Hamjui kudua, tafuta wanaojua kudua vizuri sio hawa wa kuigiza maana wamepoteza radha yake, hujui kwamba kuipata ile radha halisi ya kudua unaweza kusahau hata kula
Kwa kweli ni burudani sana, nipo Dar, nampongeza mzee ameimba vizuri,nampongeza aliyeanzisha idea hii,Wahehe taifa kubwa sana, na kwa sasa tumeenea duniani kote, bado tunahitaji vibao/nyimbo nyingi zaidi ili kuudumisha utamaduni wetu huu adhimu. Iyena iyena ni moja kati ya nyimbo nzuri sana za kihehe, hata JWTZ na brass band nyingi huwa wanapenda sana kuzitumia, ila jamii haijui kama hizi ni nyimbo zetu. am proud of being Mhehe kwa kweli. Maoni yangu kwa mtu wa video editing, umetumia sana Slow motion kiasi kwamba hakuna mahali tunaona watu wanadua kabisa kwa kufuata ile bit ya kudua. natumaini utanielewa(hii ni kitaalamu zaidi ukitaka ushauri zaidi 0713 370 553). ahsanteni. Wahehe daima juuuuuuu!
Elisamehe Charles uongo huziba njia ya kuja kwako kwahivyo utakufanya ukae pekee yako. Yaan ukiwa muongo watu hawatataka kushirikiana nawe watakuacha ukae pekee yako kwa hivyo yafaa kuacha tabia za uongo
Tafsiri yake. Uongo unafunga njia, utakaa pekee yako (chorus) 1. Unaposogea kwa wenzio, wanasemezana kuwa nyamazeni hilo linakuja.. 2. Unasema za kwangu unatawanya kila mahali, lakini za kwako umefunika 3. Hauna hata aibu, umezidi kuteta watu. Kibwagizo Pekee yako wewe muongo. Utakaaga pekee yako. Acha uongo Utakaaga pekee yako.
Kama kweli ve wimuhehe comment twikagule twivalinga kumwambu
hadi raha jaman wangapi wanaangalia kila mda like hapa ili tujuane jamani wairinga tuko wa ngapi ??
Pamoj
Ndaiwenda hilo ulwimbo ulu
Mpaka rahaaaaa weweeee
Ndimgaya sida segto
Tupo wengi
Jamani huyu aliyeimba wimbo huu mbona kama nnamfahamu anaitwa felix alisoma iringa mlangali pr school, big up sana, anakipaj8 hicho tangu ujana Wake
Nimekumbuka nyumbani wahehe oyeeeeeee♥️
Oyeeeeee. Uwudesi widinda ng,asi pede se wikalaga wi yena hela 😂😂😂😂😂😂😂oyeeeeee
Oyeee
Pe wihegelela pavayago vatige mkatuke likusa
Uwudesi widinda ng' asi pede se wikalaga wi yena hela 😂😂😂😂😂 se wikalaga wi yena x2😂😂😂😂
Nava mwalubava twikagule beh
Najivunia kuwa mnyalu iringa ,isiman idodi nyumbn
Inaonekana wimbo mzuri Natamani kuelewa hata maana yake au hata neno moja lakn dah!
Uongo sio mzur unaziba masikio utakaa peke yako ndo maana yake
@JaneLusekelo ubarikiwe Kwa kunielewesha 🙏
Wilonga sanene Sako usilesile sewikalaga wiyena (unaongea ya kwangu yakwako husemi utakaaga peke yako ) napenda kabila langu
Watoto wa mkwawa haoooooooo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jamn nimekumbuka kukae nduriii mwanyamba Nene nyee
Kukaye yekukaye helaa! vayawenye,
Ukwetu uko
Nipo Oman nasikiliza mahome
Nitumie nmb zako😂😂😂tafadhaliiiiii
Pamoja sana
Hahaha nyele
Kama mimi nipo omani nasikiliza zakwetu
Hongera Sanaa Kwa wimbo mzuri nimeinjoi sana
mi naona Mzee umetupatia kitu kizuri sanaaaaa
iringa hoyeeeeeeeeee😊❤
Nzuri Sana
Hadi raaa jamani
Iringa oyeeeeeeeeeee,hatuna mpinzani
Uvudesi vuhonga mpelela kiba nu mhavi alahavila mwinga good song
Ne ndi mhehe namba moja
Wala mbwa haooo,!!!
Ndala vee!!aka sewikalaga wiyena.
Uudesi si Kasi mweee sewikalaga wiyena...hahaha tulipamwinga veyaaaaa
Nzuri Sana imenibariki ssna
Wawooo tulikono
Mimngoni lakini huu wimbo unanibariki vibaya mno ❤❤❤
Hii nyimbo inafundisha sana jaman
Uwudesi wudinda ng'asi sewikalaga wiyene hela
wanyalukolo matonga hoyeeeeeeeeeeee😂
Jamani tunaomba tuweke nyimbo za kihehe tunazikiliza kutoka england.
Ondoa shaka
😢tunaomba nyingine kutoka Denmarka 😂😂😂
wiyena hela❤
Iringa njombe tunaraha sana
NOMA SANAA WAHEHE KUTOKA IRINGA BIG UP SANA 😂
Lukani lunodzile,,,pe wihegelela pa vayago vatige mkatuke ilyoo likudza,,,,,,vayawe uhuloooooo
Ndauli myawe
@@philbertmyinga6344 ndahiho hela ,,,,
Safi sana nyumbani kumenoga kukaye kunodzile
hajui kudua.simuuseli ukuduva
Asante sana mzee kwaujumbe wako mzuri sana
Mbalamaziwa moja,,jamn❤❤❤
NAWAKUBALI WAKWE ZANGU
jamaan wahehe wezangu mzid kulusha nyimbo kwan tukiziona nyimbo hz nahisi NP numban iringa
......
..
Ndisaka kuvemba ndemuyenu ndiwike kukaye
Jamani nimesikia raha sana wahehe oye
dah umenikumbuxha mbar kwel yan
Jamani hadi raja,vakunyumba mbevali Ng,'ani
Nimefurahi safi sana
Haaaah wailonga insya nene insyako ufuniche aah sewikalaga wiyena
Kweli
Eti ugumama ugu gumbea wahehe hoye me mubena ila naelewa mwanzo mwisho
Iringa oyeeee
Bonge la nyimbo nzuri ya tamaduni.
Ndiyena nene
Apo kweli newiheha va yago wikala wiyena hela
Kabisa sewikalaga wiyena
Kuduwa wahehe wa katanga
Hadi raha
Iringa ndo home
Uwudesi wubi nyeeeee
Safi hongereni saanaa
Uwudesi ueudesiii🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Uongo sio mzuri utakaa mwenyewe patsmu hapoooo
hoyeeeee❤
Nyela nofuu kwelii umenikumbusha mbaliisanaa kakaa
❤❤❤❤raha sana
Hamjui kudua, tafuta wanaojua kudua vizuri sio hawa wa kuigiza maana wamepoteza radha yake, hujui kwamba kuipata ile radha halisi ya kudua unaweza kusahau hata kula
😢😢😢hii nyimbo sio ya kuduwa kwa hisia Kali hii ni slow slow 💃💃
Huoni ipo taratibu sana beat yakee??😢
Nafrahisana machozi yafraha nanitoka nikisikiriza izikabila mbili mbena mhehe
Hivyo hivyo!!
Nyeeee ndikwiyangasula kweli
Wimbo lunofu be mm mm
Kwa kweli ni burudani sana, nipo Dar, nampongeza mzee ameimba vizuri,nampongeza aliyeanzisha idea hii,Wahehe taifa kubwa sana, na kwa sasa tumeenea duniani kote, bado tunahitaji vibao/nyimbo nyingi zaidi ili kuudumisha utamaduni wetu huu adhimu.
Iyena iyena ni moja kati ya nyimbo nzuri sana za kihehe, hata JWTZ na brass band nyingi huwa wanapenda sana kuzitumia, ila jamii haijui kama hizi ni nyimbo zetu. am proud of being Mhehe kwa kweli.
Maoni yangu kwa mtu wa video editing, umetumia sana Slow motion kiasi kwamba hakuna mahali tunaona watu wanadua kabisa kwa kufuata ile bit ya kudua. natumaini utanielewa(hii ni kitaalamu zaidi ukitaka ushauri zaidi 0713 370 553). ahsanteni. Wahehe daima juuuuuuu!
Ujumbe upo vizuri
Wulekage wudesi be sewikalag wiyens myawe
Hats mm mhehe
Kweli baba kazi nzuri
Namefurahi sanaa
Winbo mnofu Hilo.
Ogaaah!
Naomba kujua maana ya huu wimbo plz
Elisamehe Charles uongo huziba njia ya kuja kwako kwahivyo utakufanya ukae pekee yako. Yaan ukiwa muongo watu hawatataka kushirikiana nawe watakuacha ukae pekee yako kwa hivyo yafaa kuacha tabia za uongo
ndivawene nyelaga💥💥
Asili ina raha yake jmaan nmekumbuka mbali
Raha sana
Tulipamwinga msehe Lusasi
Uwudesi waidinda ingasi!!
Uwuniya mwiko
Mtuya
safi sana hadi raha
Tafsiri yake.
Uongo unafunga njia, utakaa pekee yako (chorus)
1. Unaposogea kwa wenzio, wanasemezana kuwa nyamazeni hilo linakuja..
2. Unasema za kwangu unatawanya kila mahali, lakini za kwako umefunika
3. Hauna hata aibu, umezidi kuteta watu.
Kibwagizo
Pekee yako wewe muongo. Utakaaga pekee yako.
Acha uongo Utakaaga pekee yako.
Dumisha vazi LA kihehe kaka nimependa sana, mngevaa wote hilo vazi, wanawake nao wangevaa wote vazi lao
Lulo lwandolo kabisa baba
nyimbo nzuri sana kwa wahehe tumefurahi
Twivolofu hera
Uwudesi ndio wuhavi,,pede sewikalaga wiyena
Euloo nzao
Tutafurahi sana kama utatusaidia kutuwekea nyimbo hasa za chavalikungu mwana wa igula na wanamuziki wengine wapya
th-cam.com/video/L9u5PWyXgc4/w-d-xo.html
Nyimbo ya Kihehe Wachawi noma
Farida Abdulkaree huwa namtafta sana chavalikungu
Vizur sana
Nimependa sana naomba CD au flashi, weka na vinanda zinoge zaidi
Ndilwendite ulwimbo loo!
Nimeipenda sana hu wimbo
Safi sana Numbani
Wiyena
Jaman
Nahitaji mkopo
Waoo nc song'
Neke tukwinoma twevahehe
Neke winomite we muyawe
RAHA SANA KENYA ZIWIKE KUKAYE 🙏
Duùuu wanambalamaziwa oyeeeee
Oyeeee
Malangali moja iyo
Hakika
Very nice song 2021