WAFUNGUA KANISA NA KUWAACHISHA WATOTO SHULE KISA YESU ANARUDI WASUBIRI KUMPOKEA, DC AAGIZA WAKAMATWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 485

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 8 หลายเดือนก่อน +23

    Mkuu wa Wilaya Anabusara Sana....Tembea Uonee.😢😢

  • @KatoPaul-l5n
    @KatoPaul-l5n 8 หลายเดือนก่อน +6

    Nilichoelewa ni kwamba sio kwamba mtoto hayuko shule, bali yuko shuleni ambayo kwa dakika 2hamuwezi kuwaelewa watumishi wa MUNGU, tafadhari wapeni mda mkuu wa wilaya, wasikilize sana

  • @minaziparasu9074
    @minaziparasu9074 8 หลายเดือนก่อน +10

    Serekali mukiwaacha watu kamahao mudasimrefu itakua kamayale ya Kenya .Wadhibitiwe kwaharaka

    • @MatokeoMajonge
      @MatokeoMajonge 7 หลายเดือนก่อน

      Kumbuka kila neno na tendo walitendalo wanadamu watalitolea hesabu mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu.

  • @EdnaLugano
    @EdnaLugano 8 หลายเดือนก่อน +22

    Watu wamechanganyikiwa na maisha ndio.Wasabato Wana shule nyingi tu na kila cku wanafungua shule na vyuo.Acheni kupotosha maandiko sisi wakristu tumekuwa huru Sana ndio maana tunafanya mambo ya ajabu kila siku.Kwa Waislam hakuna huu ujinga ujinga

    • @elizabethlobe4353
      @elizabethlobe4353 8 หลายเดือนก่อน +1

      Sio kuchanganikiwa

    • @annamulungu2876
      @annamulungu2876 8 หลายเดือนก่อน

      Ila ni nini kama siyo kuchanganyikiwa?​@@elizabethlobe4353

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 8 หลายเดือนก่อน +1

      Ila ni nini

    • @kagoliHussein
      @kagoliHussein 8 หลายเดือนก่อน +1

      Watu wamevurugwa sana hakuna Cha uchungaji hapo huyo ni muongozo tu

    • @festohaule9716
      @festohaule9716 8 หลายเดือนก่อน +1

      Ni sahihi Wamechanganyikiwa kabisa.. kristo harudi Karne hii au Karne ijayo....

  • @williamsunday-yg2bz
    @williamsunday-yg2bz 8 หลายเดือนก่อน +15

    DC ana busara na huruma sana!

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 8 หลายเดือนก่อน +18

    Ni kweli Yesu kristo anarudi lakini haijaandikwa tukae bila kufanya kazi tumsubiri Yesu ni upotoshaji wa maandiko. Ndiyo sababu unyakuo utatukuta kwenye majukumu yetu ya kila siku.

    • @GoodDeeds-Jesus
      @GoodDeeds-Jesus 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa

    • @azizanyiranzeyimana7073
      @azizanyiranzeyimana7073 8 หลายเดือนก่อน +1

      Huyukijana, naakamatwe, huyunitawila Mr Makesne hiviwewebaba umelogwana,Makeanse ?Serikali waokoweni , watotohawa jameni.

    • @bensonlucas7607
      @bensonlucas7607 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hawa sijui ndo masabato masalia au vipi? Kanisa la Wasabato mbona lina miliki shule za Secondary nk? Miaka ya Nyuma walishawahi kubeba mabegi wakaenda uwanja wa Ndege Dar wakapiga kambi pale wiki mbili eti wanataka kwenda kuhubiri injili Ulaya.Wakateseka kwa njaa mwishowe Kandoro mkuu wa mkoa wa Dar akafika pale kuwapa Elimu ndipo akakuta wameondoka baada ya njaa kuzidi.

    • @bensonlucas7607
      @bensonlucas7607 8 หลายเดือนก่อน +1

      Huyo kijana wa UDOM ameacha chuo amekwenda kulima kibarua.

    • @NurusamsoniKanubo-o9r
      @NurusamsoniKanubo-o9r 8 หลายเดือนก่อน +1

      ​wanafundisha upuuzi wala hazina maana za sda

  • @fortidaskashaigili7496
    @fortidaskashaigili7496 8 หลายเดือนก่อน +6

    Makenzie mwingine huyo, kutoka kule Kenya, anaambia watu wafunge, wakati yeye anakula Tena viziri, Sasa huyu kasoma lkn hataki wengine wasome ili aweze kuwatawala

  • @kadokemarco9966
    @kadokemarco9966 8 หลายเดือนก่อน +9

    Unahekima sana mkuu wa wilaya

  • @abeidkhamis6130
    @abeidkhamis6130 8 หลายเดือนก่อน +9

    Tatizo ni mfumo wa elimu hii tulio hachiwa na wapagani sa ulaya inakaa kipaganipagani na kuto mpa Mungu nafasi kwa kweli imetuvuruga wanadamu pakubwa hadi hatu hizingatii nafasi ya mola wetu katika maisha yetu. Mitaala ifanyiwe marekebisho.

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 8 หลายเดือนก่อน +7

    6:17 yanakuja yale ya Kenya..shakahola.. serikali iwe macho, yanaweza kutokea vifo/mauaji kwa hao waumini na watoto wao

  • @haldinkiope9753
    @haldinkiope9753 8 หลายเดือนก่อน +2

    Lawama serikali mmewapa watu elimu mwisho wa siku wanadata kwa kukosa ajira 😅😅😅😅😅

  • @nyamogafamily9549
    @nyamogafamily9549 8 หลายเดือนก่อน +2

    Ni YESU huyu huyu tunayemwabudu au tutarajie mwingne⁉️⁉️

  • @mtimti3912
    @mtimti3912 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hiyo pia ni injili imewafikia

  • @juliusdominic-uk4bu
    @juliusdominic-uk4bu 8 หลายเดือนก่อน +4

    yupo sawa dini ndio mfumo sahihi wa maisha ya mwanadamu na Mungu ndio anatakiwa kupewa kipaumbele kuliko kitu chochote .

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi 8 หลายเดือนก่อน

      Dini gani sahihi ya maisha ya mwanadamu na ni ayah gani inaeleza hivyo?

    • @ramadhanimtetu3656
      @ramadhanimtetu3656 8 หลายเดือนก่อน

      Juliusdominic-uk4bu.
      Wazungu waliotuletea dini wamesoma pia na Elimu za kidunia

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi 8 หลายเดือนก่อน

      @@ramadhanimtetu3656 Wasipojifunza kusoma hata maandiko wanayowafundisha watayasomaje?Hawa Majamaa ni mitihani kweli kweli.

  • @MwantumRashidi
    @MwantumRashidi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie hii nchi ina vijana wa ovyo sanaa,

  • @godlovemrosso5973
    @godlovemrosso5973 8 หลายเดือนก่อน +8

    Maisha yamewavuruga kweli kweli na ahojiwe vya na ikiwezekana wapimwe akili maana wanaweza kuleta mambo ya kina mackenzie hao kwa akili zao

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 8 หลายเดือนก่อน

    Mkuu wawilaya KASEMA nayeye ni MKRISTO anafunga na biblia anasoma lkn hakujua anaongea na msabato SI MKRISTO kama yeye. Lkn biblia hakuizingatia kwa kusema waacheni watoto wadogo waje kwangu msiwazuie maana ufalme wa Mungu ni wao.SIVYO alivyosema Bwana YESU . YESU KASEMA ......msiwazuie maana WATOTO KAMA HAWA (kama hawa) ufalme wa ............

  • @maryjames7438
    @maryjames7438 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mkuu wa wilaya ni mpole hatari yaan huyu jamaa nataman angekutana na mwamba magu angeenyoosha maelezo vzr

  • @damsonwilson5202
    @damsonwilson5202 8 หลายเดือนก่อน +4

    Umaskini Unavuruga watu vichwa hadi watu wanavurugwa

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 8 หลายเดือนก่อน

    Yaani sijui watu watajifunza lini? Kibwetere wa Uganda aliwakusanya hivyo hivyo halafu akaishia kuwachoma moto, watu 778, Mackenzie wa Kenya, juzi juzi tu alileta style hii hii ya kuwakusanya na kuwaua watu 439, Marekani pia, Mchungaji James Jones wa Indiana state aliwauwa wafuasi 909 ambao 304 ni watoto, na wengine wengi, WATU WANATAKIWA KUMWABUDU MUNGU NA SIYO WANADAMU!!!!!

  • @Punda284
    @Punda284 8 หลายเดือนก่อน +2

    Warumi 13:1-2
    [1]Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.
    [2]Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.

  • @emmanuelshavunza4314
    @emmanuelshavunza4314 8 หลายเดือนก่อน +7

    Hapo shida ni afya ya akili.

  • @ezekiambise2595
    @ezekiambise2595 8 หลายเดือนก่อน +7

    Kazi ipo watu washaanza kuchanganyikiwa.Mungu tusaidie

  • @ghottaman2570
    @ghottaman2570 8 หลายเดือนก่อน

    Afrika tume pigwa sana na aya majina ya Yesu na uyu jamaa yake Muamadi, akuna chochote katika aya majina ujinga mtupu

  • @Maryc2G
    @Maryc2G 8 หลายเดือนก่อน +5

    Watu wangu waliokosa maarifa wanahangamia. Mfano tusifanye kazi mungu atatusaidia 😅😅😅😅😊😊

  • @jacksongeorge3964
    @jacksongeorge3964 8 หลายเดือนก่อน

    Haya majamaa ni ma PANGA'NGAA ,sweka hizo PUNDA ndani wanapotosha Raia itakujatokea na ya SHAKAHOLA kenya

  • @AbduMsuya-lo4gx
    @AbduMsuya-lo4gx 8 หลายเดือนก่อน +5

    Mh.DC ni bonge la pisi❤❤❤❤

  • @Chosen2Save
    @Chosen2Save 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa Watoto watosomaje vitabu Vya dini bila kwenda kujifunza kusoma shule?

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 8 หลายเดือนก่อน

    Hizo namba ni za Fillmason ..hizo anaxotajahuyo.jamaahapo. wanatumia masweitwani. Rusfa

  • @ErnestTomas
    @ErnestTomas 8 หลายเดือนก่อน +7

    Hajakutana na YESU,amekutana na Shetani

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 8 หลายเดือนก่อน

    Washenzi kweli nyie.hivi biblia mnasomaje??? Harafu imeandikwa kiswahili kabisa he ingekua ya kingereza ingekuaje????? Watu wangu wanapotea kwakukosa maalifa.kamara wote weka ndani.wasitoke. haondio baadaye wanachoma watu Moto harafu wao wanamkimbia.

  • @Faya884
    @Faya884 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie wachungaji w kizazi hiki mnamtumikia Mingu wa kweli,😢😢😢 kweli??

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 8 หลายเดือนก่อน +10

    Maskini huyo kijana amevurugwa na maisha.mungu awaguse waweze kubadirika.

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 8 หลายเดือนก่อน +5

    Kweli watu wa Mungu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

    • @eliakimu191
      @eliakimu191 8 หลายเดือนก่อน

      Jifunze juu ya Daniel aliekuwa mtu mwenye elimu ya juu, jifunze habari za Paulo Mtumishi wa Mungu aliekuwa msomi pia fuatilia habari za luka Mtumishi wa Mungu

  • @sadalahitambujr1863
    @sadalahitambujr1863 8 หลายเดือนก่อน

    Waadventista wako busy wanafungua mashule kila siku hebu kasomeni manyanya na wenzako acha kupotosha umma ....

  • @hassankilengah4786
    @hassankilengah4786 8 หลายเดือนก่อน

    Mnaleta masihara nyie msinge soma shule haya maandiko mgeyasomaje somaje.
    Jitafakarini kwanza kabla hamjazua vituko.

  • @kasukukasuku3896
    @kasukukasuku3896 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hii dunia inaendaje jamani yeye mwenyewe babamtoto kasoma adi sekondari ndo mana anauwezo ata wakujieleza yote hayo peleka mtoto shule

  • @Fm-MornStar2014
    @Fm-MornStar2014 8 หลายเดือนก่อน

    Tangu nikiwa mdogo hawa Wasabato wanatabiri mwisho wa Dunia, tarehe zinafika na kupita.
    Hata Malaika, na Yesu mwenyewe kasema hajui hio siku, Mt 24:36. Hawa wanasoma Biblia ipi?

  • @furahafurahisha2804
    @furahafurahisha2804 8 หลายเดือนก่อน

    Wapumbavu kabisa hao.huyo yesu aliwataarifu siku yakurudi?

  • @Maas-d5d
    @Maas-d5d 8 หลายเดือนก่อน +1

    kunawatu wanaimani jamani duh wasameheni tu nawatoto waende shule

  • @Masele85207
    @Masele85207 8 หลายเดือนก่อน +2

    Piga bakora hao wajinga

  • @deusngumba5155
    @deusngumba5155 8 หลายเดือนก่อน +1

    Achen kuichafua iman hakuna andiko linasema hivo, imeandikwa atakapo kuja atakuta watu wakiendelee na shuguli zao

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kanisa la waadventist wasabato wajibu hili, laki kwa huyu Bwana hakuna ukweli. Biblia imesema mshike sana elimu usiache aende zake

    • @rockcitynative9985
      @rockcitynative9985 8 หลายเดือนก่อน

      Unafikiri mkiwekwa mtu kati na huyo msabato utamshinda kwa hoja?
      Kishawaji elimu inayoongelewa katika mstali huo wa bible ni ile ya kumjua Mungu ambayo ndiyo hiyo yeye anampatia mtoto wake.
      Mbona DC kaishiwa pozi mpaka anaanza kukimbililia eti kama hiyo elimu anayoitoa kwa mtoto imesajiliwa au lah.
      Kwani sheria ipi inatutaka tukiwafundisha watoto wetu kumjua Mungu majumbani kwetu mpaka elimu hiyo isajiliwe? Isajiliwe kwani imekuwa ni taasisi?
      Hao jamaa wanaelimu ya Dunia na dini hivyo sio wepesi kama mnavyo fikiri.
      Kapigwa swali eti mbona yeye alisoma kwanza elimu Dunia jibu katoa ni aliposoma hiyo elimu Dunia aligundua kuwa haina msada kumjua Mungu.
      Huyo hao jamaa wanakwenda kushinda kesi huko mahakamani na huyo dogo kishamezeshwa sumu hatokubali kwenda shule hata baba yake akifungwa.
      Ushauri isitumike nguvu jamaa aombwe huko walikompeleka kama alegeze misimamo amwache mtoto aende shule.
      NB Mimi pia siungi mkono misimamo mikali ya dini na sinaga mpango hata na hiyo dini yenyewe lakini napendaga sana debate za hoja kwa hoja bila kujali ni kutoka kwa mwislam, mkristo au mpagani.

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 8 หลายเดือนก่อน

    Nikupongeze Dc unahekima sana naumeenda kwaakili yakuupima uelewa wahao ndugu

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu atarudi kesho kutwa... Vijana wa Afrika Amkeni Amkeni...

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 8 หลายเดือนก่อน

    Umesoma wapi kwenye biblia Yesu kurudi karbun

  • @DM_15
    @DM_15 8 หลายเดือนก่อน

    Izrael mbakasasa imepiga hamasi kwa makombora nakuvunjavunja majengo lkn bado wanapigwatuu na wapiga bunduki watembea kwamiguu, hii ni isharatosha yesu yupokaribu. Maana hata kwenye biblia imeandikwa

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 8 หลายเดือนก่อน

    Upotoshaji huo dio ukristo ni ujinga ukristo hauko hivyo wakristo ni wasomi wa elimu zote

  • @namelockmaasailady8002
    @namelockmaasailady8002 8 หลายเดือนก่อน

    Mmmmmh,dunia simamama Erick ashuke anawazuia watoto kwenda shule,wewe erick hujui maandiko kabisa.Maandiko yanasema mshike sana elimu usimwache aende zake.

  • @NDEWARA
    @NDEWARA 8 หลายเดือนก่อน +8

    Tukiwaendekeza hawa wajinga tutaangamia😢😢Upuuzi sana huu wa kuharibu watoto

    • @eliaskahory7116
      @eliaskahory7116 8 หลายเดือนก่อน +1

      Sasa Hawa Jamaa wanahubiri neno la Mungu Ujinga Wao uko Wapi? Mbona waisramu wanawambia watoto wao wasome Elimu ya Dini?

    • @kutailass6671
      @kutailass6671 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@eliaskahory7116waisiramu na wao watakua hawana akili timam, ila kwa dini safi na salama ya kiislam haina ujinga huo,

    • @salmabinyaga2357
      @salmabinyaga2357 8 หลายเดือนก่อน +1

      We ndo mpumbavu dini gani inasema mtu asisome bwana we na huyo mchungaji nyote ni manjunja

    • @letthedeadburythedead2148
      @letthedeadburythedead2148 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@salmabinyaga2357kwani kusoma dini sio kusoma?

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@eliaskahory7116Na elimu dunia pia,acha kipotosha

  • @ACLESSJABRINE
    @ACLESSJABRINE 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana mh kwa busara na hekima ulizonazo maana wengine hapo tusingejibiwa hivyo makofi yangekuwa yameshatembea chapchap

  • @ramadhanhassan9308
    @ramadhanhassan9308 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kichaa tu

  • @audaxbizimana8084
    @audaxbizimana8084 8 หลายเดือนก่อน

    Huo ni ugonjwa wa akili
    Lenyewe linajua kusoma halafu linataka watoto wasijue kusoma pumbapfuuuuuuuuu

  • @JUSTNEMITOMINGI
    @JUSTNEMITOMINGI 8 หลายเดือนก่อน

    Analudi kweli akikuta hujamalizia digli itakuaje yuko sawa mtumishi

  • @kassimsuleiman6720
    @kassimsuleiman6720 8 หลายเดือนก่อน

    Wapunguze kufuta bangi vijana sio kila anaesoma anaulewa wengine wanapata mihemko

  • @AgreyYona
    @AgreyYona 8 หลายเดือนก่อน

    Hao sio waadventista.ni mapandikizi tu.isaya 8:20

  • @ErastoMwakalukwa
    @ErastoMwakalukwa 8 หลายเดือนก่อน

    Uledi njoo uone ndugu zako ni wasabato huku😂😂😂

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 8 หลายเดือนก่อน

    Uliujuaje huo msitari km usingepelekwa shule

  • @jomba6514
    @jomba6514 8 หลายเดือนก่อน +5

    Afya ya apo juu sio nzuri

  • @enockmichael7472
    @enockmichael7472 8 หลายเดือนก่อน

    Kofia kama kenop ya durisha😂😂😂😂

  • @SofiaMvungi-zu5tg
    @SofiaMvungi-zu5tg 8 หลายเดือนก่อน

    Jamani mkuu usipoteze muda huyo maisha yamempiga kwanza

  • @HassanMugire
    @HassanMugire 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Alidisco

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 8 หลายเดือนก่อน +1

      Vipi unampata.

  • @langotv5071
    @langotv5071 8 หลายเดือนก่อน

    Ugumu wa maisha umewapa tatizo la afya ya akili mpelekeni Mirembe akatibiwe

  • @JJTSUPERCLEANER
    @JJTSUPERCLEANER 2 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ni iman ya hali ya juu sana wala hapa mtu asiye na Roho wa Mungu hawezi kuelewa kitu hapa zaid ya kumbeza huyo jamaa!

  • @EmmanuelRenson-y2r
    @EmmanuelRenson-y2r 8 หลายเดือนก่อน +3

    dini hizi shida sana maisha yamemvuruga huyo ndo mchunga kondoo huyo daaaaaa

  • @WilliamSomela-h9s
    @WilliamSomela-h9s 8 หลายเดือนก่อน

    Niiombe serikali ifwatilie kwa kina juu ya hawa wachungaji wanaoibuka na kurubuni watu kwa kwenda kinyume na maandiko ya biblia .

  • @wilfredlukowo9476
    @wilfredlukowo9476 8 หลายเดือนก่อน

    Asaidiwe arudi chuo hayuko vizuri

  • @eliakimu191
    @eliakimu191 8 หลายเดือนก่อน

    Daniel , Musa, paulo pamoja na luka hao niwatumishi wa Mungu waliokuwa na elimu ya juu, sasa wewe unadhani walikosea kusoma elimu hizo? Mithali 3:13 inasema heri mtu yule aonae hekima na mtu yule apatae ufahamu. Sasa mtu atapata wapi ufahamu asipo soma?

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 8 หลายเดือนก่อน

    Huu Mtumishi wampime akili kwanza

  • @mestonisimzosha203
    @mestonisimzosha203 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mkuu wa wilaya yuko vizuri

  • @ericsonkibasa7513
    @ericsonkibasa7513 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna jamaa moja ilikua kila mwalimu akitangaza test jumamosi hafiki akiulizwa anasema iheshimiwe siku ya sabato😂😂😂😂 wasabato wana misimamo buana so mchezoo😅😅

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 8 หลายเดือนก่อน

      Cheza na watu wote na si wasabato,mmoja tabora alirudisha mpaka pesa za semina alizolipwa kisa mtihani wa mwisho ulipangwa jumamosi,imagine malipo ya siku 28

  • @ZabronSamwel
    @ZabronSamwel 8 หลายเดือนก่อน +1

    Serikali iangalie sana tatzo la ajira maana wasomi wanaweuka mapema sana,mfano hao jamaaa Ni maisha tu yanasumbua,Imani waliyonayo hao vijana Ni upagani mtupu Wala hakuna uhusiano wowote wa biblia na wanayosema.

  • @marthagabriel3417
    @marthagabriel3417 8 หลายเดือนก่อน

    Mtt asiposoma hiyo biblia ataisomaje na biblia inasema shika sana elimu usiache iende zake

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 8 หลายเดือนก่อน

    Serikali zetu hazijitambui kila ukicha makanisa ya kitapeli kila mtu anaona njia rahisi kufungua makanisa ya kitapeli hili kujipatia kipato kwa sadaka za Wananchi mtihani utapeli tu dah😭😭

  • @ErastoMwakalukwa
    @ErastoMwakalukwa 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa hao waumini wake watasomaje Bible kama ni illiterate?

  • @MwajumaKassimu-b4f
    @MwajumaKassimu-b4f 8 หลายเดือนก่อน

    Hawa wagaratia wengine wanamambo mengine inamaana yesu yupo kariiibu mtoto asiende shule wasabato wenyewe wanasoma shule na wanamaisha swafi

  • @alexmwashifungwe5174
    @alexmwashifungwe5174 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mh .DC uko sahihi sana kwanza umempa nafasi yakujieleza mungu amuongoze rais ateue viongoz kama huyu

  • @JUSTNEMITOMINGI
    @JUSTNEMITOMINGI 8 หลายเดือนก่อน

    Kuna elimu gani bongo wao wako ulaya ndo mana elimu ya bongo michosho

  • @respiciusndyanabo366
    @respiciusndyanabo366 8 หลายเดือนก่อน

    Je kama huyo mchungaji amesoma biblia na hao watoto wataisomaje kama hawajua kusoma

  • @MusaJuma-jr7wb
    @MusaJuma-jr7wb 8 หลายเดือนก่อน

    Huyo kapagawa anatatizo achapwe na polisi

  • @peterkihongosipeterkihongo1154
    @peterkihongosipeterkihongo1154 8 หลายเดือนก่อน +3

    Hawa jamaa.wamechanganyikiwa kabisa

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ameona elimu ya chuo kikuu Haina msaada wowote

  • @marikiurio2656
    @marikiurio2656 8 หลายเดือนก่อน

    MKUU WA MKOA ANA HURUMA ALITAKIWA YULE ASKARI AMCHAPE VIBOKO YAANI NINGEKUWA MIMI WANGEONA CHA MOTO ALLA HIYO BIBILIA ATASOMAJE

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 8 หลายเดือนก่อน

    Aisee jamaa mwenyewe gala tu etiwatu wanamuelewa na kufata anacho waeleza wajinga ndowaliwao

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 8 หลายเดือนก่อน

    Kwenye imani kunaujinga mkubws sn

  • @hameesnassoro7158
    @hameesnassoro7158 8 หลายเดือนก่อน

    Huwenda Jamaa akawa anatatizo la afya ya akili ni vzr angechunguzwa afya yke kwnza.

  • @RachelLaizer-n2p
    @RachelLaizer-n2p 8 หลายเดือนก่อน

    Mkuu waweke ndani hata magereza ikibidi hatutaki mambo ya shakahola kenya hapa ni tz hawa ndio kina kibwetere

  • @deussasi9285
    @deussasi9285 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wako sahihi....kama ushoga unaenda kufundishwa mashuleni unategemea tufanyeje....ni lazima tufanye hv

  • @africa7479
    @africa7479 8 หลายเดือนก่อน

    tunatakiwa tujifunze Elimu zote hyo ya maisha yajayo ni muhimu na yamaisha ya sasa ni muhipi pia kwasbb tunaishi sasa

  • @OmbeniLuka
    @OmbeniLuka 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna shida yoyote hata kama Yesu akija leo pelekeni watoto shule

  • @kaliskaguzkalis4424
    @kaliskaguzkalis4424 8 หลายเดือนก่อน

    Dada unauliza maswali vizuri sna hauna papala kabisa, unafaa kutangaza TBC

  • @florencemseja530
    @florencemseja530 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kaka usituharibie dini tafadhali Sana wasabato hatuna huu upuuzi kampimeni akili

    • @Chume_tz
      @Chume_tz 8 หลายเดือนก่อน

      Wewe sio msabato make huna imani....jamaa amesema kabisa elimu iliyoongelewa kwenye biblia sio hiyo wanayotoa wao iliyoongelewq humo ni hii anayompatia mtoto elimu ya kumjua mungu...jamaa kajibu maswali yake safi kabisa ....

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@Chume_tzkweli,!!!🔥🔥🔥🔥

  • @deusdeditgkishombo4916
    @deusdeditgkishombo4916 8 หลายเดือนก่อน

    Kama Tanzania haitawachukulia hatua stahiki kwa hawa wajinga mbele ni majanga.

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 8 หลายเดือนก่อน

    NI WASABATO WA MATENGENE HATA VIKINDU WAPO

  • @abdirizakibrahim1975
    @abdirizakibrahim1975 8 หลายเดือนก่อน

    Hatari sana tusikubaliane nayo kabisa

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 8 หลายเดือนก่อน +5

    😂😂😂😂kesho atawachinja wakakutane na yesu

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 8 หลายเดือนก่อน

      Haswaas

    • @ZayyanaBamuni
      @ZayyanaBamuni 8 หลายเดือนก่อน

      😂

  • @gazzomaster9462
    @gazzomaster9462 8 หลายเดือนก่อน

    Mnazunguka Sana wachane ukwel elimu ni kupoteza pesa na muda😂😂 zamani elimu ni ufunguo lakin now NI kufuri uyo mtoto atamsaidia badae watu Wana ma degree wapo mtaan na washatupa pesa za kutosha na wazaz washazeeka wanasubir malipo na awapat kitu wengi wao wenye elimu ni walevi now sabu hajira mnapeana kindugu niiten Mimi tufanye dbeit😂

  • @Prosperkisama
    @Prosperkisama 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kila kitu kinatakiwa kuendelea Kama ilivyo yaani shughuli zote halali ziendelee na Yesu Kristo anapokuja maana lazima aje atakomesha yote mema na mabaya!

  • @exprodigitaltechtv5571
    @exprodigitaltechtv5571 8 หลายเดือนก่อน

    kwa hali ya ajira ilivyokua ngumu kusoma sas iwe ni hiari sio lazima 🤣🤣🤣

  • @ramadhanibundala580
    @ramadhanibundala580 8 หลายเดือนก่อน +3

    Chuo kikuu hakuna ajira emedata 😂😂😂