Nzuri, inafundisha, ila ni nani walengwa haswa, si ni sisi waswahili, nadhani English sio tatito ila ingekua ni hapa na pale tu, walengwa wengi watashindwa kupata walichokusidiwa, shout ot kwa Mh. waziri amejitahidi kuplay safe kubalance..
Muongee kiswahili bn.... kama mnaaanza na kingereza show nzima iwe kingereza..... tusupport lugha yetu😢... mbn mwana FA kaongea kiswahili.... au mnadhan hajasoma
daaah wabongo bana kwaiyo mtu akiongea kingereza akichanganya na kiswahili ni mshamba analinga😅😅😂😂 hizo 2 ni lugha za taifa jamani, wakati wenzenu wanaenda shule nyinyi mnasaidia kuuza visheti. Jutieni kuboreka kwenu na kingereza sio Mwana FA😅
Sijawaelewa, bora mmengeongea kiswahili tu au kiingereza ru, najua hata MwanaFA angekuwa confident zaidi kuliko hiki mlichokifanya. MwanaFA ni mtu bora sana kama mngeongea kwa kiswahili tu, angefanya vizuri zaidi. Next time don't do this, choose only one language to deliver the message!
Kwa Tanzania sishangai mtu kushindwa kuongea English vizuri, lugha yetu ni kiswahili tumekulia kwenye kiswahili, shule kiswahili, ibadani kiswahili, mtaani kiswahili, nyumbani kiswahili lazima English fluent isumbue.
Mahojiano mazur nna Wala silaumu ila taaluma ya kuchanganya lugha n upoteshaji wa maan halisi ya uelewa wa mahojiano ahsante mh hamisi mwijuma Kwa kujidai nna kiswahili japo waandishi walikuwa nna maana yao
Help us hit a likes record! Tap like, press subscribe, comment your opinion or questions and let's make internet history together. Ready, set, go!
Tumieni KISWAHILI SABABU HATA HICHO KINGEREZA CHENYEWE HAMJUI,MNABOA
Mnazingua ongeeni kiswahili apa tuko bongo😂
Kingereza king mkiongea kiswahil hamtaeleweka
Mh.Waziri Hamisi Mwinjuma naomba nisaidie mtaji wa biashara. Mungu atakulipa.
Huku hawezi kuona
Acheni kutumia kingereza sana tuna mengi ya kujifunza ambayo tunatakiwa tusikie kwa kwa kiswahili
wanazingua sana
huelewi! tafuta Chanel za Kiswahili
@@mussamussa9446 u don't know what you say bro, Wacha kukurupuka kureply comment usizoelewa
Safi sana hii ndio sababu ya ku stack na sub 300 na itakuwa kazi sana + jina gumu la ki online media uchwara Uppuz 🚮
Huwezi elewa kama shule hukupata atleast D mbili
Mbona wingerezani sasa wanatafuta like kwa Mswahili
Hamfik popote hii channel
Kiswahili muhimu hicho kingereza chenu mnazingu pod cast zipo nyingi tutawatema
Back to school 😂😂😂
Madhara ya kukimbia shule
Muheza unajivunia Mh.Hamisi Mwinjuma
Ayo maojino mmerenga wazungu au watanzania
Labda wazungu 😂😂😂😂😂 watumwa mpaka kwenye lugha 😅😅😅😅😅😅
Nzuri, inafundisha, ila ni nani walengwa haswa, si ni sisi waswahili, nadhani English sio tatito ila ingekua ni hapa na pale tu, walengwa wengi watashindwa kupata walichokusidiwa, shout ot kwa Mh. waziri amejitahidi kuplay safe kubalance..
Ndiyo sababu video ina 2weeks na viewers wengi lakini comment chache...
Jamaa hawajafanikiwa kabisa katika hili
Hata hivyo kinge kinamsumbua
pia Dunia ya leo sio ya kujifungia kwa kiswahili
@@kwisa4899 brother moja ya factor ya kwanza katika kuuza bidhaa ni kutambua soko lako...
Nakupatia hiyo bure kabisa utanishukuru baadaye
Na. Kasoma wingereza unajua unachokisemaaa@@kwisa4899
Muongee kiswahili bn.... kama mnaaanza na kingereza show nzima iwe kingereza..... tusupport lugha yetu😢... mbn mwana FA kaongea kiswahili.... au mnadhan hajasoma
Ushamba wanajikomba kwa mwingereza wakati hana mpango na sisi tujivunie lugha yetu
Punguzeni uzungu waandishi🚶
Bado utangazaji dogo uwezo wako ni mdogo unahitaji kujifunza zaidi
Hapa ishu kiinglishi tu🙋🏾♂️
It's better to use swahili languange because not all audience understand English languange.
Why not using swahili
Surely
Mshamba sana asa mwana FA kaongea kiswahili yy kingereza wakati anaweza kuweka subtitle chini ya kiswahili 😢😢
Si lazima
daaah wabongo bana kwaiyo mtu akiongea kingereza akichanganya na kiswahili ni mshamba analinga😅😅😂😂 hizo 2 ni lugha za taifa jamani, wakati wenzenu wanaenda shule nyinyi mnasaidia kuuza visheti. Jutieni kuboreka kwenu na kingereza sio Mwana FA😅
We mwenyewe umetumia kiingereza😂
Taking a risk ukiwa na "support system" is worth a try.. otherwise mh
kiingereza kingi sana
Bilion mbili duuuuu
Mlitakiwa kiwe kiswahili ikiwa anaehojiwa hayuko tiar kuongea kingereza, kiwe kiswahili au kingereza ili iwe na ladha nzuri mmenielewa??
Kingereza chann sasa???
Kingereza cha kuunganisha na supa guluu, hebu ongeeni Swahili sasa
😂😂😂😂😂😂
Kingereza cha nini sasa?
Huuuu ujinga nilitaka kusikiliza ila mm la saba
😂😂😂😂😂 najua unajielewa vizuri ila ni ushamba wa lugha sasa inalenga waingereza au sisi watz😅😅😅😅😅😅😅🚮
Sijawaelewa, bora mmengeongea kiswahili tu au kiingereza ru, najua hata MwanaFA angekuwa confident zaidi kuliko hiki mlichokifanya. MwanaFA ni mtu bora sana kama mngeongea kwa kiswahili tu, angefanya vizuri zaidi. Next time don't do this, choose only one language to deliver the message!
Kwa Tanzania sishangai mtu kushindwa kuongea English vizuri, lugha yetu ni kiswahili tumekulia kwenye kiswahili, shule kiswahili, ibadani kiswahili, mtaani kiswahili, nyumbani kiswahili lazima English fluent isumbue.
Kiswaz is oky tz ....
Mahojiano mazur nna Wala silaumu ila taaluma ya kuchanganya lugha n upoteshaji wa maan halisi ya uelewa wa mahojiano ahsante mh hamisi mwijuma Kwa kujidai nna kiswahili japo waandishi walikuwa nna maana yao
Unaload sana kuongea english its better to use swahili
Ttzo uzungu mwing
Kingereza cha nini acheni usenge nyie matako tu😢kiswahili ndo mpango
😂😂😂😂😂😂
Cna sh kumi kwanye ela izo
Watumwa wa lugha ni wapi ulikuta mwingereza anahujiwa kule kwa kiswahili, waziri mzima aibu jivunie lugha yako 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
Interview yenu ingekuwa ya kiswahili tu kuchanganya lugha haipendezi kabisa