Mama MARIA NYERERE Alivyomvunja Mbavu MAGUFULI, Atoa MANENO MACHACHE ya Kumuombea MAGUFULI Kura...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Mama MARIA NYERERE Alivyomvunja Mbavu MAGUFULI, Atoa MANENO MACHACHE ya Kumuombea MAGUFULI Kura...
    Mbio za kampeni Zinaendelea kutimua vumbi katika mikoa mbalimbali nchini ambapo leo Septemba 5, 2020 DKT Magufuli anaendelea na mikutano ya hadhara ambapo amefika Mara kuomba wananchi wampigie kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 76

  • @lusekelomwakajila3038
    @lusekelomwakajila3038 4 ปีที่แล้ว +5

    Nani kama mama jamani💗💗💗💗💗💗💕💕💞

  • @michaelkasogela370
    @michaelkasogela370 4 ปีที่แล้ว +2

    More blessed our mama, grnd mama we love so much

  • @williamkavuta8066
    @williamkavuta8066 4 ปีที่แล้ว +2

    Short and precise,,,,Mama ameongea point tupu

  • @marryhendric2767
    @marryhendric2767 4 ปีที่แล้ว +2

    I love mama

  • @jumabanda2802
    @jumabanda2802 4 ปีที่แล้ว +5

    sante sana mama Maria Nyerere, ubarikiwe bibi yetu

  • @samuelmatheri4394
    @samuelmatheri4394 4 ปีที่แล้ว

    Wao she has that Energy .mob love Mama. From Kenya

  • @mankialema6490
    @mankialema6490 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akulinde mama yetu

  • @mwaramiissa3553
    @mwaramiissa3553 3 ปีที่แล้ว

    She is such an amazing intelligent woman. Worth mwl nyerere

  • @clarajapheth8804
    @clarajapheth8804 4 ปีที่แล้ว +6

    Ww ndo first lady

  • @stevensosipita5673
    @stevensosipita5673 3 ปีที่แล้ว

    Hongera mama yetu mama maria nyerere mungu akupe afya njema

  • @abdulzackawami7780
    @abdulzackawami7780 4 ปีที่แล้ว +9

    🙏🙏mama wa Taifa🇹🇿🇹🇿

  • @mercyfestaus9465
    @mercyfestaus9465 3 ปีที่แล้ว

    Is It his mother of magufuli so lovely

  • @estarjuma7983
    @estarjuma7983 4 ปีที่แล้ว +2

    Ubarikiwe mama 🙏🙏

  • @anahna6788
    @anahna6788 4 ปีที่แล้ว +6

    HUYU BIBI ANA MIAKA JAMANI

  • @salehejongo2799
    @salehejongo2799 4 ปีที่แล้ว +1

    Mama Nyerere safiii

  • @alexandermutakha882
    @alexandermutakha882 3 หลายเดือนก่อน

    Old is Gold

  • @priscamedadi1108
    @priscamedadi1108 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki San bibi yetu

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 4 ปีที่แล้ว

    Asante mama yetuuuu. UBALIKIWE

  • @lugendopius1231
    @lugendopius1231 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mama bado anauwezo wa kuongea safi

  • @zakiamsafiri123zakiamsafir7
    @zakiamsafiri123zakiamsafir7 4 ปีที่แล้ว +2

    Mama uko vizur

  • @cedraman9827
    @cedraman9827 3 ปีที่แล้ว

    Très bien

  • @aminacharles1376
    @aminacharles1376 3 ปีที่แล้ว

    Pongezi rais magufuli kwa uwongozi mwema. Mungu ibariki tanzania

  • @mtuwawatuhoyee6549
    @mtuwawatuhoyee6549 4 ปีที่แล้ว +1

    Watazania chakue tena magufuli ni Rais mzuri sana.

  • @abuuabuu4831
    @abuuabuu4831 4 ปีที่แล้ว +3

    Mama yako anateswa na mungu kwa sababu ya ukatili wako unaowafanyia mashekh zetu
    Mtu mbaya Sana wewe

    • @heavensent2526
      @heavensent2526 4 ปีที่แล้ว

      Ss ukatili gan ss,vp amemchinja mtu au,, mda mwingine usipende kuropoka ropoka bila kufikiri kwanza, na ubaya unao ww unayemuwazia binadamu mwenzako ubayaa ,hata ww huna haki!

    • @abuuabuu4831
      @abuuabuu4831 4 ปีที่แล้ว

      @@heavensent2526
      Nani nimemchinja?
      Unafikiri ni haki kuwaweka mashekh wetu jela bila kujua hukum yao?
      Huyu mtu ukatili wake wa kutesa waislamu bila huruma Ndio itakua shida kwake

    • @heavensent2526
      @heavensent2526 4 ปีที่แล้ว

      @@abuuabuu4831 😂 tatizo lako udini mwingi , uwe unafuatilia mambo kwa undani kabla ya kulaumu

    • @abuuabuu4831
      @abuuabuu4831 4 ปีที่แล้ว

      @@heavensent2526
      Mimi ninao jamaa wa karibu ambao ni miingoni wa Hao mashekh tunajya pombe anavyo wafanyia huyu mtu ni katili Sana asie na huruma hata kidogo
      Twapata faraja kusikia na.mamake pia ateswa na Malaika kwa dhulma ya mwanae

    • @heavensent2526
      @heavensent2526 4 ปีที่แล้ว

      @@abuuabuu4831 tatizo mnapenda kusema mnaonewa kila saa nyinyi ni watu wa lawama ,haya ila akunaga malaika wa dhuluma na Mungu huwa askiliz maomb ya kumtakia mtu ubaya

  • @annakasala4151
    @annakasala4151 3 ปีที่แล้ว

    Vizuri mama yetu mzuro

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 3 ปีที่แล้ว

    Rest In peace Rais John Pombe Maguful 17 /3 /2021 DAIMA TUTAKUKUMBUKA 🙏

  • @teddykanondo5753
    @teddykanondo5753 4 ปีที่แล้ว +2

    Bibi wanakutumia uwaombee kura lakini maziwa hawaleti wahuni hao. Bora umekuwa mkweli kuwa una kura yako moja zingine wakiiba shauri yao.

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว

      😆😆😆😂😂😂

    • @heavensent2526
      @heavensent2526 4 ปีที่แล้ว +1

      Tangu lini ukaona mama anaacha watoto wke kufa njaa bila kuchakarika kwa chochote angalau chakula kipatikanike,,
      Na hayo maziwa unayo yasema vp kwan mwenzetu unaishi nae nymba mmj hadi useme ivyo, wa Tz embu tuachege nadharia zisizo fikirika!!!

  • @shedrackmwaipopo7253
    @shedrackmwaipopo7253 4 ปีที่แล้ว +6

    Kumbe bibi umelazimishwa

  • @mariamuseifu3065
    @mariamuseifu3065 4 ปีที่แล้ว +2

    Oyeeeeeeeeeee

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 ปีที่แล้ว

    Makufuli hoyeeeeeee. Nyerere hoyeee

  • @kenedykatarama3966
    @kenedykatarama3966 4 ปีที่แล้ว +2

    Ongera bibi yetu wa taifa

  • @evansmlalo4049
    @evansmlalo4049 3 ปีที่แล้ว

    VIONGOZI WA CCM IGENI TABIA ZA MWALIMU NYEREWRE NA MAMA MARIA NYERERE. HII NDIO ILIKUA COUPLE YA UKWELI. SIO KIONGOZI ANASIMAMA KWENYE MAJUKWAA KUONGELEA WANAWAKE WEUPE.

  • @sifamatcharaofficielle7091
    @sifamatcharaofficielle7091 3 ปีที่แล้ว

    DRC CONGO WANAVYO SAPOTI MUHESHIMIWA MAGUFULI

  • @jumantandu3415
    @jumantandu3415 3 ปีที่แล้ว

    Tundu lisu

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 4 ปีที่แล้ว +2

    Kama Mzee mwenyewe vituko vile vile

  • @mohamedimohamedi8933
    @mohamedimohamedi8933 4 ปีที่แล้ว +1

    CCM nje

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 3 ปีที่แล้ว

      Hahahahahaha ahaa wapi nyie njee

  • @fatumachagudadui3138
    @fatumachagudadui3138 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mama amekuwa mtoto maana mtoto husema kwel ukimwambia mwambie mden wangu sipo anasema ameniambia niseme hayupo hahahahah huyu maana amenichekesha sana nmeamin uzeee ni utoto

  • @justinjoshua1059
    @justinjoshua1059 4 ปีที่แล้ว +1

    Mama na Mwana mpaka raha jamani.

  • @kramsjunior4447
    @kramsjunior4447 4 ปีที่แล้ว

    Saaanaaa

  • @aminacharles1376
    @aminacharles1376 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ibariki Tanzania na watanzania wote.muna raid waki pe

  • @rashidikameta5013
    @rashidikameta5013 4 ปีที่แล้ว

    Rashidi
    Kameta

  • @stefanokileo1294
    @stefanokileo1294 4 ปีที่แล้ว

    Magufuli siyo pw

  • @reginasawe3356
    @reginasawe3356 3 ปีที่แล้ว

    🇹🇿😓

  • @meshackmpalanga9130
    @meshackmpalanga9130 4 ปีที่แล้ว +2

    MAMA KASEMA "NILIAMBIWA NIMUOMBEE KULA",
    KWA MFANO ANGEKATAAA??

    • @timorpathsullusi7055
      @timorpathsullusi7055 4 ปีที่แล้ว

      Mama ni mama, angetaa asingekuja kwenye mkutano. Maana lengo mahususi la mkutano wa kampeni ni kuomba kura😂😂😂

    • @hadijalukas5959
      @hadijalukas5959 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤔🔥🔥🔥🔥🔥

  • @yusufumelaishon3873
    @yusufumelaishon3873 4 ปีที่แล้ว +1

    Sawa

    • @aludomakori4230
      @aludomakori4230 4 ปีที่แล้ว +1

      Utu uzima dawa,mama Mungu akutunze

  • @teammajoker1659
    @teammajoker1659 4 ปีที่แล้ว

    Maisha marefu bibi etu jamani

  • @zainabumwagiroabdallamwagi97
    @zainabumwagiroabdallamwagi97 4 ปีที่แล้ว

    Wamekuja kuongeza vichwa,fiesta hiyo vichwa vinabebwa na malori madini yapo kwalisu .

    • @user-rd7jt1vi5x
      @user-rd7jt1vi5x 3 ปีที่แล้ว

      Hahahaha jipe moyo tu chuma kipo kimekalia kiti tayar

  • @jumantandu3415
    @jumantandu3415 3 ปีที่แล้ว

    Ntandu

  • @jamesdaud901
    @jamesdaud901 4 ปีที่แล้ว

    Magena

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 4 ปีที่แล้ว

    Bibi mkweli

  • @rashidsaid1512
    @rashidsaid1512 4 ปีที่แล้ว

    Mmemulewa bibi kalazimishwa jamani halisishwali

  • @franciseliaskaboja3932
    @franciseliaskaboja3932 4 ปีที่แล้ว

    100%+$=haaaaaaaaaaa√

  • @fatimaamir7954
    @fatimaamir7954 4 ปีที่แล้ว

    😆😀😁

  • @samuelmatheri4394
    @samuelmatheri4394 4 ปีที่แล้ว

    Wao she has that Energy .mob love Mama. From Kenya