Wewe ni mwalimu! nakutabilia utakuja kuwa mtu maarufu sana Africa! unatufundisha vya uvunguni ambavyo wahubiri wengi wanatuficha hawataki tujue. Mungu akulinde.
Bwana yesu kristo asifiwe.Mimi naishi Burundi mkoa wa Bujumbura,yeyote atakae iona message yangu hii anisaidie kuiagiza mpaka imfikie mchungaji ili aweze kunisaidia kwamaombi na Mungu atawalipa nyote Mutakao fanya zoezi hilo Ameen
Hii Africa hasa wanawake kanisani wanauthuria ila nyumba ya pazia wanafanya ushirikina mifano ninayo nimeona Hadi najiuliza kweli tutafika Asante kwa kuongea ukweli Wala usione aibu nikuongea ukweli nibora ubaki na waumini 2 wanomjua mungu kuliko wanafi wengi.
Barikiwa mtumishii wa mungu bt naomba maombi ju mwanangu yuko na shida yakuongea na yuko na miaka 6 na sio ni bubu hapana yaani kuna kizuizi chenye kimemfunga.
mtumishi hata sisi wenyi kuwa nchii za wa zungu tunazo shida nyingi za wachawi wanatufatilia ata uku, utaona mtu anashikaka pesa lakini hakuna lolote zinamufaliya na hawezi pata ata kiwanja back home tunaomba musasaidie kwa maombi specialy me i need help pray for me please my name is sifa i am leaving in canada thank you.
ASANTE.YESU KUMUONA. NABII WAKO ELF 2014 ALINISAIDIA ILIKUWA MWEZI WA SITA MWSHONI WA TAREHE30 NILIKUWANA UJAUZITO NA NIKAPATA SHD YA DAMU ILIKUWA NI DAM 6 ALITENGUA NIKAJIFUNGUA SALAM TAREHE MOJA MWEZI 7 Munguakutuze pamoja na Huduma yako mke wako na watoto wako uko wapi? kwasasa naomba namba ya sadaka
Nakukubali sana Pastor huwa napenda watumishi wanaofundisha kuliko wanaoombea maana wamenijengea uwezo wa kujisimamia.
Wewe ni mwalimu! nakutabilia utakuja kuwa mtu maarufu sana Africa! unatufundisha vya uvunguni ambavyo wahubiri wengi wanatuficha hawataki tujue. Mungu akulinde.
Amen hallelujah 🙇♀️🙇♀️🙇♀️🙇♀️254k 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 today I feel so beautiful apostle mtalemwa God bless you all the time 🙇♀️🌹🤲🤲🤲🤲🤲🤲
🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Nimefunguliwaa
Nimepokea. Maneno yamejaa uzima na uponyaji
Mpakwa mafuta wa MUNGU BABA ALIYEHAI,ubarikiwe sana sana.
Hallelujah 🙌 kwakweli unanisaidiya Munugu akubariki
Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu. Niko Congo nakufwatilia sana na kubarikiwa sana
Amen na barikiwa Sana mtumishi was mungu.in Kenya
Amen mtumishi napokea katika jina la Yesu
Amen Amen amen amen NIMEFUNGULIWA KWA DAMU YA YESU
Ameen Nimefunguliwa kwa jina la Yesu....
Napenda Sana mahubir yako prophet Mungu Mwenyezi akupe neema zaidi tuzidi kujifunza kupitia wewe. From Mbeya
Amen 🙌🙌🙌 thank you Jesus Lord 🙏
Bwana yesu kristo asifiwe.Mimi naishi Burundi mkoa wa Bujumbura,yeyote atakae iona message yangu hii anisaidie kuiagiza mpaka imfikie mchungaji ili aweze kunisaidia kwamaombi na Mungu atawalipa nyote Mutakao fanya zoezi hilo Ameen
Ameen
Nafurahishwa na mafundisho haya
Mungu akubariki sana mtumishi
Hallelujah powerful message 🙏🙏🙏
Hallelujaaaah,ubarikiwe mtu Mungu ,hakika tunafunguliwa na kukombolewa kupitia mafundisho yako.Ulaya hakuna mafundisho ya UKOMBOZI
Amen Amen kila vizuizi kwa maisha yangu inabomoka, inangoka, inatawanyika kwa jina la yesu. Asante kwa maombi haya
Amen chief kwa hili somo
Mungu yesu akuongezee balaka tena namfuta unayo anitumikie namimi
Amen glory to Jesus
Apostle you really bless me
Hakika nime shangaa kweli Roho mtakatifu wa mungu Yu juu yako unafunza Kama yesu kristo mwenyewe iwish I was in Tanzania from kenya
Amen nimefunguliwa kw damu ya yesu be blessed glory be to God
Nafatilia kwa makini mafundisho. Nabarikiwa sana ✋✋🇰🇪🇰🇪
Hoo yes napokea kwa jina la yesu yote yamekwisha Leo Kwa jina la yesu
Amen 🙏 🙏🙏
AMEN AMEN,,, Napokea kwa imani👏🙏🙌🙌
Hii Africa hasa wanawake kanisani wanauthuria ila nyumba ya pazia wanafanya ushirikina mifano ninayo nimeona Hadi najiuliza kweli tutafika Asante kwa kuongea ukweli Wala usione aibu nikuongea ukweli nibora ubaki na waumini 2 wanomjua mungu kuliko wanafi wengi.
Barikiwa sana mtumishi
Safi sana
Amen.nimekuwa salama.
Ubarikiwe mtumishi
AMEN I receive GOD bless you
Natamani injili ya Africa ni power full.Ulaya hakuna hata walokole ,Tunahangaika kutafuta makanisa ya kiroho
Amen baba
Napokea 🙏🙏
Ameen mtumishi, Mungu akutie nguvu, nimebarikiwa sana
Nimebarikiwa sana amen haleluya
Ameeen asante Yesu niko huru!
Amen glory to God
Amen tuko pamoja toka 1
Barikiwa mtumishii wa mungu bt naomba maombi ju mwanangu yuko na shida yakuongea na yuko na miaka 6 na sio ni bubu hapana yaani kuna kizuizi chenye kimemfunga.
I receive my breakthroght chief Apostle
you are a blessing to me.
Unaeleweka sana sana barikiwa
𝐀𝐦𝐞𝐧🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏 ubarikiwe Apostle
Aiseee Mungu ahsante kwa kunipa mtumishi huyu
Amen.. Napokea
mtumishi hata sisi wenyi kuwa nchii za wa zungu tunazo shida nyingi za wachawi wanatufatilia ata uku, utaona mtu anashikaka pesa lakini hakuna lolote zinamufaliya na hawezi pata ata kiwanja back home tunaomba musasaidie kwa maombi specialy me i need help pray for me please my name is sifa i am leaving in canada thank you.
Nimengoa kwa jina la yesu from kenya
Ameeeen in Jesus name 🙏 🙌
Amina, Amina
Hallelujah,nabarikiwa na mahubiri yako Apostle
Mimi pia Joyce
God bless you Apostle
Ameen apostle
Amen 🙏 God bless you 🙏🙏
Asante Mungu
Amen, Thank you Jesus I am free
Barikiwa Mtumishi
Ameeeeen
Amennn🙏🙏🙌
Ameen
AMEN 🙏 🙏 🙏
Ameen mtumishi ubarikiwe lakini uwafundishe hao wanawake wanaovaa suruali kanisani kwamba neno linasema suruali ni vazi limpasalo mwanaume
Ameen 🙏
Amen
Watching from Mombasa Kenya
Watching from Saudi Arabia.... Feeling blessed and released in the name of Jesus Christ
Aaaaamen
Najiungamanisha na maombi haya katika jina la Yesu Nitashinda vizuizi mikosi na nukusi na milima niliyo wekewe kwenye maisha yangu kuanzia Sasa Amen
Amen dad I received 🙏🙏🙏
Major Prophesy
ameen hakika nimefunguliwa mimi, ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
Ooh yes
Amina 👏👏👏
Narudisha kwa jina la yesu
Powerful servant of God 🙏 I have received from kenya
I receive the prophesy in Jesus name my life and my generation must be what wanted initially to be in the lord.
Must be what God wanted to be initially.
Amen 🙏 Hallelujah and Glory be to God 🙏
Napokea kwa jina la Yesu
Napokea kwa jina la yesu
Amen👏👏
Barikiwa mtumishi wa Mungu, somo zuri sana
Ubarikiwe mtumish wa Mungu.
Niko hapa naoomba Mungu aniitie nguvu
Amen May God bless you 🙏
Napokea kutoka Lebanon
Mungu ninakuomba kibali cha ya kujua maandiko
Amen I can testified in Jesus Name God bless you for good inspiration we are have manifesting it in our heart with good out comes.
1
@@getrudekimaro to fly with aeroplane .
God is so great to me for the protect
Apostle. Naomba somo la kukataa maroho ya maji na ya Baharini
Niko Kenya
Thank you Lord Jesus Christ
ASANTE.YESU KUMUONA. NABII WAKO ELF 2014 ALINISAIDIA ILIKUWA MWEZI WA SITA MWSHONI WA TAREHE30 NILIKUWANA UJAUZITO NA NIKAPATA SHD YA DAMU ILIKUWA NI DAM 6 ALITENGUA NIKAJIFUNGUA SALAM TAREHE MOJA MWEZI 7 Munguakutuze pamoja na Huduma yako mke wako na watoto wako uko wapi? kwasasa naomba namba ya sadaka
Napokeee kwa jina la Yesu kristo
🙏🙏🙏🙏🙏
Wow!!Powerful kabisa
Narudia hiyo part ya Maombi !!!
Imebibariki sana
🙏🙏🇰🇪🇰🇪
Unabii mtalemwa
Acha tu pasta Kuna watu wanajiona Mungu mtu
Na alaaniwe aondiaye mpaka wangu ,ndugu seleli
Nojaufa okunamile...olabona
Hahahaha
May God bless you chief.
Napokea kufunguliwa vikwazo vyote kutoka kokote vilivyowekwa na yeyote kwa jina la Yesu! Kuanzia sasa niko huru!
hata kuwepo mwenye kuikaliya ndoa yangu wataachilia leo na baraka zangu zote malaika wa bwana nitangulie bwana wa majeshi
hili kanisa lipo wap jmn
Barikiwa Sana Apostle ,hata kama Yuko mwenye kukalia kazi yangu anaachilia leo
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏nakemea vizuizi vishindwe
Napokea kwa jina la Yesu
Amen 🙏🙏