ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Nimejikuta natamani na mimi ningezariwa mbeya co kwa song iyo co powa moro oyeee
mbeya oyooooooooooooooo ❤jamn sichoki kusikiriza wandari oyooooo
Imekaa vyema mungu atujaalie KAZI nyingine nzuri zaid ya hii
Me mchaga lakn hii ngoma naikubali kinoma
Wewe kama mimi tu nataman ningepata limix kwa miondoko hii ya mkoa wang
@@andersonsadock8470😊😊😊😊😊
karibu mbeya
Mimi pia mchaga lkn ❤❤❤❤
Me msukuma ila jamaa katisha
Uyole mbeya, nimepamiss Sana home sweet home 🗼, nipo sumbawanga kimaisha ila ntarud uyole itezi,
Napataa mzuka wa ajabu nkisikia safwa melody aiseee proudly safwaa
Hata mimi nimeipenda sana japo mimi ni mlugulu hii nimeikubali.
Japi kisafa kinanisunbua kujua lakini nyimbo za kisafa nazielewa sana uyole mbeya kwetu miss so much home
We kabila gan
Niko Kenya nipenda huu wimbo
Wimbo mzuriiiii nimeenjoy mchana was leooooo
Mbeya oooooyeeeeeeeeeeeeeesanaaa wazee ainanpizan mungu awabalik
Nakupenda kwetu Mbeya
Safi sana,nmkumbka mama Yangu pindi nkiskia hzi nyimbo
wandari oyoooooo
Tasafwa pamwanya mbeya juu ❤❤❤❤
Mm ni masaiiii lakn ngoma nakukubaliii kinomaaaa yaniii
Mama alikua msafwa so mimi n msafwa pia👌👌👌👌🥰🥰🥰🥰🥰
Me Mkenya ila natamani sana siku moja nifike mbeya.
Karibu sana mbeya kuna kikuyu nyingi huko
Karib can
Karibu sana kwetu
Karibu sana ni kuzuli sana
Aàà@@NaimaSalehe-nq5zd
❤❤napenda sana nyimbo hizi ijapo mimi ni mhehe
hujakatazwa kupenda kitu kizuri.. as long as wewe ni mtanzania furahia nyimbo nzuri haijalishi ni kabila gani.. enjoy dada
Tanzania oyeeeeee Tanzania oyeeeeee my favorite song. I Love my tribe I'm safwa original. Ane indi safwa og na iwelewa
Nyimbo nzr sana hii, inatufanya tumiss makwetu (kweli wasafwa wanajua sana kuimba)
Uwa najinsikia amani na faraja sana nikisikiliza nyimbo za kikwetu hasa tu pale nikikumbuka nyumbani mungu akubaliki sana❤❤❤
Naomba unitumie huu wimbo jmn naupenda sn plz
Dom home Dom home.....Wagogo ,warangi,wanyambwa hoyeeee
Sana mbeya kwetu naipenda saaaan ii nyimbo
Brother I give you a big respect for this good song
❤❤❤ nayipenda San nyimbo iii san
Kweli mwamba unastahili pongezi.
Mimii sio mnyakyusa lakinii hii nyimbo ni nzuri and am proud kuishi mbeya
Daaah huu wimbo unanifanya nikumbuke sana nyumbani mbeya hadi najihisi ukiwa..
Aaaah nyumban kumenoga
Hongeren Sanaa, nyimbo bora sana ya Asili
Mbeya moja
Yaani jamani natamani kurudi nyumbani uyole mizani❤
Kwet mbey kumedamxh xana kalibun Sana mbey by marry mbillinyi
Nyimbo hii inanikumbusha mbali sana,duuu mbeya yetu nzuli sana karibuni mbeya jamani
Narudi nyumbani Tanzania, TANZANIA OYEEEE..Nawapenda sn wote❤❤❣
❤❤❤ nayipenda San nyimbo iii
Mbeya nomaaaa
Jameni wamwinduka , mimi mkenya shemeji wenu. Sichoki kuskiza mtumbuizo wa wimbo wenu. Nawapenda sana ❤❤❤
Mwanangu sana sichoki kukusikiliza kamanda
Jamani hii nyimbo haip gugo tafadhali sana tuweke jamani tudordo
Ipo
unyama mwingi 🎉🎉🎉❤
Makuku bali sana mwanjalila wa ndaga Mbozi wimbo ukisikiliza mpaka hisia
Atuyange sanaaa🎉🎉🎉🎉
Inchi ya amani Tanzania wageni wote tunawakalibisha Tanzania oooooooooyetanzaniaooooooooo!!!!!?!? Nyimbo bora Tanzania ya asili
Love from kenya
Brother I give u a big respect👏👏
Nyimbo hii ipo vizuri sanaa, me napenda sna nyimbo za Makabila.
Igoma kwetu..wasafwa hoyeee
Mkataa kwao ni mtumwa! Nice song
Mbeya hoyeeee wasafwa hoye wageni karibu mbeya
Mwanangu sana nasibu nakupongeza kamanda wangu mwamba kabisa kutoka nyanda zajuu kusini
Nyimbo nzuri sana narudi nyumba tanzania
Saaaafi nimeipenda sana
Wasafwa tulishinza mbeya ndo kwetu tania ww
Kwenye wabungu umeua
Kwakweli nainjoy Sana nikisikiliza wimbo huu
Hongeren wapendwa mnaipeperusha bendera Yetu vzr
Mmetisha wanangu nyumbani ndo kilakitu❤❤❤
Daaaa!!machozi yananilenga lenga nina miaka 2 sjamuona baba na mama kigoma,Mwezi ujao mapema narudi kigoma kuchukua baraka zangu nikamnunulie mama vitenge,
Wa mbeya oyee🤝❤
Mimi pia mnyalukoro ila hii ngoma in a feelings zapekeee sana ukikumbuka kwenu haijalishi wapi. Mic home jamaniii mofu
AM malila am in Zambia and I have missed home mbeya ❤❤❤
welcome home 🏡 malila
Nawapendaga bure mimi ni mu Congo kazi zenu nzuri
Asante homeboy kwa wimbo mzr
Ane pakaya. Uyole ❤️🥂
Nipo mpanda ila lazima nirudi nyumbani Mbeya
Waoooo wandali hoyeee🎉🎉🎉
Great tune much love from Kenya ❤❤❤❤❤❤❤
Proud to be mnyakyusa ❤😂😂😂
Hongera kanyimbo kazuri sana
Naish msumbji mbeya oyeeeee
Aisee bonge la ngoma limepita kwenye veins mpk basi 👏👏👏
Daaaaa!!!!nikisikiza hii nyimbo kwakwer nammsi sana bibi yangu kwakwer
Nakupenda sana Mbeya 💕💕💕
Tasafwa house tikumbuhaje ukaya
Safi sana
Nice Song❤❤❤😊
Dar huwa najisikia sana nikiliza nyimbo kama hizi songwe leteni habar ndugu Zang from njombe town
Mbeya ooooooooooyeeeeee
Mbeya one❤❤❤💯
Mbeya oyeeeee
Nakubali sana damu yangu mwanjalila
Nyimbo kama hizi zngepewa promo ya kutosha
Naikubali sana naimiss mbeya nipo kaisho kyelwa
Bonge la Ngoma, hii kitu inastahili ifike mbali sana.
Mkataa kwao ni mtumwa naludi nyumban mbeya🎹🙌
Wambyaaaa oyeeeeeeeh
Nawapenda mnoo wasafwa ukweni uko mungu awabariki sana
Wa Mbeya tupo vizuri sana
Mungu awa bariki sana
Cjui kwann najikuta nazipenda sana nyimbo za kisafwa
Nyimbo za nyumbani ni tamu kweli kweli
Nakubari
Iringa oyee, Tanzania oyee nyimbo nzuri Sana
Huyu wa Ndaga huko Mbeya sio Iringa
Oyeeeeeeeee
Naupendaga Sana hii ngoma, sichokagi kuiangalia
Hongera
Mimi ni msukuma wa mwanza lakini hii ngoma naipenda sana
Mi nyumbani Dodoma aise Ila ngoma hii Kali sana
Wanyakyusa oyeeeee🥰
Nyimbo nunu fijo
Fijoooo
ok msafwa nimekupata
Nimepamisi uyole

Uwa najinsikia amani na faraja sana nikisikiliza nyimbo za kikwetu hasa tu pale nikikumbuka nyumbani
mungu akubaliki sana❤❤❤