RAIS MAGUFULI ALIVYOCHEZA NA WATOTO WIMBO WA KISUKUMA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
- RAIS MAGUFULI ALIVYOCHEZA NA WATOTO WIMBO WA KISUKUMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli ambaye ameongozana na Mkewe Mama Janeth Magufuli tarehe 15 Oktoba, 2019 anaendelea na ziara yake Mkoani Lindi ambapo atazindua barabara za Mji wa Ruangwa, ataweka jiwe la msingi la ujenzi wa ghala la mazao la Kijiji cha Lipande Wilayani Ruangwa na atahutubia mkutano wa hadhara Mjini Ruangwa Mkoani Lindi
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
---------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:
www.youtube.co....
EXCLUSIVE INTERVIEWS:
www.youtube.co...
Rais wangu mpendwa
Usiyepuuza makubwa wala mdogo
NAKUPENDA SANA♥️♥️♥️♥️
Pamoja sister
Inbox kwa mujibu wa
MUNGU akupe maisha marefuuu RAIS wetuuu rais wa wanyonge
Ameen yaaraby Ameen
Uyu mzee bana duhhh hapana upendo wake sisi atuujui ila mungu anajua nini kipo ndani yake.
Km 0
Yaani nampenda huyu rais
Pole Fatma kipenzi chetu ndio katutoka.Inna lilahi wa Inna Rajuun.
Naona Rais wetu kakumbuka mbari sana apo
Mungu amlaze Mahara Pema peponi
We ndo baba laoooo💓💓💓💓
Hata yesu alipoondoka dunian alituachia upendo akusema tofauti na neno hilo ahsante sana mh kwa kuwapenda wote bila ubaguzi yeyote atakafanya fujo ataumia yeye ccm oyeee
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. I agree about Magulification of Africa! So, absolute estimate for Magufuli who for me will remin alive for ever for his honesty
Hongera sana raisi wetu.
Wanachi muwe makini sana na rohoo mtakatifu awaongoze sahiii tuwe na rohoo wa Mungu raia wetu anampenda Mungu sana
good song
Mie nimeludi tena hapa Jamani baba tumekumis wanao 😭😭😭😭
Safi sana inapendeza
Shallout mr President by innocent from ipala Dom city
Asanteni sana 😍😍😍😍😍😍😂😂😂🇹🇿🇹🇿😂💪💪
Tutakukumbuka daima
Nampenda sana anafany mzee kwa vitendo 🇹🇿 tanzania oyeeeeeee ccm oyeeeeee
Nice dance
Mm mkenya lkn nakupenda yangu yote magufuli what a fantastic leader 😘😘😘😘
Ruwangwa wasukuma wapo wemgi kwa ajili ya kilimo cha ufuta na machimbo ya mpekenyela.
Eti leo tunaandika RIP kweli jamn wew baba😭😭
Inauma sana
Ina uma sanaaaaaa tu.Anko Magu pumzika kwa amani peponi.
Inauma Sana pumzika kwa amani
Inaumiza sana lakin hatuna budi kumshukuru Allah kwa mapenzi yake ameamua kuliruhusu hili lifanyike kwetu....😭😭😭😭
Cjui hii ndoto itaendelea mpaka lini daaah
Mi nipo hapa nakulilia baba .RIP
Tutakukumbuka daima kipenzi Cha wa tzd wapenda amani
Kama mkenya wa Nairobi anasema anmchagua ccm magufjri he wewe mzawa Kwa mini udanganyike na mabeberu kutoka ubergiji
Umeonaee
Upendo hauigizwi jamaaa alikuwa anaupendo wa kweli
Tunaumia sana MUNGU kwa kumchukua Magulifu wako kwetu Ila jina lako baba libarikiwe
Mpaka nalia mm jomon nch yang mm
Wasukuma oyeeee
Oyeeeeeee
Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hakuna kama JPM forever
Wawe wazalendo n wapole kwakua baba katoka Sasa wanataka kuja juu sana
Saaaafi San
Amekufa jamani
Mema yako bado yanaishi ndani yetu, roho yako ipumzike mahali pa watakatifu
Samia
Mzee magu tunakupenda.sana yaani atar utamaduni wetu wa tz hamna mchi yeyote ambayo inayo ifikia mchi yetu ya tz asante kwa uongozi wako magu
TUNAJIFUNZA NINI HAPA VIJANA WA LEO AMBAO NDIYO TUNATEGEWA KUWA TAIFA LA KESHO?
Daaaa is so sad
Daah tutakukumbuka baba
Masikini Hadi watoto wanampenda Sana magufuli.nasikia furaha moyoni kwangu mungu mpe Afya sana.
Kali
Imebaki story pumzika baba Magu pumzika Kwa Amani
Mmmh aisee magufuli ulikuwa wa pekee mno😭😭😭😭😭😭daaah bhasi tu
Wanetu mko vizuri lindeni utamaduni wenu
Mungu weka mahara pema peponi huyo mwamba
Dah ata siamini kama baba haupo nasi tena duniani.siishi kulia nikionaga hizi clip
Kama uongo vile ,pumzika Kwa amani baba wa taifa utakumbukwa milele..Moja ya sifa ya kiongozi ni kuwapenda wananchi wake Twashkuru Sifa hii ulikua nayo😭😭😭😭😭Rest In Peace
Ameniumi huyu baba mungu ampokeee vema
Raisi dr John alitufunza kuthamini vya kwetu hii ndio falsafa ya JPM.. lala Baba🤔🤔
Rip baba magufuri
Tutakukumbuka xana
Ccm ndio chama cha amani kijani in amani nyekundu ni vita watanzania msikosee chagueni kijani ccm chama cha wananci wa Tanzania
Nzur
Na wasikiza kwa upore
Huyo ndo rais wawanyonge ccm oyeeee
My daddy JPM miss you 😪😪
saf san mkuu
tumekumis sana
Immanuel mgogo
VP wadau wakubwa kwa wadogo naombeni ushirikiano
Et leo haupo baba kweli
Watanganyika muna vituko jaman
Duuuu
😭😭😭😭😭
Basukuma tuli bachangamku
muhando mpya
M.
Makilikili
W
Byeee byeee maguu 👎🏼👎🏼👎🏼👎🏼👎🏼🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nenda Kanywe kahawa Chato.
Acha ushamba baba ako ujue
WW NDIO UTAENDA KUNYWA KAHAWA KWENU HUNA SHUKURANI
Mm akirudi Ikulu uhame dunia
Subutu yakeeee Subir mziki mnene28
@@hajjighanji5667 tena ASIE mshkuru binadam mwenzie hawaezi kumshukuru mungu
Kweli wasukuma
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wamefanyaje wasukuma wewe
Magoli
P
🤣🤣🤣🤣😭😭😭ndo bas tena
p
You tube
😂😂😂😂😂😁😁
Xxx
Ovyooo
Hahahaha jinyonge nakupenda kabila langu
uchaw tu
😭😭😭😭😭