WAMWIDUKA WAONESHA UWEZO MKUBWA WA KUIMBA | WASEMA HATUJAFANANA NA AWILO KIDUME CHA MBEYA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2023
- Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5 - กีฬา
Je suis de la RDC vraiment bravo l'artiste Awilo pour ta musique ... le folklore tanzanien c'est la même folklore que les notre .... félicitation c'est l'Afrique qui gagne
That’s dope song I love the sound of Africa
Hawa jamaa wanajuwa sana wapewe 🎉🎉🎊👏✊
Salamu ya kisafwa " MWAGONA unajibu MWAGONA
Nawapenda Hawa Mimi nipo nnje ya tz lakin sio msafwa ila nikiambiwa weka nyimbo za afrika naweka huu haki love you guys
Love from Rwanda !🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Thanks for watching
Rhythm imezidi speed hivyo kuharibu.
DadA mtangazaj uko vzr sana
Nakubali kazi powa sana
Jamn kaka wa mwiduka umeoa
Sema hizi ngoma za zaman ni mzuri sana
sio zamani zipo Saiz
Wamwiduka nakukubali sana dogo uko vizul mungu akutangulie kwenye mafanikio yako
Wakali sana big up
Kwanin hakuna comment nyingi ???
Naomba namba zenu
Wasafwa from Mbeya nomaaa
Vijana wapo vizur
Safi sana dogo mko vizuri sana
Nazikubali sana hizi ngoma za wasafwa
Mmetisha sana
Nice song
Ahsante kwa kuitazama
Hawana mpinzan hawaaa❤❤
Hao makamanda nimewakubali sana
Wasafwaaaaaaaaa hoyeeeeeeeeerrrrr
Nazikubali sana nyimbo za asili jmn daaah
Ngoma tamu sana nakubali❤❤
dogo wa vibuyu yuko wapi jamani
Kazi safiiii❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤nakubalai +254
jamaa wanajua sana, tunatakiwa kufanya nn hili tusupport hiki wanachofanya?
Wakali sana
Nawakubali sana kakazang
Mnaweza sana mnanikanga
🙏🙏🙏
Awesome ❤❤❤❤
😊
Nawakubari sana wasafwa wenzangu big up sanaaa
Nipo USA sasa ndo ninawapa vizuri ma brother wangu hao nawapenda mno
Jamaa wako juu sana
Fanyeni collaboration na rayvanny
Aisee miamba inawakilisha vyema sana. Mbeya hoyeee!
Wanapatikana kirahisi tu Jana walikuwa mjini Dodoma
Jana sio powaaa
Nawaelewa Sana nyie jamaaa
Tunawapataje ktk shughuri zetu za sherehe
Asante ila zile cherewa zipo wapi?
Alooo
Asili ni tamu jamani daaaa
Msiwe mnamuacha dogo wa tunguli mmeanza kutukera sasa huyo dogo anajua na tena
Hv Ngoma ya awilo au ya awa
Hao jamaa nawakubari kinyama
Vijana was elf atuchezi mbali
Yaasili ni thahabu kubwa😂 3:19
Wamwiduka moto wa kuotea mbali Hawa vijana wa kisafwa
Hawa jamaa nomasana
Shinzaa
Hawa ndugu zangu nawapendaga mno
Hatari nawapenda sana❤