Usiku wa Maombi by Innocent Morris
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 มิ.ย. 2020
- Huu ni usiku wa maombi kwa ajili ya kuutafauta uso wa Bwana.
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Link:
/ holyspiritconnect
Facebook Link:
/ holyspiritconnect
TH-cam Link:
/ holyspiritconnect
Nakataaa Kila roho ya uharibifu katka family yangu Kwa baba yangu na Kwa upande. Wa mama yangu mungu achilia ukombozi juu ya hizi familia za pande nzote mbili yesu naomba ushindi juu ya hil
Navunja nguvu zote sa Giza nguvu za uchawi nguvu za umasiki navunja katika jina la yesu kiristo
Mungu nipiganie katika afya yangu na kazi yangu na biashara yangu na mahusiano yangu na dalia zumba
Naomba rehema na toba kwajili ya prudences naomba umsamehe kila dhambi anayoijua na kutokujua msahem bwana nirehemu bwana nisamehe bwana 😢😢😢😢nirehemu bwana😭😭😭😭😭
Amina mtumishi bwana yesu nipe neema ya. Kukujua wewe zaidi nipe nguvu ya kutembea na wewe mungu
Navunja roho za kichawi za kutofanikiwa na kutangaza kibali Cha kufanikiwa kwa jina yesu amiiin
Nakataa roho ya uaribifu ktk jina la yesu.damu ya yesu inene mema juu yangu usiku huu
Nakataaa Kwa jina la yesu
Ameen
Ameen Ameen mungu akinariki naumwa nina maumivu makali sanaa mtumishi
Bwana yesu mguse mahusiano yangu mie na dalia zumba
Bwana Yesu tenda jambo jipya kwa mwanangu
Eeh yesu andika jina langu kweny kitabu cha uzim🙏
Navunja nguvu za giza kwa jina la yesu
Ameeen mungu nibaliki na uniweke kwenye mafanikio na nimempendae awe sawa na afunguke katika matatizo yake na dada zangu kaka zangu mama na baba angu
Nakupenda bwana yesu asante sana bwana yesu
Amina tumebarikiwa,na wewe ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu,mwenyezi Mungu aendelee kukuongoza
Ameeen
Ameeeeeeen 🤲 mtumishi ubarikiwe nimefualoa maombi haya usiku nimota nakimbizwa na ng'ombe joke mkubwa, niombee mtumishi.
Nakataaaa kila roho ya uharibifu katika famille yangu
Hee mungu nipe nguvu ya uvumilivu mi familia yangu
Amen nyota yangu imerudi kwa jina yesu kristo
Ameen mtumishi naumwa tumbo toka satano uck ad saiv nasndwaata ku kulala
Tunafunguliwa na maombi haya ya usiku wa manane amiina sana
Amen 🙏 🙏 🙏 nakupenda Bwana Yesuu
Naomba Mungu anifungue kiuchumi
Bwana yesu okoa wazazi wangu
Amen napokea kwa jina la yesu
Asante Bwana Yesu KwaAjili YaNguvu Unayompa Mtumishi Wako Katika Usiku Huu EBwana Uhimidiwe Asante Yesu Mtumishi Mimi Niko Maputo Msumbiji Nakufatilia Sana Naomba Mawasiliano Mtumishi Wa Mungu.
Bwana simama uniongoze popote niendapo yesu nisimamie
Oh God for givi me for everything
Ameen
amen 🙏 amen
Ameen
Ameen Ameeen tumebarikiwa sana.Asante kwa maombi
Ameen
Amina mtumishi kwa maombi mazuri
Amen amen I received i received in Jésus Christ name amen amen amen amen amen amen
Ameen ameeen ameeen
amen
Ni samehe Bwana Yesu
Napokea kwa jina la yesu
Amen I received the holyness pow in Jesus name irecieve 🙌🙌🙌🙌😂
Amen amen amen amen amen amen amen
Mungu niponye mimividonda vya tumbo
Amen amen tuokoe Bwana
Tuna kushukuru ww bwana yesu
BWana yesu apewe sifa naomba yesu aingilie Kati kesi yamarehemu mume wangu
Ameen
Naomba ndoa yangu na uchumi wetu
Kwa jina la yesu christo
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
amina
Asante Sana mtumishi mm nipo pemba lakin nimepokea miujiza nasema Asante Sana mtumishi
Aminaa mungu akubarik mtumish
Navuja roho yote ya uchawi mungu mguse baba angu amjuwe yesu mfuko wa uchawi autupe kwa jina la yesu
Okay baba na mama
Amina ....
Asante yesu 👏
Tawala ndoa yangu roho mtakatifu niwewe tu utawale kila eneo la maisha yangu ukitwala wewe na maisha yangu yatakuwa huru 🙏🙏🙏🙏
Amen Amen Amen
Bwana seyu nisamehe nifute jina langu
Amina
Amina 🙏
Amen amen asante saana
Nakataa kuchukiwa mimi namtoto wangu
Bwana akubariki na BWANA akutendee mema
Ameen
EYesu naomba unisamehe
Amen Amen.
Ameen bwana yesu nakuomba ukamsaidie mtt wangu Norah ambaye jumatatu ataingia kwenye chumba cha mithani yake ya kidato cha nne
Barikiwa mnoo mtumishi.mafuta zaidi yawee juu yako
Ameen mtumishi
Amen Amen
Mungu wangu naomba niwe nanulu niwe kibali Cha kazi yamikono yangu
Amen amen amen mtumishi wa mungu ubarikiwe Sana, tumejua faida ya maombi ya usiku mapepo na wachawi wanaokuja kwa njia ya ndoto wameungua Woote kwa damu ya yesu amen
Nisamee yesu
Amen amen
Akubariki nawe pia mtumishi , Amen .....❤✝️✝️🙏
Asante Yesu
Ni wewe tu bwana yesu unayesitahili kutukuzwa na kuabudiwa
Ameen
I receive the power of holy ghost
Ameen
Okoa ndugu zangu
Amen
Amen I receive
Ameen
Ameeen.🙏🙏🙏
Ameeen
Amen.
Linachipuka jambo jipya kwa jina la Yesu
Ameena 🙏🏽
Ameen
Amen 🙏🙏🙌
Ameen
Nimejiunganisha
Ingllia kati roho mtakatifu
amen
Ameeeeen
Amen 🙏🏽🙏🏽
Najiunga Nisha na maombi hayo
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!;
Aminaaa
Nakataa roho za kuchukiwa mimi na mwanangu emanuel
Ameeeeen Ameeeeen in Jesus Name 👏
Amen
Tuko pamoja
I received the power of Jesus your with me🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️
Mwenyezi mungu nifungulie milango ya kazi
Ameeen Ameen
Amen Amen
Jehova nisamehe
Ameen
Navunja roho zote za ulevi kwa mwanangu bangi hazina mamlaka
Damu ya yesu inaponya umetuponya bwana
Ameen
Amen Amen 🙏
Ameen
Amen🙏🙏🙏
Amen
Amen.🙏🙏🙏