BILIONEA SHAMY ATUPA TUHUMA NZITO NAKUKIMBIA DAR, KAMANDA MULIRO AMJIBU 'NI VICHEKESHO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 641

  • @allyabdallahmsusa
    @allyabdallahmsusa 5 หลายเดือนก่อน +1

    So, sad 😭😭..... Pole sana brother coz hakuna kikubwa chini ya juA

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r 6 หลายเดือนก่อน +30

    Tuwe na Hofu ya Mungu. Mzee mwinyi katuhusia maisha ni hadithi. Tuache hadithi nzuri kwa wasomaj watakaohadithia

  • @martintv9696
    @martintv9696 6 หลายเดือนก่อน +37

    Pole broo. Shammy his very innocent.. namjua since yupo kimara.

  • @AhmedHassan-vl5zf
    @AhmedHassan-vl5zf 6 หลายเดือนก่อน +42

    Inakuwaje polisi awe mkusanyaji deni kutoka Kwa mtuhumiwa Kwanini mtuhumiwa alivyo towa maelezo yake asiwapeleke Mahakamani au Baraza lausuluhishi la biashara

    • @adudeswalehe8724
      @adudeswalehe8724 6 หลายเดือนก่อน

      Hujawahi kudhulumiwa wewe ndio maana unasema ivo

    • @JohnsonNdekirwa
      @JohnsonNdekirwa 5 หลายเดือนก่อน

      Iyo tumeshazoea polis ni benki

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 6 หลายเดือนก่อน +23

    Pole sana kk yameshanikuta mm hawa jamaa dah!

    • @Tutankhamun-s3n
      @Tutankhamun-s3n 6 หลายเดือนก่อน

      Hawa sio wa kuwa zungumzia nikuwa tendea sawa sawa na matendo yao

  • @claudiajames2003
    @claudiajames2003 6 หลายเดือนก่อน +53

    Kuna mtu wangu wa karibu ilimkuta issue km hii,pole kaka,,jeshi la polisi lazima lijirekebishe Kwa kweli

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 6 หลายเดือนก่อน +33

    Yani hio ni chupuchupu kutekwa mwenye kisu kikali ndio anae kula nyama kapuku huna nguvu kwa mtu mwenye pesa

    • @JohnsonBagambi
      @JohnsonBagambi 6 หลายเดือนก่อน

      Atali tupu

    • @nikky4757
      @nikky4757 6 หลายเดือนก่อน

      Ndivyo wanavyofanya kazi

    • @AmriManengelo-yz5pp
      @AmriManengelo-yz5pp 6 หลายเดือนก่อน

      Kazi kweli kweli😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 6 หลายเดือนก่อน +9

    Ukiwa MASKINI nchi hii ni matatizo na ukiwa TAJIRI matatizo , ....POLISI hawana tofauti na MASHETANI..!..Huyu jamaa ameongea kitu kilichonyooka..!

  • @siamollel6051
    @siamollel6051 6 หลายเดือนก่อน +14

    Yeye anampa Oder ya kulipa kama nani,,Mbona sisi wengine tukienda police kama tunamdai mtu tnaambiwa tuende mahakamani,,Mbona leo Muniro kwawa hakimu,mwanasheria na kila kitu

    • @brightsmartcleaning
      @brightsmartcleaning 6 หลายเดือนก่อน

      kweli.. anayedai kawaonga ama ni kiongozi mkubwa

    • @tobiaspaul9203
      @tobiaspaul9203 5 หลายเดือนก่อน

      Hapo sasa

  • @thobiasmarandu214
    @thobiasmarandu214 6 หลายเดือนก่อน +16

    Kwanini Huyo Kamanda Asimwambie Mdai aende Mahakamani. Anaingilia Mitandao ya Simu na Kukamata Magari na Mali kwa hukumu gani? Kama Ni Taprli Mahakama Iseme

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 6 หลายเดือนก่อน

      Polisi tunaotakiwa tuwakimbilie ili watulinde wanafanya uharamia😢 Mambo ya ajabu kabisa. Mahakama zipo kwa nini wasiende huko?

  • @BonnyMwajombe-iu7hb
    @BonnyMwajombe-iu7hb 6 หลายเดือนก่อน +2

    Murilo ujue mungu anakuona!

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 6 หลายเดือนก่อน +62

    Marehemu hamza alikuwa sahihi

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 6 หลายเดือนก่อน +39

    Police ndiyo majambazi wakubwa nchini, na kumbambikizia watu case, ila Mungu ndiyo hakimu

    • @adudeswalehe8724
      @adudeswalehe8724 6 หลายเดือนก่อน +3

      Sawa sisi ni majambazi amna noma

    • @abubakariali9848
      @abubakariali9848 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂​@@adudeswalehe8724

    • @ackshuba8679
      @ackshuba8679 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@adudeswalehe8724tena wauaji wakubwa mbwa nyie

    • @MasawefamilyTv
      @MasawefamilyTv 6 หลายเดือนก่อน

      Hahaha unakubali kama Sifa​@@adudeswalehe8724

    • @ahmedalfan8075
      @ahmedalfan8075 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@adudeswalehe8724tena ninyi sio majambazi ni wauwaji kabisa

  • @luganomwankyoko2653
    @luganomwankyoko2653 6 หลายเดือนก่อน +4

    Daaah, nimemsikikiza jamaa ameeleza vizuri sanaaa... Kuna muda watendaji ndo tuna m-let down Mama😢😢😢😢😢😢

    • @TALLUBOY
      @TALLUBOY 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa

  • @boscoutenga8242
    @boscoutenga8242 6 หลายเดือนก่อน +21

    Kamanda Mulilo nikushauri tuu achana na maswala haya yanakutia doa
    Mambo ya madai iachie mamlaka inayohusika ni aibu

    • @adudeswalehe8724
      @adudeswalehe8724 6 หลายเดือนก่อน

      Hujazulumiwa wewe kaa kimya

    • @anastaziamathias8861
      @anastaziamathias8861 6 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@adudeswalehe8724kwani Nani kazirumiwa hapo? Kwenda huko

    • @adudeswalehe8724
      @adudeswalehe8724 6 หลายเดือนก่อน

      @@anastaziamathias8861 kwahiyo hizo pesa anazoambiwa alipe ni wanamuibia au alipewa ??

    • @brightsmartcleaning
      @brightsmartcleaning 6 หลายเดือนก่อน

      @@adudeswalehe8724 wote tumedhulummiwa.. Taratibu zifuatwe.. mahakamani

  • @jacksonmichael799
    @jacksonmichael799 6 หลายเดือนก่อน +16

    Kwa nini Muliro akusanye hizo fedha?? ,Hapo tu kuna ukakasi wa wazi kabisaa!!

    • @sylvestersamwel8210
      @sylvestersamwel8210 6 หลายเดือนก่อน +2

      Muliro amelamba asali!!

    • @swalehebakari8400
      @swalehebakari8400 6 หลายเดือนก่อน

      Amekua kijumbe sasa anakusanya marejesho😅

    • @ahz6907
      @ahz6907 6 หลายเดือนก่อน

      Kijumbe😂

    • @Ambwene
      @Ambwene 6 หลายเดือนก่อน

      Mdaiwa hafungwi 😅😅😅😅

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hapa nimegundua kitu
    Uyu jamaa mbabaishaji
    Utajiri wake anawazulum
    Sana wafanya biashara wadogo
    Wadogo sasa siyo mchongo
    Lipa kwanza pesa za watu
    Halafu ayo magar yaliyopo chin
    Yawateja wako yatakuwa yako
    Unaonaje hapo hili hao raiya
    Walio kuagizia magar 2 au ma3
    Wasiwe wanakuriport kuwa unawazungusha kuwa unataka
    Uwazulum fanya ivyo kama
    Siyo tapeli walipe kisha wasikuzoe
    Kuwa kalibu yako ususan
    Kwenye uwagizaji wa magar
    Ya maroli na mabasi

    • @frankcryk3241
      @frankcryk3241 6 หลายเดือนก่อน

      kama huelewi tulia subiri sikiliza

    • @estherkibajiro3480
      @estherkibajiro3480 4 วันที่ผ่านมา

      Kumbuka walikuwa kwa makubariano alafu kunamikataba so funga kimya kama hujui jambo

    • @estherkibajiro3480
      @estherkibajiro3480 4 วันที่ผ่านมา

      Kumbuka walikuwa kwa makubariano alafu kunamikataba so funga kimya kama hujui jambo

    • @asiamalonji5962
      @asiamalonji5962 3 วันที่ผ่านมา

      Acha kuropoka kama umekunywa gongo mfanyabiashara hakai na pesa pesa ipo kwenye mzunguko na mtu kasema apewe muda alipe

  • @Kiggy22
    @Kiggy22 6 หลายเดือนก่อน +11

    Huyu Mrilo ajuwe atakuja kusitaafu haya ni maisha tu

    • @barbarasara4033
      @barbarasara4033 5 หลายเดือนก่อน

      Aombe mwisho mwema. Uwizi sio mzuri

  • @parishlawal3034
    @parishlawal3034 6 หลายเดือนก่อน +6

    Kmbe polisi ck iz😂😂 nd waksanyaji hela duuuh this country pole sana brother 😢

  • @husseinmagari3245
    @husseinmagari3245 6 หลายเดือนก่อน +14

    nimejifunza kitu bro kupitia hiki swala lakonmaana binadam ss niatali mtu anakuletea pesa kwa mafungubafu anazunguka anataka yy avunje mkataba na laipwe oesa keshi weli dunia hii

  • @shukranitawa4668
    @shukranitawa4668 6 หลายเดือนก่อน +17

    Pole bro Mungu yupo

  • @unjuinkuganda1991
    @unjuinkuganda1991 6 หลายเดือนก่อน +17

    R.I.P MAGUFULI

    • @samateryusuf4345
      @samateryusuf4345 6 หลายเดือนก่อน

      Magufuli mwenyewe ndo alianza huu ujambazi

    • @mahersaid258
      @mahersaid258 6 หลายเดือนก่อน

      Hatowe pesa za watu magufur kafany nn atowe pesa bwan

  • @JosephIsanzu-g1r
    @JosephIsanzu-g1r 6 หลายเดือนก่อน +11

    Pole sana kaka!

  • @salumuismahily
    @salumuismahily 6 หลายเดือนก่อน +4

    Duu pole my brother hii nchi naona niyaviongozi maana hata madeleva wanauwawa namatajili halafu jeshi la police linamtetea tajili.

  • @alexaudax-rm8sz
    @alexaudax-rm8sz 6 หลายเดือนก่อน +4

    Dah awa police police 🚔 🤔 😑 wa Tanzania mungu anawaona dah vitu vya ovyo vinafanyika na wakubwa viongozi wao wamenyamaza wanasifia RIP 🙏 magufuli wanyonge wanalia

    • @IddyMshukumo
      @IddyMshukumo 5 หลายเดือนก่อน

      Utapeli kibao

  • @hassanhancha1413
    @hassanhancha1413 6 หลายเดือนก่อน +17

    Ila RPC unasema mnachunguzaga mambo?unamjua Mr KUKU Afande, analiza watu wa nchi hii na bado anadunda jumla ya 8billions kawapiga watu takribani 4000,sasa mbona hilo hulichunguzi mkuu.

    • @zedekiahjulius6
      @zedekiahjulius6 6 หลายเดือนก่อน

      Serikali ili chukua huo mpunga ponzi scheme zote serikali ikichukua hairudish kwa investors

    • @samuelemmanuel3400
      @samuelemmanuel3400 6 หลายเดือนก่อน

      Serekali ni matapeli

    • @zedekiahjulius6
      @zedekiahjulius6 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@samuelemmanuel3400 hahahah maana kisheria hakuna mtu anaruhusiwa kukusanya fedha kwa umma kama hujawa registered mayb banks au capital markerts etc so mjinga mmoja akija danganya watu njooni tuweke hela tufanye hvi mtapata faida ujue kikiaribika hakuna pa kukimbilia

    • @samuelemmanuel3400
      @samuelemmanuel3400 6 หลายเดือนก่อน

      @@zedekiahjulius6 ni kweli najua but wangefanya yafatayo
      1. Wangetoa elimu kwa uma
      2. Wange zuia hizo shuguli(upati usio rasmi)
      3. Wange simamia sheria
      Sio uhuni wanaofanya maana huyo mr kuku alikuwa anatangaza kabisa kwenye media na mitandao yakijamii kwa uhuru, waliamuatu kufumbia macho iliwaje kupiga hizo hela

    • @zedekiahjulius6
      @zedekiahjulius6 6 หลายเดือนก่อน

      @@samuelemmanuel3400 unachezea akil ya binadam human stupidity will never end bongo watu washatapeliwa sana tu kuna jamaa mbongo alitoka USA katangaza fursa za wafanya biashara wanaotaka ku export bidhaa america akawajaza watu ukumbia jk nyerere wafanyabiashara wakubwa kutoka mikoa yote nchini na walitoa pesa za connection imagine kuna media house hapa kubwa nchini ililipwa mil 300 kufanya promo ya hùyo jamaa mwisho wasiku jamaa kapiga mpunga kasepa

  • @rosemarymwakitwange6257
    @rosemarymwakitwange6257 6 หลายเดือนก่อน +25

    Very Good question Kwa ni ni polisi ishufhulike na Madai ya Muhindi, Mimi namdai Suleiman Msomali mamilioni ya hela mbona Jeshi la Polisi limekataa kunisaidia?

    • @tazamamaajabuyaulimwengu2786
      @tazamamaajabuyaulimwengu2786 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kama kweli unadai mbona hiyo kazi ndogo

    • @danielpatrickrobert125
      @danielpatrickrobert125 6 หลายเดือนก่อน +2

      hio kampuni itakuwa inamkono wa public official tena senior ,yaani hakuna usawa hadi uwe kigogo?

    • @totonata5384
      @totonata5384 6 หลายเดือนก่อน

      MPELEKE MAHAKAMANI. SHORT AND CLEAR

    • @hajjiomary2383
      @hajjiomary2383 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂

  • @josephmtavilalo5087
    @josephmtavilalo5087 6 หลายเดือนก่อน +1

    8:45

  • @joycembogo7870
    @joycembogo7870 2 วันที่ผ่านมา

    Ndio mjue kuwa kunapolisi wengine hawapendi haya yanayoendelea,zuluma ni mbaya polisi achen hizo

  • @JovinPeter
    @JovinPeter 6 หลายเดือนก่อน +7

    Kwa sasa ni bora niwamin mgàmbo kuliko polis wa 🇹🇿

  • @ZumrahIdrissa-j6l
    @ZumrahIdrissa-j6l 6 หลายเดือนก่อน +9

    Jamn maisha haya Sina hela lakn Kuna shida

  • @Boyhoodking
    @Boyhoodking 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hata linavyoongea tu hilo li kamanda Muliro jambazi kubwa, mbwa kabisa

  • @JovinPeter
    @JovinPeter 6 หลายเดือนก่อน +8

    Polis hawaaminiki tena tanzania%

  • @humphreymwihambi4330
    @humphreymwihambi4330 วันที่ผ่านมา

    Jamaa kanyooka haswa. Hakuna uongo kwenye hili. Muliro ana tatizo na anaonekana kutumika. Hapa tupaze sauti.

  • @tumainiellyimo4657
    @tumainiellyimo4657 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mhindi na polisi wanapenda sana na hz mambo.

  • @ZumrahIdrissa-j6l
    @ZumrahIdrissa-j6l 6 หลายเดือนก่อน +8

    Mmmh haya maisha yako hatal

  • @mpingeally923
    @mpingeally923 วันที่ผ่านมา

    Mmmmh apa Kuna kitu kweli jamaaa kaongea ukweli

  • @glorymungure7740
    @glorymungure7740 5 หลายเดือนก่อน

    Police police police mungu anawaona

  • @SenetaKilaka
    @SenetaKilaka 6 หลายเดือนก่อน +13

    Doh pole sana

  • @samwellwiza1098
    @samwellwiza1098 6 หลายเดือนก่อน +13

    Wanasema usingizi wa maskini ni mtamu

    • @husseinjengo2350
      @husseinjengo2350 6 หลายเดือนก่อน +3

      HAhaha acha mambo yako ndg tafuta pesa umasikini ni mbaya zaidi

    • @DrMbonea
      @DrMbonea 6 หลายเดือนก่อน +1

      Tafuta Pesa umaskini sio sifa

    • @minjacsd1874
      @minjacsd1874 6 หลายเดือนก่อน

      😅😅😅😅

  • @IddyMshukumo
    @IddyMshukumo 5 หลายเดือนก่อน

    Nchi yetu haifai kwa biashara maonevu kibao
    Ukiwa maskini nogwa
    Ukiwa tajiri balaa zaidi
    Nchi imekua kama danguro
    Rais achambue watu wakuwapa nafasi sio Kila mtu nikiongozi
    Mfano aende vituo vya polisi boda kibao zimeshikwa kisa bima hawajalipa
    Sasa ukistaajabu kwanini umsiruhusu wafanyekazi Ili walipe kuliko kuozea hapo
    Wanamuharibia mama Samia mbaya

  • @salimmbilu4524
    @salimmbilu4524 5 หลายเดือนก่อน

    Ipo siku Moja kazi hiyo kwake itaisha atende mema mulilo Apache story nzury

  • @claudiajames2003
    @claudiajames2003 6 หลายเดือนก่อน +13

    Ila kamanda ulikuwa unampressuarize huyu mtu amlipe huyo mfanyabiashara aletoa pesa kwani we ni mahakama?? Kwanini hukumpeleka mahakamani???

    • @ScopionScopion-zj9cd
      @ScopionScopion-zj9cd 6 หลายเดือนก่อน

      we nae huna unachojua kwani kama mtu ukitapeliwa unaendal kwanza police au mahakamani

    • @claudiajames2003
      @claudiajames2003 6 หลายเดือนก่อน +2

      @@ScopionScopion-zj9cd huu ndio ukilaza tunaozungumza,kama hujui kitu nyamaza! Kazi ya polisi ni kukamata Kisha kupeleka mtuhumiwa mahakamani,sio kutoa hukumu! Kama huelewi kitu usidandie comment yangu

    • @ScopionScopion-zj9cd
      @ScopionScopion-zj9cd 6 หลายเดือนก่อน

      nyinyi ndio wale anakuja mtu anakuvua nguo akubake unaona ila humzuii mpaka anakubaka unasubili upate ushahidi wakwenda mahakamani mwenyewe hajakataa amekubali kwamba kweli nimepatiwa pesa alipe2 mahakamani kufanya Nini mahakama zenyew vitu ambavyo nivyakumaliza viishie police2

    • @claudiajames2003
      @claudiajames2003 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@ScopionScopion-zj9cd nabishana na mtu pengine la pili b,Kwa mifano hiyo ya kipuuzi inaonesha upeo wako,hivyo relax don't waste my time,bishana na la pili b wenzio tu

    • @ScopionScopion-zj9cd
      @ScopionScopion-zj9cd 6 หลายเดือนก่อน

      sio lapili2 fanya bx sijasoma bx ila Nina akili zakutosha zakuchambua jambo unaweza ukiwa msomi harafu vision ukawa huna ndio mana wasomi wengi ndio wanakua mashoga

  • @MihayoBalele
    @MihayoBalele 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka shammy mungu akusaidie pesa yako wasiikodolee macho tunachotaka maendeleo na kutafuta kihalali tu

  • @amanijoseph6764
    @amanijoseph6764 5 หลายเดือนก่อน

    Ni vituko..kwa mwenye pesa kuwekeza nchini..ni ngumu .mazingira hayo yana ashiria kutokuwepo kwa usalama wa wafanyabiashara

  • @elianicholaus7199
    @elianicholaus7199 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ndani ya siku sita ushafanya hadi booking ya meli , daaaaah😂😂😂

    • @annaphi2427
      @annaphi2427 6 หลายเดือนก่อน

      Mmi sielewi aseee wakat malipo Yalikua ya kusua sua.
      Alaf SI mteja Angelina 50% Ili aagize Kwa feza zake mana ni bilionea huyu au mmi sielewi

  • @Ihsankeizer
    @Ihsankeizer 6 หลายเดือนก่อน +1

    Africa polisi lazima wafate Sheria. Sasa kesi kama hii polisi wanaingiliya wapi..

  • @edwardkahembetz
    @edwardkahembetz 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sio kitu kigeni hichi, wazungu au wahindi wakishtaki wakuwa na haki hata kama wao ndio wenye makosa, tunahitaji ukombozi

  • @kasimramadhani4690
    @kasimramadhani4690 6 หลายเดือนก่อน +2

    Jumanne mliro Kwanini ww unasisitiza alipe ela na sio mahakama?

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kosa Kubwa Simu Zimewekwa Rekodi Kwanini Umeacha Kurekodi Ukiwa Unaongea Na Watu Kama Mfano Wa Hao Wapenda Vya Bule Kwa Kutumia Nguvu

  • @oswardndilahomba2903
    @oswardndilahomba2903 6 หลายเดือนก่อน +3

    Kuchukua pesa za watu si mfanya biashara mkubaliano ya wateja walipe kidogo kidogo mwishowe wamegaili sasa yeye afanyeje wakati kashatoa oda China. Na anafanya kaz na kampuni lazima aendane nao vizur asijihalibie civ zake huko akakosa kuaminika

  • @mbilinyiandrewhumphrey2534
    @mbilinyiandrewhumphrey2534 6 หลายเดือนก่อน +1

    murilo yeye anamadaraka gani yakusema hivyo yeye ni mahakama?sio sawa jamani

  • @emanuelshayayi54
    @emanuelshayayi54 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni mtu wa ajabu.Alishawahi kuishi Kakola Kahama na kufungua tuition center.Na baada ya muda akaomba mgodi wa Barrick umpe msaada wa kuendelea kuboresha hiyo kazi.Kwa maana alisema anasaidia watoto yatima.Barrick akatoa msaada huo kwa kigezo hicho kama kusaidia Kijiji jirani na mgodi.Hiyo sehemu ya kurudisha faida kwa vijiji jirani.Jamaa akasepa.

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 6 หลายเดือนก่อน +7

    Hii nchi inahatari sana

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w วันที่ผ่านมา

    So painful 😢pore broh

  • @rabiamenshoo1988
    @rabiamenshoo1988 6 หลายเดือนก่อน +2

    Rushwa Rushwa Rushwa adui wa haki, Polisi inahusikaje na madai? badala ya mdai ndio aende mahakamani amwite Shammy kujibu shtaka la madai? na kwanini wamtishe? hizi zama tulishazipita naona akina kamanda Muliro wanataka kuturudisha nyuma wakati Mama Mh.Samia Suluhu hataki kuona wala kusikia mtu akionewa.

    • @JojiPhilemon-ge6gc
      @JojiPhilemon-ge6gc 6 หลายเดือนก่อน

      Kwani nani aliyekuwa anapenda kuona na kusikia mtu kaonewa? Kila kitu Siasa tu!

  • @ismailwiliam385
    @ismailwiliam385 5 หลายเดือนก่อน

    Hapo kuna shida kubwa sana ,

  • @amalykibondei1644
    @amalykibondei1644 5 หลายเดือนก่อน

    Kifupi jamani hapa ni hivi mnaumiza kichwa bure
    Kama pesa alizopewa kama kweli ni mfanya biashara na mi muadilifu anyooshe story liishe lakin kama ni longolongo awe wazi .
    Ila kama kapewa pesa na kalipa huko china awaambie wajue waendelee kwa sababu china ukitoa advance ndio wanaanza kutengeza wakimaliza wanakuambia malizia pesa gar iende porty hujamaliza hawapakii sasa awaachie wao wamalize

  • @DavizJohn
    @DavizJohn 5 หลายเดือนก่อน

    Hiko hivi uzifanye biashara na kampuni unayohisi ina uwezo wa kuifanya hiyo biashara yenyewe wala usichukue tenda ya serikali bila cash hawalipagi

  • @annaniasbyarugaba5788
    @annaniasbyarugaba5788 5 หลายเดือนก่อน

    Dah pole sana, hapa police

  • @salmajamessalma1289
    @salmajamessalma1289 6 หลายเดือนก่อน +8

    Moliro kaisha pewa hongo ndomana kesi kaisimamia anashindwa kusaidia watu dar kahongwa maliro

    • @arthurdonnietello9691
      @arthurdonnietello9691 6 หลายเดือนก่อน +1

      Kaichukulia kesi personal Sana.. Kama kampuni yake, kama hakukuwa na jinai wangeawacha waende mahakamani

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 6 หลายเดือนก่อน

    Watanzania pekee wenye asili ya Asia ndio wako Huru hapa TANZANIA, tukae tujue hivyo siku chache zilizopita mfanyabiashara Mzawa kajipiga risasi

  • @amirabdallah6984
    @amirabdallah6984 6 หลายเดือนก่อน +5

    Kwann ukubar kulipa pesa wakat wamesitisha wenyewe mkataba

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 6 หลายเดือนก่อน

      Si ameshakwambia alitishiwa kwamba ni dili la kiongoz wa Serikali tena na kamanda. Kwahyo alifanya hvyo kwa uoga

  • @mejakimaro2773
    @mejakimaro2773 6 หลายเดือนก่อน +5

    Si kazi ya police kuendesha kesi,kwanini wasimpeleke mahakamani?

    • @Masallah_kulangwa44
      @Masallah_kulangwa44 6 หลายเดือนก่อน

      Matapeli yanapiga pesa watu yakitamani kupelekwa mahakamani yakalipe kidogokidogo. Hilo sio deni ni Utapeli jamaa limeshindwa kuleta magari na Na alidangaynya anafanya na Howo jama wameangapiga hogo hawalijui tapeli

  • @collinsstanley6126
    @collinsstanley6126 6 หลายเดือนก่อน

    Maelezo ya yule muhundi ni sensitive na maelezo ya huyu sammy pia ni sensitive ilikuwa ni swala la kumpa muda sammy kulipa thats correct maana tiar alishaingia mkataba na wachina .

  • @njiaya6833
    @njiaya6833 6 หลายเดือนก่อน +2

    Kuna sababu ya msingi ya kujua majukumu na kazi ya polisi tofauti na hapo raia mtaumia

  • @allyhussein800
    @allyhussein800 6 หลายเดือนก่อน

    Hawa jamaa wanajifanya wananguv wanadhani wanaweza kufanya chochote sasa sio kila mahali kuna mahali lazim washikike

  • @adudeswalehe8724
    @adudeswalehe8724 6 หลายเดือนก่อน +1

    KAMANDA YUKO SAHIHI, kama hujazulumiwa huwezi kuelewa

  • @traveler.360
    @traveler.360 5 หลายเดือนก่อน

    Hawa police wa bongo kuna namna wanatakaga kuhisi sheria haiwawajibishi, najaribu kuangalia hili jambo kwa hali ya kawaida kwanini walipaswa kutojihusisha nalo kabisaa na kumshauri mdai afike mahakamani au kwenye baraza la usuluhishi wa biashara

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 6 หลายเดือนก่อน +12

    Pole sana mwanangu shammy!!Kuna kitu hauko hivyo aiseeeh!!
    Askari wanataka hela kwako

  • @JayJay-qc1ky
    @JayJay-qc1ky 5 หลายเดือนก่อน

    Mulilo anatumika vibaya, mbona jamaa kajieleza vizuri na kaeleweka, na mpk kasema ana mikataba na hao jamaa na risiti zote za kutuma pesa hata polisi mmlipewa.. taratibu za kudaiana kisheria zifwatwe na sio kutishiana tishiana.

  • @atugeorge946
    @atugeorge946 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nimesikitika sana hii inchi ngumu sana😢😢

  • @amalykibondei1644
    @amalykibondei1644 5 หลายเดือนก่อน

    Kifupi ukilipwa pesa na we umelipa china advance kule si wapeleke hao wenye pesa zao wakamalize huko

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 5 หลายเดือนก่อน

    Mfanyabiashara na pesa ni kitu cha kawaida tafuteni suluhu wahusika msiwape tamaa wengine

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka hutakufa bali utaishi MUNGU mwenye mamlaka atakulinda popote usiogope vitisho

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 4 วันที่ผ่านมา

    Kwani Tanzania kuna shida gani kila cku watanzania hawana Amani na inchi yao shida ninii???

  • @starjay3052
    @starjay3052 6 หลายเดือนก่อน +15

    bongo sio nchi ya kuishi kaka

    • @luckghinfx5931
      @luckghinfx5931 6 หลายเดือนก่อน

      Sure kabsaa

    • @Abdoulyousouf
      @Abdoulyousouf 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ni nchi ya kuishi ila sio nchi ya kuwekeza😂

  • @josephmkumbwa9836
    @josephmkumbwa9836 5 หลายเดือนก่อน

    Jeshi la police ni pasua kichwa yaani ata hamza alikuwa sahii

  • @mohamedjumanne2471
    @mohamedjumanne2471 6 หลายเดือนก่อน

    Hizo pesa ni za kiongozi mkubwa katumia mhongo wa wahindi juzi nimemsikia na mkuu wa mkoa nae kazungumzia hilo swala 😂😂😂😂😂😂

  • @RaiderTube
    @RaiderTube 6 หลายเดือนก่อน

    Rais alivyo hafanyi kazi watu kama hawa bado wapo ofisini, police wameanza lini kukusanya madeni? Muliro hufai kuendelea kua ofisini huu ni ujambazi.

  • @yohanaibrahim4128
    @yohanaibrahim4128 6 หลายเดือนก่อน

    You right bro pole chamy ,,kwa hiyo hawo police ndio walikuwa hiyo kampuni anadai alitoa pesa kimashinikizo ????

  • @dreadlocksspecialist7195
    @dreadlocksspecialist7195 5 หลายเดือนก่อน

    Sasa kesi ya madai wao wameamua vipi alipe pesa za watu na kesi ni ya mahakama hii

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 6 หลายเดือนก่อน

    Uyo anaedai ndio anatakiwa amfungulie kesi iyende mahakamani na sio nyie ndio mumshikilie mumlazimishe alipe izo pesa Mzee wangu mlilo mnakosea mnaiingilia sheria

  • @mafurumatijo8803
    @mafurumatijo8803 6 หลายเดือนก่อน +15

    Ningekuwa mkuu wa jeshi la polisi huyu mlilo ningemfukuza kazi mara moja.

    • @adudeswalehe8724
      @adudeswalehe8724 6 หลายเดือนก่อน

      Jeshi la baba ako labda

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@adudeswalehe8724wewe utakuwa ni police Na ushenzi wenu

    • @adudeswalehe8724
      @adudeswalehe8724 6 หลายเดือนก่อน

      @@Kabwela776 sawa mimi ni mshenzi

    • @minjacsd1874
      @minjacsd1874 6 หลายเดือนก่อน

      Ndio maana wakistafu wanapalalaiz

    • @lovemusicnoreen9185
      @lovemusicnoreen9185 6 หลายเดือนก่อน

      Na IGP WAMBURA HAPENDI UONEVU KABISAAA AINGILIE KATI

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hii nchi rushwa kila maali jamani munatuumiza sana mungu atawalipa 😭😭🙏

  • @GodloveHendrich
    @GodloveHendrich 6 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa anaeleza openning sana tz ipo shida

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 6 หลายเดือนก่อน +2

    Ukweli inabidii tuwasikilize upande wa 2 tujuwe nan mkweli

    • @boazmosses8204
      @boazmosses8204 6 หลายเดือนก่อน

      Upande wa pili ndo kina murilo sasa😂😂 c wamelipwa ili wawe mahakimu

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana ALLAH akufanyie wepesi

  • @davidkimaro1860
    @davidkimaro1860 6 หลายเดือนก่อน

    Kuna kasumba ya kuwatetemekea wageni wawekezaji hata km wanakiuka utaratibu na kuwadidimiza wazawa vijana wanaojitafuta

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaaa ni taperi nimesikiliza pande Zote .rudisha pesa za wahindi. mnakimbilia kesi ya madai Ili mlipe taratibu hapana huo ni wizi wa kuaminiwa hukukopeshwa

  • @georgendenga7163
    @georgendenga7163 6 หลายเดือนก่อน

    YUKO SAWA! MM NILIAGIZA MZIGO CHINA, USAFIRI UKAWA GHARAMA NA KUFANYA MZIGO KUWA HAUNA FAIDA. NILIPOTAKA NILIPOTAKA KURUDISHIWA HELA MCHINA ALIGOMA AKAWA HASARA KWANGU.

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 6 หลายเดือนก่อน

    Mfanyabiashara Mzawa ukiwa na Ngozi nyeusi watakiwa Uwe makini saaana tena saaana mana hata Viongozi au Polisi hawajazoea kuona mtu mweusi Ni bilionea, huwa haiwaingii akilini kuona mtu mweusi Ni tajiri

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 6 หลายเดือนก่อน

    Mulilo hapa umefel na umeichafua nafas yako..we ulishaona ana kosa hil na chombo husika ni mahakama kwann msimpeleke mahakaman..Na ilikuw ina haja gan ya kuchunguz wakt wahusik wap na yey hajagoma kulipa...Hiy nafas hap haikufai na kwann ww ushughulikie hilo na wapo wasaidiz wako lilifikia kiwango gan cha kushindikan nawe kama huna msukumo au rushwa nyuma yake...we have to be careful na kama huy mhusika kaja kukuomba ushaur ungemuambia aende mahakaman....kamanda ndio unasimamia deni lilipwe na mtu keshaleta shida na sheria unazijua kama sasa tumemshaur ila amekengeuk hap hap police mngemkamata mkampelek mahakamani ila hik kitendo ameleta kadhaa mnamtuma tena akalete mwishow kulikuw na picha mbaya na hat huenda ilitakiw afilisiwe...wanadamu hatupendan ata kidogo

  • @elibarikimbise1896
    @elibarikimbise1896 5 หลายเดือนก่อน

    Kwani yeye ndo alivunja mikataba? Je kwani ni kazi ya police kulipisha madeni au ni mahakama. Police fanyeni kazi kwa weledi. Hiyo siyo kazi yenu. Acheni mahakama ifanye kazi yake. Mmetoa wapi mamlaka ya kushikilia gari ya mtu eti ili slete ela acheni kufanya hivyo.

  • @chaznguya
    @chaznguya 5 หลายเดือนก่อน

    Pole sana kaka mkubwa

  • @wilsonsaghy4171
    @wilsonsaghy4171 6 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana brother

  • @danielmarwa5122
    @danielmarwa5122 6 หลายเดือนก่อน

    Kwanini analazimisha kumwambia alipe pesa za watu mbona wasimshauri kwenda mahakamani

  • @charlesbii6749
    @charlesbii6749 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa ni mtapeli na inakaa amefanya huu ukora kwa miaka mingi😂😂😂😂😂😂😂

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 5 หลายเดือนก่อน

    Polisi kama huwajui utawatetea

  • @neemapraigory8832
    @neemapraigory8832 6 หลายเดือนก่อน +5

    Siro watu wanakukumbuka sana

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 6 หลายเดือนก่อน

      Siro ni wale wale

    • @wisperfect5320
      @wisperfect5320 6 หลายเดือนก่อน

      Siro yupi unamzungumzia?