NENO LA SIKU | Luka 18 | Maombi Ya Kudai Haki Yako

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Leo tunasoma kitabu cha Luka sura ya kumi na nane, na tunaenda kufanya maombi ya kudai haki yako. Katika maisha tunayoishi kila siku, watu wengi haki zao zimezuiliwa na shetani, na wamejikuta wanaishi kwenye mateso, mahangaiko na vifungo vya aina mbali mbali.
    Wapo watu waliozuiliwa haki ya kuishi, wengine wamezuiliwa haki ya kupona, wengine wamezuiliwa haki za kubarikiwa, na wengine wamezuiliwa haki ya kuwa na amani. Lakini habari njema ni kwamba, YESU aliposhinda kifo na kaburi, moja kati ya uwezo na mamlaka aliyotupa, ni kudai haki zetu ili tuweze kuishi sawasawa na mapenzi yake.
    Katika maombi ya siku ya leo, tunaenda kudai haki zetu zote zilizozuiliwa na shetani na wajumbe wake. Nami nakuombea ukauone uaminifu na mkono wa Mungu ukikupigania na kukushindia katika maombi ya leo. Maisha yako yapate badiliko na ukapate haki zako zote zilizokuwa zimezuiliwa katika ulimwengu wa roho. Damu ya YESU inene mema na ikufunike na kukushindia daima. Amen
    Isaac Javan
    +255 745 76 45 72

ความคิดเห็น • 60

  • @stephanomollel1190
    @stephanomollel1190 หลายเดือนก่อน +1

    Amen napokea haki ya uzima katika jina la Yesu kristo 🙏🙏🙏

  • @HAPPYNESMSONDE
    @HAPPYNESMSONDE 20 วันที่ผ่านมา

    Napokea hakiyangu iliyopotea katika jina la Yesu ameeeeeeeni

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 2 หลายเดือนก่อน +1

    🙏 🙏 🙏
    Asante mtumishi wa MUNGU ALIYEHAI
    Ubarikiwe sana ❤❤ 🙏 🙏 🇺🇸

  • @user-or8yo2wj9v
    @user-or8yo2wj9v 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen barikiwa sana

  • @angel54223
    @angel54223 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa kweli Mungu Baba akubariki kwa chakula hiki ya kiroho unayoturisha hapa

  • @user-cb2gx4jd3n
    @user-cb2gx4jd3n 20 วันที่ผ่านมา +1

    Amen 🙏

  • @BRACEDESPamela
    @BRACEDESPamela 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Amen 🙏🙏

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen

  • @user-cr6fc7nt8k
    @user-cr6fc7nt8k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Napokea haki yangu kw jina la yesu

  • @TofilaInyasi
    @TofilaInyasi 7 วันที่ผ่านมา

    Asante yesu nimepokea haki yNgu

  • @user-fz8my4kz8j
    @user-fz8my4kz8j 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ameeen Ameeen asante Yesu napokea haki yangu

    • @TOBISTAR-m7k
      @TOBISTAR-m7k 2 หลายเดือนก่อน +1

      Amina ubarikiwe sana

  • @Asiyedjali
    @Asiyedjali 2 หลายเดือนก่อน +1

    Sifa kwa bwana Mungu

  • @NatashaCharles-gv3qb
    @NatashaCharles-gv3qb 26 วันที่ผ่านมา

    Asante MUNGU kwa kuniwezesha kusikiliza neno lako nakushkuru baba Asante

  • @user-qb7ej8cp5y
    @user-qb7ej8cp5y 3 วันที่ผ่านมา

    Mungu akubaliki sana mtumishi

  • @JovitaChilumba
    @JovitaChilumba 20 วันที่ผ่านมา

    Amee yesu ahsante nimepokea haki yangu

  • @samweliantoni7707
    @samweliantoni7707 หลายเดือนก่อน

    Amen❤ Mungu nadaihaki yangu katikajina la yesu kiristo

  • @waleedbahar5275
    @waleedbahar5275 หลายเดือนก่อน

    Amen ubarikiwe mtumishi Kwa maombi

  • @RehemaMazambi
    @RehemaMazambi หลายเดือนก่อน

    Amina yesu nitendeye mema

  • @gracekunambi7438
    @gracekunambi7438 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen Ameeeen.

  • @tabithamselema166
    @tabithamselema166 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ameen Napokea haki ya uzima katika jina la Yesu .Barikiwa Mtumishi wa Mungu

  • @LeticiaMayai
    @LeticiaMayai 4 วันที่ผ่านมา

    Amen🙏 napokea haki zangu

  • @truphenakhagori9387
    @truphenakhagori9387 18 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen Amen

  • @maseaJoe8676
    @maseaJoe8676 2 หลายเดือนก่อน

    ❤ Asante Yesu Amen Amen Amen 🙌🙌🙏

  • @mirri8uchau614
    @mirri8uchau614 2 หลายเดือนก่อน

    Ninakushukuru Bwana Yesu kwa kuwa nimepokea Haki yangu iliyodhuliwa na adui

  • @AnithaPaul-p4u
    @AnithaPaul-p4u 13 วันที่ผ่านมา

    Naomba kibalichakazi mtumishi

  • @GetrudeKimage
    @GetrudeKimage หลายเดือนก่อน

    Napokea haki yangu kwa jina la yesu

  • @EmelineEben
    @EmelineEben 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen.Ahsante YESU

  • @magdalenakabahinya5650
    @magdalenakabahinya5650 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana mtumishi ❤

  • @user-ob9zc1xj9c
    @user-ob9zc1xj9c 10 วันที่ผ่านมา

    Napokea haki ya kibali ktk jina ka Yesu kristo,

  • @esthermutisya79
    @esthermutisya79 20 วันที่ผ่านมา

    AMEN

  • @JaneStephano-uo8no
    @JaneStephano-uo8no 2 หลายเดือนก่อน +2

    MUNGU. akubariki🙏

  • @bahatiBosco-jl3gr
    @bahatiBosco-jl3gr หลายเดือนก่อน

    À Santé yesu

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov 2 หลายเดือนก่อน +2

    Yesu nadai haki yangu kwa damu ya yesu

  • @cesiliamasumu432
    @cesiliamasumu432 2 หลายเดือนก่อน +2

    Namjua aliye mwema kwangu atanipa haki yangu.Nitaomba mchana na usiku ili Mungu afute zuio la adui kushikilia haki yangu ya uponyaji. Yesu wangu ni mwema atanipa uzima
    Barikiwa Mtumishi kwa kuungana nami katika maombi .
    Mungu akubariki na nyumba yako

  • @user-fz8my4kz8j
    @user-fz8my4kz8j 2 หลายเดือนก่อน +1

    ♥♥♥♥♥

  • @coolwaveac7659
    @coolwaveac7659 11 วันที่ผ่านมา

    😂😂 amen nimepokea haki yangu Leo shetani wacha nikucheke😂

  • @user-rp5mh9md1g
    @user-rp5mh9md1g หลายเดือนก่อน

    Napokea uzima kwa uzao wangu na wajukuu wote

  • @GetrudeKimage
    @GetrudeKimage หลายเดือนก่อน

    Asante baba mungu akubaliki

  • @JacklineJohnson-q9k
    @JacklineJohnson-q9k 2 หลายเดือนก่อน

    Amina Barikiwa sana mtumishi nimeamini nimepokea vibali vyangu vyote Asante sana nimegalagala sana muda wa maombi naamini nimepata uponyaji 🙏🙏

  • @WahindiKwembe-c1g
    @WahindiKwembe-c1g 2 หลายเดือนก่อน +2

    Asante Yesu nimepokea haki zangu

  • @user-rp5mh9md1g
    @user-rp5mh9md1g หลายเดือนก่อน

    Napokea uzima na wadogo zangu na mama na kupokea haki kutoka kwa kadhi dhalimu kesi ya mirathi

  • @marlineelipid5952
    @marlineelipid5952 หลายเดือนก่อน

    🙏

  • @user-fz8my4kz8j
    @user-fz8my4kz8j 2 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu bariki huyu ntumishi wako na umlinde 🙏🙏🙏

  • @VELENARWEBUGISA
    @VELENARWEBUGISA หลายเดือนก่อน

    ASANTE BWANA YESU KWA KUNIFUNGUA,USIKU HUU NAOMBA GUSA NA UZO WANGU AMNA

  • @GetrudeKimage
    @GetrudeKimage หลายเดือนก่อน

    31:27

  • @user-jv1qw8rw3k
    @user-jv1qw8rw3k 2 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏

  • @DivinahNyambeki
    @DivinahNyambeki 14 วันที่ผ่านมา

    Amen 🙏 🙏 🙏

  • @FortunatusRweyemamu
    @FortunatusRweyemamu 16 วันที่ผ่านมา

    Amen amen

  • @HAPPYNESMSONDE
    @HAPPYNESMSONDE 20 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @dinalunda1939
    @dinalunda1939 2 หลายเดือนก่อน

    🙏

  • @bettymoses2047
    @bettymoses2047 21 วันที่ผ่านมา

    Amen

  • @user-rp5mh9md1g
    @user-rp5mh9md1g หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @FarhO-r7m
    @FarhO-r7m หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @GetrudeKimage
    @GetrudeKimage หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @agnesnafula5984
    @agnesnafula5984 2 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 🙏 🙏

  • @ChristineWafula-tm2mp
    @ChristineWafula-tm2mp หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @user-ll2mf7xh1p
    @user-ll2mf7xh1p หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @johnngana7207
    @johnngana7207 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @dinalunda1939
    @dinalunda1939 2 หลายเดือนก่อน

    Amen🙏