Mm mwananchi damu kabisa. Ila anachokihisi mchome moyoni ni kama kilichowahi kunikutana wakati lampad anapewa timu na ikiwa azabu ya kutosajili mwaka mzima then anamkataa david luiz. Ni mchezaji ambaye binafsi nilikuwa nampenda sana. Iliniuma nikamchukia lampad mpaka kesho.
Wew nae hapo umeferi!!! Hivi simba ikifanya vizuri namna unavyoongea utajichukuliaje broo ungesubiri kusema hayo mda badoo!! Hata mimi naumia lakini tusubili tuone msimu ukianza brooo😢😢😢❤
Nakukubali sana mchome tunakupata 2kiwa mk yangaooooo
Ulisema chama aende yanga, mbona tena unalalamika, na ulisha bet kwamba chama anaenda yanga na hela umesha kula mbona unaumia tena
Quumia lazima ndugu
Mm mwananchi damu kabisa. Ila anachokihisi mchome moyoni ni kama kilichowahi kunikutana wakati lampad anapewa timu na ikiwa azabu ya kutosajili mwaka mzima then anamkataa david luiz. Ni mchezaji ambaye binafsi nilikuwa nampenda sana. Iliniuma nikamchukia lampad mpaka kesho.
Yani leo mchome unaonesha huzuni wazi,pole yanga wanaroho mbaya
Wew nae hapo umeferi!!! Hivi simba ikifanya vizuri namna unavyoongea utajichukuliaje broo ungesubiri kusema hayo mda badoo!! Hata mimi naumia lakini tusubili tuone msimu ukianza brooo😢😢😢❤
Mchome Kwan ww upo upande gan mana mm ckuelewagi unaipondaga Sana Simba lkn Leo unatumia kuusu Simba Yan ckuelewi
Pole Mchome,ni kweli tunaye na tunatamba naye
Yan huyo dada inaonekana anaipenda sana yanga yan alkua anaenjoy kabisa wanavyotangazwa wachezaji wa yanga😂😂😂
nimesikia neno bro? au ni masikio yangu ?🤣
Polen Sana ndo hivo watani zetu 😂😂😂😂😂😂😂😂
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Chama Tunae na Tunatamba Nae.
Mm nakueshim sana kulingana uwezo ulionao wa króna mbali,ila kolo ni ngumu kukuelewa unachokiongea
Bilioni 85 za MO SIMBA
😂😂 Zamu kwa Zamu mlichekelea kwetu sasa tunajeuri popote Afrika
Eeeeh 😂😂😂
Nenda uko nimunafik. Tu we we ni chokoooooooooooooo kumanina zakooooo nenda kafilwe nyie wote ni manafik woteeee
We mchome unayajua mapenzi kweli acha masiara
Huyu wetu
Jamani huyo tajili wenu msipokua makini mtazoofika
Yayuuuuuuuuu
Mnafki uyo
Mwambie asimalize maneno aweke akiba hii bongo
Mchome ple sana simba itakuuwa amia Yanga wewe
Hiyo imeind
Mchume unaona mbali
😂😂😂
Huyu sometimes ni boya pale anapojiona super star
Wivu wa kipumbavu unakusumbua.Kaa hivo hivo
😂😂🎉
Duh
Acha kelele ujui kitu unacho ongea ww
Zake m
😅😅
Huyu yanga
😢
Chama yanga atapotea tu, mwacheni akamalize uzee wake huko ,simba wamepoteana viongoz
Unajifariji ukiwa wapi ...??
Unajiaminia nini kutype hivyo ni aibuuu
😂😂
😂😂😂😂😂