BWANA MISOSI AMVAA MWIJAKU KISA KUFANANISHA NA DIAMOND/AMCHANA AJIHESHIMU NIMEKUWA STAA KABLA YAKE

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 43

  • @memoryplus8046
    @memoryplus8046 3 ปีที่แล้ว +10

    Misosi unaongea vzr sana hauna Roho mbaya kama akina Mama Levo , ulipo nifuraisha nipale uliposema Mwijaku akasapoti ngoma yako asijifanyi ajaiona 😂! Respect sana bro

  • @tugakapere2772
    @tugakapere2772 3 ปีที่แล้ว +6

    Much respect to Mr misosi nikiwa DRC myaka ile nilikua naiba pesa kwa mama kwenda kwabanda lasinema kumuangalia ngoba zake kama zile binti wakitanga na nitoke vipi yoooo i really mic that moment 😃now I'm in South Africa.

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 3 ปีที่แล้ว +2

    Bwana misos ni legend mwijaku mama tu.

  • @aabedi541
    @aabedi541 3 ปีที่แล้ว +9

    Kusema ukweli mimi nimemfaham Mwijaku kwasababu yakumtukama diamond

  • @silasteven3929
    @silasteven3929 2 ปีที่แล้ว

    Misos star mkubwa Sana enz zetu huwa nakumbuka mbali Sana nitoke vp

  • @delta-force2924
    @delta-force2924 3 ปีที่แล้ว

    Much respect hata katika maongezi yake hekma ipo hana hasira wala chuki..heshma kwake from kenya mm bado napenda ngoma zake

  • @leiratykisura6718
    @leiratykisura6718 2 ปีที่แล้ว

    Me nirishamsahau huyu mwamba hongera mwijaku umembusti uyo misos

  • @eliastanganyika4268
    @eliastanganyika4268 3 ปีที่แล้ว +2

    Misosi heshima saan...kaka nakubali

  • @swaleheismail46
    @swaleheismail46 3 ปีที่แล้ว

    Mwamba anaakili nyingi saana muching love you broh

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 2 ปีที่แล้ว

    bonge la star maavi nitoke vipi hio ndio ngoma Yako tu huna ngoma nyingine

  • @mwanahamisimwelesi6682
    @mwanahamisimwelesi6682 3 ปีที่แล้ว

    Upo vizuri San pesa atuzikwi nazo ubinadamu ndo kila kitu

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 3 ปีที่แล้ว +2

    Mziki wako ulitamba na bado unabanba 🙏🙏🙏🙏

  • @abrah_li5797
    @abrah_li5797 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi bro misosi

  • @jitulakalemastr7636
    @jitulakalemastr7636 3 ปีที่แล้ว +1

    Pamoja san bwana misosi usiwze mwijaku mke wabalozi umbea kazi ake

  • @erickdioniz8277
    @erickdioniz8277 2 ปีที่แล้ว

    Nakubali sana

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 ปีที่แล้ว +1

    Sema nn mshukur Mwinjak kakurudish kweny pick

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 3 ปีที่แล้ว

    Mwaka baada ya mwaka 😄😀😀 hawa watangazaji kwa kuchomeka

  • @abedmzungu9057
    @abedmzungu9057 3 ปีที่แล้ว

    kabisa star kabla yako

  • @makulaikuku6909
    @makulaikuku6909 3 ปีที่แล้ว +1

    Ndio kakurudisha mjini.misomi ulipotea😂

  • @Wamoyothenumberone
    @Wamoyothenumberone 3 ปีที่แล้ว

    Mwana misosi tunakuenda saaaan toka utoto Wang nakuelewa

  • @stevenmeshack467
    @stevenmeshack467 2 ปีที่แล้ว +1

    Legend

  • @mosalah7669
    @mosalah7669 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi brother this is Simbaaaaa

  • @rodriguekalubandika535
    @rodriguekalubandika535 3 ปีที่แล้ว

    Bwana misosi dhaa tumekuwa tumeku miss kitamabo

  • @planethakunamatata5254
    @planethakunamatata5254 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana bro

  • @Wamoyothenumberone
    @Wamoyothenumberone 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwan misoc ,hata hauzeeki kaka unawaka tuu,kiujana ujana

  • @abdulkiliga335
    @abdulkiliga335 3 ปีที่แล้ว +1

    Ira amekushtua ulikua kimya kweri, mwijaku anawapushi awa waliopotea

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 3 ปีที่แล้ว +1

    Safi😆😆😆😆

  • @amanihamidu2095
    @amanihamidu2095 3 ปีที่แล้ว +1

    Legendary icon 🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️❤️❤️❤️🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @franklinmganga736
    @franklinmganga736 3 ปีที่แล้ว +1

    mwambie huyo mtambo asie jua mwinyoko

  • @MKobe_254
    @MKobe_254 3 ปีที่แล้ว

    Nitoke vipi ilikua big bang Kenya 🇰🇪 enzi hizo hadi waleo… Mwijaku ni kiki tu

  • @joycenicodemus.2232
    @joycenicodemus.2232 3 ปีที่แล้ว

    Mwijaku ajafanya kosa amekurudisha mjini

  • @coolzeddy_official9216
    @coolzeddy_official9216 3 ปีที่แล้ว

    Kwan mwijaku ana ustaa gan?🙇mwijaku hawezi ku-trend bla kumwongelea Diamond

  • @budoboy3359
    @budoboy3359 3 ปีที่แล้ว +1

    Big Up Sana Brother

  • @yussufamour6567
    @yussufamour6567 3 ปีที่แล้ว

    Uko juu misosi

  • @franciskianga9950
    @franciskianga9950 3 ปีที่แล้ว

    Mwana misosi

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 3 ปีที่แล้ว +3

    Amekupa Kiki ulisaulika mshukulu mwijaku yupo kwenye pick

    • @mrgeorgeisdory5277
      @mrgeorgeisdory5277 3 ปีที่แล้ว +1

      Upande mwingine amshukuru mwijaku amempush bhanaaa

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @Worldwidetv901
    @Worldwidetv901 3 ปีที่แล้ว

    BWANA MAFUZI NI MAKU ANAZANI ETI wcb 🚽 Watamfatulilia