Asanteeee kwa story nzuri, naona na wew leo hii utakua #JamalRomeo wa 2021 maana ndo mumeanza kwa Mama la mama 👌😂leo wakwanz nipen like zang me napita tu
Big Up Professor Jamal. Unatupeleka mbio sana professor juzi tumetoka kwenye mambo magumu kuhusiana na Sayansi ya Nyota Jua leo umeturudisha kwenye mahaba ya Romeo na Juliette.
Hadithi hii ya Romeo na Juliet ni kisa cha kweli kabisa na mimi mwaka 1990 nilifanikiwa kuzuru kabuli la Juliet na nyumbani kwa Juliet ambako ipo sanamu ya shaba ya Juliet pale VERONA, Italy.
Kazi njema saana kaka, vyovyote vile hii section ya "THE STORY BOOK" it's more Amazing kaka. Please I wish you all the best and congratulations for the best "STORY NARRATION's"..... 💯💯💯 Hongera saaana 🙏, kwa kutupatia Burudani ya Kisasa...
I told you hawa wana act sasa roho yangu imetulia nilidhani wamemuiba Romeo wangu lol professor Jamal siku nikikuona ntaomba nipige picha na wewe your my role model very creative something different leo na kajala mnaigiza bigs up bro
Wabongo tulikuwa tuna fikiliya tiyari kajala kapata mwengine uku bana Duuh kumbe store books ,wambea tulikuwa tumisha kusanya photo 🤣🤣tujuwane apa ambao walikuwa wamisha kuwa kwenye ayo mawazo 🤣
Mtiga kumbe alificha sauti Tamu ya Jamal kweli when righttime comes the brightness will shine good job brother Jamal kwakweli wewe ni fundi na taka utuadithie story ya Samiriy Alie pewa uwezo na hakua miongoni mwa mitume pleaseeeee
huyu jamaa kwa creativity hizi apewe tuzo tu africa like hapa kama unakubaliana na mimi
Naomba 50 like kwaajili ya professor💪
Naomva 50 like kwaajiri ya kajara
Mm Mbona sipati like au gundu
Kwa Jina la Mwenyenz Mungu nadhan like nitapata km zote ayaa twende Sw wana,
nakupenda
💯
Wenye wako hapa 2024 tupige like hapa
Me too
Me too
2036🎉😂
Me t
Asanteeee kwa story nzuri, naona na wew leo hii utakua #JamalRomeo wa 2021 maana ndo mumeanza kwa Mama la mama 👌😂leo wakwanz nipen like zang me napita tu
Jamal, Jamal, Jamal. How many times did I called you brother, you're the number one 🙏🙏🙏, 💕💕💕 we all salute you
kwahy jamali ww ndio Romeo na kajala julieti jomon ila story tamu PROUD of you JAMALI
🤣 🤣 🤣 🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
jamal thi proffessor 🔥.....likes zanguu jmnii🙏
Big Up Professor Jamal. Unatupeleka mbio sana professor juzi tumetoka kwenye mambo magumu kuhusiana na Sayansi ya Nyota Jua leo umeturudisha kwenye mahaba ya Romeo na Juliette.
😂😂😂😂
Ni mwendo wa kasi ya 5G🤣🤣🤣🤣bandika bandua
@Greder Operater hatari
Nilikua naitafuta kitambo sanaa hii stori ya romi na julie. Shukran Jamaal
Daaah afadhal nljuwa tumehujumuwa professor wetu
Kmbe ilkuwa kwaajl ya Kaz
Professor Jamal you're the best feel loved from 🇰🇪🇰🇪❤
Stories yangu bola ya mda wote kaka hongereni wasafi
Naomba like 💯 za jamal
From 🇧🇮🇧🇮 you are the best jamal🌷🇧🇮❤️🤲
Hadithi hii ya Romeo na Juliet ni kisa cha kweli kabisa na mimi mwaka 1990 nilifanikiwa kuzuru kabuli la Juliet na nyumbani kwa Juliet ambako ipo sanamu ya shaba ya Juliet pale VERONA, Italy.
Unahadithia hadithi kwenye hadithi!!! 😆 Tuwache tuckilize hii kwnza.
Vizur mpenz kwakubatika ata kufika uko hongera myawa
Duh 🙄
@@alliymohamedalliy6524😂😂😂😂
Kumbe mapenzii yakwelii yapoo ? ❤ LAKINI KWANINI UMCHUKUE KAJALA😂😂😂
Tunaotizama huku tunasoma comment tujuane hapa😂😂😂
😄😄
@@zulfahamissi4725 nishapata mwenzangu apa #zulfa hamissi🥳🥳🥳🤣🤣🙌🙌🙌
Mimi apa
😂😂😂😂🤦♀️
😄😄😄
Professor jamal King of the story noma sana 🔥🔥🔥
Dah zamani watu walipendana bana hizi nyau za siku hizi ukifa wanapiga simu kwa mchepuko umewaondolea kiwingu😂😂
Awo ndio kinassiapa
Usipende kuongea sana kuhusu kifo
Tulijuwa muko wapenzi weye na kajala 🤣🤣🤣kumbe ni kazi hongereni Wasafi 🙌🙌
#KING profeee ombi langu ni lile lile tunataka story ya @diamondplatnumz 🖐
🤣🤣🤣lion
Panya buku ya Leo sio pouw 🙌🙌
Sasa Baba Proffesor leo umeamua kuwa ROMEO wa mama la mama 😍😍😍🤣
👉👉 ASALI ONLINE TV
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uuuuuwi
Yetu macho
😂😂😂😂😂
Jj
Leo hiyi kali mno story profes ume uwa sana ni mependa
Leo umetisha 👊 like zangu mazee
Waooooo Mr Jamal
His father of love
Nakukubali xn jamali ilaaaa mm kila siku nalia na ww kuhusuuu unavoongea taratibuuu Alf mb zetu zinakwisha baana ongezaaa speeeed kidooogooo
😂😂😂😂😂👋
😂😂😂😂
Nangojeaga Friday tu niskilize ihii sauti hujawahi kosea master jamal
Hata kama nime Chelewa ndo usi like acha kalike basi kwaajili ya muda
😂😂😂kwa hyo jamali alikuwa ana date na kajala
Kwan like zinafaida gani jmn mbn me mshamba bado😊😊
Unapata hela
Maskini harmonize 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mwenzio Ana mpenz huku Romeo jamali
Kama unatamni jamal angekuwa maarufu kama manara afu manara awe kama jamal gonga like twende
😂😂😂😂😂😂
Story imefana mno kwa jinsi intro ilivyoundwa. Salute kwako Professor Jamal #wcb4life
Bonnie & Clyde wana story Nzuri. 🌹
Majizii
Rayvanny vs Nan vilee 😝😝
Weziii
Majizi hayo😂😂
Majambazi
Am jast passing nitarudi badae acha nibaki kuwa mpezi mtazamaji tu mdomo koma 🤣🤣🤣🙊🙊🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Tunaoishi Verona tunaomba mtupe like zetu.
Nawafatilia kutoka from Italy 🇮🇹🇮🇹🇮🇹🇮🇹🇮🇹🇮🇹🇮🇹 mjini:Frosinone Lazio 'kijana jamal hongera sana, unaweza 💪😁@papasimbadecor
2024 naomba like 50 tu
l like u prophessor Jamaly Be blessed a lot may God protect you to live longer
Kazi njema saana kaka, vyovyote vile hii section ya "THE STORY BOOK" it's more Amazing kaka. Please I wish you all the best and congratulations for the best "STORY NARRATION's"..... 💯💯💯 Hongera saaana 🙏, kwa kutupatia Burudani ya Kisasa...
waoooo that's the meaning of creativity
Fr Congo Brazzaville watching now
Ubunifu mzuri na kazi nzuri sana kwako
Profesa Jamal,hongera kaka
Bonge la story
Jamaaaniiii, ubunifu 💯
@Harmonize bado najifunza, ila Mambo yatakaa fresh na kwangu mtaona
I told you hawa wana act sasa roho yangu imetulia nilidhani wamemuiba Romeo wangu lol professor Jamal siku nikikuona ntaomba nipige picha na wewe your my role model very creative something different leo na kajala mnaigiza bigs up bro
Bongee la story et🔥🔥🔥🔥💯
Blessed, utaenda bali
such a mastermind Professor Jamal🔥 the story is awesome ❤️👽
Bomba la story asee
My role model @jamal April❤️
Nice one bro
Kazi nzuri 👏👏👏
Stor book imekua na ka kiki😄😄
Sana
Kivpi
@@swaggagamingtv6841 creativity hio sio kiki
Usiingie kwenye mahusiano na kajala plzzzzzz, wew ni smart kwa brain haendan na Huyo jingaaa
Ss unampangia acha wivu
Watching from Doha qatar 🇶🇦
Together let's watch from Doha too
Watching from quarantine Mukaynis Doha
Hey I want to come to Doha
@@staydubai1915 wat about dubai
Imeniuma sanaa Wallah ! Aiseeeee
Fundiiiii jamaliii Nakukubali Leo adi kesho
Jamal nakukubali sana. The story book 🔥
nmejikuta uchozi umenitoka kwa hii hadithi nzuri na yakusikitisha ya mapenz ya kweli......romeo wangu uko wapi jamani😊😊
Niko hapa
😂😂
@@diodoruskyomya9328 😍
@@bkilango4265 😅
@@saadaperec2706 💗
😅😅😅 jamal don't try to divert us the story book is for Sunday 😅😅😍there's nothing wrong she deserves a gentleman like you not a chucks
I she dates jamaal for real, she is going to explode! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Truth
😂😂🤣🤣
@@masalugusessa3702 lies 🙄
Sjawah kukukubal bro lakn leo kwa hii stor nmeanza kukubali bro big up sana mungu akuongoze ufike mbali❤❤🙏🙏🙏🙏✌
Ambao tunapata madini ya Jamal April tukiwa nchini omani 🇴🇲 tujuane hapa😍
Uko seem gani Omani??
Dahhh nice story king narrater professor
Le Prof.🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🎧
Tunaomba storbook ya hayati Magufuli wcb4life
Na samia
@@ahz6907 ushindwe pepo ya samiaa Yann sisi 😂
😂😂
Neda chato
@@Bettingwinner1 Yahni
NAhii nii the banya book
Mmmmh atar sana Malaya ndani ya story ww watu wataasha kutazama story zako uyu kajara VP makubwa
nilivyowaona mwanzo nikajua kweli umeshachukuliwa jamani mimi ninavyokupenda we kaka usiwe hivyo bwana😔😔😔
Una sh ngap nikuunge nae?
Elfu tatu @@ahz6907
Wabongo tulikuwa tuna fikiliya tiyari kajala kapata mwengine uku bana Duuh kumbe store books ,wambea tulikuwa tumisha kusanya photo 🤣🤣tujuwane apa ambao walikuwa wamisha kuwa kwenye ayo mawazo 🤣
Na iliniuma haaha
👆
Mimi apa 😂😂😂😂
@@zakyahya4645 lakini uyo brother ni mtu ambae ame tuliya sanaa ,ndo kwamana kila mtu aliye ona wavyo kuwa kwenye zile pozi ,sisi mashabiki mapema 🤣
@@chakuboyofficial9720 dah nikome mimi kucoment be4 cjawatch kumbe co mpenzi wake 😂😂😂nimeumbuka mimi
Professor Jamal & Kajala❤❤❤💑💑💑
You good brother
Jamal never disappoints 🔥🔥😘 I always learn something here👏🏻👏🏻 Good work @jamal April Mustapha 🥰
Me to napenda history asante saana jamal
Hello
❤❤jamal❤❤
Mtiga kumbe alificha sauti Tamu ya Jamal kweli when righttime comes the brightness will shine good job brother Jamal kwakweli wewe ni fundi na taka utuadithie story ya Samiriy Alie pewa uwezo na hakua miongoni mwa mitume pleaseeeee
Umetumia ubunifu mzuri Sana ❤️❤️keep going men 👍👍
Mmmh! Zerosesa Jamal Mustafa🤝🤝🤝🤝
baba ako na mama ako mzazi wako kwenye ndoa miaka 40 alafu mtu akikuliza yapi mahusiano bora duniani unasikika unasema beyonce and jz 😅
😂😂😂😂😂
hee kajala na professor jamal...ume mpindua amo
Jamal the real professor
Sanaa
Nakupata kaka, miss this chann fonlong🇰🇪🇶🇦
Story nzuri 🔥🔥
Jamal your Genius
Unagika mbinguni humuoni julieti😂😂😂😂😂😂😂
Wanawake sio watu wa kuwaamini kabisa
Jamal km ushaanza hvyo utapotea,,,naona upo na juliet mwenyew,,,,noma sana,,utapotea achana naye
Professor 🔥🔥🔥
Amazing story keep going jamal
EMBU TUACHANE NA MAMBO YAKINA ROMEO
Mzee saivi unakula mnofu huo ama ?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂nilitaka kuuliza na mimi hujue
😂😂😂😂
😀😀😀
Hahahahaha
😂😂😂
Napenda masimuliyo ya huyu Jamal sana,kiswahili sanifu.
Makofi kwake tafadhali👋👋👋
Big up ma broo
Ubunifu wa haali yajuu saana 💯
Baada ya kumjua Juliet amefariki ndoo ikaja huku😊
Genius 🔥🔥🔥
My favourite story romeo and juliet Aca tusubir nayo ya Bonnie na Clyde napend story zako nikiw burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
♥️♥️it's Jamal April again
From Kenya,but Best channel in Tanzania
Naomba like yako kama unaamini kijana anaweza
Ok
Hii safi sanaa
The man is creativity ✊🏽
Umetixha jamali🔥🔥
True love never die
Hata Lucky Dube aliimba kuhusiana na haya mahusiano,very interesting