Kama unaamini nyota ya hassan imewaka gonga like nyingi hapa....wakati wake umefika sio uongo almasi hiyo mashaallah kila mja ana wakati wake wa kupata riziki yake
Jamn kaka unatabasam hadi raha mungu akufikishe pale alikopanga yey...... Sauti yako jmn daaaaaah mashallah Wasaf tumekuswitch na kukusafisha ukiloga utajua kaka mola akulinde Umefanana na davido sanaaa kaka
Solo ako sawa coz song inatolewa na wakatiwake interview mob siku moja anaweza sana ata stage peke yake yuko poa chezea vocals juu chinina aangani 1love from kenya
We call this Mugithi in Kenya. This dude is fiiiiiiiiiine, BUT he should capitalize on this space, get a good band , perform other musicians songs live with his touch, mash up ile, He will be fireee.
Akifanya vizuri baadae ananangwa diamond kwa jasho na nguvu zake...hashindwi kubutua hii kombolela ili aokoe wengine tatz watz wanyambaji.na kuanza kumshindania
Hawa jamaa wa ivi wenye vipaji wako wengi sana.. ni ivo tu umetokea kumuona mchizi.. Nafikiri Kama tunataka vitu vzr hasa media.. ni vema ziibue vipaji Kama hivi mikoani huku..
Nipo Kenya msa kongowea uku mambo kuntu kabisa ...mimi mchungaji ila kwa mambo kama hya ya talent mi hupenda sana ...sasa kwangu mimi nampa mia kwa mia Hassan huyu kaweza vibaya sana yani mnyama huyu....Platinums usichelewe mwanangu.....ivo yani.
Still listening to this in 2023❣️❣️❣️ mob love from 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
waah ooh my goshh diamond this talent not a joke , make a plan for young man kama unamkubali huyu boy nipe like hapo.
God bless
Kama umeona hassan mapenz ana kipaji kikubwa gonga like hp
Ni balaaa hilo hili omg mpaka mwili umenisisimka ni kwenye damu hiki kipaji ahhhhhh omg sijawahi ona one in million
Tatizo hajui kutunga
@@zubedaseif2950 hilo sio tatizo kuna wasanii kibao wanaandikiwa na ni wakubwa sanaa
Anajua uyu jamaa
@@user-un3df1sl2h kabsa
Kama unaamini nyota ya hassan imewaka gonga like nyingi hapa....wakati wake umefika sio uongo almasi hiyo mashaallah kila mja ana wakati wake wa kupata riziki yake
kama ume play zaidi ya mara moja gongo like twende sawa
wcb ndy anafaa hassan mapenz wngap mpo kwa ajili ya hassan mapenz
Tupooo
Imeisha iyooo
Tupo sasa msanii ndo Huyo hakuna MTU anamuweza uyu na motoooooooooo
☝️
Uyu jama niatali sana
Kipaji unacho bro, unaweza 🇧🇭🇹🇿🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hii kweli almasi mchangani kwa kuwa imeingia mjini tusubiri wadau waisafishe👏👏👏👏
This bruuuu gat talent not a joke.. Diamond do something for this fellow 🤔🤔🤔🤔🇰🇪🇰🇪
Mnisaidie kubonyeza picha iliyo kushoto na kusbribe kwa channel yangu ya hassan mapenzi kwa mengi mazuri
@@hassanmapenzi6188 kipaji unacho kaka....nakutakia kila la heri
@@mw3850 asante nitaweka bidii hili niwe kwa mikono salama mniombee hili nifike mbali zaidi na niwaletee mambo mazuri makubwa
@@hassanmapenzi6188 wee ni balaa.ni hatari sanaa
@@hassanmapenzi6188 nimekubali na ninakukubali sana
Huyu jamaa anatudanganya Sana , unaweza sema Muzik ni rahis, so talented 📣📣📣
Kabs yani
Nendaa na wew studioooo
Have Listened For This Like 1000 times.... 2021 From Kenya 🇰🇪
Yn nimeludialudia mara 💯 huyu mjinga anajua 😍
😊🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hatari kabisa huyu ni shida
Hiki kipaji sio Cha kuacha
Nakubali
Anajua sana huyu mwamba🇨🇩🇨🇩imeisha iyooo
❤️🔥🔥🔥👌👌👌👍👍👍🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙌.. Mapenzi hayana commando.
Ako sawa bsa 👌👌👌👌👌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯🔥🔥💯💯💯💯💯💯🇰🇪
Duuh huyu jamaa htr!! Wakat namsikiliza yaan nilisahau kama kuna wasanii wengine Tz
Umeonae mimi mwenyewe nijisahau
Ni kweli
😂😂😂😂🤣🤣kwa kweli
Kweli kabisa
🤣🤣🤣🤣Ako chonjo😆😝
Yaani mchozi umenitoka kwa furaha huyu kijana anaimba jamani
😭😭💓💓
Kabisa aseee mi nimejifil ngekuwa mm aseee ,jamaa abarikiwe
Yupo vizuri mashaallaah
Furahaa imezidi ninalia!!! Cm ww mungu akubariki sanaaa
Dogo anaweza sanatu
Jamn kaka unatabasam hadi raha mungu akufikishe pale alikopanga yey......
Sauti yako jmn daaaaaah mashallah
Wasaf tumekuswitch na kukusafisha ukiloga utajua kaka mola akulinde
Umefanana na davido sanaaa kaka
Yaani anaimba kwa hisia sana big up Hassan
Yuko vizr sana
Amaizing so much
Kaka kwa mara nyingine nakuambia nyie mna kipaji sana natamani hapo mungekuwa wote waone munavyo kinukisha
Big gara b. Big up Hassan mapenzi we mkal mwanangu. Unajua sana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😄😄😄🤙🤙🤙🤙.
Jamaa Hana Makuu Hajifanyi anajua jua Vitu He is So Real keep up Bro 🔥✌
Wangapi tumerudia kipande anachoimba
Anafaa San bro
Talent Never Get Faked - He Got Real Talent
Big Up Kaka @ HassanMapenziOfficial 🧡🧡🧡
Aje huku WCB hao kina Ommy Dimpoz hawana lolote
daah jamaa ni firee motooo likes kwake Allah akufungulie njia
diamond platinum please push this talent of Hassan to the next level
Huyu Jamaa Ana Unyama Ndan yake Respect 🔥🔥🔥
C muuza mitumba lazima awe mnyamwezi😆😆
@@sharonchristian3711 true
Sijajutia mb zangu kabisa kijana anaweza mno
Narudia tena “Huyu kijana akae kwanza kwenye Band. Huko Ndio future yake ilipo” solo kwa sasa hapana
Wangapi walio kaa kwenye Band wakatoboa Wote wanalia njaa kazi yao kurogana alafu ww unamuombea akakae uko kweli jaman
Solo ako sawa coz song inatolewa na wakatiwake interview mob siku moja anaweza sana ata stage peke yake yuko poa chezea vocals juu chinina aangani 1love from kenya
Anajua sana aisee
Wasafi tushakusafisha ukikichafua utajua mwenyew! Imeisha hiyo!!!!
Hahahah imeisha hiyo
Hakika asijekuwa chokoraa
Hahah kweili kabsa
Si mnisaidie kusubscribe kwa channel yangu kuna mambo mengi mazuri inakuja
Kizazi snaa
We call this Mugithi in Kenya. This dude is fiiiiiiiiiine, BUT he should capitalize on this space, get a good band , perform other musicians songs live with his touch, mash up ile, He will be fireee.
My friend that ain't Mugithi.
Unajiaibisha😂😂😂
😂😂😂😂😂 Mtanzania na mkenya mkisii wapi na wapii ?? Ila wakenya hapana hahaaaaaa
Haha mugithi.umetisha bro
I blame your pink shirt
jamaaa huyu ni fireeeeee anatisha sanaaaa, ni balaaa mjini huyu duh!!!
Wakwanza leo naombeni likes zenu😍
He is so talented, all the best Hassan Mapenzi
Eeih this keeps on remembering me my late dad who loved this man hassan mapenzi
Brother god bles you mi unanifuraisha unarivaa sana jina lako m unanifuraisha unajua sana kuishi na watu
Uuu ndo tunasemaga utashaaa uyu jamaa mtasha yaani mtaaramu
Much love from +254 , the guy is talented
Daaah! We jamaaa ni 🔥🔥 even i can not explain
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Whaaaaaaaaaaaat whaaaaaaat.. Kununua CD you make me mis my ex like crazzzzzyyy!
mtaftieni kipindi MC GARA B apoooooo mnyamwezi saanaaaa vokooo ina kaa sana kweny mc
Umeona ee
Kabsa
Live No Sound Effects But He Kill go Murder da Game .........
Mimi huwa sicoment ila this dude is really got power ✊
Kijana talent iko. CEO, MD, WASAFI PRESIDENT DANGOTE .#Simba.Muinue huyu kaka .Kipaji hicho kaka
Hasan Mapenz mwanangu 🦇 🦇🦇 unalaana ya kuimba vizuri respect for you 🦂🦂🦂
The guy he’s so awesome wallah,,he have something for really 😍😍😍big up broo,,,am enjoying,,,oooh god ☺️☺️☺️,,moo love ❤️ one love ❤️from 🇰🇪👏🏻
Mwenye kukopi wimbo ameimba vizuri kuliko mwenye wimbo waoo that's Talanta 🤝👍👌🏿
Mwenye nyimbo ni nani Amina
@@julianayesayamwailolo8240 angalia vizuri mpendwa interview then atagundua kwanini nimeongea hivyo.❤
Huyo jama sauti anyo, uuuu love from Kenya,
Kama umeangalia More than Once_👊
Jaman talent kubwa hii 💥💥 unajua mpk unaboaaa 😂😂😂😂😂😂
watching all the way from kenya..............
Jamaa anasisimua sana, anajua mpaka yeye mwenyewe ajui kama anajua, he is so lit!
Hello, Simba!! This is a real talent.
Anafanana n Davido na anakipaji mm n shabiki wak
Hamis bss cha mtoto yan broo Mungu azid kukubarki sana big up
DUH NAMKUBALI SANA HUYU DOGO SANTI GERA B KULETA TALENT,NIPO KENYA MI PRODUCER NAPENDA KUFANYA KAZI NA HUYU DOGO
huyu jamaaa dah anafanya uone mziki ni mrahisi sana
kwanza jamaa ana enjoy sana kuimba hatumii nguvu,hatumii nguvu mziki kwake ni kitu automatic
😆💓💓
Hahahaha
@@sharonchristian3711 sana
Sawa bhana 2ache utan kaka anajuwaaaa
Sijawahi comment today na comment kwa huyu dude
Njoo Kenya brother,uko juu.🔥🔥🔥🔥hii almasi mchangani.big up Sana 🤜
M
Alipangalo mungu aliwezi kupanguliwa na mtu yeyote kaza dogo
Afu kama vile anafanana na davido ..sura!!!
Kumbe umeonaeeee
Nimona pia nkabalance shobo hahahh
Huyu lazima atakuwa ameimba sana kaswida wakati wa udogo.....i guess, he is so good
No kweli uyu mwangu tumeimba nae sana kwasida
This guy jmni🔥🔥🔥🔥🔥🔥.. He got me smiling tuu Kila saa yani😊😊😘😘... unajua sanaaaa, mungu akubariki😍😍😍😍😘😘😘😘❤️❤️❤️
Jamani kaka angu mungu akuinue kiukweli unajua sana sauti yako nzuri sana mungu akuinue kiukweli jamani nakuombea
hasani katinga wasafi mungu amuongoze
Www
Garab anafaa kuwa mtangazaji wasafi please fanya mpango
I just watched a 7-second video on TikTok. The clip I had to search for this interview. Definitely worth checking out.
Hummm uyo jamaa siyo mtu wakawaida amenipeleka mbali sana kwa style yake anastahili saaaana kuitwa Msanii 🤔🤔🤔🇨🇭🇨🇭🇨🇭🇨🇭 suisse
Kakupeleka mbali wapi apo 😂
@@aishamnyeke1163 😂😂😂Nasijuwi atarudije huko alikopelekwa
Anajua bro... Anajua sana zaidi ya sana ... Hio sauti live bila instruments... One in a million voice...
Hongeraa upo pw
This is live and it's so melodious no sound effects. He is so good
rajabj ukwaju
Jamaa anajua lakini inabidi awe chini ya wcb kwa kipindi cha miaka 4 ndio tumsaini wasafi maana hatutaki kukurupuka wasafi.
Hilo linajulikana lakini pia inatokana na uwezo umri wa mtu mwenyewe pia
sio lazima akae miaka4 ukiona mtu kawekwa muda mrefu ujue uwezo wake bado wanataka wajihakikishe zaid ila uyu anahitajika kuingia studio moja kwa moja
@@eddyevarist2593 hapana ujue wcb chuo pale kwanzA afundishwe kujicontrol alafu na nidhamu
Utamsaini wewe na nani?😂😂😂
@heri holder unajiona mondi mzee
This what we call talent... Big up hassan mwenye mapenzi ake
He made ma heart bust nice voice and talented🙌 ni fire
Diamond platinumz please do something to help this guy, a very talented guy !!! 👏👏👏👏👏👏👏
Daaaah unaweza Sana Yani adi unabowa gudiiii hasani mapenzi upo njema sans
Huyuu jamaa ni Jini sio mtu 100%🔥🔥🔥
Kweli hdi raha
Jini mkata verse
This is amazing sana kaka safi congratulations
DIAMOND TAFADHALI SANA MCHUKUE HUYU KIJANA TAFADHALI SANA MCHUKUE HUYU KIJANA, NAKUOMBA TAFADHALI
Anaweza sana yuko vizuri sana
Kwery dingi
Je anaweza kutunga,
Akifanya vizuri baadae ananangwa diamond kwa jasho na nguvu zake...hashindwi kubutua hii kombolela ili aokoe wengine tatz watz wanyambaji.na kuanza kumshindania
Ampeleke wap
Dah we nizaidi yamsanii kama mpishi bac jiko unalitendea haki vitu vitamu vyote vinatokea kitaa hebu tupe Radha kaka🤸🤸💕💕💕💕
I can hear something more than lavalava hapo kwa Hassan👌 Big up all the Best👌 and God bless you GaraB More Bless to The Switch too👌
Hawa jamaa wa ivi wenye vipaji wako wengi sana.. ni ivo tu umetokea kumuona mchizi..
Nafikiri Kama tunataka vitu vzr hasa media.. ni vema ziibue vipaji Kama hivi mikoani huku..
Nyota My3 kila mtu anainuka kwa wakati wake
Kweli brother kila kitu na wakati wake,ila pili tunaitji mtu wakutushika mkono ili tufike sehem fulani .
kama naiona collabo ya hassanmapenz na mboso
Sio na Zuchu.. maana maadhi yake ni kama ya CHECHE hv
Na wewe kumbe unaona kama mimi ndg yangu jama yuko vzr
Yes his a real deal nimependa his voice
Dah ujamaa anajua had anakera nlikutana nae na msanii wangu mmoja alitufunka hatari
Woow is this for real wow this dude is good yooo daimond don't let this dude go away
This is the real and huge talent 🔥
Zaidi ya kipaji
I play back so many times this show it's amazing💯👍🥰😘😘💃💃💃💃💃
Huyu jamaa nisingependa kumuona KAKASIRIKA itakua maumivu. Go get it BROTHER
Kama umemkubali hassan mpenzi gonga like ndugu zangu twende sawa
Real talent here..Give him the support he needs
Ameweza kabisa soo blessed and all the best...
We jamaa unikome we msenge unajua kinoma yan yan hauna mpinzani upo juu walah Jah bless Niger
Yani unamkubali mpaka unamuwa towa tusi Dhuuu😂😂😂😂🙌🙌
😂😂😂😂😂
Mnisaidie basi Ku subscribe kwa Chanel yangu kuna mengi yanakuja
@@hassanmapenzi6188 tuachie ujinga bwana wewe. Tushajuwa. Channel yake nipi sihiyo yako
Yaani unajua mpk unakera😂
Yani nimeisikiliza zaidi ya mara 5.. very talented big up brother
Sichoki kutazama hii nice music
Eemungu nifanye diamond nichukue hiki kipaji
Watu wa music jifunzeni kuwa na uzalendo,roho nzuri kama za kina Simba Diamond na Bro GaraB
dah jamaa ni fundi jaman yan mpaka unakosa cha kusema🔥🔥🔥💯
Nipo Kenya msa kongowea uku mambo kuntu kabisa ...mimi mchungaji ila kwa mambo kama hya ya talent mi hupenda sana ...sasa kwangu mimi nampa mia kwa mia Hassan huyu kaweza vibaya sana yani mnyama huyu....Platinums usichelewe mwanangu.....ivo yani.
Wewe sio msanii ni mwanamuziki, hongera sana kwa kutukeraaaaa naomba ufike mbali zaidi
Kenya Tushapitisha, Kazi Kwako SIMBA 🦁🦁🦁