Jamn nimepanga nyumban ya waislam alafu nakaa kaebu na msikiti na Sina hata kitu had godoro nimeanzimwa na kwenye nyumba yangu nikiomba kwa nguvu napata woga maana nipo peke yangu naomba Mungu anipe ujasir anitoe kwenye ufukara huu anipe ujasir nakaa bagamoyo mapinga
Kuna muda napata waswas usiku kweli namtaka Mungu na nguvu zake maana watu wanaokuzunguka waislam na kunamganga karbu mhh Mungu wa Mbingun anipe ulinz usalama na nataman kwel nimuone
Sijawai kupata Aman moyon mwangu namtaka huyu Mungu maana Sina hata ndugu anaenikarbia Zaid ya watoto nilizaa na kila mtoti na bba yake na nikaambulia kufiwa na mwanaume wa mwisho Mungu asimame anipiganie sina msaada wowote hofu imetawala naomba masaada wa Mungu
Dam ya yesu kiristo ikakaushe mtini na kuutupa motoni na ukateketee kilamtini kwenye maisha yangu Mimi nirungu la bwana lakuvunjavunja kazi zagiza zote
Yesu asante asante Yesu , sifa, Heshima, Utukufu na Aghama ni kwa Bwana Mungu aliyehai Heri ziwa ulilonyonya na tumbo lililokuzaa na zaidi sana Mungu aliyekutuma Kutufundisha haya ambayo kwetu tuliyaona yakawaida Mungu akubariki
Nahitaji namba ya WhatsApp mtumishi au namba ya kuachilia sadaka yangu ya shukrani, kwani nimejifunza na kujuwa kujiombea na kusoma bibilia Kupitia mafunzo yako 🙏🙏🙏
Amen 🙏 nafungiliwa kwa njina la yesu
Amen mtumishi ubarikiwe sana kwa neno la siku 🙏🙏🙏🙏🙏
Jamn nimepanga nyumban ya waislam alafu nakaa kaebu na msikiti na Sina hata kitu had godoro nimeanzimwa na kwenye nyumba yangu nikiomba kwa nguvu napata woga maana nipo peke yangu naomba Mungu anipe ujasir anitoe kwenye ufukara huu anipe ujasir nakaa bagamoyo mapinga
Kuna muda napata waswas usiku kweli namtaka Mungu na nguvu zake maana watu wanaokuzunguka waislam na kunamganga karbu mhh Mungu wa Mbingun anipe ulinz usalama na nataman kwel nimuone
Sijawai kupata Aman moyon mwangu namtaka huyu Mungu maana Sina hata ndugu anaenikarbia Zaid ya watoto nilizaa na kila mtoti na bba yake na nikaambulia kufiwa na mwanaume wa mwisho Mungu asimame anipiganie sina msaada wowote hofu imetawala naomba masaada wa Mungu
Mtumaini Bwana na kumtegemea yeye tena uombe bila kukata tamaa na Yeye Mungu wetu aliye hai atakuonekania shalom
Asante Mungu kwa ajili naendelea in kulikua neno lako zaidi🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Amen God bless you pastor
Dam ya yesu kiristo ikakaushe mtini na kuutupa motoni na ukateketee kilamtini kwenye maisha yangu Mimi nirungu la bwana lakuvunjavunja kazi zagiza zote
Amen and Amen more blessings 🙌 🙏🏻
Amen
Ameen
Barikiwa Mtumishi wa Mungu naamini nimekuwa huru sifa na utukufu kwa Mungu
Amina baba ubarikiwa sana kwa neno la usiku
Unafundisha na kusoma neno vizuri nimejifunza neno la MUNGU Mungu na akubariki
Ameen👐👐👐
Amen❤
Yesu asante asante Yesu , sifa, Heshima, Utukufu na Aghama ni kwa Bwana Mungu aliyehai Heri ziwa ulilonyonya na tumbo lililokuzaa na zaidi sana Mungu aliyekutuma Kutufundisha haya ambayo kwetu tuliyaona yakawaida Mungu akubariki
Ameen ,Ameen Mtumishi Mungu akubariki
Amen mtumishi
Asante ubarikiwe na Bwana akuzidishiye maradufu
🙏🙏🙏ubarikiwe mtumishi
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Asante Yesu Amen Amen Amen 🙌🙌🙏🙏
Mungu nakushuru kwa ajili ya neno la leo ,mtumishi ubarikiwe sana naamini vyanzo vyote vya matatizo katika maisha yangu vimeondolea kwa Jina la Yesu
Barikiwa sana mtu mtumishi
Hallelujah hallelujah Asante yesu 🙏🏻 ubarikiwe Sana mutumishi wa mungu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Ameen ubarikiwe sana mchungaji
AMEN AND AMEN 🙏
Ameen Baba barikiwa
Ubarikiwe sana
Asante sana nimebalikiwa
Asante sana yesu kwa kunikutanish na mtumishi waka wa mafundisho na maombi Asante, asante sana ubarikiwe, sana
Amen Amen Amen ubarikiwe sana mtumishi
Amen amen ❤
Ubarikiwe sana mutumishi wa Mungu 🙏🙏🙏
Amen ubarikiwe baba,nilikutumia ujumbe Whatsapp naomba uusome ili ili nijue niombeje pale
Nahitaji namba ya WhatsApp mtumishi au namba ya kuachilia sadaka yangu ya shukrani, kwani nimejifunza na kujuwa kujiombea na kusoma bibilia Kupitia mafunzo yako 🙏🙏🙏
Amen barikiwa mtumishi wa mungu
Ameeen ana Ameen
Amen
Ameen ❤❤🙏🙏🙏
Amen
Amen