NENO LA SIKU | Luka 7 | Maombi Ya Kuvunja Vifungo Vya Magonjwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Leo tunasoma kitabu cha Luka sura ya saba, na tunaenda kufanya maombi ya kuvunja vifungo vya magonjwa. Kwa tafsiri vifungo vya magonjwa ni nguvu ya kiroho inayofanya magonjwa yatese maisha ya mtu bila kumuachia.
    Lakini habari njema ni kwamba, upo msaada ndani ya YESU na katika maombi ya leo anaenda kufungua vifungo vyote vya magonjwa vinavyotesa maisha ya watu. Kama unasumbuliwa na magonjwa, maombi ya leo ni ya kwako. Nakushauri ushiriki kikamilifu katika maombi haya na utapokea ushindi wako.
    Damu ya YESU inene mema kwa ajili yako. YESU akupiganie na kukushindia. Mkono wa BWANA ukuvushe na kukutoa kwenye vifungo vya magonjwa yanayotesa maisha yako. Nakuombea upokee uzima wa afya yako siku ya leo, na utembee katika ushindi siku zote. Mungu akubariki na kukutetea. Amen
    Isaac Javan
    +255745 76 45 72

ความคิดเห็น • 29

  • @rhodamwakatundu5226
    @rhodamwakatundu5226 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante Bwana Yesu kwa maombi

  • @FarhO-r7m
    @FarhO-r7m หลายเดือนก่อน

    Amen Amen

  • @bonamichael7696
    @bonamichael7696 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu kwa uponyaji

  • @ArinaitweFatuma
    @ArinaitweFatuma 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏 Amen 🙏🙏

  • @lennyfrank
    @lennyfrank 3 หลายเดือนก่อน

    Ameen Ameen

  • @JaneStephano-uo8no
    @JaneStephano-uo8no 3 หลายเดือนก่อน

    Asante yesu 🤲 mungu akubariki mtumishi 🙏

  • @hussenhafidh3729
    @hussenhafidh3729 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Yesu Wangu Nakupenda Sana

  • @IreneMtoto-un5lg
    @IreneMtoto-un5lg 3 หลายเดือนก่อน

    Amina🙏🙏🙏

  • @estherkamene3942
    @estherkamene3942 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙌🙏🙏🙏Mungu akubari na azidi kuku tumia mtumishi

  • @user-zw4dj5ux7e
    @user-zw4dj5ux7e 3 หลายเดือนก่อน

    Thank you so much my God
    I love you so much my God ❤ ❤❤❤🙏 nakupamba mauwa Mungu wangu kwa kuwa umeniponya asate sana na kushukuru mungu wangu 🌹🌹🌹🌹💕💕💕🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🙏utukufu naeshima vikurundiriye amena ❤

  • @cesiliamasumu432
    @cesiliamasumu432 3 หลายเดือนก่อน

    Sema Neno tu Bwana Yesu na Ugonjwa uliomo mwilini mwangu utakoma Hallelujah Bwana Yesu Asifiwe
    Sifa , heshima ,na utukufu ni kwa Bwana
    Mtumishi Mungu akutunze

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 3 หลายเดือนก่อน

    Amina
    Nimepokea kwa Jina la YESU ALIYEHAI
    Barikiwa mtumishi wa MUNGU ALIYEHAI 🙏 🙏

  • @Hyasinta-vr1zx
    @Hyasinta-vr1zx 2 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu kwa neno lako❤❤❤❤

  • @hussenhafidh3729
    @hussenhafidh3729 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu Wangu Nakupenda Sana Asante Kwa Neno Lako Zuri Lenye Furaha matumaini na Amani

  • @rizikimakupe-tw2sj
    @rizikimakupe-tw2sj 3 หลายเดือนก่อน

    Amen and amen 🙏🙏🙏🎉🎉🎉 nashukuru

  • @waleedbahar5275
    @waleedbahar5275 หลายเดือนก่อน

    Amen ubarikiwe Sana mtumishi MUNGU akulinde na akubariki sana kwa maombi

  • @tabithamselema166
    @tabithamselema166 3 หลายเดือนก่อน

    Ameen Ameen Mtumishi wa Mungu kwa somo hili nimebarikiwa na kuona ukuu wa Bwana.Barikiwa

  • @smilewithafrica
    @smilewithafrica 3 หลายเดือนก่อน

    Amen and amen, I receive Devine heeling in Jesus mighty name Amen

  • @mechasabina4672
    @mechasabina4672 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen asante mtumishi wa Mungu kwa kutufunza jia y kutunbu 😢😢😢

  • @BRACEDESPamela
    @BRACEDESPamela 3 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen Asante mutumishi wa mungu ubarikiwe Sana 🙏🙏🙏

  • @user-im5vf4fo6x
    @user-im5vf4fo6x 3 หลายเดือนก่อน

    Ameen 🙏🙏 asant mtumishi Kwa neno lako

  • @user-hz6se7vh4h
    @user-hz6se7vh4h 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu amponye mtoto Shamiri mukoya Kwa Damu ya yesu

  • @cesiliamasumu432
    @cesiliamasumu432 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu baba Katika jina la Yesu Napokea uponyaji wangu kwa jina la Yesu kupitia maombi haya hakuna ugonjwa utakaositirika ndani Kupitia Nenohili la Mungu na maombi haya asante Yesu kwa uponyaji
    Mtumishi Mungu aliyekutuma na kukuongoza Akubariki na kukutunza wewe na familia yako AMEN ASANTE SANA

  • @gracekimaro6147
    @gracekimaro6147 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana MTUMISHI wa Bwana kwa kutuongoza maombi ya uponyaji barikiwa sana

  • @FarajaMushi-tw2lr
    @FarajaMushi-tw2lr 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiw🙏

  • @WahindiKwembe-c1g
    @WahindiKwembe-c1g 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana mtumishi

  • @joycemkumbwa9550
    @joycemkumbwa9550 หลายเดือนก่อน

    Asante. Bwana kwa maombi

  • @maureenmgeni
    @maureenmgeni 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ahsante BWANA Yesu...
    Zidi kumwinua mtumishi katika viwango vya juu zaidi, Amina.

  • @user-cr6fc7nt8k
    @user-cr6fc7nt8k 3 หลายเดือนก่อน

    Amen amen