NYUMBANI KWA MASELE CHAPOMBE/ANAFUGA MMBWA MKALI/MCHUNGAJI AFIKA KUMPA NENO KILA SIKU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • Usisahau ku"SUBSCRIBE" TH-cam channel yetu kwa videos nyinginezo
    #zamaraditv #mambonimengi

ความคิดเห็น • 197

  • @cosmasthomas9164
    @cosmasthomas9164 7 หลายเดือนก่อน +24

    Kitambo sana na huyu mwamba,Crispin masele pale mikocheni A primary school.🔥🔥👍👍nakumbuka masihara yake darasani mpaka nje ya darasa.mungu akulinde zaidi 🙏🙏

    • @alexandermathias1692
      @alexandermathias1692 7 หลายเดือนก่อน +1

      Nimekaa nae kitaa hapo 4 ways bar Mikocheni A

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 6 หลายเดือนก่อน +6

    Commedy wangu nilikuwa nakufatilia Sana kaka masele cha pombe🎉

  • @mrfestomsyangi1305
    @mrfestomsyangi1305 7 หลายเดือนก่อน +4

    UKO SAHIH MUNGU WETU ANAHITAJI MOYO .BLESS UP NDUGU MASELE MUNGU ATAKUZIDISHIA KUNA QOUTE MOJA YA KIZUNGU INASEMA “if you gives God the groly he will give you the victory hongora sana masele ahsante kwa kulitangaza jina la MUNGU WETU

  • @aziziabdulrahman3914
    @aziziabdulrahman3914 7 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu kauza maeneo kibao maeneo ya goba centa aliteka maeneo kitambo si bwege mzee anamaarifa mkubwa sana

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 6 หลายเดือนก่อน +3

    Masele ongera sana,kumbe uko hivi safi sana❤❤❤

  • @homebest9258
    @homebest9258 7 หลายเดือนก่อน +9

    Hongera sana kwa kuwa na kwako bwana.

  • @safiyanirram-pf3sv
    @safiyanirram-pf3sv 5 หลายเดือนก่อน

    Nimependa kwanza alivyo heshimu nyumba chake yeye na mkewe maana angekuwa mwengine angeonesha pia hongera kwa kuwa baba mwenye nyumba kwako kwako tu na nyumba mzuri na eneo kubwa mashallha mazingira mazuri

  • @nuubaby
    @nuubaby 7 หลายเดือนก่อน +10

    Salehe kaogopa kuchunguza chunguza km kawaida yake😂😂😂😂😂,Kaogopaaaaaaaaaa leo heshima fuata mkondo wake😂

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l 2 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂dah masele nakufatilia sana nimekutafuta baada ya kuona unampima nguo Tausi😄

  • @abdulsimbarakiye4145
    @abdulsimbarakiye4145 7 หลายเดือนก่อน +12

    Bwana. Chapombe hongera sana kwa mjengo mzuri

  • @innocentmsoka7805
    @innocentmsoka7805 6 หลายเดือนก่อน +1

    nimebarikiwa sana masele kwa kumpenda Mungu na ndio mafanikio hayo

  • @angelavayinga914
    @angelavayinga914 7 หลายเดือนก่อน +5

    Napenda sana kuwa kwangu, hongera sana kaka

  • @rehemafeysali4444
    @rehemafeysali4444 7 หลายเดือนก่อน +17

    Hongera sana umefanya jambo la maana sana kwako nikwako🙏

  • @fatmachikambo8780
    @fatmachikambo8780 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona leo Saleh hajafungua friji kama anavyofanya kwa wengine sijapenda 😂😂😂😂😂

  • @user-vv5pf4rj9w
    @user-vv5pf4rj9w 7 หลายเดือนก่อน +7

    Jmniii kumbe handsome kabisaa❤❤

  • @hamadyhashimu9784
    @hamadyhashimu9784 7 หลายเดือนก่อน +5

    nmependa ana maisha yake flan simple hana ubishoo

  • @salhamrishoi4943
    @salhamrishoi4943 7 หลายเดือนก่อน +40

    Uyu si walisemaga amekufa ama siyo huyu hammada😢nyie binadamu Wanaweza kukuuwa hivi hivi😢nakupenda masele allah akupe maisha mrefu ❤🎉🤲

  • @user-dl3ep1ow3y
    @user-dl3ep1ow3y 7 หลายเดือนก่อน +2

    MASHALLAH SUBANALLAH ALLAH AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤MY BROTHER FROM TZ MY DUA ALWAYS WITH YOU AND UR FAMILY I AM LIVING IN UK 🇬🇧 LONDON BUT I AM ORIGINAL FROM KENYA MOMBASA BUT I AM PROUD OF PEOPLE OF AFRICAN COUNTRIES AND ALSO PEOPLE OF KENYA 🇰🇪. TANZANIA 🇹🇿 AND UGANDA 🇺🇬 AND WHOLE WORLD 🌎 AMEEN AMEEN AMEEN ❤❤❤❤❤❤❤REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER SIDIK FROM UK 🇬🇧 LONDON WS JUMA MUBARAK AND EID MUBARAK FROM BOTTOM OF MY HEART ❤️ 💙 💜 💖 💗 💘 ❤️ 💙 💜 UR BROTHER SIDIK FROM UK 🇬🇧 LONDON WS ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuzidishie mema hapo kumtaja MUngu muhimu

  • @temeketv
    @temeketv 7 หลายเดือนก่อน +7

    Hongera kaka umecheza kama pele

  • @cylousjeremiah3768
    @cylousjeremiah3768 7 หลายเดือนก่อน +9

    Umepambana sana kaka

  • @JofreyMsigwa-ok7hv
    @JofreyMsigwa-ok7hv 7 หลายเดือนก่อน +2

    Amemtaja max du nimekumbuka mbali sana sielewi nitazipata wapi kazi za max jaman nisaidien

  • @dennisnjau2427
    @dennisnjau2427 7 หลายเดือนก่อน +2

    Dawa Za Kulevya..lilikuwa Ni Tatizo Kuu Kwa Masele..Inanipa Moyo Kuona Upo Na Mchungaji Hapo Na Hata Hofu Ya Mungu Sasa Unayo.,Njia Uliyochagua ni Salama Sana Na Utafanikiwa Tu Ukiweka Nia..UNAWEZA🎉❤

  • @user-ng6yt2od7l
    @user-ng6yt2od7l 2 หลายเดือนก่อน

    Ongera kwa mjengo mr Masele

  • @RoseMinani
    @RoseMinani 7 หลายเดือนก่อน +6

    Pamoja sana dah nimekuwa wa nne leo from USA 🇺🇸 hongera Masele

  • @marthahozza2964
    @marthahozza2964 7 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂 sijawah kuona et chumba kwa ajili ya fridge mh kwake huyu kweli 😅😅

    • @zeddymourice4249
      @zeddymourice4249 7 หลายเดือนก่อน +1

      Sio chumba kwa ajiri ya fridge Ila amesema chumba hiki nimeweka fridge tu

    • @user-we2zc8sp7r
      @user-we2zc8sp7r 7 หลายเดือนก่อน

      Onyesha na wwe kwako unampangiaje wakat yye ametaka aweke friji chumban

    • @hawaalawi272
      @hawaalawi272 7 หลายเดือนก่อน

      Ndo uone sasa Mimi nina chumba kwa ajili ya mafriji na viatu

    • @marthahozza2964
      @marthahozza2964 7 หลายเดือนก่อน

      @@user-we2zc8sp7rwatu wengine mna shobo mshindo ni mumeo imekuuma

  • @user-fc1xq6mt1g
    @user-fc1xq6mt1g 3 หลายเดือนก่อน

    Mbn hapo gest jaman 😅😅😅😅😅😅😅😅 hiii

  • @yahayarajabu8570
    @yahayarajabu8570 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo mnyamwezi og ,,wadada wakinyamwezi intiriel wanafanya sana vitambaa.

  • @ChuxDaniel
    @ChuxDaniel 7 หลายเดือนก่อน +13

    Oya na wewe tujue maisha Yako maana sio kwa kununua juice ya 300 tuende kwako kaka utakuwa unyama sana

    • @hamidawamba
      @hamidawamba 7 หลายเดือนก่อน +1

      Tabia zakike sas😅😅

    • @Qwang6
      @Qwang6 6 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂sure kazingua kinoma juice ya mia tatu af kafika kwa kujitetea kinoma et zile juice ndogo na katoa waleti kuuitafta jero 😂😂😂😂

  • @user-vv1te9fu8q
    @user-vv1te9fu8q 7 หลายเดือนก่อน +4

    Lkn twende tukirudi nyuma masele ana sura pombe tena pombe kali hapo anazuga kwa ajili ya mchungaji 😂😂😂😂

  • @user-we2zc8sp7r
    @user-we2zc8sp7r 7 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera Sana home boy

  • @richardkwayson7202
    @richardkwayson7202 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaume wa daa Wana ogopa mbwa😅😅😅

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 6 หลายเดือนก่อน

    Ahmadaeeeeeee
    Ahmada
    Ahmada
    Ahmada umelewa
    Ahmada umelewa
    Ahmada umelewa 😂

  • @user-ll7np8td7x
    @user-ll7np8td7x 2 วันที่ผ่านมา

    Masele ukopowa sana

  • @user-ie3xv1kh5v
    @user-ie3xv1kh5v 7 หลายเดือนก่อน +2

    hongera sana

  • @nishamwenendi-vh4wk
    @nishamwenendi-vh4wk 7 หลายเดือนก่อน +2

    Leo saleh kakoma mana kila kitu anataka akione 😂😂🐕

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 6 หลายเดือนก่อน

    Ila Salehe bila kuingia ndani bado hujafika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-ll5jp4ir7h
    @user-ll5jp4ir7h 7 หลายเดือนก่อน +1

    ungemuachia mBwa akome kidg🎉

  • @EmJesho
    @EmJesho 7 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂 duuh salehe muoga nmecheka sana

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 7 หลายเดือนก่อน +2

    Legend🔥🔥🔥🔥🔥

  • @praisesteven7774
    @praisesteven7774 7 หลายเดือนก่อน +1

    ssa ivo vitambaaaa jmn kma wa mama wa mbeya 🤣🤣🤣🤣🤣 au mke wake vp uyo

  • @emmanuelfari8924
    @emmanuelfari8924 7 หลายเดือนก่อน +4

    +MUNGU+ AKUBARIKI, kukutunza na kuzidi kwako zaidi YOHANA 14:14🙏

  • @sabunitv2121
    @sabunitv2121 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi mchungaji nimemsoma😂

  • @kibikihotfilm0621
    @kibikihotfilm0621 7 หลายเดือนก่อน +3

    Congratulations kaka

  • @itNeza
    @itNeza 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mchungaji kaja kujiokotea maokoto yake. Hallelujah. 😂

  • @emmanuelmasanja6040
    @emmanuelmasanja6040 7 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri poti

  • @user-pl1ey3nl6m
    @user-pl1ey3nl6m 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nimeuwona mlongeeee

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 7 หลายเดือนก่อน +4

    Nimetokea kupenda ichi kipindi

  • @barretobacca9754
    @barretobacca9754 7 หลายเดือนก่อน +1

    Next time, Jimmy Mponda AKA J.Plus
    Utuletee

  • @cdeleo9336
    @cdeleo9336 7 หลายเดือนก่อน

    Umejitahidi umejenga hongerasana

  • @ayubuzayumba
    @ayubuzayumba 7 หลายเดือนก่อน +1

    safi masele motivation

  • @Sophia-yh4dc
    @Sophia-yh4dc 7 หลายเดือนก่อน

    Salehe viatu viko wapi miguun naona soks tuh😂

  • @MaggieSichone-fj5kc
    @MaggieSichone-fj5kc 7 หลายเดือนก่อน +1

    Maeneo saafi hongera saana chapombe umemzidi huyu chawa doto madali mdomo tu Hana lolotee

  • @rehemamwaitenda1872
    @rehemamwaitenda1872 7 หลายเดือนก่อน +2

    Ni nyumbani kwake

  • @rahymaaa4357
    @rahymaaa4357 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂show biz bhana ulitaka kuvunjika kisa mbwa loooow

  • @user-xz9zg2yk6m
    @user-xz9zg2yk6m 7 หลายเดือนก่อน

    Na wewe mwandishi huna ata adabu unataka kuingia mpaka chumbani na mke wake hayupo yuko moshi acha akakupake mafuta😂😂😂😂😂😂

  • @user-pb7ek7cq4s
    @user-pb7ek7cq4s 7 หลายเดือนก่อน +1

    Masele.nakukubali.sana

  • @csato9415
    @csato9415 7 หลายเดือนก่อน +1

    @ZamaradiTV, MMBWA ndio nini jamani 😂😂

  • @zahramohammed2337
    @zahramohammed2337 7 หลายเดือนก่อน

    Shoo bizz kwa mboss jaman au VP

  • @sabunitv2121
    @sabunitv2121 5 หลายเดือนก่อน

    Ila Wanaume wa dar aiseee 😢

  • @mariachunga2191
    @mariachunga2191 7 หลายเดือนก่อน

    Mwanangu masele kumbe uko hai jaman amka mwambaaa mic uu

  • @RacherBakari-qh2gx
    @RacherBakari-qh2gx 7 หลายเดือนก่อน +6

    Kikubwa amejenga ajapanga

    • @rehemamwaitenda1872
      @rehemamwaitenda1872 7 หลายเดือนก่อน

      Kweli mwaya

    • @marymongi2637
      @marymongi2637 6 หลายเดือนก่อน

      Hapo kwa mama ake bhana tunao ishi makabe tunaelewa

    • @safiaali1129
      @safiaali1129 4 หลายเดือนก่อน

      Hongera umejitahidi na maisha mshukuru Mungu sana.

  • @user-mn9nz4mg4v
    @user-mn9nz4mg4v 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mtafuteni bambucha anateseka Hana mguu amekatwa

  • @domisonrichman6499
    @domisonrichman6499 7 หลายเดือนก่อน

    Hongera man

  • @WilliamDaniel-hm4cr
    @WilliamDaniel-hm4cr 7 หลายเดือนก่อน

    Mwamba namkubali sana

  • @salumkagame509
    @salumkagame509 7 หลายเดือนก่อน

    Hongera Sana Mzee

  • @aumenmgeni6212
    @aumenmgeni6212 7 หลายเดือนก่อน

    Masele hongora sana ,,namkubali sana alikua mchekeshaji toka tupo shule,,tumesoma wote makambako secondary

  • @shawimichael595
    @shawimichael595 6 หลายเดือนก่อน

    Haijawahi tokea tena mwenye uigizaji kama wa masele

  • @DishaniDisha-zm2gm
    @DishaniDisha-zm2gm 7 หลายเดือนก่อน

    Good job

  • @Apri18Apri8
    @Apri18Apri8 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona kuna Serengeti larger

    • @user-vv1te9fu8q
      @user-vv1te9fu8q 7 หลายเดือนก่อน

      Duuuh waja wachunguzi nyie 😂😂😂😂 mm mbona sijaiona

  • @universitylink
    @universitylink 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nyumba nzuri na ina uwanja mkubwa

  • @zainab8251
    @zainab8251 7 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah

  • @sixmundleonard2135
    @sixmundleonard2135 7 หลายเดือนก่อน +1

    Masele 207 kijitonyama

  • @naomicharles5444
    @naomicharles5444 7 หลายเดือนก่อน +1

    Leo mapema 11

  • @bahatibushiri1610
    @bahatibushiri1610 7 หลายเดือนก่อน +1

    Salehe leo umenendeza leo ujavaa hereni

  • @godfreykazumba7161
    @godfreykazumba7161 7 หลายเดือนก่อน

    KItu kama icho😂

  • @SaleheSaid-yv2zl
    @SaleheSaid-yv2zl 6 หลายเดือนก่อน

    Uyo analeta usanii kwenye maisha yake kama yeye mwenyewe alivyo msanii ana nyumba huyo anawapanga

  • @juliethjulie1204
    @juliethjulie1204 6 หลายเดือนก่อน

    Hyo Nyumba kajenga mwaka gani?
    Mbona ni Material za kizamani Nina MASHAKA hapo sio kwake😅

    • @Merry-ek5mj
      @Merry-ek5mj 6 หลายเดือนก่อน

      Hiyo miaka saba iyopita amesema mwenyewe

  • @hawaomari5533
    @hawaomari5533 7 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂kwanza nicheke leo nimeamin wasanii wanakod nyumba za watu masele ww😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @ShamsiaMuhibu-ly9mi
      @ShamsiaMuhibu-ly9mi 7 หลายเดือนก่อน +3

      Nyumba yake iyo leo mara ya pili anaojiwa mara ya kwanza hakuna fensi na alipanda miti tu watu wanajitafuta ndugu

    • @newforcejv9721
      @newforcejv9721 7 หลายเดือนก่อน

      Niambie kakodi vip na anaelekeza kwa UWAKIKA harisi kabisa

  • @sarahminja7255
    @sarahminja7255 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kashika mmbwa alafu kashika na samaki nani kaona kama Mimi

    • @zuhurafaustine6934
      @zuhurafaustine6934 7 หลายเดือนก่อน +4

      Hizo kupikwa unaosha maji ya moto

  • @madownloadionlinetv759
    @madownloadionlinetv759 7 หลายเดือนก่อน +1

    one day nitajenga tu

  • @InnohubGroup
    @InnohubGroup 7 หลายเดือนก่อน

    Ukija kwangu uvae kiheshima. Kaptula hata Nyerere alibaniwa na wazee enzi hizo katika maandalizi ya enzi za mwalimu.

  • @jacqueli18
    @jacqueli18 7 หลายเดือนก่อน +3

    Kamshika mbwa kisha samaki hana baya😂😂😂😂

    • @JofreyMsigwa-ok7hv
      @JofreyMsigwa-ok7hv 7 หลายเดือนก่อน

      Namim nimeona mbwa Tena samaki banae ustaarabu lakin kasema yeye kuosha vyombo mpaka ajisikie😂

    • @rogatusmeleki1660
      @rogatusmeleki1660 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @djhajiztz
    @djhajiztz 7 หลายเดือนก่อน

    ongera❤

  • @roserichard7415
    @roserichard7415 7 หลายเดือนก่อน

    Mmmh bwanna anakaa manzese bhn

  • @marymongi2637
    @marymongi2637 6 หลายเดือนก่อน

    Jamani hapa si kwa mama ake

  • @lesliesolomon3624
    @lesliesolomon3624 7 หลายเดือนก่อน

    Kongole kaka

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa nilikua namsubir mda mref interview yake

  • @abubakaralliy8435
    @abubakaralliy8435 7 หลายเดือนก่อน

    Mbn umeficha poch saleh😅

  • @OG_classic
    @OG_classic 6 หลายเดือนก่อน

    Hapo ni Kwa mama akee, na sio goba ,hapo ni mbezi_makabe njiapanda ya msumi (kanisani)

    • @abdulkarimkadili6570
      @abdulkarimkadili6570 6 หลายเดือนก่อน

      Ivi masele amejenga jaman mbona watu wanadiss sio nyumba yake wanaomjua waseme tujue

  • @user-jj7fi8tz4t
    @user-jj7fi8tz4t 7 หลายเดือนก่อน +1

    wakwanzaaaaa

  • @simbamtoto7530
    @simbamtoto7530 7 หลายเดือนก่อน

    Aw vipi

  • @glorianikiza3940
    @glorianikiza3940 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera zake kwa kujenga

  • @elianifammari3212
    @elianifammari3212 7 หลายเดือนก่อน

    Me ningefungua mbwa aingie mpaka ndani dawa ya hawa wambea

    • @barakajoseph2234
      @barakajoseph2234 7 หลายเดือนก่อน

      Hawaendagi bila taarifa na mara nyingne hutafutwa wenyewe

  • @jasminally5363
    @jasminally5363 6 หลายเดือนก่อน

    Mkono wa mkonole naye wapi??
    Ben masanduku??

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 7 หลายเดือนก่อน +1

    Muhimu ni pakuketi unapo usijali

  • @mwaka43
    @mwaka43 7 หลายเดือนก่อน +1

    Duh!!!Mtangazaji mwoga sana wa Mbwa

    • @csato9415
      @csato9415 7 หลายเดือนก่อน

      Nadhani labda ni kutokana na dini yake, maana nasikia waislamu kwao mbwa ni haramu 🤷‍♀🤷‍♀

    • @user-vv1te9fu8q
      @user-vv1te9fu8q 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@csato9415ni kharam lkn km amefundishwa na anaelewa kile anachoamrishwa au kutumwa anakuwa sio kharamu kharam ni wale mambwa koko yasiyokuwa na mafunzo wale wakikung'ata au kukunusa ni kharam

  • @MasanjaMkama-bd9rc
    @MasanjaMkama-bd9rc 7 หลายเดือนก่อน +1

    Niko makn sn jamaa ametoka kushka mbwa alafu anaguza samaki😂😂😂😂

  • @Sophia-yh4dc
    @Sophia-yh4dc 7 หลายเดือนก่อน

    Wanaume wa dar wanaogopa mbwa na mende 😂😂😂😂😅

  • @muhsiniamiri9310
    @muhsiniamiri9310 7 หลายเดือนก่อน

    kakaa,kipombe pombe