Asante sana Apostal kwa mafundisho yako,napenda sana kufuatilia mafundisho yako ,umenijenga kwa kiwango cha juu sanaaa kuna mambo mengi nlikua sifahamu kama kuchambua au kutafsiri maandiko haswa milidhi ya mda na wakati.Mungu akutumie zaidi na zaidi,napokea neno la kinabii la kupata ubavu wangu na utajiri in Jesus name.
APOSTLE MUTALEMWA MI NILITAMANI SANA KUKUONA KANISANI JMOSI NILIKUJA KWA KUCHELEWA, LKN NILIFARIJIKA TU KUINGIA NDANI YA KANISA ECG BARABARA YA NGUSERO MAKUTI. NINABARIKIWA BABA NA MASOMO YUTUBE. NIOMBEE NIPONE MWILI NA ROHO, APOSTLE NAMI NISONGE MBELE. ASANTE SANA.
MYNGU NISAIDIE NIPATE MTU MZURI PERTINERSHIP KWA KAZI YA BIASHARA .MUNGU MALANGO TANGU .KISHA MIMI NIKIJA LEBANON HAWA WATU WANEFANIKIWA PROMOTION KAZI NZURI BT WANATHANI NI KISO NO BT I IKNOW ITS GRACE FROM GOD SINCE IHV STAYED WITH THEMCHIEF NIOMBEE IF UR SON OF NAJOR1 MAY GOD CHANGE MY STORY AMEN
Ameni na Asante kwa somo hili
Asante sana Apostal kwa mafundisho yako,napenda sana kufuatilia mafundisho yako ,umenijenga kwa kiwango cha juu sanaaa kuna mambo mengi nlikua sifahamu kama kuchambua au kutafsiri maandiko haswa milidhi ya mda na wakati.Mungu akutumie zaidi na zaidi,napokea neno la kinabii la kupata ubavu wangu na utajiri in Jesus name.
Naombe Gate za Nations zote ziwe wazi ili mfadhili wangu awasili kwa wakati kwa jina la Yesu Kristo 💕🧎
Amiha, Amina Mungu niinulie watumishi, niinuli wanunuzi watakaoongeza thamani katika biashara yangu Amen
First of all mko vry Smart ...mafundisho yako iko vry clear..Amen
Huwa na barikiwa san
Ameeeèn
Ameen 👏
Ni kweli. Ubarikiwe mtumishi wa Bwana 🙏
Pasteur asante kwa ufunuho amen
Amen mungu nionyeshe watu sahihi kwangu kusimama nao katka kuinua uchumi wangu
Amen Amen Amen,Mungu niinulie watu sahihi watakao simama namimi katika kuukuza na kuuinua uchumi wangu.
Nimebarikiwa
I believe in Jesus name I received from kenya poverty bye bye no any chance in my life Amen
amina mtumishi
Chief ubarikiwe sana sana
Ubarikiwe na yesu niko DRC
Amen, Amen najiyngamanisha na madhabahu hii.
Amina, Amina
Suzumiya sinu nafuatikia sana..malango tatafunguka Aimen..niko na inani
Chief it's breakthrough allover!!!!🌦️🌦️🌦️🌦️🌦️🌦️ukuje Tena Arusha oooooooh, hakika iko nguvu katika damu ya Yesu
Malango yangu yafunguke kwa Jina la Yesu
Amen baba Asante kwa madini ya faida....!nabarikiwa sana na mafundisho yako
Unafundisha vizuri sana. Rahisi kuelewa
Ubarikiwe Sana mtumishi
Amen nabalikiwa sana na mafundisho yako
Naam,Chief Apostle Nafatilia Mafundisho toka Sumbawanga....
Amina amina amina
WOW 😳
Good Good Good!
Well well well
Good Good Good
Well well well 🕺🕺🕺
Amina Sana baba
I love the spirit in you Apostle I receive this Revelation ..from Kenya.
Asante mtumishi was mungu kwa mafundisho
It is 00:00 midnight here, and I am absorbing this like water.
Naam chief nafuatilia mafundisho yako hakika yamenivusha mahali
NAKUPENDA APOSTLE
Amina nimebalikiwa sana
APOSTLE MUTALEMWA MI NILITAMANI SANA KUKUONA KANISANI JMOSI NILIKUJA KWA KUCHELEWA, LKN NILIFARIJIKA TU KUINGIA NDANI YA KANISA ECG BARABARA YA NGUSERO MAKUTI. NINABARIKIWA BABA NA MASOMO YUTUBE. NIOMBEE NIPONE MWILI NA ROHO, APOSTLE NAMI NISONGE MBELE. ASANTE SANA.
Amen .respect must because the ministry of God is for generation to generation .
Apostle Mtalemwa Nimeushika ujumbe wako nakujingamanisha nao Naamin Mungu atatimiza kwa wakati ulio pangwa
Nafuatilia kutoka Njombe huku nabii. Amina
Blessed
Amen Mungu aendelee kukutunza amen.
Amen mtumishi wa Mungu
You are a good teacher n
I watch from Italy
Asante Mtumishi wa Mungu umenibariki sana kwa Neno na ujumbe huu mzuri. Napokea kwa jina la Yesu!
Amen Mtumishi
Ameen
Amen amen
I connect thanks for the word God bless Apostle
Amen naomba uchumi wangu ubadirishe
Ameeeeeeeeeeeeeen barikiwa sana pastor
V,good
Asante Apostle nabarikiwa sana namafundisho yako
Nakukubali sana we mwamba wa nguvu
You are a good teacher, nime barikiwa Sana na haya mafundisho God bless you
Your a good teacher, thanks for your moment. Very! Very! gratefully...!
Amen 🙏🙏🇰🇪
Hichi kitu ni kweli kabisa mm niko na biss wangu kamshikilia kweli dada yetu mpka kamfanya asimamie ofsi zote na unaluta biashara zina enda haswa
Uko vizuri Mchungaji Mungu awabariki
hakika ni mafundisho mazuri yenye nguvu ya Mungu Barikiwa Mtumishi
God bless you
Naitaji neno ya unabii kwa maisha yangu. Amen
God bless you man of God, napenda sana mafundisho yako, Mungu azidi kukutunza
Yanafunguka sasa Malango yaliyofungwa Kwa jina la Yesu
Nafuata neno LA kinabii kwa makini.Bwana Yesu Kristu apewe sifa.Amen.
I received
Woow woow🔥🔥🔥hii neno nilangu i receive in the name of jesus
Amen Amen...tumshukuru Mungu.Aleluyah!...
Asante Mungu akakuzidishie Neema...Mwalimu kwangu mimi🇰🇪🇦🇪
ukweli
Amina
🕺💃GOOD,GOOD OOH🕺💃🎶🎵WELL OOH WELL OOH🎶🎵🕺💃🕺💃
MYNGU NISAIDIE NIPATE MTU MZURI PERTINERSHIP KWA KAZI YA BIASHARA .MUNGU MALANGO TANGU .KISHA MIMI NIKIJA LEBANON HAWA WATU WANEFANIKIWA PROMOTION KAZI NZURI BT WANATHANI NI KISO NO BT I IKNOW ITS GRACE FROM GOD SINCE IHV STAYED WITH THEMCHIEF NIOMBEE IF UR SON OF NAJOR1 MAY GOD CHANGE MY STORY AMEN
Mungu aendelee kukubariki mtumishi
Amen 🙏
Asante Apostle somo zuri
Mtumish napokea hili neno lakinabii japo cjaangalia kwa wkt ila simu yangu napokea watu wa Tano namm
There is no need to suffer ,Malango yangu yako wazi daima ili mataifa wapate kuniletea utajiri.all gates must open
Amen Apostle,napokea kwa jina la Yesu
Amen nabarikiwa sana na mafundisho haya
Amen🇰🇪
Amen 🙌🙌🙌🙌👆🙌🙌🙌
Amen I receive Dady.
You have thought me something apostle mtalemwa be blessed
I LOVE YOY MAN OF GOD
Ameen ireceve my sponsor in the name of the Jesus... Malango yangu yamefunguka
Ohhh yes
Naam umegawa dozi vzr I hope kilamtu imemugusa
Love chief umenifungua !
Asante Sana kwa Semina hii Baba
Haleluya
Amen
Ameeen I receive son of Major 1 .
😭😭😭😭 niombe mtumishi ,my friend alinifanya nikahacha kazi yangu ,eti amenitafutia job ingine , ,,mungu anikumbuke nipate kazi
Mungu amesikia maombi yako fanaya yanaompendeza kwajina LA yesu amen
Amen barikiwa mtumishi wa mungu
Huwa sichoki kukusikiliza Apostle wetu
Apostle nataka mafuta
Nimepokea neno kutoka Kwa Nabii uchumi wangu hautakuwa the same
I receive.
Powerful Isay🙏🙏
I RECEIVE 🤲🤲🤲🔥🔥🤲🤲🤲
I receive it in Jesus name
Aneb I'll get a honest business partner...amen I receive
Amen God bless you
Yes Chief nakuelewa sana mtumishi.
Kwa kweli nakupenda sana baba yangu,mungu aendelee kukutumia ili tuendelee kujua neno zaidi Na zaid