Ubarikiwe kwa kutuletea haya. Nakuombea sana mwana wa Mungu. Kazana kupiga vita vizuri vya imani bila kulegea maana imeandikwa ole wake afanyae kazi ya Bwana kwa ulegevu. Kazana sana kufanya kazi ya Mungu
Bwana Yesu akuinue baba kwa namba unavyo lipambania taifa letu Mungu akubariki sana.. hakika kazi yako ninzuri sana inavutia kuitazama hata kusikiliza kiwango nichajuu sana baba.
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu, Neema na kibali Cha Mungu kiendelee kuwa juu yako.familia yangu nami tunakupenda na kukuombea
Maono hayo siyo ya Mungu wa kweli. Labda ya shetani. Someni Maandiko vizuri. Mungu hapotezi wake kwa maono ya namna hii.
Mti wenye matunda lazima utapigwa mawe mungu akuinue mtumishi bwana❤❤❤❤
Ubarikiwe kwa kutuletea haya. Nakuombea sana mwana wa Mungu. Kazana kupiga vita vizuri vya imani bila kulegea maana imeandikwa ole wake afanyae kazi ya Bwana kwa ulegevu. Kazana sana kufanya kazi ya Mungu
Amina
Bwana Yesu akuinue baba kwa namba unavyo lipambania taifa letu Mungu akubariki sana.. hakika kazi yako ninzuri sana inavutia kuitazama hata kusikiliza kiwango nichajuu sana baba.
2Nyakati 7:14
Mungu atuondolee adhabu ya kusikia lakini hatusikii! Kuona lakini hatuoni!
Tuko kwenye kipindi kama cha wakati wa Nuhu!
Bwana Yesu asifiwe mtumishi samahani nauliza uliwahi kufika kwenye Kanisa la tag mkongo juu au nitkua nimekufananisha mtumishi
Amen mtumishi wala hujanifananisha mtumishi ndo mimi mwenyewe
Mnatafuta hela tu na kujulikana mkitumia neno la Mungu vibaya. Huo ni upigaji ramri.
Fanya na wewe upige Hela uone.
Hujitambui
Hakika yake huyu hajitambui,asubiri siku ya kilio na kusaga meno inakuja, Mungu akubariki mtumishi wa Mungu ,damu ya Yesu ikufunike baba
Haya maono mnapoyaona inakupasa uende kuonana na rais umweleze au uombe upate kioindi cha wazi ili imfikie rais
Ndoto yako no dhahiri 100% Walakini, Tafsiri yake umebashiri tu! JAPO, UJUMBE UMEFIKA KWA MWENYE HEKIMA.
Ujumbe wa kuhubiri habari za Africa au Tanzania ulitolewa katika fungu gani katika biblia?