MCHINA ANAYETRENDI KWENYE BOTI za ZANZIBAR - KILA ANACHOKIUZA LAZIMA UTANUNUA - ''NINA MIAKA 63''...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.ค. 2024
  • MCHINA ANAYETRENDI KWENYE BOTI za ZANZIBAR - KILA ANACHOKIUZA LAZIMA UTANUNUA - ''NINA MIAKA 63''...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 71

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  2 วันที่ผ่านมา +1

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @ZuleykhaIsmail-rc5ly
    @ZuleykhaIsmail-rc5ly 2 วันที่ผ่านมา +8

    Anashawishi baba hyu 👌 na anafurahisha

  • @user-yh7ui7hw1i
    @user-yh7ui7hw1i 2 วันที่ผ่านมา +2

    Anafaa pia kuwa mwandishi wa habari 🎉🎉

  • @zengeummu9575
    @zengeummu9575 วันที่ผ่านมา +2

    Waallah nimechekaa Hadi machoziii

  • @boscomtani1006
    @boscomtani1006 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana, anajua biashara

  • @nipaelmgaya9913
    @nipaelmgaya9913 วันที่ผ่านมา +2

    Yaani huyu mzee namuungishaga kwasababu ya ucheshi wake 😂😂😂😂

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mashaallah upo vizuri unaongea vizuri sana

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@fatmaally7252 Lazima aongee vizuri Mchina wa Unguja huyo 😂😂😂

  • @maxmiliangunze8931
    @maxmiliangunze8931 2 วันที่ผ่านมา +2

    Huwa anafurahisha Sana tuuu..... Kwa matangazo yake kwenye boti aiseee yupo vzur mnooooooo tumia boti ya azam zanzibar to Dar utamkutaaa

  • @avitusmichael5
    @avitusmichael5 2 วันที่ผ่านมา +7

    Safi sana jet lee

  • @ummySheikh72
    @ummySheikh72 2 วันที่ผ่านมา +5

    Mtanzania halisi huyu inawezekana Baba yake mchina, ila ni Mtanzania huyu halisi na mjuwa saana toka miaka hiyo

  • @lilianwaflotina1288
    @lilianwaflotina1288 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu mwenzetu bwana 🇹🇿

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Ndio wazee wake wachina lkn kasoma zenji kakulia zenji ..kaowa zenji kazaa pia.

  • @ahmadsayyeed7910
    @ahmadsayyeed7910 2 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂😂😂😂😂 namkubali sana huyu mwamba❤

  • @Misanyahidaya
    @Misanyahidaya วันที่ผ่านมา

    Kweli kabisa ni msheshi mno mashalllhh

  • @shakirashakira-gc2yw
    @shakirashakira-gc2yw 2 วันที่ผ่านมา +1

    Baba wa hovyo uyu nimecheka sana kweli tunakupenda

  • @AbeleBausingi
    @AbeleBausingi 2 วันที่ผ่านมา +3

    Uyu mzanzibar halisiiiii check anavyofanya mikono

    • @KS-iw7qv
      @KS-iw7qv วันที่ผ่านมา

      Yes Malindi Zanzibar

    • @umsulaiman7468
      @umsulaiman7468 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@AbeleBausingi hahaha 🤣🤣 kalegea mtu mzima mikono anavo ifanya kama mauzinde hatari Sana

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 วันที่ผ่านมา +2

    Mchina hujajuwa kujieleza vizuri ungesema asili yako wapi umetoka.

  • @user-nb6yh2bn9y
    @user-nb6yh2bn9y 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mdogo wa bolo young huyu kwe van dame 🤣🤣🤣

  • @AmbokileFumigation
    @AmbokileFumigation 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzee konki huyu alishawai kunisaidia....🙏

  • @danielimeshack3712
    @danielimeshack3712 2 วันที่ผ่านมา +3

    Huyu jamaa me namjua vzr snaaa nimekaa nae anaitwa baba aishaaa,mama ake huyu ni mzabzibar,mama ake huyu alizaa na mchina yye kwao ndo wa kwanzaaa,wamexaliwa tisaaa kwaoo hao wengne wote nane baba yao mwingne huyu mzee alikaaa kinondoni shamba kwa mdogo wake anaitwa muradi wote wa pemba haoooo

  • @user-gy9uf5wm1c
    @user-gy9uf5wm1c 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😂😂😂huyu babu Njoo Mozambique

  • @wahidabakar
    @wahidabakar 2 วันที่ผ่านมา

    tumefurahi

  • @alsam4881
    @alsam4881 2 วันที่ผ่านมา +7

    Ungemuuliza kabila lake na mzailiwa wa mji gani na jina lake nani?

    • @salimmzee1164
      @salimmzee1164 2 วันที่ผ่านมา +1

      Kabila ni mshirazi,mzaliwa wa unguja mjini,kikwajuni..

    • @magorymara5515
      @magorymara5515 2 วันที่ผ่านมา

      Makabila ya nini tena alishakwambia yeye ni mbongo hiyo tosha ​@@salimmzee1164

    • @zenasalum2231
      @zenasalum2231 2 วันที่ผ่านมา

      Kuna mtu kaelezea hapo juu anasema mama yake ni mzanzbar

    • @Queen-be1uf
      @Queen-be1uf วันที่ผ่านมา

      Jina lake Hussein china. Ni mzaliwa wa unguja , amesoma na kukulia visiwani zanzibar. Namjua very well

    • @salimali-rf9er
      @salimali-rf9er วันที่ผ่านมา

      ​@@salimmzee1164kila mtu Zanzibar ni mshirazi, mshirazi maana yake nn? Nakunafichwa nini hapo?

  • @user-nn8nn6dk8u
    @user-nn8nn6dk8u วันที่ผ่านมา

    Upended au

  • @abdulmuhsin9166
    @abdulmuhsin9166 วันที่ผ่านมา

    huyu jamaa namjua tangu niko mdogo 1999 kkoo alikua akiimba kwenye nyumba za waarabu na guitar lake ni wazamani alafu ni famous kkoo mpaka leo

  • @SharifuTaric
    @SharifuTaric 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtanga uyo

  • @EvartWilson34
    @EvartWilson34 2 วันที่ผ่านมา

    Was korosho oyeeeee necessary

  • @MauaDumba
    @MauaDumba 2 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😊

  • @azizasaid5255
    @azizasaid5255 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu alikuwa anaishi dar, na alikuwa anaimba taraab, tulikuwa wote kwenye kikundi, znz amekwenda baada ya kupata kazi kwenye maboti ya bakharesa ni mtu wa dar.

  • @111dudi
    @111dudi วันที่ผ่านมา

    Mbona mabega na mikono na vidole hivyo

  • @user-iw5hu3mc7l
    @user-iw5hu3mc7l 2 วันที่ผ่านมา

    Ila amamake alidanga na mchina

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu jamaa aaah safar Inakuwa fupi

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 2 วันที่ผ่านมา

    Au mfilipino

  • @NeemaMatisho
    @NeemaMatisho 2 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂❤❤❤

  • @mohamedhaji4827
    @mohamedhaji4827 วันที่ผ่านมา

    Mchina yukopoa

  • @Laurent_chenza_Tz
    @Laurent_chenza_Tz วันที่ผ่านมา

    Halafu kunamtoto wa kiume tena kijana na nguvu zake yupo nyumbani kwao anasubiria chai na ugali wa mama yake aliyedamka asubuhi saa 12 kuunza mboga za majani apate hela ya unga. dah tutafute hela wanangu

  • @NassorMohammed-oy7bc
    @NassorMohammed-oy7bc 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kazaliwa zanzibar au tanganyika

    • @ummySheikh72
      @ummySheikh72 2 วันที่ผ่านมา

      Znz

    • @danskamo8562
      @danskamo8562 2 วันที่ผ่านมา +1

      Ukijua alipozaliwa itakusaidia nini?

    • @sleifikhajjir262
      @sleifikhajjir262 2 วันที่ผ่านมา

      Kazaliwa zanzibar namjua vizur xana

    • @saidkhatib9146
      @saidkhatib9146 2 วันที่ผ่านมา

      Yan anavyoongea tu haihitaji kuuliza alipozaliwa😂

    • @saidkhatib9146
      @saidkhatib9146 2 วันที่ผ่านมา

      Yan anavyoongea tu haihitaji kuuliza alipozaliwa😂

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 2 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂

  • @user-pk8bp7th9e
    @user-pk8bp7th9e 2 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂,

  • @FujoohTV
    @FujoohTV 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tupo wengi sana duniani me kama huyu ni mjerumani kabisa......

  • @munamuna7488
    @munamuna7488 2 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂

  • @hudhaifamsafiri8731
    @hudhaifamsafiri8731 2 วันที่ผ่านมา

    Dume Jike

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke วันที่ผ่านมา

      Kampe ilo tundu ndio utajua kua dume jike

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu so mchina huyu Ni muarabu au muhindi lambda mama ndio TZ

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 วันที่ผ่านมา

      Huyu ni Mchina kweli wa Zanzibar (Unguja) amekuja Dar es Salam kwa kutafuta maisha. Hana cha Uhindi 😂😂😂

    • @umsulaiman7468
      @umsulaiman7468 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@awatifalghanim1106 kumbe mchina lakin kachanga labda baba mchina mama TZ ah sote ndugu Allah ampe umri tawil

  • @KhalidKhan-y9n
    @KhalidKhan-y9n 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo ni mchina tena ni mpemba.

  • @fatimaharoun-np8uv
    @fatimaharoun-np8uv 2 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂