wazi kuna tatzo la kujieleza na ndio shule kubwa.

  • @teefahbaby352
    @teefahbaby352 6 ปีที่แล้ว

    nmkumc nymbn jmn no mbl

  • @gshdhshhshs3362
    @gshdhshhshs3362 6 ปีที่แล้ว +1

    Wapemba bado washamba hakiyamungu hawajastarabika walwahi

    • @idrisasalum8013
      @idrisasalum8013 6 ปีที่แล้ว +1

      Gshd Hshhshs hem elezea kidogo hawajastaarabika kivip?

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 6 ปีที่แล้ว +6

      Bora ushamba unaomridhisha Allah kuliko ustaarabu unaomkasirisha Allah.

    • @salymomar9793
      @salymomar9793 6 ปีที่แล้ว +1

      Km huna la kusema kaa kimya

    • @salimmohd8279
      @salimmohd8279 6 ปีที่แล้ว +1

      acha umelaya ww fala

    • @teefahbaby352
      @teefahbaby352 6 ปีที่แล้ว +1

      Gshd Hshhshs njoo u2staarabish 2we wtt wa mjn pmbvu zk ww km hn l kuongea fumba kapu lko ilo nyambafyuu

  • @omarwema5321
    @omarwema5321 6 ปีที่แล้ว

    Vitongoji