Amen, nafuta maneno yote yaliyotamkwa juuu yangu kwa jina la Yesu kristo wanazareth ninafuta Giza walikoliweka mbele yangu ikawe Nuru, nafungua biashara yangu ndoa yangu kizazi changu ninafuta kila maneyo yote yaliyotamkwa kwa maisha yangu kwa jina la yesu na Mungu anisamehe pia kwa kumtakia mtu yeyote maneno mabaya ikiwa n kwa hasira Mungu anisamehe pia.
Ninafuta kila maneno mabaya yaliyo tamkwa kwangu kwa damu ya Yesu Ninabadilisha baya kuwa jema katika jina la Yesu Natamka uzima kwenye maisha yangu na familia yangu Natamka ushindi Natamka baraka Itakuwa kwa jina la Yesu... Asante sana apostle kwa ufunuo huu kwenye somo hili nilijifunza Neno lina uhai... Nilijifunza kunena maneno mazuri kwenye maisha yangu... Mungu akuweke mtumishi🙏🙏 powerful
Na wewe ubarikiwe kabisa .Husemi utahama kutafuta pesa lakini kumtafuta mungu. Mungu amekujalia kujua ukweli ya kwamba kumtafuta mungu ndio kitu cha maana kwanza alafu mengine yatafuata. Seek yee the kingdom of God and everything else shall be given to you. Be blessed.
Amen. Nafuta maneno yote niliyo tamkiwa juu yangu kwa jina la Yesu kristo, nina futa Giza lililowekwa mbele ya uso wangu ikawe nuru, nafungua ndoa, kizazi changu kazi yangu, nafungua biashara yangu uzao wangu na kipato changu. Katika jina la Yesu kristo
You are a blessing to me servant of God. Mabadilisha maneno yaliyonenwa na wachawi kinyume na ndoo yangu, kinyume na Mali yangu, kazi yangu,watoto wangu. Ninakataa Kwa jina kuu la Bwana YESU Kristo.
Nikiwa nasikiliza mahubiri kama haya huwa nabarikiwa sana,Mungu atutie nguvu katika jina la yesu, ila mtumishi huwa sijiskii vizuri nikiona wanawake wanavyovaa mavazi Yao hapo kanisani na sipendi mara kaweka brichi kichwani mara kavaa suluali kanisani hivi ndivyo Mungu alivyosema kweli mtumishi
Wow I thank God for you I have stepped one step ahead in understanding the power of God which is in spell kutamka in Jesus name Apostle Mtalemwa Mungu azidi kukutunza wewe Ni nguvu ya Mungu ambayo imetumwa kwangu asubuhi ya leo katika Roho Mtakatifu ❤️
Amen and I'm Connecting faith through Christ Jesus and I Agree and Believe and receive this Powerful Prayers upon my life and my Son and my family because our help comes from Jehovah God the maker of the Heaven and earth and no weapon formed against us will be able to prosper Because God is with us and no body can against us and all things are possible with God in the mighty name of Jesus Christ Amen and Amen Hallelujah Glory be to God
Najiyngamanisha na madhahu hii. Kuanzia sasa nifuta maneno yote niliotamkiwa Toka nilipokua tumboni, nikiwepo kwenye maisha yetu ya Kila siku, ninayafuta maneno, matamshi yoote katika jina la Yesu.
Be blessed man of God! You are really bessing my heart so much! I am Samuel from Goma RDC. Since i am following your preaching, i am living in my heart
Amen,,,nayabadilisha MANENO mabaya yote yaliyo tamkwa juu yangu,,,,yatKuwa mema tu kwa jina la yesu.,,Nitafanikiwa,,,kiuchumi ,,kiafya,,nitakuwa kichwa na siyo mkia,,,malengo yote niliyojiwekew MWANA huu yatatimia kwa jina la yesu,,,,sitapungukiwa na KITU chochote,,,,
Amen nimebarikiwa sana na mahubiri yako mtumishi....mungu akuongezee zaidi unapomtukia Kila wakati....baraka zote ninasipokea katika jina kuu LA yesu kristo.....walionena giza katika maisha yangu,,,nimetamka Nuru katika maisha yangu...Amina na amina.
Waliotamka mwanangukuwa mlevi hela yake kuto kukaa ikafanya kaxi ya maana kuto fanikiwa Leo hii namtamkia kuacha pombe, akipata hela itakaa nakufanya kaxi ya maana, atapata mafanikio.kwa jina la Yesu amina
👏👏👏,safi sana maombi haya ndo najifungaga kibwebwe,nachukua fimbo ya uhakika nababadua mpaka kinaeleweka. Kwa jina la Yesu nayabadilisha nageuza hata naukiri mbaya nilio jitamkia ukawe ukiri mzuri,ktk kila eneo la maisha yangu,kny uchumi,kny Ndoa kwa Watoto,kny huduma ,kny ukoo kwa jina la Yesu.
Nafuta na kubadilisha kila neno lote lililonenwa kinyume na maisha yangu na familia yangu wao walinena lakini nami nanena nimeyabadilisha yote kuwa baraka kwa jina la yesu,am so blessed
Nafuta maneno yote mabaya yalio nenwa dhidi yangu na watoto wangu na walio hai na walio kufa hata nlio Nena mwenyewe nayafuta kwa damu ya Yesu kristo..katika jina la Yesu kristo
Amen nabadlisha manano mabaya niliyo tamkiwa na maadui zangu yagiza nabadilisha kuwa ya nuru yaumaut nabadlisha kuwa uzima nabadlisha maneno mabaya niliyo jitamkia mwenyewe nayabadlisha kwa jina la yesu chirsto wanazaret amen 🙏🙏🙏
Ni mkenya aliyekutana na hio channel mara ya kwanza naomba apostle niombee waschana wangu waolewe mwaka huu na vijana wangu wabalike awache pombe na miraa nao wapate kazi warned ngambo walivyotabiriwa
Wao walisema lakini nami nasema katika jina la yesu christu, mambo walio tamuka kwa jili yangu na family yangu yatashindwa giza ingeuke nuru katika jina la yesu christu, Amen.
Kila laana na maneno yote mabaya yaliotamkwa juu yangu Ninayakataa na kutafuta kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth Mungu aliye hai natangaza kibali Cha Mungu juu yangu
This is a true churich with an anointed servant of God, true teachings , deep scripture revelation and prayerful. God empower you the more Apostle. I have problem with kiswahili, but can tell from the little I can understand. (From Kenya)
Hi people of God, it's true I had married bfo I got separated, bt my mother in law used to tell that my kids will be beggars in town, bt have never get disspointed, my 4born called Walter run away from home, isuched him I found him,, since up to date he as that spirit of running away from home, since he was ten years up to now,, need your prayers, to bring him back home
Ameen katika jina la yesu. leo nafuta maneno mabaya yaliotamkwa juu yang leo nayafuta . mungu niponye, yote yalioshindikana kwangu na yawezekane kupitia maombi haya Ameen
Nisaidie kuombea hayo manano aliyoyatamuta ndugu ya babangu bila kumukoezea kwamba nitatoka kazini bila kitu au maendeleo! Ninakataa hayo maneno nikitamuka kua na mali na nitafanya maendeleo kwa jina la Yesu leo hata milele kwa maisha yangu amen
Natamka uzima katika maisha yangu.natamka kinyume nao walionena katika maisha yangu kuwa sitafanikiwa na tamka kuwa mimi ni mshindi na yote yaliyo nenwa hayana mamlaka katika jina la yesu Kristu...amina
Nayafuta maneno mabaya yote waliyosema juu yangu kwa Jina La YESU CHRISTO tunaenda kuyabadilisha maneno yote waliyoyasema juu yangu na juu ya familia yangu in the name of Jesus I pray.
Ndugu zangu mnaosali kanisa hili ni kweli anayofundisha mhubiri ni sahihi ila mwonekano wa waumini wa kanisa ni kama maajenti wa kuzimu kwa jinsi mavazi waliyovaa. Mtu akiipenda dunia kumpenda Mungu hakumo ndani yake. Kahaba na aliyeokoka ni lazima wawe tofauti mwonekano wao, kuongea kwao na kutembea kwao na hata mavazi yao. Vinginevyo kwenda kanisani huku umeng'ang'ania ya dunia huku ukisema unaenda na wakati sawa nenda na wakati lakini mwisho ni kuishia jehanamu.
Amen, nafuta maneno yote yaliyotamkwa juuu yangu kwa jina la Yesu kristo wanazareth ninafuta Giza walikoliweka mbele yangu ikawe Nuru, nafungua biashara yangu ndoa yangu kizazi changu ninafuta kila maneyo yote yaliyotamkwa kwa maisha yangu kwa jina la yesu na Mungu anisamehe pia kwa kumtakia mtu yeyote maneno mabaya ikiwa n kwa hasira Mungu anisamehe pia.
🎉
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu❤
Ninafuta kila maneno mabaya yaliyo tamkwa kwangu kwa damu ya Yesu
Ninabadilisha baya kuwa jema katika jina la Yesu
Natamka uzima kwenye maisha yangu na familia yangu
Natamka ushindi
Natamka baraka
Itakuwa kwa jina la Yesu...
Asante sana apostle kwa ufunuo huu kwenye somo hili nilijifunza Neno lina uhai... Nilijifunza kunena maneno mazuri kwenye maisha yangu... Mungu akuweke mtumishi🙏🙏 powerful
Mpl
Asante mtumishi kwa mafundisho mazuri barikiwa
Ahsante MUNGU akubariki sana Pastor kwatufundisha vyema
Tanzania is raising warriors in the kingdom of God. I look forward to relocate from Kenya to Tanzania. God bless Tanzania.
Na wewe ubarikiwe kabisa .Husemi utahama kutafuta pesa lakini kumtafuta mungu. Mungu amekujalia kujua ukweli ya kwamba kumtafuta mungu ndio kitu cha maana kwanza alafu mengine yatafuata. Seek yee the kingdom of God and everything else shall be given to you. Be blessed.
Karibu Nyumbani Ndg yetu! Mipaka iliwekwa na wazungu kipindi hicho ili watutawale " divide &rule"...karibu tujijengee katika Ufalme usio na Mwisho
Usihame bali uwashe moto kwenu.
Amen. Nafuta maneno yote niliyo tamkiwa juu yangu kwa jina la Yesu kristo, nina futa Giza lililowekwa mbele ya uso wangu ikawe nuru, nafungua ndoa, kizazi changu kazi yangu, nafungua biashara yangu uzao wangu na kipato changu. Katika jina la Yesu kristo
You are a blessing to me servant of God. Mabadilisha maneno yaliyonenwa na wachawi kinyume na ndoo yangu, kinyume na Mali yangu, kazi yangu,watoto wangu. Ninakataa Kwa jina kuu la Bwana YESU Kristo.
My first day listening to your teachings and prayers and i feel so blessed. Thanks apostle, God bless you
Asante mchungaji myalemwa
Nikiwa nasikiliza mahubiri kama haya huwa nabarikiwa sana,Mungu atutie nguvu katika jina la yesu, ila mtumishi huwa sijiskii vizuri nikiona wanawake wanavyovaa mavazi Yao hapo kanisani na sipendi mara kaweka brichi kichwani mara kavaa suluali kanisani hivi ndivyo Mungu alivyosema kweli mtumishi
Apostle Mutalemwa, Naomba kukutana nawe ikiwa utaniruhusu. Shalom
Amen mungu aniapushe na maneno mabaya na afute mauti maishani mwangu najitamukia uzima
Powerful teachings blessed man of the most high God
Mtumishi Barikiwa sana napenda Mafundisho yako Mungu Aendeleee kukutumi ili utufundishe maneno ya Mungu Barikiwa sana
Wow I thank God for you I have stepped one step ahead in understanding the power of God which is in spell kutamka in Jesus name Apostle Mtalemwa Mungu azidi kukutunza wewe Ni nguvu ya Mungu ambayo imetumwa kwangu asubuhi ya leo katika Roho Mtakatifu ❤️
Amen and I'm Connecting faith through Christ Jesus and I Agree and Believe and receive this Powerful Prayers upon my life and my Son and my family because our help comes from Jehovah God the maker of the Heaven and earth and no weapon formed against us will be able to prosper Because God is with us and no body can against us and all things are possible with God in the mighty name of Jesus Christ Amen and Amen Hallelujah Glory be to God
Mmmmmhhhhhuhhhhhhhh! Paster mungu akuzidishie ujasiri,amen neno lako limenibariki na kunipandisha kiwango Hadi kiwango ,amen
Najiyngamanisha na madhahu hii.
Kuanzia sasa nifuta maneno yote niliotamkiwa Toka nilipokua tumboni, nikiwepo kwenye maisha yetu ya Kila siku, ninayafuta maneno, matamshi yoote katika jina la Yesu.
Be blessed man of God!
You are really bessing my heart so much! I am Samuel from Goma RDC. Since i am following your preaching, i am living in my heart
Powerful message watching from Qatar...God bless you servant of God
Amen,,,nayabadilisha MANENO mabaya yote yaliyo tamkwa juu yangu,,,,yatKuwa mema tu kwa jina la yesu.,,Nitafanikiwa,,,kiuchumi ,,kiafya,,nitakuwa kichwa na siyo mkia,,,malengo yote niliyojiwekew MWANA huu yatatimia kwa jina la yesu,,,,sitapungukiwa na KITU chochote,,,,
Amina ubarikiwe oils maneno niliyo nenewa vibaya mimi na familia na ukoo wa na uzao wangu nabatilisha kwa jina la Yesu
Nafuta maneno nliyojitamkia yakazuia Baraka zangu nafuta kwa Jina la Yesu,na nliyotamkiwa na Wachawi na watu nisiyoyajua na watumishi wabaya,Ameen
Lucy thank you man of God for teaching be blessed
I love this aki barikiwa na mungu
Nafuta maneno mabaya yaliyo tamkwa juu yangu nakataa kwa damu ya yesu nayabadrisha Kwa jina la yesu ubrkiwe mtumishi
Amen...Thank you Apostle kwa mafundisho mazuri sana 🙏🏿
Mafundisho yako yananibariki saana
Amen nimebarikiwa sana na mahubiri yako mtumishi....mungu akuongezee zaidi unapomtukia Kila wakati....baraka zote ninasipokea katika jina kuu LA yesu kristo.....walionena giza katika maisha yangu,,,nimetamka Nuru katika maisha yangu...Amina na amina.
This is so powerful nina badilisha maneno waliyo nena kinyume na maisha yangu in Jesus name
Am blessed so much the preaching has touched me hizi ni vitu am passing through now nimejua kudeal nazo
Really divine preaching Be blessed The Annointed prophet of The LORD in JESUS'NAME. AMEN+
Ubalikiwe
Ilove how the wrd is really explained
maneno yote nliyo tamkiwa sitaishi na mume wala sitafanikiwa katika maisha yangu yote nami nayabadilishi maneno hayo kwa Jina la yesu kristor alie hai
Apostle am blsd by the word. Nakataa kila Negative word spoken against my destiny,by the blood of Jesus Amen. Nakuru City Kenya
Powerful teachings,you have really blessed me,Naamini yote yaliyotamkwa kinyume yamefutwa na maisha mapya sasa kwa jina la Yesu.barikiwa pastor.
Amina nabadilisha maneno mabaya, kua mazuri la Giza Lowe la nuru. Nayafuta yote ktk jina la yesu
Walio tamka sitaolewa,sitazaa,sitafanikiwa natamka Kuolewa,kuzaa na kufanikiwa kwa jina la Yesu
Amen amen and amen
Waliotamka mwanangukuwa mlevi hela yake kuto kukaa ikafanya kaxi ya maana kuto fanikiwa Leo hii namtamkia kuacha pombe, akipata hela itakaa nakufanya kaxi ya maana, atapata mafanikio.kwa jina la Yesu amina
Blessed message, thank you Lord
nafuta maneno nlitojitamkia kwa kinywa changu,nliyotamkiaa na watesi wangu nayafu kwa damu ya Yesu kristo hayana nafasi tena kwa jina la Yesu 🙏🙏
👏👏👏,safi sana maombi haya ndo najifungaga kibwebwe,nachukua fimbo ya uhakika nababadua mpaka kinaeleweka. Kwa jina la Yesu nayabadilisha nageuza hata naukiri mbaya nilio jitamkia ukawe ukiri mzuri,ktk kila eneo la maisha yangu,kny uchumi,kny Ndoa kwa Watoto,kny huduma ,kny ukoo kwa jina la Yesu.
I'm really blessed down here in Malindi KENYA. Man of God may you be blessed in Jesus might Name. AMEN and AMEN.
Ameeen mtumishi ubarikiwe nafutaa maneno niliyoneewaa mabaya ktk maisha yangu
Nafuta na kubadilisha kila neno lote lililonenwa kinyume na maisha yangu na familia yangu wao walinena lakini nami nanena nimeyabadilisha yote kuwa baraka kwa jina la yesu,am so blessed
Be blessed apostle nimependa mafundisho Yako sana🇰🇪🇰🇪
Asante Yesu kwa mtumishi huyu. Ubariki kazi yake na sisi tunaosikia neno hili utuondoe krkmaangamizo yote ya shetani. Ikuze huduma hii
Hallelujah hallelujah nabarikiwa nikiwa Kenya, 🇰🇪
Amen
Nafuta maneno yote mabaya yalio nenwa dhidi yangu na watoto wangu na walio hai na walio kufa hata nlio Nena mwenyewe nayafuta kwa damu ya Yesu kristo..katika jina la Yesu kristo
This is powerfull have really prayed n felt that my life n everything has changed instantly. May God increase you
Nimefuta yote kwa kina la yesu
Ameeen 🙏🙏🙏
NafutA maneno yote yalinenwa kinyume nami nayabDilisha maneno yote kwa jina la yesu
Mungu akutunze sana nanema ikutawale na hekima ya selemani iwe nawe Apostle Mtalemwa
Amen nabadlisha manano mabaya niliyo tamkiwa na maadui zangu yagiza nabadilisha kuwa ya nuru yaumaut nabadlisha kuwa uzima nabadlisha maneno mabaya niliyo jitamkia mwenyewe nayabadlisha kwa jina la yesu chirsto wanazaret amen 🙏🙏🙏
Amina katika Jina la yesu kirsto napokea yote. Yaliyo nyakuli Na wachawi. Yesu kirsto. Anarutisha ,
Powerful message !!!! Halleluyah .
Mungu akubaliki my pastor
Oooh! Thank you Jesus, very Powerful.
AMEN 🙏
Napokea Barak zangu kwa jina LA yesu nafuta mabaya
Maneno yaliyo tamukwa juu ya maisha yangu na watoto wangu nakataaaaaaaa katika jina la Yesu Amen. Ubarikiwe Apostle
Ni mkenya aliyekutana na hio channel mara ya kwanza naomba apostle niombee waschana wangu waolewe mwaka huu na vijana wangu wabalike awache pombe na miraa nao wapate kazi warned ngambo walivyotabiriwa
Wow hallelujah. God bless you.
Mimi nayafuta maneno yote maovu yaliyonenwa juu yangu katika JINA KUU la YESU hayataniandama tena🇰🇪
🇰🇪Kenya Mombasa,Nafuta maneno yote yaliyo tamkwa kinyume nami, I decree and and iam blessed
Nabadilisha maneno machafu maishani mwangu kwa damu ya yesu
Asante sana Chief Apostle kwa ufunuo huu. Kweli maneno Yana uhai. Nimefuta kila neno baya lilotamkwa juu yangu na Kutamka neno jema
Hallelujah !!!! .Im blessed
God bless you apostle
Barikiwa Mtumishi wa Mungu, ni maombi muhimu sana🙏🏾
Apostle Mtalemwa nabarikiwa sana na mafundisho yako washindwe wanao kupinga kwa jina la Yesu alie hai Amen 🙏🙏🙏✝️✝️⛪
Mahubiri mazuri sana nimebarikiwa sna god bless you
Wao walisema lakini nami nasema katika jina la yesu christu, mambo walio tamuka kwa jili yangu na family yangu yatashindwa giza ingeuke nuru katika jina la yesu christu, Amen.
Ameen Kila maneno yao walio tamka na Kila walicho kusudia juu ya huduma ya mtumishi wa mungu haita fanikiwa kwa jina la yesu🔥🔥🔥
Asante mtumishi kwa mafundisho mazuri ,Mungu anisaidie niyaishi
Kila laana na maneno yote mabaya yaliotamkwa juu yangu Ninayakataa na kutafuta kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth Mungu aliye hai natangaza kibali Cha Mungu juu yangu
Hallelujah 🙌🙌🙌🙌😭😭😭😭😭💪💪💪oooh Yesu na badilisha katika jina la Yesu
Amina Apostle..
Nimebarikiwa na ujumbe🙏
Am blessed Amen mtumichi wa Mungu
This is a true churich with an anointed servant of God, true teachings , deep scripture revelation and prayerful. God empower you the more Apostle. I have problem with kiswahili, but can tell from the little I can understand. (From Kenya)
Hi people of God, it's true I had married bfo I got separated, bt my mother in law used to tell that my kids will be beggars in town, bt have never get disspointed, my 4born called Walter run away from home, isuched him I found him,, since up to date he as that spirit of running away from home, since he was ten years up to now,, need your prayers, to bring him back home
Am ready servant of God 🙏 to change my civil in Jesus name
Ameen katika jina la yesu. leo nafuta maneno mabaya yaliotamkwa juu yang leo nayafuta . mungu niponye, yote yalioshindikana kwangu na yawezekane kupitia maombi haya Ameen
Maneno yeyote niliyonenewa kinyuma cha afya yangu,mali yangu ndoa yangu na watoto wangu na kazi yangu nayabatilisha katika jina la Yesu.
Very powerful be blessed man of God.frm Kenya.
Aposto nimepokea nilikuwa halimbaya nasikia nafuuu Asante
Kwa Jina la YESU, walitamka sitafanikiwa, lakini mimi natamka mafanikio tele in JESUS name i RECEIVE AMEN
Kila neno baya niliyotamkiwa nalikataa kwajina la yesu kristo Najnenea mazuri na mafanikio kwa Jina la yesu.
God blessed you nimesikiza mafundisho nimejifunza mengi na nimefunguka macho
Nabarkiwa Sana na mafundisho yako mungu akubariki
mchungaji ubarikiwe
Asante nte mungu kwa maombi hayo barikiwe sana mchungaji mungu aedelee kukuinua wanibaliki usiku waleo
Nayabadilisha maneno yote mabaya yaliyotamkwa juu yangu na uzao wangu kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth
Nafuta maneno yote yaliyotamkwa juu ya majina yangu katika giza nafuta kwa Damu ya Yesu likawe huru. Ktk jina la Yesu
This is so blessed, God bless you 🙏🙏🙏 amen
Nisaidie kuombea hayo manano aliyoyatamuta ndugu ya babangu bila kumukoezea kwamba nitatoka kazini bila kitu au maendeleo! Ninakataa hayo maneno nikitamuka kua na mali na nitafanya maendeleo kwa jina la Yesu leo hata milele kwa maisha yangu amen
God be with you forever man of God
Amen, maneno yote mabaya na manuizo yamefutwa kwa jina na damu ya Bwana wetu Yesu Kristo.
Amen asante Bwana Yesu kupitia humu nimeokoka na maneno yote mabaya na mema yananijilia kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth.
Amen Good bless you Apostle
A very powerful massage
Amina, Mungu akubariki ni kweli ipo nguvu ya Mungu ktk kinywa,Mithali 18:20-22
Mungu akubariki Mutumishi wa Mungu unanijenga sana
Nafuta maneno mabaya yote yaliyopangwa juu yangu kwa jina la yesu wasifanikiwe yawarudie,wenyewe amen🙏
Amen nafuta maneno yote niliyotamkiwa nawachawi kwajina layesu
Natamka uzima katika maisha yangu.natamka kinyume nao walionena katika maisha yangu kuwa sitafanikiwa na tamka kuwa mimi ni mshindi na yote yaliyo nenwa hayana mamlaka katika jina la yesu Kristu...amina
In name of Jesus nabadilisha kina neno ovu nililo tamkwa kwenye maisha yangu
Watching from Nanyuki (Amen pastor)👋
am really blessed . may Almighty God give u more grace
Me and My family we are heard in jesus mocht u name AMEN.
Ameeen nakajusha kila maneno machafu sahiyo tamkwa juu yangu in the name of jesus
Nayafuta maneno mabaya yote waliyosema juu yangu kwa Jina La YESU CHRISTO tunaenda kuyabadilisha maneno yote waliyoyasema juu yangu na juu ya familia yangu in the name of Jesus I pray.
Ndugu zangu mnaosali kanisa hili ni kweli anayofundisha mhubiri ni sahihi ila mwonekano wa waumini wa kanisa ni kama maajenti wa kuzimu kwa jinsi mavazi waliyovaa. Mtu akiipenda dunia kumpenda Mungu hakumo ndani yake. Kahaba na aliyeokoka ni lazima wawe tofauti mwonekano wao, kuongea kwao na kutembea kwao na hata mavazi yao. Vinginevyo kwenda kanisani huku umeng'ang'ania ya dunia huku ukisema unaenda na wakati sawa nenda na wakati lakini mwisho ni kuishia jehanamu.
Mbona umeenda mbali si wote wamevaa vibaya.
Nenda kuzimu uwadai akili zako
Amina