- 89
- 370 818
Neno La Siku
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 27 ธ.ค. 2022
BWANA YESU asifiwe. Karibu kwenye Channel ya Neno la Siku. Lengo la Channel hii ni kukuwezesha kusoma neno la Mungu pamoja na kuomba. Kusoma neno la Mungu kila siku kutakusaidia kuongeza kiwango chako cha kujibiwa maombi. Mungu anapojibu maombi, anajibu kwa kulitazama neno lake kwanza. Kwa hiyo neno la Mungu linapokuwa ndani yako kwa wingi, linakusaidia kuongeza kiwango cha kujibiwa maombi yako.
Karibu tusome neno la Mungu na kuomba pamoja. Mungu ni mwaminifu na atakuonekania na kukushindia katika mambo yako yote. Hakikisha unafuatisha kwenye Biblia kadri tunavyoendelea kusoma, na hakikisha unashiriki kikamilifu katika maombi. Omba kwa kumaanisha (Pray like you mean it), na Mungu atakutendea makuu kwa utukufu wa jina lake takatifu. Mungu akubariki sana, na damu ya YESU inene maneno mazuri kwa ajili yako. Amen!
Neno la Siku | Isaac Javan Ministry
+255 745 76 45 72
Karibu tusome neno la Mungu na kuomba pamoja. Mungu ni mwaminifu na atakuonekania na kukushindia katika mambo yako yote. Hakikisha unafuatisha kwenye Biblia kadri tunavyoendelea kusoma, na hakikisha unashiriki kikamilifu katika maombi. Omba kwa kumaanisha (Pray like you mean it), na Mungu atakutendea makuu kwa utukufu wa jina lake takatifu. Mungu akubariki sana, na damu ya YESU inene maneno mazuri kwa ajili yako. Amen!
Neno la Siku | Isaac Javan Ministry
+255 745 76 45 72
NENO LA SIKU | Yohana 21 | Maombi Ya Kupata Udhihirisho
Leo tunaenda kumaliza kitabu cha Yohana, na tunaenda kusoma sura ya ishirini na moja. Katika maombi ya leo, tunaenda kuomba YESU adhihirishe uweza wake kwenye mahitaji yetu, na atupe ushindi kwa utukufu wa jina lake. Ninakuombea, mpaka mwisho wa maombi ya leo, upate ushindi mkuu, na BWANA akutane na haja za moyo wako. Mungu akubariki sana na kukulinda. Ameen!
Isaac Javan
+255 745 76 45 72
Isaac Javan
+255 745 76 45 72
มุมมอง: 1 869
วีดีโอ
NENO LA SIKU | Yohana 20 | Maombi Ya Kufunguliwa Ufahamu Wa Neno La Mungu
มุมมอง 2.3K2 หลายเดือนก่อน
Leo tunasoma kitabu cha Yohana sura ya ishirini, na tunaenda kufanya maombi ya kufunguliwa ufahamu wa neno la Mungu. Ndani ya neno la Mungu kuna nguvu ya uponyaji, na ukombozi. Unaposhindwa kuelewa neno la Mungu, unakosa kitu kikubwa sana cha kukusaidia katika maisha. Na ndiyo maana Mungu ametupa nafasi ya kufanya maombi haya siku ya leo, ili mahali popote ambapo ufahamu wako umefungwa, basi YE...
NENO LA SIKU | Yohana 19 | Maombi Ya Kurudisha Kiu Ya Kumtafuta Mungu
มุมมอง 1.4K2 หลายเดือนก่อน
Leo tunasoma kitabu cha Yohana sura ya kumi na tisa, na tunaenda kufanya maombi ya kurudisha kiu ya kumtafuta Mungu. Lengo la maombi haya ni kukusaidia urudishe mawasiliano na mahusiano yako na Mungu. Nakuombea BWANA akurejeshee kiu ya kutafuta msaada wake, ili uishi kwa ushindi kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe sana! Isaac Javan 255 745 76 45 72
NENO LA SIKU | Yohana 18 | Maombi Ya Kushinda Roho Ya Kuonewa
มุมมอง 2.2K2 หลายเดือนก่อน
Leo tunasoma kitabu cha Yohana sura ya kumi na nane, na tunaenda kufanya maombi ya kushinda roho ya kuonewa. Hii ni roho inayokufanya upatwe na mabaya bila sababu yoyote. Ni roho yenye lengo la kuharibu maisha ya mtu. Lakini Mungu anaenda kutushindia katika maombi ya leo. Nami ninakuombea, BWANA akufanyie ushindi na akuvushe kwa utukufu wa jina la YESU. Ubarikiwe sana. Isaac Javan 255 745 76 45 72
NENO LA SIKU | Yohana 17 | Maombi Ya Kupata Ulinzi Wa Kiroho
มุมมอง 2.7K2 หลายเดือนก่อน
Leo tunasoma kitabu cha Yohana sura ya kumi na saba, na tunaenda kufanya maombi ya kupata ulinzi wa kiroho. Maisha ya kawaida tunayoishi duniani, yamejengwa juu ya msingi wa kiroho. Ukiwa salama rohoni utakuwa salama kwenye maisha pia. Na ukiwa hatarini rohoni, utakuwa hatarini kwenye maisha pia. Kwa hiyo katika maombi tunayoenda kuyafanya siku ya leo, tutamsihi Mungu atupe ulinzi ili tuwe sala...
NENO LA SIKU | Yohana 16 | Maombi Ya Kushinda Siku Ya Dhiki
มุมมอง 1.3K2 หลายเดือนก่อน
Leo tunasoma kitabu cha Yohana sura ya kumi na sita, na tunaenda kufanya maombi ya kushinda siku ya dhiki. Lengo la maombi ya leo ni kukusaidia kushinda kwenye nyakati ngumu unazopitia kwenye maisha yako. Nakuombea YESU akupe ushindi na akuvushe kwa utukufu wa jina lake takatifu. Ubarikiwe sana na BWANA YESU milele. Ameen!
NENO LA SIKU | Yohana 15 | Maombi Ya Kushinda Roho Ya Utumwa
มุมมอง 1.8K2 หลายเดือนก่อน
Leo tunasoma kitabu cha Yohana sura ya kumi na tano, na tunaenda kufanya maombi ya kushinda roho ya utumwa. Hii ni roho inayomtumikisha mtu, na kumlazimisha awe vile asivyopenda kuwa, na aishi vile asivyopenda kuishi. Ni aina ya roho yenye nguvu ya utawala kwenye maisha ya mtu, kwa namna ambavyo bila msaada wa Mungu mtu hawezi kuishi maisha yake kwa uhuru. Lakini siku ya leo kupitia maombi haya...
NENO LA SIKU | Yohana 14 | Maombi Ya Kwenda Mbinguni
มุมมอง 1.4K2 หลายเดือนก่อน
Leo tunasoma kitabu cha Yohana sura ya kumi na nne, na tunaenda kufanya maombi ya kwenda mbinguni. Ni maombi muhimu sana, kwa sababu tunaishi kwenye siku za mwisho, na wakati wowote kuanzia sasa YESU atarudi kutuchukua. Kwa hiyo lengo la maombi ya leo ni kutengeneza maisha yako na Mungu, ili YESU anaporudi tena, tuweze kwenda naye. Nakuombea BWANA akupe kibali na neema ya kwenda mbinguni na kur...
NENO LA SIKU | Yohana 13 | Maombi Ya Kufunguliwa Hatua za Maisha
มุมมอง 3.3K2 หลายเดือนก่อน
Leo tunasoma kitabu cha Yohana sura ya kumi na tatu, na tunaenda kufanya maombi ya kufunguliwa hatua za maisha. Lengo la maombi haya ni kukusaidia utoke mahali ulipokwama kiroho, ili uweze kupiga hatua kwenye maisha. YESU akufungue, na kukupa ushindi kupitia maombi ya leo, na ukaanze kupiga hatua zenye ushindi mkuu ndani ya YESU. Ubarikiwe sana. Ameen! Isaac Javan 255 745 76 45 72
NENO LA SIKU | Yohana 12 | Maombi Ya Kushinda Hofu Ya Kutengwa
มุมมอง 1.5K2 หลายเดือนก่อน
Leo tunasoma kitabu cha Yohana sura ya kumi na mbili, na tunaenda kufanya maombi ya kushinda hofu ya kutengwa. Kuna watu wametengwa na marafiki, ndugu, na wengine wametengwa na ukoo kwa sababu ya kumfuata YESU. Wengine wamerudi nyuma kiroho, na kumuasi Mungu kwa sababu ya hofu ya kutengwa na watu wanaowapenda. katika maombi ya leo, tunaenda kushinda hiyo roho inayokufanya umuache Mungu kwa saba...
NENO LA SIKU | Yohana 11 | Maombi Ya Kushinda Ugonjwa wa Mauti
มุมมอง 2.5K2 หลายเดือนก่อน
Leo tunasoma kitabu cha Yohana sura ya kumi na moja, na tunaenda kufanya maombi ya kushinda ugonjwa wa mauti. Katika maombi ya leo, nitakuombea Mungu akuponye, akufungue, akukomboe, na akutoe kwenye bonde la uvuli wa mauti, ili uwe mzima, na jina la YESU lipate kutukuzwa. Hakuna jambo la kumshinda Mungu. Kwa hiyo tegemea kupokea uponyaji wako, na tegemea kupokea muujiza wako kwa sababu YESU ana...
NENO LA SIKU | Yohana 10 | Maombi Ya Kusikia Sauti Ya Mungu
มุมมอง 2.4K2 หลายเดือนก่อน
Leo tunasoma kitabu cha Yohana sura ya kumi, na tunaenda kufanya maombi ya kusikia sauti ya Mungu. Lengo la maombi ya leo ni kukusaidia upate usikivu wa kiroho, ili wakati Mungu anakusemesha uweze kumsikia. Mungu anasema na watu hata leo hii, lakini wengi wamepoteza usikivu, na hivyo wamejikuta wanakosa kupokea taarifa za kiroho zinazohusu maisha yao. Nakuombea, ili kwamba maombi ya leo yafanyi...
NENO LA SIKU | Yohana 9 | Maombi Ya Kufunguliwa Macho Ya Rohoni
มุมมอง 2.9K2 หลายเดือนก่อน
Leo tunasoma kitabu cha Yohana sura ya tisa, na tunaenda kufanya maombi ya kufunguliwa macho ya rohoni. Nakuombea YESU akufungue siku ya leo, na akupe uwezo wa kuona katika ulimwengu wa roho, sawasawa na mapenzi yake. Na kama ulikuwa na uwezo wa kuona na ukapoteza, nakuombea YESU akurudishie, na njia yako ya mawasiliano na Mungu iwe safi, ili uzidi kupata taarifa na maelekezo ya Mungu katika ma...
NENO LA SIKU | Yohana 8 | Maombi Ya Kuwekwa Huru
มุมมอง 1.7K2 หลายเดือนก่อน
Leo tunasoma kitabu cha Yohana sura ya nane, na tunaenda kufanya maombi ya kuwekwa huru. Lengo la maombi ya leo ni kukusaidia ufunguliwe kutoka kwenye vifungo mbalimbali vya kiroho vinavyokutesa. Siku ya leo, nitakuombea kwa sehemu kubwa, ili Mungu akufungue na kukuponya. Kwa hiyo tegemea kukutana na Mungu kupitia maombi haya. Damu ya YESU ikushindie na inene maneno mazuri kwa ajili yako. Amen ...
NENO LA SIKU | Yohana 7 | Maombi Ya Kushinda Wanaotaka Kukuua
มุมมอง 2.1K2 หลายเดือนก่อน
Leo tunasoma kitabu cha Yohana sura ya saba na tunaenda kufanya maombi ya kushinda wanaotaka kukuua. Moja kati ya kazi ambazo shetani anafanya kwenye dunia hii, ni pamoja na kuua watu wasiotakiwa kufa, au kuua watu ambao muda wao wa kufa haujafika. Na moja kati ya silaha anazotumia, ni ushirikina. Wachawi wanatumika kama vyombo vya kutekeleza mauaji ya watu. Si kila mtu unayesikia amekufa ameku...
NENO LA SIKU | Yohana 6 | Maombi Ya Kutembea Kwenye Mapenzi Ya Mungu
มุมมอง 2.3K3 หลายเดือนก่อน
NENO LA SIKU | Yohana 6 | Maombi Ya Kutembea Kwenye Mapenzi Ya Mungu
NENO LA SIKU | Yohana 5 | Maombi Ya Kushinda Dhambi Inayokutesa
มุมมอง 2.2K3 หลายเดือนก่อน
NENO LA SIKU | Yohana 5 | Maombi Ya Kushinda Dhambi Inayokutesa
NENO LA SIKU | Yohana 4 | Maombi Ya Kujitenga Na Ibada Za Miungu
มุมมอง 3.1K3 หลายเดือนก่อน
NENO LA SIKU | Yohana 4 | Maombi Ya Kujitenga Na Ibada Za Miungu
NENO LA SIKU | Yohana 3 | Maombi Ya Kuanza Maisha Mapya
มุมมอง 2.3K3 หลายเดือนก่อน
NENO LA SIKU | Yohana 3 | Maombi Ya Kuanza Maisha Mapya
NENO LA SIKU | Yohana 2 | Maombi Ya Kujilinda Na Watu
มุมมอง 2.3K3 หลายเดือนก่อน
NENO LA SIKU | Yohana 2 | Maombi Ya Kujilinda Na Watu
NENO LA SIKU | Yohana 1 | Maombi Ya Kupata Matokeo
มุมมอง 2.8K3 หลายเดือนก่อน
NENO LA SIKU | Yohana 1 | Maombi Ya Kupata Matokeo
NENO LA SIKU | Luka 24 | Maombi Ya Kushinda Mfadhaiko
มุมมอง 3K5 หลายเดือนก่อน
NENO LA SIKU | Luka 24 | Maombi Ya Kushinda Mfadhaiko
NENO LA SIKU | Luka 23 | Maombi Ya Kusamehewa
มุมมอง 3.2K5 หลายเดือนก่อน
NENO LA SIKU | Luka 23 | Maombi Ya Kusamehewa
NENO LA SIKU | Luka 22 | Maombi Ya Kutiwa Nguvu Za Kiroho
มุมมอง 3.8K6 หลายเดือนก่อน
NENO LA SIKU | Luka 22 | Maombi Ya Kutiwa Nguvu Za Kiroho
NENO LA SIKU | Luka 21 | Maombi Ya Kushinda Sadaka Za Uovu
มุมมอง 3.3K6 หลายเดือนก่อน
NENO LA SIKU | Luka 21 | Maombi Ya Kushinda Sadaka Za Uovu
NENO LA SIKU | Luka 20 | Maombi Ya Kushinda Roho Za Wafu | Isaac Javan
มุมมอง 4K6 หลายเดือนก่อน
NENO LA SIKU | Luka 20 | Maombi Ya Kushinda Roho Za Wafu | Isaac Javan
NENO LA SIKU | Luka 19 | Maombi Ya Kushinda Wanaotaka Kukuangamiza | Isaac Javan
มุมมอง 7K6 หลายเดือนก่อน
NENO LA SIKU | Luka 19 | Maombi Ya Kushinda Wanaotaka Kukuangamiza | Isaac Javan
NENO LA SIKU | Luka 18 | Maombi Ya Kudai Haki Yako | Isaac Javan
มุมมอง 14K6 หลายเดือนก่อน
NENO LA SIKU | Luka 18 | Maombi Ya Kudai Haki Yako | Isaac Javan
NENO LA SIKU | Luka 17 | Maombi Ya Kushukuru | Isaac Javan
มุมมอง 14K6 หลายเดือนก่อน
NENO LA SIKU | Luka 17 | Maombi Ya Kushukuru | Isaac Javan
NENO LA SIKU | Luka 16 | Maombi Ya Kushinda Roho Ya Mali (Mammon) | Isaac Javan
มุมมอง 2.1K6 หลายเดือนก่อน
NENO LA SIKU | Luka 16 | Maombi Ya Kushinda Roho Ya Mali (Mammon) | Isaac Javan