They say In first song ... u doing a tough work paid a wage but 70% u give outside chick while 30% u spend ur self .. u family home kids struggle eat potatoes .. hahahahaha
Hakika, Lakini asili ya ngoma hii (Babatoni) ni Mbozi kwa Wanyiha, Wasafa wana ngoma moja inaitwa INDONGA, Tunajivunia hawa jamaa wako vizuri wameshavuka mpaka nje ya Nchi.
Inatia moyo kuona watu wanaimba nyimbo za asili. Kipindi hiki ambapo nyimbo za kugeni zinatukuzwa Sana. Big up Sana.
Mashallah natokea kenya ila nimevutiwa sana
Purest music- love from kenya
Timu ni yamotooo naupenda uhuuu Wimbo mbka basi kilasiku lazma niusikilize nawapendaa mwee❤🎉
I so love the beatings of this song, though don’t what they are saying but I kept listening , awesome guys, your voices are top
Family issues
They say In first song ... u doing a tough work paid a wage but 70% u give outside chick while 30% u spend ur self .. u family home kids struggle eat potatoes .. hahahahaha
Hii nyimbo nzuri ktk family inafundisho
Nawapenda sana. Africa traditional is awesome.
Mngepata na wadada kama wawili hivi mambo yangenoga zaidi,ngoma nzuri.
Wangeanza kukaa uchi tuu
Wadada Mambo mengi
Wangeharibu
Wabaki kama walivyo wakileta wadada itavuruga hata bwana yesu ndomana hakutaka wanafunz wakike
@@fatemaligalawa1918 swadakta
the green city on fire 🔥🔥
Hawa ndio wasanii
Saw this song on tik tok and was looking for the artist. Fantastic beats
kazi yenu ni nzuriii sanaa mmetuwakilisha wasafwa wote KAZI KAZI🤝🤝🤝
Xanaxanaaaaaaaaaaa eshe she lyanoga
Sanaaa
Proud of Africa,Tanzania
Wasafwa noma sana from mbeya
Wako vizuri sana wamwiduka big up👍
Safi sana huu ndio music Africa
Daah! Nafurahi sana, nakumbuka nyumbani. Shinza waukhae tangaza utamaduni
Nakubali kazi zenu niliwaona live kibaha mlandiz na nilinunua Cd zenu ila ihi ya mele mwendelezo wake vip mbona atuipati sasa
Hawa jamaa nawapenda Hadi rahaaa nipo Zanzibar
Aisee wasafwa juuuuuuuuuuuuuuu
Kazi nzuri sana .nawapata visuri nikiwa Kenya
Huyo dancer atar
Hii ngoma imetulia kweli kweli...
I really like alot I am from Kenya but born in Tanzania that my tribe
Mpaka kierewek wahun piga kaz mnatangaza vizuri kabila la kisafwa huo ndo mziki wetu wakisafwa
Hilo kabila la nyumbani kabica hongereni
Hakika, Lakini asili ya ngoma hii (Babatoni) ni Mbozi kwa Wanyiha, Wasafa wana ngoma moja inaitwa INDONGA, Tunajivunia hawa jamaa wako vizuri wameshavuka mpaka nje ya Nchi.
Vraiment courage mes frères
Nawapenda mwinduka
Uwa nawapenda sana awa jamaaa
Safi sana watani zangu.
nyumbn kumenogaa ❤️❤️❤️
Kwa kweli wasafwa me nawakubali kwa kazi zenu
Tiako zalah tariky araiky ty na dia tsy aiko aby volagnandro fa gadogno tegna mety @naka.
Pare ry zalah kay tohiza ary mitongava @ agnabo indrindra
Wasafwaaaa oyeee💞💞💞
Oi
Good work
Nyie ni wasani aki nimewakubali Sana from kenya
Utamaduni Kama huu ukifanyiwa promo watu watapenda vya nyumbani na wageni watatutangaza automatically by sure
Ujumbe sasa balaaa big up
Mkovzur washkaji.
Muko wapi I love the song
Nawapend sn endeleen mtafika mbali
this is just amazing
Very nice
nikipiga hesabu nanunua hais
Moja safiiiii...
Mweee mwawezya bhapahaya
Mnawezaaaa sanaaa
Finally am here 😊😊😊
Kaziii nzuri
This is country
Daaah noma sana
😂😂😂 uyo mere
Mbazili moja mko vizuri???
Mpe vizur
Kutoka mbeya Mpaka tanga wanang mmetoboa na wakubali mpaka.
Yes,hapo wako TANGA maeneo ya Mkwabi supermarket karibu na Bandari ya TANGA
Safi sana mpovizur
Awilo masoksi
This is my country
Noma sana🔥
Safi Sana
Nawapenda sana
Wanajuwa sana
Haya kaka nasibu kaz nzur
Kaz zuriiiii
Vizur sana
Shinza sana wamwiduka
Mbarikiwe sana
Vizuri sana tena sana
Huwa nawakubali Sana nyie jaaaamaa as ante kwamzikimzuri
Ndani ya mitaa ya Posta Tanga. Kuna wasanii na wanamuziki hawa ni wanamuzik
Nasungwa bhakaya
Tanga hii karibu na bandari house
Nmewapenda bure
Hawa kaka jamani hata daimondi haingii
Hawa jamaa Mimi nawakubari sana
Hatar
zya haya waya
Weweeeeeeeeeee....Tanga kunani
Kuna Kama siku nne jamaa hawa walikuwa dodoma.hongeleni mpo vizuri
Ni kweli walikuwa wanazunguka mtaani
Wasafwa juuuu
Kulya imbatata weya
watu wa mbeya tumejaaliwa kuimba
Nimewakubali!!
Safii
Shinzaaa nyinzaaa mtu kwao
Wolo wolo washi wooga!
Mele nampiga wapiiii mtto cheup
Good
Hapa wako TANGA maeneo ya Mkwabi supermarket karibu na Bandari ya TANGA
Naamm nakubali
Namuona nasibu sereman
Mary wa morogoro😂😂
Nimeipend hyo
Woooow💫💖💫💖💫💖💫💖💫💖💫💖💫💖💫💖💫💖💫💖💫💖💫💖💫💖💫💖💖💖💫💖💖💖💖💖
Kuku wanne ndio tunatesa
Saf
L
nailudia kila mala cchoki
😂😂😂
😁😁😁😁
kibeku
nawakubali sana hawa watu
Nyinza
This is country