ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

Mwana FA Nitachagua kufa mimi ila sio mke wangu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ส.ค. 2019
  • Instagram @xo_na_tira

ความคิดเห็น • 249

  • @swaifsouq
    @swaifsouq 5 ปีที่แล้ว +49

    Habari ninesoma vitu vingi kwa huyu jamaa si mashairi tu bali anaakili kuliko neno akili wote tumwite ninjaaaaaa. Gonga like

  • @gralmyli5784
    @gralmyli5784 5 ปีที่แล้ว +23

    Hiyo kuhusu watoto ume hit the jackpot that’s how to raise smart and bold individuals. Kuchapa na kukaripia hakufundishi kunajenga nidhamu ya uoga na pia kuziba mianja ya ubongo. Mwana FA is one of the smartest dudes in TZ so fucking OP kwenye parenting, skills za kuishi and a beast MC . Hands down mwana FA.

  • @catenzeki678
    @catenzeki678 5 ปีที่แล้ว +13

    Nmeipenda hii interview.Napenda busara za Mwana FA.He is always on point

  • @fefenailsandmakeup1353
    @fefenailsandmakeup1353 3 ปีที่แล้ว +8

    "😍Sikumuoa mke wangu ili tuachane"

  • @jiwahassan
    @jiwahassan 5 ปีที่แล้ว +73

    Nimeitazama hii interview live. Ninaitazama tena mara ya 5 hapa You tube na nitaendelea kuiangalia zaidi. Mwana Fa umesimama kama Mwanaume wa kweli sio kama Mvulana aliyeoa. Hii ni interview Bora kwangu. Hongera Twiny Tira Hassan.

    • @rayrobert524
      @rayrobert524 5 ปีที่แล้ว

      Bravo 👏

    • @thabitbudget7067
      @thabitbudget7067 5 ปีที่แล้ว

      THE BETTER YOU - Jiwa Hassan mardo yanga reo

    • @hassankitulotvsproduct8627
      @hassankitulotvsproduct8627 5 ปีที่แล้ว +1

      Dah kaka hii ndio interview za kuangalia kiukweli I like

    • @omarikillo2218
      @omarikillo2218 5 ปีที่แล้ว

      Hamis.Wakati tuko shule Tanga School sijawahi kujua kama unapitia changamoto za haya uliyoyaeleza hapa.Always ulikuwa na furaha machoni ,always smiling.
      kupitia interview hii ama hakika nimejifunza kitu kikubwa.
      On top of all those challenges,lakini ulipata ujasiri wa kupambana mpaka kufika ulipofika.
      To me,this is my best interview kuwahi kuiona.Through your past ups n downs,nawaona wanao wakikuwa ktk malezi na uangalizi mwema wa baba na mama yao.God bless you bro in everything you do for you,your wife,Malaika/Malika and the younger child..Inshaalah

    • @anifamsenda4651
      @anifamsenda4651 ปีที่แล้ว

      Nakupenda sana kakaangu mwana F.A

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 5 ปีที่แล้ว +13

    Very nice . Harusi za mi kelele ndio huvunjika haraka . Mwana fa yiu are like me. Sipendi kuchangia harusi. Oa kulingana na uwezo wako. And that is islam

  • @antoinea.katembo5326
    @antoinea.katembo5326 5 ปีที่แล้ว +6

    “Napoteza nini kusema tu samahani.” Great point

  • @athumankasanzu6343
    @athumankasanzu6343 5 ปีที่แล้ว +17

    uwasijutii kumaliza mb zangu kuangalia interview za mwana fa najifunza vingi kutokakwake big up broo

    • @lilakhhassan6896
      @lilakhhassan6896 4 ปีที่แล้ว

      Huyu mtu nskumbuka tuko mawaingu record bon lov aliwahi kusema kitu kuhusu huyu niseme tu alimwambia hivi Hamis nakuona mbali sana cku huyo tulikua na mahemu stiv 2k

  • @crispomatete7774
    @crispomatete7774 3 ปีที่แล้ว +3

    Kuhusu principles, actually zipo,ila KWA watu wengi haziexist na hawapendi kuxifahamu.Kwamba mwanamke anweza kukusababishia uharibifu na mwingine mafanikio,ziko sababu ila sisi tunaoana KWA macho na hekima tupu za kibinadam.Ndoa in taasis kubwa kuliko tunavyoichukulia.

  • @derrckriwa8594
    @derrckriwa8594 5 ปีที่แล้ว +13

    Kweli nimeamini utu uzima dawa, nimekukubali Sana bro kwani Ni point juu ya point

  • @mumbayeashata993
    @mumbayeashata993 5 ปีที่แล้ว +3

    Mwana FA umepitia maisha kama yangu kabisa yani hadi leo huwa mtu akiniuliza kwenu ni wapi huwa na bakia kumtajia mji tu afu na mwambia kwangu nimejenga mahali flani hapo ndio kwangu.. Thankx God for our hustlin dah kweli maisha hufanana. Nipo Ulaya sasa hivi nasaka maisha n by the Way natokea 254 nawapenda Sana Tanzania, Asante sana Mwana FA msalimie AY ur big fun right here One Love n Jah Guide Us 4rever

  • @winfridaw.mwashala289
    @winfridaw.mwashala289 4 ปีที่แล้ว +4

    Mwana Fa, historia yako inasikitisha mno! But, you are a great person! God bless you always and your family!Was impressed to listen, with tears along! Wau, you are great

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 5 ปีที่แล้ว +8

    Hakiiiii nimejikuta nampenda mwanafa ghafla kiukweli unastahili kuitwa mume sahihi

  • @innocentswai6239
    @innocentswai6239 ปีที่แล้ว +3

    Mwana FA wew ni gwiji nakuchuliaga kma mtu wa kuigwa na Taasis🔥🔥

  • @wacundirangu1661
    @wacundirangu1661 5 ปีที่แล้ว +8

    Wakongwe wa Bongo, Heroes of muziki wa kizazi kipya, mna kitu mliweka moyoni mwangu toka mwanzo.
    Mwana FA,such a touching life story.
    #NawapendaBure #KeepRising
    #MunguAwatendeeMema

  • @shillaboy5330
    @shillaboy5330 5 ปีที่แล้ว +10

    Unachokitaka hukipati anayekipata hakitumii🙌🏻

  • @estermgaya5816
    @estermgaya5816 5 ปีที่แล้ว +12

    Mwana Fa unajibu poa mno huchoshi, vijana tujifunze jmn mambo haya yawe kwetu

  • @mumbayeashata993
    @mumbayeashata993 5 ปีที่แล้ว +5

    Nimeowa pia na harusi yangu ilikuwa watu watano tu na sijutii na watu walijua nimeoa, big Up Mwana FA

  • @amosmbogo4664
    @amosmbogo4664 ปีที่แล้ว +1

    .....the intelligence in this fa guy is on another level

  • @catenzeki678
    @catenzeki678 5 ปีที่แล้ว +14

    MUNGU naomba na mm anipe NDOA wala sio harusi

  • @asiaasia-pl4fl
    @asiaasia-pl4fl 5 ปีที่แล้ว +10

    Daah ninge pata mume kama wewe ❤❤👏👏👏👏👌

    • @wizimbaya2616
      @wizimbaya2616 5 ปีที่แล้ว

      Asia hata mimi nina sifa kama binamu nahisi na faa by kidu

    • @kweltv5106
      @kweltv5106 5 ปีที่แล้ว

      Njo

  • @edwardsichilengwe2330
    @edwardsichilengwe2330 5 ปีที่แล้ว +6

    yaani we broo ww uko ndani ya maisha yangu, na niliwahi kumwambia mamangu kuwa sitofanya harusi kubwa nitaenda tu kanisani nisindikizwe na wazaz tu, tukitoka hapo ndani ya tax tunarudi hom.

  • @kimsamir965
    @kimsamir965 5 ปีที่แล้ว +4

    Embwana mambo vp hapo big up sn mnao watch this video daaaa si mchezo babukubwa huyu jamaa namkubali hatari.

  • @centralboytz4240
    @centralboytz4240 5 ปีที่แล้ว +4

    You talk good FA i like that mzee baba tuko nyuma yako kuchambua na kujifunza #greatmainthinker pa1 na majanga yang nmegain cjatoka hivhv kwny hii interview #tira✌

  • @umraumi3
    @umraumi3 ปีที่แล้ว +1

    Mwanaharakati Alafu Mwanafalsafa, love u bro...

  • @official_dicksonmunga
    @official_dicksonmunga ปีที่แล้ว +1

    Watu wengi tunafeli maisha kwa kutaka kufanya vitu kwa sababu yakuwafurahisha, kuwanyoosha, kuwavimbia watu. Fanya unayo yaweza na yatao kupendeza. Vinginevyoo utaishia kua muigizaji.

  • @sophiakibona2117
    @sophiakibona2117 5 ปีที่แล้ว +6

    My best interview ever..

  • @mwandeagrovetandsupplies2549
    @mwandeagrovetandsupplies2549 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwanafa wewe ni roll model kwangu maisha uliopitia na kuishi na sawa na mimi big up sana brother

    • @salaita2829
      @salaita2829 ปีที่แล้ว

      Mimi nilisikitika niliposikia aliambiwa mama yake amefariki na hakuwahi kuona hata kaburi lake na hajui hata lilipo.

  • @swaumumustaphamapondanga4707
    @swaumumustaphamapondanga4707 5 ปีที่แล้ว +6

    Maneno yk mazuri bro nimepata kitu

  • @theafricanprincevivecongo8632
    @theafricanprincevivecongo8632 5 ปีที่แล้ว +8

    Brother umeongea point kubwa ambayo nishawahi kusema, watu wanapenda arusi zaidi ya ndoa

  • @khdijaahmed8458
    @khdijaahmed8458 5 ปีที่แล้ว +7

    ila nikweli kabisa kaka upo vzuri san 🙏🥰🥰

  • @omarmzerera9936
    @omarmzerera9936 5 ปีที่แล้ว +5

    That's my roll model Man..Big Up. .nimeipenda from +254

  • @amymsomal8126
    @amymsomal8126 5 ปีที่แล้ว +5

    Point sana. Ila naona wote mna mapengo ya asilia.

  • @deaalex9076
    @deaalex9076 5 ปีที่แล้ว +3

    Dah!!! Bro mbon kam mm kabs
    FA 🔥🔥🔥🔥

  • @silverman6930
    @silverman6930 5 ปีที่แล้ว +6

    This guy is deep , your so intelligent boss I truly admire you boss 🙏

  • @chafumirro5617
    @chafumirro5617 5 ปีที่แล้ว +36

    Kuanzia leo sichangi tena harusi

    • @raheemamkambha6013
      @raheemamkambha6013 5 ปีที่แล้ว +1

      Kabisaa

    • @raheemamkambha6013
      @raheemamkambha6013 5 ปีที่แล้ว +5

      Tuchangie wagonjwa walio kosa ada na wenye majanga sio harusi

    • @kazkaz1943
      @kazkaz1943 5 ปีที่แล้ว +4

      Chafu Mirro mi nikichanga harusi ujue nina hamu ya kwenda kucheza iokote na kula kuku kuku wa harus watamu bwana. Ila kama siji kula sichangiii

    • @neemaabdul9553
      @neemaabdul9553 5 ปีที่แล้ว +3

      Kweli, kuchangia harusi ni kuulea uzembe.

    • @bahatihadijabahati7456
      @bahatihadijabahati7456 5 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂

  • @RuckieDady-gk3ph
    @RuckieDady-gk3ph 6 หลายเดือนก่อน

    Wewe ni zaidi yamume Bora kwa mke Bora wewe nizaidi yababa Bora kwawatoto iñshaallah nimfano Bora kioo Cha jamii umejilinda mbali nausanii lakini maisha yako hayajawahi kuonyesha wewe nimsanii

  • @user-li4kt7lz1r
    @user-li4kt7lz1r ปีที่แล้ว

    Hii imenifunza siwez kuacha mtt wangu nyuma maana hata cku moja pia bila hii story kunifunza nampenda sana mtt wangu siwez muacha nyuma mpaka naingia kaburin na namuombea mungu amkuze mpaka aoe nipo hai

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 5 ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah uko vizuri

  • @senyafredrick7248
    @senyafredrick7248 5 ปีที่แล้ว +2

    Good to hear that bro,samahani Ina maana nzito na inaimarisha relationship

  • @simonmmasi5131
    @simonmmasi5131 3 ปีที่แล้ว

    Akili nyingi sana huyu jamaa,more than genius 👍👍👍👍

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 5 ปีที่แล้ว +3

    Duu best FA interview

  • @aminaabdiabdi7112
    @aminaabdiabdi7112 5 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah nice interview I like this guy

  • @stanleygeorge6638
    @stanleygeorge6638 5 ปีที่แล้ว +5

    Sawa bhana

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 5 ปีที่แล้ว +32

    Sio kweli, sio wanawake wote wako desperate kuolewa, i'm 33 yrs and single, wala sinaga mawazo ya kuolewa. Ila kuna family pressure na peer pressure sana huku kwetu africa.

    • @mariamkaaya8639
      @mariamkaaya8639 5 ปีที่แล้ว +3

      Umenigusa sana

    • @rahmaabdillahi2795
      @rahmaabdillahi2795 5 ปีที่แล้ว +2

      Tuko hapa endelea kuendelea kuenjoy kuwa single....

    • @rose_Winchester86
      @rose_Winchester86 5 ปีที่แล้ว +4

      @@rahmaabdillahi2795 raha sana, no stress.

    • @faaali244
      @faaali244 5 ปีที่แล้ว +4

      Nakuunga mkono kwa waume hawa wa leo siku zote nasema bora mtu kula bata kuolewa above 30 unajaliwa vitoto vyake viwili vitatu maisha yanasonga

    • @rose_Winchester86
      @rose_Winchester86 5 ปีที่แล้ว +6

      @@faaali244 wala hata sio swala la kula bata, watu tumekulia ktk mazingira tofauti, tunatofautiana. Mi binafsi sina plan za kuolewa kabisa. Umri wowote mtu anaweza kuolewa ilimradi kampata mwanaume mwenye hofu ya mungu na upendo wa kweli.

  • @elbarrey3305
    @elbarrey3305 5 ปีที่แล้ว +2

    Mwanafa Mnyez Mungu akueke....

  • @evalynelengarwa5356
    @evalynelengarwa5356 5 ปีที่แล้ว +3

    Wow I love all his responses😘

  • @amosimwiko6440
    @amosimwiko6440 5 ปีที่แล้ว +5

    Binam wew ni mfano wa kuigwa kaka

  • @SafeHaven_TV
    @SafeHaven_TV 4 ปีที่แล้ว +1

    TIRA,mimi baado nakwambia uko vizuri,nakupenda mno.

  • @petermsangi2701
    @petermsangi2701 5 ปีที่แล้ว +3

    Tuko pamoja broo mm mwenyew sipend michango ya harusi

  • @nashfatmohamed5072
    @nashfatmohamed5072 5 ปีที่แล้ว +2

    Daaaaah umelelewa kama mimi baada ya mama kufariki...pole sana 😢 niwachache tunaelewa inavyo kuwa

  • @erickendrick3330
    @erickendrick3330 5 ปีที่แล้ว +6

    I get u, Fa👏👏👏

  • @morefireministrychurch177
    @morefireministrychurch177 5 ปีที่แล้ว +2

    Kweli brother I love you brother bcoz unasema ukweli nina miaka 14 sasa na sikufunga arusi wala sitamani hiyo ni mkataba wa watu wasio na hekima na mm pia na mpenda sana mke wangu

  • @techno-environmentinvestme6141
    @techno-environmentinvestme6141 5 ปีที่แล้ว +3

    The best interview ever

  • @innocentswai6239
    @innocentswai6239 2 ปีที่แล้ว +2

    sitachoka kuaskiliza hii interview mwamba alinyoosha sana

  • @nestor384
    @nestor384 5 ปีที่แล้ว +6

    Wakurya tunajambo la kujifunza hapo..

  • @geographyteacher.2961
    @geographyteacher.2961 5 ปีที่แล้ว +3

    Nimeipenda hii..!

  • @obrigadaobrigada6384
    @obrigadaobrigada6384 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee Mohamed mwinjuma mjato babaake mwanafa mwalimu wangu wa gitaa alinifundisha gitaa wakati akiwa anaimba malindi bendi ukikaa nae huez jua ka alitelekeza kichwa hivi ila maisha Yana Siri nying

  • @naimanurdin2846
    @naimanurdin2846 5 ปีที่แล้ว +3

    Binamu mwanya wako tu mie hoi😂😂

  • @nurukimu7872
    @nurukimu7872 5 ปีที่แล้ว +1

    safi sana mie sijachangisha namimi sichangiii

  • @merryn4891
    @merryn4891 5 ปีที่แล้ว +9

    Penda sana mwan FA kuhusu watoto kuwanao karibu

  • @Ukhtyzuhura
    @Ukhtyzuhura 4 ปีที่แล้ว

    Interview nzuri Sana
    Majibu yako vzr sana

  • @sakarimomoi7040
    @sakarimomoi7040 5 ปีที่แล้ว +1

    nime anza kufatilia mwana fa nipo std 6 sasahivi nimehitimu chuo kikuu 4 years ago , nimesikia interview zake nyingi sana ila leo nimesikia vitu vipya vingi sana Hongera mtangazaji,

  • @minahqassim8031
    @minahqassim8031 5 ปีที่แล้ว +5

    Maa shaa Allah

  • @anthonymgogo2651
    @anthonymgogo2651 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa yupo real sana.

  • @riseman8083
    @riseman8083 7 หลายเดือนก่อน

    Mwana FA a.k.a Binam amepitia maisha km yngu kiukweli nimeisikiliza interview hii yaan kuna vitu nimejifunza lkn ht mm niishi na watoto wngu km rafiki zangu

  • @aishasaid5702
    @aishasaid5702 4 ปีที่แล้ว

    Hahahaha ongeza sauti mwana FA

  • @ashunebebi9518
    @ashunebebi9518 5 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allah tabarakaAllah

  • @salmasaid1521
    @salmasaid1521 ปีที่แล้ว

    Maongezi yako hayachoshi kuyasikiliza hongera sana

  • @zainabuzainabu8089
    @zainabuzainabu8089 5 ปีที่แล้ว +2

    Napenda sana tira

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 5 ปีที่แล้ว +5

    That cool wewe mtu makini sio kiki mbarikiwe wote

  • @hamiswawa5872
    @hamiswawa5872 5 ปีที่แล้ว +4

    fa ni elimu tosha kwa kujifunza

  • @aloycesimon2028
    @aloycesimon2028 2 ปีที่แล้ว

    Huwa sichoki kuangalia interview zake ana busara na hekima sana

  • @eliahabraham6131
    @eliahabraham6131 5 ปีที่แล้ว +1

    Cku nikishka maiki nakuamtangaza mnanii mwenye upeo mkubwa bac mwana fa ur the final

  • @isayayohana6341
    @isayayohana6341 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka kwakutupa maarifa nimejifunza ki2 kwako barikiwa sana

  • @estermgaya5816
    @estermgaya5816 5 ปีที่แล้ว +3

    Maongezi yako poa sana

  • @acquelinapissa2968
    @acquelinapissa2968 5 ปีที่แล้ว +17

    Huyo mke kapata dhahabu wanaume wachache kama wewe

  • @salummwinyi7663
    @salummwinyi7663 5 ปีที่แล้ว +3

    My role model f.a tangu kitambo upo juu

  • @yemamaulidi4969
    @yemamaulidi4969 5 ปีที่แล้ว +1

    Nampendag sana kwel kwel

  • @hiralidismasi6164
    @hiralidismasi6164 5 ปีที่แล้ว +1

    asante sana mwana fa nimekuelewa

  • @clementkwilasa2013
    @clementkwilasa2013 5 ปีที่แล้ว +3

    interview imekaa poa sana

  • @rizmarahmed1196
    @rizmarahmed1196 5 ปีที่แล้ว

    Dah yaani umenigusa sanaa kakangu Mungu tu

  • @hamisimfaume2118
    @hamisimfaume2118 5 ปีที่แล้ว +1

    Nifasaha sana ndio maana kaeleweka.

  • @RuckieDady-gk3ph
    @RuckieDady-gk3ph 6 หลายเดือนก่อน

    Unakila sababu ya kua ulivyo huenda mungu alikupisha huko ili uwe Bora zaidi wewe nimfano wadhahabu huwezi kung'aa bila kupitia huko maana dhahabu Bora niile yenyemng,'ao zaidi ya zingine

  • @mariselinakraph8844
    @mariselinakraph8844 4 ปีที่แล้ว

    Umenifundisha vitu bro uko vzr kichwan

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b 5 ปีที่แล้ว +3

    Luv you tira

  • @muttaadrolph6162
    @muttaadrolph6162 5 ปีที่แล้ว +1

    Nice interview.

  • @minjagoodluck7266
    @minjagoodluck7266 5 ปีที่แล้ว

    Aiseee mwana falsafa we ni kichwa co kwenye muzk tu ata kwenye maisha ya kawaida

  • @user-id8bu6lw8x
    @user-id8bu6lw8x 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu kaka namwona mbali

  • @abbysule2390
    @abbysule2390 4 ปีที่แล้ว +2

    Anavyo ongea mwana FA na Salama Jabbir unahisi nn? With sound

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 3 ปีที่แล้ว

    Dah pole baba hawakujua utakuwa nani dah dunia hii

  • @user-sg6zy1mq8u
    @user-sg6zy1mq8u 11 หลายเดือนก่อน

    shida kubwa brother umanikini hatuna

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 5 ปีที่แล้ว +1

    We jamaa nimependa busara zako

  • @neemaabdul9553
    @neemaabdul9553 5 ปีที่แล้ว +12

    Jipinde tu Uwe Karibu na mola wako jilazimishe KWA kweli kama haupo hivyo,maana una mtizamo mzuri wa kidini.na watoto wako walee kidini zaidi utafaulu.

    • @kibongobongo4608
      @kibongobongo4608 5 ปีที่แล้ว

      Kweli

    • @CSWafrica
      @CSWafrica 5 ปีที่แล้ว

      assalaam alaikum. aise dada yangu nimejaribu kusoma comment za wangu ila ya kwako is my number one.

  • @allsamaliy3033
    @allsamaliy3033 ปีที่แล้ว

    Wewe roli modo pe❤

  • @fatumamroki2716
    @fatumamroki2716 3 ปีที่แล้ว

    Daah😭 wazazi kutengana nikuwatesa watoto

  • @aggreymwakipesile8609
    @aggreymwakipesile8609 5 ปีที่แล้ว +1

    Big up brother

  • @asiazuberi9722
    @asiazuberi9722 5 ปีที่แล้ว +1

    Nice mwanafa

  • @mwanaidihemedi1612
    @mwanaidihemedi1612 10 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 4 ปีที่แล้ว +1

    Uyu jama noma