Hawa samaki wanadiwao ufukweni na kuzolewa kwenye michanga si afya nzuri sababu hatta ukawaoshaje mchanga hautoki wote. Michanga ikishaingia tumboni si rahisi kutoka na baadae huleta ugonjwa. Tafdhalini waekeni kwenye Jamvi, Majani ya Mgomba, Makuti n.k., ili tujiepushe na balaa la ugonjwa
mambo mengine tunaona nimaendeleo lkn mengine niudhalilishaji km laiti nimm ndie ninaekamua hio juice nisengekubali kunichukua video hii kwangu nasema niudhalilishaji hayo mengine sawa.
Mekki kijoka chimami nimefurahi kuwaona I love konde.konde in nyumbani
Konde pambeee
Leo nimefurahi sana pemba tv kwa kufika kwetu
Kumbe ww kwenu kondeee?
Nawapeda. Sana wapemba wezangu
MashaaAllah. ..mungu akipenda anifikishe pemba. .mji mzuri sana
Ndio nyumbani kwetu ah nimefarijika kweli
Keep it up broo kondo well done. Ila nitafurahi sana ukienda wete nimeimiss sana .
Pemba tv na mkoani muje
Nakuona said wabilawe hahahaaa
Asante xn muheshimiwa kondo kwa kufika msuka bandarini home is home nimekumiss xn hukoooo from South Africa ndo ndo nakimbizaaa
pemba kwanini kuzuri jmn
Kijoka,mekki, na Chima daah kitambo sana Mahome boy konde moja Nisalimien Mkaba na Sona 😀😀😀😀😀😀
Safi sana wete kwenye mitaa kama kizimbani,bopwe,limbani,jadida tupeleke
Napapenda hapo home sweet home nitacame some day inshaAllah
Asanteni Pemba TV home is the best japo tupo mbali
Mazingira ya Pemba yametulia sana Full neema
Mkataa kwao mtumwa hakika nafarijika sana Mola awepe kila la khery Pemba tv
Jaman daa kitambo nimeondk home kumebalik
Nimefurahi sana kuiona konde alipo zaliwa mama yangu mzazi
Nani ameiona miwa yakavinde, nishaitia adabu sanna😁😁😁😁
Hom ❤❤
Alhamdulillah kuna neema nyingi huko nazi viazi samaki
Ohoo bc tuje tutie kambi uko
@@abdallajuma9090 asalamu alayekm mashallha pmbayetu bado nemazipo allha atuzidishiye aminaa
Nyumban kbs hapo
Mnhh bamia mpk zinanitoa mate jaman dahh
DAH KONDE IMECHANGAMKA NAMNAHII SKUHIZI ZAMAN DOROOO WAZEEE WATUPU AHSANTEN PEMBA TV
Nimefurahi kuona kwetu konde japo niko mbali nakuona kaka mkubwa kijoka
Meki ,eddy kijoka naona kakimbia camera
Maalim sese nakuona
Ufumbuzi ni serikali kujenga soko salama na uhakika.
Daaaaa nyumbani kuzuri
Hii ndio sehemu pekee ilo na utulivu ktk ulimwengu huu wa leo "Hapa ni nyumbani"
Pemba Al-musallamah
Nimemiss dufu LA siraja.jamani dufu hili lipo kweli kitambo sana
Dufu la kina feruzi
Hahaahaaa sese
pemba tv imekuwa ya kijani vp tena mpiga picha????
changamoto watu wanakula bure .
pochi nene yuwapi Jaman
Hawa samaki wanadiwao ufukweni na kuzolewa kwenye michanga si afya nzuri sababu hatta ukawaoshaje mchanga hautoki wote. Michanga ikishaingia tumboni si rahisi kutoka na baadae huleta ugonjwa. Tafdhalini waekeni kwenye Jamvi, Majani ya Mgomba, Makuti n.k., ili tujiepushe na balaa la ugonjwa
Nimemiss kwetu pemba jamani
Home swt Home
Konde yetu ioooo
Home sweet home miss snnaa
Saida Suleiman ww mpemba wa wapi
Huna duka unasurpa market
konde nyumbani nimemuona wanna konde kijoka
Said bilawe hiiiiiii
+Howard Ally home kinowe
nataman.nyumban.konde
mambo mengine tunaona nimaendeleo lkn mengine niudhalilishaji km laiti nimm ndie ninaekamua hio juice nisengekubali kunichukua video hii kwangu nasema niudhalilishaji hayo mengine sawa.
Kazalilisha vip yaani kimfano